MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 04. 2024
  • MCHINA AUZIWA ENEO LAKE WAKIDHANI AMEFARIKI KWA KORONA - WAZIRI SILAA AMKAMATA ALIYEUZA - AJITETEA!
    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba hiyo ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji raia wa China. Aidha Waziri Silaa amaeagiza kutafutwa mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Nida ili aweze kueleza jinsi alivyozibeba milioni 80 ambazo ni pesa za mauzo ya nyumba ya Li Shi Cai.
    Waziri ametoa maagizo hayo mapema leo alipotembelea eneo hilo lililopo katika mtaa wa Mwanjelwa jijini Mbeya ili kusikiliza na kutatua mgogoro huo..
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 399

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před měsícem +4

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @maweinctv2645
      @maweinctv2645 Před měsícem

      ok

    • @ExcitedJapaneseMaples
      @ExcitedJapaneseMaples Před měsícem

      11​@@maweinctv2645

    • @stevesafarishow
      @stevesafarishow Před 27 dny

      Hapo kwa rode wireless go, punguza db (volume) hadi -6 au -9 Kama uli nje na watu wanazungumza kwa sautibya juu. Ukiwa ndani ndio uweke -3 ama 0. Otherwise, kazi safi sana👏🏾

    • @michaelmahaja
      @michaelmahaja Před 25 dny

      Nitakuja

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Před měsícem +51

    Apewe haki yake tu bila kujali ni mchina au laaa sheria ifate mkondo wake

  • @MasoudSalum-rb3ts
    @MasoudSalum-rb3ts Před měsícem +32

    Huyu waziri mwenyezi mungu Akipenda Akiwa hai 2030 Atakua Raisi wetu

    • @emmanuelndotela9412
      @emmanuelndotela9412 Před měsícem

      Mchina hana haki ya kumiliki Ardhi Tanzania sheria zetu za inchi zimeeleza wazi kabisa kuwa ni watanzania tu ndiyo wenye sifa ya kumiliki Ardhi.

    • @alfredymalata269
      @alfredymalata269 Před 29 dny

      watu wa ivi hawatoboagiii ndugu

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Před 20 dny

      ​@emmanuelndotela9412 ishapitishwa mgeni hanamiliki ardhi bila was was ndugu ..na uyo mamaaenu haNvyozunguka nchi za 😂😂lazm wagen wamiliki

    • @user-em4zz3lh1h
      @user-em4zz3lh1h Před 13 dny +1

      Kabisa amekuwa akitenda haki kweli these days

  • @knowledgetv5594
    @knowledgetv5594 Před měsícem +19

    Mh, Jerry Slaa, popote ulipo Mungu akusaidie na kukulinda ili uendelee kutetea watanzania.

  • @user-yf4zo1sm5l
    @user-yf4zo1sm5l Před měsícem +26

    Mama tunaomba uchunge huyu waziri wasikuretee fitina zao kazi unayo fanya na mungu akusaidie mm adi ni eria wageni ni ndugu zetu

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 Před měsícem +12

    Mungu akulinde Jerry Silaa na hakika tuna muomba Mungu pia asikuhamishe kwenye hiyo wizara. IDARA YA ARDHI IMEJAA DHULUMA SANA NA INATOKANA NA WATENDAJI WENYE DHULUMA KAMA HAO.

  • @AyubuMmari
    @AyubuMmari Před měsícem +21

    Mungu akupe maisha marefu waziri slaa tunakupenda unaijua haki hutaki maskini aonewe

  • @RashidMilanzi-ht1wb
    @RashidMilanzi-ht1wb Před měsícem +30

    Docta silaa wewe ni wazili ulie na hofu ya mungu naomba raisi Samia asikuamishe wizala hiyo tia ndani hao wapigaji watendaji wa Haina hiyo wapo wengi sana mungu akupe maisha malefu japo kua wazili awadumu wewe mungu akupe miasha malefu

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h Před měsícem +8

    Haki itendekeee hata kama ni mchinaaaaa❤❤❤❤

  • @mpetafrank7195
    @mpetafrank7195 Před měsícem +23

    Duuuh hii nchi ngumu sana na wananchi wake hongera waziri nyoosha mwenye haki yake apewe wasimuonee mchina wa watu

  • @margaridaagostinhoacaciona3656

    Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana tuna serikali yetu ipoo imara alhaamdulilaah naishukuru serikali ya Tanzania ipoo imara alhaamdulilaah mama Samia rais wa watanzani viongozi wapo imara sana na haki ipooo hapo mchina ana pata haki yake alhaamdulilaah serikali ya Tanzania naishukuru sanaaa alhaamdulilaah

  • @RoseMallya-dd6uu
    @RoseMallya-dd6uu Před měsícem +22

    Mhs. silaa Mungu akulinde..kwani unawasaidia San wananchi kupata haki zao.

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Před měsícem

      Mama Samia tafadhali huyu Mheshimiwa mwache kwenye hiyo nafasi /wizara kwa kama miaka mingine 5; nchi hii itabadilika sana na kila mwananchi atakua na furaha ya kweli. Miji itapangika pia na ustaarabu kuongezeka 🙏🏽 🤔

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Před měsícem

      🎉🎉🎉​@@joycekisamo4896

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Před měsícem +19

    Huyu waziri ,anafaa kuwa Raisi wa Jmt

  • @bakarially253
    @bakarially253 Před měsícem +9

    Hongera sana Wazira Allah akulinde

  • @bettyuswege5541
    @bettyuswege5541 Před měsícem +5

    Waziri slaa ni Zaid ya waziri Mungu amuweke jamn aiseeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ramadhanomar6757
    @ramadhanomar6757 Před 27 dny +1

    Bw Waziri. Mwenyewezi Mungu akulinde akupe afya njema na umri mrefu. Amiin. Endelea kutenda Haki Kaka.
    From Mombasa Island 🏝️ Kenya.

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u Před měsícem

    VIVA MH. WAZIRI SILAA....WAHUSIKA WOTE HAO NI MATAPELI....WAMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUMDHULUMU HUYO MCHINA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.

  • @dannylema3125
    @dannylema3125 Před měsícem +2

    Wabongo njaa Kali Sana Na tutazidi kuto aminiwa Na watu weupe

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 Před měsícem +6

    Kweli haki haizami. Jack chang amenga'ngana kuongea kujieleza Kiswahili mpaka kapata haki yake.Pongezi waziri Kwa kutenda haki.

  • @florentinigawday1094
    @florentinigawday1094 Před měsícem +1

    Mama samia kwa huyu waziri hukukosea kumuweka,hongera mama yetu samia ,tunakupendaaaa

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 Před 13 dny

    Mwenyezi mungu atuzidishie heshima na roho ya huruma hivyo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před měsícem +1

    Waziri wng silaha nakupendaga Sana ..mungu akulinde Kwa kutetea haki za watu safi Sana kaka ..endelea kuwasimamia wanyonge.. nakupenda Sana baba Kwakusimamia haki zawatu

  • @louisisd1090
    @louisisd1090 Před měsícem +2

    Grobal tv mnanikosha nimejikuta namfatilia sana mh silaha sasa hivi na mna mtendea vizuri kuonyesha full length video

  • @user-yf4zo1sm5l
    @user-yf4zo1sm5l Před měsícem +5

    Wabongo unasumbua Sana ndugu zetu wageni wa napata shida Sana kwajiri ya watu wasio waaminifu

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Před měsícem +4

    Kiukweli wenyeviti wa Mitaa wanajitafutia matatizo wenyewe, hivi ni sheria ipi kwenye mambo ya Ardhi wao wanahusika hata kiasi cha kujifanya madalali au wanajua saaaaaana. safi sana Waziri ukweli binafsi siwapendi wenyeviti wote wanaojihusisha kwenye matatizo na mizozo pamoja na migogoro ya Ardhi

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb Před 17 dny

    UYU WAZILI NAMWELEWAGA SANA PIA MAKONDA ALI API JAMANI MWINDILI YUKO WAPI

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Před 16 dny

    Ahsantesana kiongozi dhulumasio nzuri Mungu anatuonawote.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před měsícem +1

    Dhuruma sio nzuri..waziri silaha washughulikie wote wadhurumishi

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 Před měsícem +1

    Nikweli kabisa wasituchafulie inchi wanpe mchina haki yake make kuna watanzania wenzetu china na inchi zingine kwa ujumla haki ioatikani by fossil nikiwa Nairobi Kenya

  • @barakajotam
    @barakajotam Před 25 dny

    Dhuruma sio nzuri pia watanzania tujaribu kutenda kwa uwaminifu yani walipo ona roho mbona harudi na tena mzehe wakajua atakua amekufacorona

  • @user-bj2xs3tc7h
    @user-bj2xs3tc7h Před měsícem

    Kazi nzuri Waziri nakuombea Mungu akusaidie Na akulinde

  • @abibumussa8808
    @abibumussa8808 Před 21 dnem

    Tuna mjomba mwenyezi. Mungu mtumufu yeyote anae zurumu haki. Za wananchi aridhi nyumba basi mwenyezi mungu amlaani hapahapa duniani nakesho akhera hu

  • @paulinef.millanzinana8279
    @paulinef.millanzinana8279 Před měsícem

    Hongera sana baba hakika Mchina haki yake atapata kwa kupitia wewe na Mungu Baba wa Mbinguni azidi kukutunza

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu Před měsícem

    Mkurugenzi Mbeya, Brother John! Nakukubali sana, kuna pahala una feel maumivu ya watu na kusimama kama wakili wao

  • @user-tz8yn9uf2k
    @user-tz8yn9uf2k Před 16 dny

    Nakukubali sana kiongoz

  • @hamisiamani962
    @hamisiamani962 Před 15 dny

    Jerry Mungu akuweke Sana Kaka kwa hakika Nakuelewa Sana kwauongzi wako uliotukukq

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 Před 20 dny +1

    70 naa kwenye mfuko jamaa is very humble

  • @saloomidd1084
    @saloomidd1084 Před 28 dny +1

    Wachina wote kufa huko corona😅😅😅😅😅dah haya maisha sio kabisa watu wanajiongeza

  • @mlangaliromwenda6945
    @mlangaliromwenda6945 Před měsícem +1

    Maelezo ya mwenyekiti. Sio ya kweli. Nimependa sana maamuzi yalio chukuliwa

  • @saidmoussa909
    @saidmoussa909 Před měsícem

    Hii kumbe wezi naajsmbazi wako kila sehemu..
    SubhanaAllah..

  • @user-jn4zk5kn7f
    @user-jn4zk5kn7f Před 15 dny

    Kiongozi mzuri haki sawa Wenye makosa wote sheria ipite Tanzania ni ichi ya amani

  • @saumsheshe4585
    @saumsheshe4585 Před měsícem

    Mungu akulinde na maadui waziri wetu kwa wema uutendao.

  • @hillshipping5117
    @hillshipping5117 Před měsícem

    waziri wetu huyu sasa hawajakosea Allah amsimamie kwa kweli anatufaa ni mkweli na anafanya haki ila tumuombee mungu mafisadi wasimtie majungu ili atolewe maana tunajua wapo tunakuomba mama samia mama huyu tuachie hapa anaweza hapo iyo idara ngumu tunajua sisi wazawa hapa dar kwakweli ubabaishaji upo mama samia mungu akusimamie huyu waziri msimamie anaweza mama huyu tuachie mafisadi mungu awalani mhh mtihani wallah

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Před měsícem +5

    mama samia huyu wazili muache kwenye hii wizara mpaka asitaafu usimguse

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Před měsícem +2

      Kabisaaaaa, angalau kwa miaka 5; hii nchi itapangika na kueleweka👏🏽 👏🏽 👏🏽

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd Před měsícem +4

      sasa kama samia angekua kama magufuli nahuyu wazili mambo yangekua saf sana

  • @OmesmoNaikoyo
    @OmesmoNaikoyo Před měsícem

    Hongera zake Sana Mh Waziri Silaa, endelea kuwapambania wananchi wanaonewa

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 Před měsícem

    Yani huyu kiongoz wallah nmetokea kumuelewa sana daaah hongera kiongoz bora

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 Před 27 dny

    Aise waziri slaa kwanza bright hlf second fear enuf aise mungu amuweke huyu waziri siku moja awe rais hii nchi itasogea mbele sana

  • @JosephPancras
    @JosephPancras Před 16 dny

    Mungu anawaona ninyi matapeli

  • @pedwin6187
    @pedwin6187 Před měsícem +2

    Jery Slaa you doing good job
    Hongera

  • @WilliamNkondokaya
    @WilliamNkondokaya Před měsícem

    Ni kweli Mungu amlinde Mh. Slaa, waziri wa Ardhi

  • @joshuamfizi4816
    @joshuamfizi4816 Před měsícem +6

    Tanzania ya mama Samia hiyooo.Haki mbele kwa mbelee.Big up Mhe.Slaa.

  • @rithamatiko4952
    @rithamatiko4952 Před 18 dny

    Viongozi wengi Hakika mna tenda haki Mungu awabariki sana

  • @JosephPancras
    @JosephPancras Před 16 dny

    Mungu anawaona matapeli

  • @graceamos7337
    @graceamos7337 Před měsícem +2

    Da Dunia ina mambo

  • @AmaniAbel
    @AmaniAbel Před měsícem +1

    safi sana

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Před měsícem

    Hongera sana 😊 muheshimiwa

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 Před měsícem

    waziri Mungu akubariki sana

  • @annadavid1445
    @annadavid1445 Před měsícem +6

    Safi sana mbunge wangu shikilia hapo hapo. Hao wadhurumaji na majizi papa uwashikishe adabu. Wewe na mama Samia 25 tutavumilia foleni kitaeleweka tuu.

    • @Neema935
      @Neema935 Před měsícem

      😂😂😂😂❤kabisaa.❤

  • @user-dl1eu5em8w
    @user-dl1eu5em8w Před měsícem

    Mungu akulinde

  • @KaziTutu
    @KaziTutu Před měsícem

    Waziri Mungu akubariki

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 Před 27 dny

    Haya John nchimbi nakuona .katka ubora wako .asante kanzi nzuri.from 🇴🇲

  • @Surebet705
    @Surebet705 Před měsícem

    Kazi nzuri wazuri❤❤❤

  • @user-ux3xu9gs8d
    @user-ux3xu9gs8d Před měsícem

    Mungu tunaomba tulindie viongozi eazalendo wa kweli maana hii nchi ime chafuka .balikiwa sana kiongozi mzalendo

  • @WilfredKuyonza-jz2nj
    @WilfredKuyonza-jz2nj Před měsícem

    Safi sanaaaa

  • @alphonceo3571
    @alphonceo3571 Před měsícem

    Kutoka Kenya, hongera kwa wahudumu wa Idara husika (Mahakama) iliyo fanya uchunguzi ili kutekeleza haki kwa Mchina mwekezaji.

  • @user-up2kg1wm9p
    @user-up2kg1wm9p Před měsícem +1

    Asantee. Kiongozi.

  • @shirutv1139
    @shirutv1139 Před měsícem +4

    Wabongo wanatamaa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před měsícem

    Safi sana waziri 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Před měsícem +1

    Kazi kweli kweli duuu

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 Před měsícem

    Document zilikuwa wapi

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 Před měsícem +1

    Jerry uko vizuri sana

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Před 10 dny

    Aseeee pain kinomaaaa😢😢😢

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 Před 16 dny

    Inasikitisha sanaaa

  • @user-gm4mo2jx8i
    @user-gm4mo2jx8i Před měsícem +1

    Tunakuomba waziri wetu ufike vikawe tuna shida wananchi wametapeliwa viwanja na makazi

  • @prosperiamdetele1421
    @prosperiamdetele1421 Před měsícem +3

    Wakamatwe wote waliuza mali ya watu wamemwonea mchin wa watu

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 Před měsícem

    Waziri Mungu Akutunze

  • @OmesmoNaikoyo
    @OmesmoNaikoyo Před měsícem

    Mungu mtakatifu Zaidi kukuinua zaidi

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 Před měsícem

    God bless u broo mungu akusimamie nimekuwa nikikufuatilia unafaa sana ,ww nimtenda haki wa kweli

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev Před měsícem

    Congratulations jerry Allah akuongoze ktk haq

  • @user-fv4zw5ki3x
    @user-fv4zw5ki3x Před měsícem

    Waziri wawanyonge nakupenda sana

  • @user-cz9zu7ur1h
    @user-cz9zu7ur1h Před měsícem

    Safi sana raisi samia tunataka vyuma kamahivi ila kuna sheria gani mgeni kuuziwa eneo?

  • @shikuhata
    @shikuhata Před 25 dny

    Safi sana waziri na mkurugenzi mpambanaji

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Před měsícem +3

    Mungu akulinde waziri wetu slaah

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 Před měsícem +1

    Chapa kazi

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 Před měsícem +1

    Wabongo kiboko zurumu hadi mchina

  • @user-ks7bs8yk3p
    @user-ks7bs8yk3p Před 27 dny

    Hawa ni wezi kama wezi wengine tena ikifaa wapewe kesi 2 kuua mtu na kushirikisha serikali kufanya kosa la uhujumu uchumi kama umeelewa hii nondo previous ziwe nyingi na kujenga hoja wababa tuone wangapi wapo tayari kusimama kidete

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 Před měsícem +1

    Tumwombeeni Yuko vizuri

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 Před měsícem

    Good job

  • @FatyNdayishimiye
    @FatyNdayishimiye Před 26 dny

    Huyu waziri kwakweli Mungu amjaze kheir na nguvu za kuendelea kutetea wanyonge

  • @rayshaula1140
    @rayshaula1140 Před měsícem

    Mungu azidi kumlinda waziri atende haki, machozi ya dhuluma ni Mengi mnooooo😢
    Watu wana nyanyaswaaa kisa wenye pesa na ukubwa wa Majina

  • @user-wc8rm2yo9m
    @user-wc8rm2yo9m Před měsícem

    Safi saaana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 Před 23 dny

    Nimemuonea huruma sana mchina akionyesha ushirikiano wa kuongea kiswahili

  • @erichemily4890
    @erichemily4890 Před měsícem

    Watu wana tamaa sana aisee sio fresh kabsa

  • @lolymkongo4721
    @lolymkongo4721 Před 26 dny

    Safi sana tanzania ayo djoo sheria safi.

  • @macksonimwandemele42
    @macksonimwandemele42 Před 26 dny

    mwenyekiti anamtazama huyo mama wakati anaongea had anataka kulia😅😅😅

  • @patellaisangai6013
    @patellaisangai6013 Před měsícem +2

    CCM hoyee upigaji uwendelee 😭 😭 n😂😂😂

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 Před měsícem

    Mhe Slaa kanikumbusha mkurugenzi wa manispaa mwaka 98 yaani hakuna mnyonge atanyanyaswa...kiboko...alhamdullilah

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Před 29 dny

    Safi mr waziri

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu Před měsícem

    Tamaa mabaya

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 Před měsícem

    Safi waziri