WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA - "BORA UKOSE MALI"..
Vložit
- čas přidán 21. 04. 2024
- WAZIRI SILAA AREJESHA KIWANJA KILICHOPORWA na TAJIRI wa MABASI ya TAHMED TANGA - "BORA UKOSE MALI"..
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewarejeshea kiwanja wanafamilia ambacho kilichukuliwa na mfanyabiashara mkubwa wa magari ambacho alikihodhi miaka mingi ndani ya jiji la Tanga.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kwanza rekebisheni izo camera
Waziri anatatua tatizo na anatowa elimu pia.
Big up kijana mwezangu upewe mauwa yako.
Mungu amlinde huyu waziri, nakuombea sana kwa Mungu waziri 🤲
Huyu jamaa yupo na, hekima
@@bakariomari8758 saana
Huyu waziri sijawahi kuona kama yeye anafanya kazi KUBWA sana mpeni maua yake jamani ,lkn ifike wakati hao matapeli kwanza walipe fidia ya MIAKA yote waliyokuwa wamekaa pale pili walipe garama za majengo waliyovunja,tatu viongozi waliohusika kusaini nyaraka feki kama mwenyekiti ,mjumbe nk wachukuliwe hatua Kali za kisheria ikiwemo KUCHUKUA Mali zao ili kuwalipa wale waliodanganywa.
Mh. Rais wananchi tunapata faraja kubwa kwa utendaji kazi wa kujituma wa Waziri huyu. Tutashukuru kama atasalia hapo bila kubadilishwa nafasi ili kufikia lengo la kufuta kero sugu za ardhi. Viongozi wateule mkijituma kwa kufuata haki ustawi wa nchi haraka unapatikana.
Mungu atubariki sisi sote kama Taifa.
Amina!
Safi sana Waziri.hii ni zamu yetu wanyonge. Mahakama inapiga tarehe kudhulumu mali za wanyonge.tumechoka. Waziri Big up.Mungu Akutunze
Aaamin.
Sasa ndo mnakubaliana na makonda kuhusu mahakama ? Wanafki sana watanzania
Amin
Ndio mahakama ni pesa ndio inaongea mahakimu wote wala rushwa na makarani wao .
@@baloz8974 halafu makarani wanaficha ma file ya watu kweli kabisa huu mwaka wa 20 Sasa tulishashinda kesi .lakini kinachoendelea hatuelewi RUSHWA eti wanasikilizwa na hawajawahi ku appeal MUNGU ANAWAONA
LEADERSHIP IS THE ABILITY TO SOLVE the PROBLEM. Huyy ni kiongozi aisee
Hes a God fearing guy wit a blessd with a wisdom
Jerry silaha nakupenda kwa ajili ya ALLAH mola akulinde inshallah
Hata usiku silaa anafanya kazi 🥺🥺 mungu akulinde sana tena sana
Mwenyezi Mungu akubariki Sana Waziri
Upewe maua yako kwa kweli
Dah waziri anapambana sana kwajili ya watu wasio na nguvu japo hii vita alio ingia ni kubwa mno lakin mungu atamuongoza
Kwa historia ya nchi hii viongozi wa aiba hii hua hawadumu
KWA JINA LA YESU KRISTO ATADUMU NA WATADUMU WASIOGOPE TUNAWAOMBEA
Piga kazi wazir,kazi yako Mungu anaiyona, na hanafurai,
Jerry last born wangu hongera sana kazi nzuri sana sana Mungu akupe afya njema na maisha marefu, heri na tumbo lililokuzaa na maziwa uliyonyonya ❤
Mungu akuongezee umri bwana mdogo!!
You re a Very smart Minister, Nakuombea kwa Allah akupe maisha marefu unatenda haki wazi wazi, asiyekuelewa ni tapeli tu...
Aw huyu kijana hii kazi anaiweza vzr sana, anatumia uadilifu mno, hababaishi, mola amsaidie sana na amlinde wabaya wasimdhuru, amin
hapa rais samia kapatia wazili anafanya kazi
Hii wizara kaka walipuyangaga walivyomuweka m2'1wakuitwa Kamwele cjui kamwewe!!Basi Lkn,Mbalawa jembe Silaa Shoka😂
This guy is being blessd with Wisdom
Mweshimiwa Jeri mwenyezimungu akusimamie akulinde na akuongoze inshallah..kwamana unafanya kitu kizur Sana kiwaokoa watu na mali zao dhidi ya dhurma..unafanya kitu kizur Sana japokuwa sio rahisi ila mungu akulinde dhidi ya watu wabaya muheshimiwa wang
Silaa na makonda niw2 na nusu mungu akubariki sn mama samia 5 tena
Ndugu Waziri ni kijana mdogo sana ila anafanya kazi kwa kujituma sana kupigania haki hadi anazeeka.
Mungu hatamuacha,atendelea kumpatia afya njema
ni kweli ila katerekeza jimbo la ukonga....njia zinaoza
Kazi ya serikali hiyo na sio mbunge pekee, kuna wakuu wa wilaya makatibu tawala na nao wanahusika muwape taarifa@@yordanyona1234
kwa kazi anayofanya mwache tu atelekeze anastshili sifa na kura ntampa mana anapigania taifa sio jimbo
upepo wa 2025...si ameamshwa na makonda tu...juzi hapo..
kiekweli viongozi wetu wako vizur ila mara nyingi wanakosa uzalendo....au pia aina ya mtu aliopo juu namna anavyowatengeneza...
maana usipowapa stress ni shida
Maswala ya ardhi yakatatuliwe sehemu maalumu kwenye site kabisa
Waziri unajua unajua tena safi sana
Safi jerry slaa MUNGU akulinde mkuu.👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 nmetamin kuwa mwanasiasa niwatumikie wananchi kwa Haki.kwa maneno haya we n nembo ya ubora
Unaweza kutumikia nchi yako popote ulipo jitoe mzalendo👍🤝
Hongera sana Rais kwa kumteua huyu waziri wa Ardhi, anafanya kazi nzuri kweli,
Mungu awabariki sana viongozi wa serikali wanaotenda kazi kwa haki
Waziri hongera kwa kazi nzuri unayo Fanya, Allah akupe umri mrefu na afya njema
Alafu kesho utasikia Mama amembadilisha amemleta mwingine japo ma file hayabadilishwi lkn ukiona mtu anaimudu wizara acha aendelee huyo huyo aimalize kazi yake maana hata ukisema mapungufu hata utakaemleta sio Malaika
Anaimudu Wizara sio Wizala.
Hata huyu hata badilishwa amini hivyo; si unamuona Hussein Bashe?
🤣🤣🤣 Umejuaje? yaani mimi nina wasiwasi sana, huyu jamaa ni kama Lukuvi tu, nina wsws ataondolewa.
Lukuvi hakuwahi kufika kwa level hii japo nae alijitahidi
@@ahmed-shakirmwamba4992 Nadhani umeelewa hata kama kumepinda sehem hukuona umuhimu wa ujumbe umeona makosa nyie ndo wale wale wakuangalia makosa ya nyumba za watu sio juhudi za mwenye nyumba jitafakali maisha yako yatakuwa ya kutafuta makosa tu
Wewe Waziri sijakuonea mfano kwa kazi unayoifanya hutumii hasira unawajibu kwa hoja MUNGU akulinde na akupe maisha marefu
Waziri wa ardhi ni mtu wa maana saana hongera kwa kuwa na hofu ya mungu una roho nyeupe kama shati..lako unalopenda kulivaa jeupe..barikikwa saana
Mungu amulinde mdogowangu silaa kwa kazi unayaifanya wewe pamoja na makonda sio ya popepoie
Mnungu mbariki mh samia ,J,silaa,na makonda
Nzur umeona he
Amiin yaarab kwakweli inatupo furaha
acha kufaninisha watu na mazombii ww ulisikia wap uyu jelisilaa kampiga m2 lisasi au kamteka m2 tumia akilii chiziii wewee
Hujanitendea mimi wema..ila watanzania wenzetu...ila nakuombea mungu akujalia afya njema mh silaa ...eeh mungu mbariki silaa kweli wee silaa ya vita
Samahani ndg zangu naomba serikali iende mbali zaidi Jaji mkuu toa amri ktk mahakama au mabaraza ya ardhi nchi nzima wawe wanatoa hukumu zao site na ushahidi utakuwa mzuri hivi mm naona dhuluma ni nyingi Sana kwa wananchi kwa ajili ya kufoji na manyaraka mengi yasiyo na tija.
Kweli kabisa yani maswala ya ardhi wanaenda kutatulia mahakaman na hawaendi site
🎉🎉🎉🎉
Aisee umeongea bonge la point. Hukumu ya ardhi kutolewa pasipo eneo husika inaleta ukakasi sana kwenye maamuzi sahihi. Kwa kuwa mahakama inaweza kuhamisha eneo lake la kutoa hukumu basi wafanye hivyo fasta
Hao matapeli wa ardhi hawawi pekee Yao Ni watumishi wabovu wa serikali ndiyo wanasababisha uchafu wote huo. Cha muhimu hapo Ni Jerry Slaa kupata wenzie wa ukweli ndiyo itapungua tu Keisha kabisa haipo kwa sababu utapeli Ni moja ya maisha ya watu wabaya. Mungu atusaidie tu.
Safi sana waziri kwa kurejesha matumaini kwa wanajamii wanaodhulumiwa
Huyu jamaa anajua sana kazi yake na anahukumu huku anakufundisha hadi uelewe hata kama una kichwa kizito utaelewa tu
Kazi nzur munguambariki
Mungu ni mwema watu wanaonewa sana kwenye maswala ya maeneo Hongera sana Mama Samia Hongera sana kaka Jerry
Jerry Mungu akulinde katika majukumu yako
Waziri anajuwa kuelimisha sana.
Bravo Silaa.
Mungu akulinde sana
Hiii elimu hata mm nimeipata sitaweza kununua kiwanja kiholela bila kuuliza aiseee big up sana
Jembe jingine Tena madini sanaaa🙏🙏🙏wamekua wawili namakonda💪💪💪
Yeah Makonda anatakiwa naye apewe wizara,kwenye wizara nyeti kama wizara ya mambo ya ndani ili kutokomeza mambo ya rushwa
Mungu akulindewaziri
Ninacho kipendea Jerry wewe ufanyi kazi kinafki unachapa kazi Kama inavyopaswa kufanyika ongera Sana mungu akubariki na akulinde na maadui waovu🙏🙏🙏
Mungu hawaachi watu wake! Well done waziri. Mungu akulinde daima
Nakupa maua yako mh waziri Jerry Slaa🌺🌺🌹🌹🇹🇿
Mwenyezi Mungu akutangulie kila cku pamoja na familia yako na team yote ya viongozi TZ 🙏🏼🙏🏼
Kwa hili mueshimiwa sikusaport jamaa kafwata protocol zote za kisheria za ununuzi wa kiwanjaa kuwafwata wapangaji sio dili Sanaa coz ulinunua basi la abiriaa jee utamwafata dereva kumuhojii wakati una kadi ya gari original.kwaa hili namsaport mununuzi frankly speaking apa nooo the buyer has a right kwani miraji katoa wapi document original
Muheshiwa akili nyimgixanaaaaaa. Allah akulinde. Insha'Allah
Waziri silaa mtu wa maana kabisa
Smart man
Hapo kosa ni lawatu wa ardhi
Hongera waziri Slaa mwenyezi Mungu akutangulie kesho utasikia amehamishiwa wazara nyingine ajabu sana
Waziri Silaa na Makonda mungu awalinde because kazi munafanya ningumu sana.
Slaa asee big up sana kwako..yaani Kama Mimi..
Mtaalamu jerry slaa god bless you
Jery nimejifunza kitu ngoja niende weke vzr doc
Asante kwakutufahamisha jinsi yakufanya ila tuliowengi tukinunua vitu kama ivyo viwanja na nyumba hatujui vyakufanya...Yani kwastahili iyo inabidi tujuwe sheria au tupate muongozo wakisheria Ili tusiingizwe mkenge
We silaa mungu akujalie
Dah yaan mnyonge mpaka unajikuta tajiri, Mungu akutunze waziri
Waziri hongera sana hufanyi kwa sifa wanyonge wapate haki Yao Mungu akubariki
Mh waziri naomba mungu akupe maisha marefu, kwenye swala la mahakama zetu kumeoza sana na matajiri wengi hununua mfumo wa mahakama na kuzuia kesi zenye vielelezo zisisikilizwe.Naomba umshauri mh Rais aunde tume aifumue mahakama kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi mahakama ya rufani.
Waziri ni jembe lingine 🙏🙏
Mh presedar Wazir unaye,jemb e Jembe saaana ,,Mwenyez Mungu Amlinde zaid
Mungu akulinde waziri aulali unawapigania watanzania
Hoqngera sana mh waziri unapambania wanyonge
❤❤❤❤ HAWA ndio wanapaswa kushika nyadhifa kubwa za
Hakika umekuwa ukitenda haki kwakila mwenye aliedhulumiwa haki zake bas uwepo wa serikal hii imekuwa ikitatuwa hili ttzo hongereni sana mungu awabarik❤❤🎉
Mungu akupe maisha marefu na yenye kheri sana wazir wa ardh ❤
Mh unatakiwa uwe waziri wa ardhi miaka yote Mungu awabariki sana
Waziri maua yako🎉🎉🎉🎉 kitaaalaaaam zaidiiii
Ahsante mungu. Umetuleyra chombo madhubuti waziri jelly mungu akulinde
Mungu akulinde namabaya
Ukiwa na mawazir wenye akili kama hawa Safi sana,anatoa maelezo na elimu❤
Nakuobea kwa mngu na mh samia
Mwenyezi Mungu akutunze mheshimiwa waziri
Daah uwa napenda sana mahamuzi ya waziri sema nini Africa kunaraa sana
Huyu jamaa anaitendea haki nafasi yake, big up waziri Mungu pekee ndio atakulipa na kukulinda
Mwenyezi Mungu akulinde waziri wetu Huku mkoa wa Pwani huko kipalang' anda nako balaa watu wanatapeli mashamba bila haya unauziwa na unatapeliwa na anauziwa mtu mwingine bila woga hata kidogo
Tunawaombea dua sana kaka mkitoka huko kwenye ardhi anzeni na wale waliojenga majumba makubwa halafu mishara yao wanayo lipwa havilingani ni kidogo
Mama angoze miaka mia❤❤❤❤
😢😢😢😢😢waziri mungu akupe umri mrefu
the dude is smart enough
Nimelia kwa furaha❤ slaa
Mama samia umetupa waziri mzuri sana wale waliopita walikua wanashirikiana na matapeli huyu kanyooka.
Kazi hiendelee❤
MH Jerry! Naomba nikupe pongezi na pole Sana Kwa Kazi kubwa unayoifanya swali langu je Mawaziri waliopita walikuwa wanafanya nn?
Walikuwa Wana lala mkuu😢
Alikuwepo mzee lukuvi karudisha Mali nyingi sana za watu wakat wa magufuli
Migogoro ya ardhi ni mingi sana
Walijitahidi ila mfumo ndio tatizo .huyu Waziri Ana busara uadilifu upendo nk nk
Na haogopi kufanya maamuzi
Safi sana waziri
Good Job. Congrats Mheshimiwa Silaa.
Mungu akuweke akutunze waziri mtenda haki...mabaya dhidi yako yawapate wenye roho za zulma
Saf sana mkuu umenifundisha kitu hapa
Hii siyo kazi ya waziri. Kuna vyombo ambavyo vinatakiwa kufanya haya mambo lakini vimelala. Migogoro kama hii iko mingi sana, waziri atatembelea kote? Kosa ni la serikali hiyo hiyo anayoiwakilisha waziri. Ila low minds kama hizi haziwezi kujua lilipo tatizo na mtaendelea kulizwa maisha yenu yote.
Kweli kwanza cha kujiuliza huyo waziri aliyekuwepo kabla yake alifanya Nini? Je itakuwaje kama Slaa akihamishiwa sekta nyingine?? Mfumo mbovu ndy tatizo na tutapigwa mpaka tuseme.
Kwahyo aendelee kukaa ofisini akiangalia makosa ya watendaji wengine?
Uwelewa wako ni wajuu sana vyanzo vya matatizo vipo Sasa hii haitatusaidia
@@issamsuya583 They have to change the whole sytem of governing. Mihimili na idara zifanye kazi.
Mh waziri unafanya kazi nzuri sana sana, God bless you, lakini kwanini hawa watu wanaenda mpka ardhi na wanapata majibu kwamba kiko sawa, je hao wafanyakazi wa ardhi ambao wanashirikiana kuibia watu ardhi mnawachukulia hatua gani?
Very smart
Silaa anatenda Haqi safi sana wanyonge wametendwa sana na matajili Haqi aizulumiwi
Safe sana sana waziri
Yalaiti kenya tungelikua na waziri na kuamua haki kama hivi...
Pongezi sana waziri Jerry
Hakika nahemewa sana kwa kazi nzuri unayofanya kakangu mungu akupe maisha marefu sana utetewanyonge
Mungu akusaidie waziri unatenda haki
Dr SLAA RC MAKONDA W BASHE Mama SAMIA tuangalizie Vijana wanaoweza kutosha kwenye nafasi unazowapa waungane pamoja nahawa wanao maana wanachofanya nazani kinaonekana💪💐🙏
Safi sana waziri fanya kazi