WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 12. 2023
  • WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...
    Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya Mkakazi Jerry Silaa amemuagiza mkuu wa polisi Gongo la Mbotokumkamata bwana mmoja aliyefahamika kwa majina Bakari Shingo na wenzie akiwemo msimamizi wa eneo hilo kutokana na kudaiwa kusababisha mgogoro wa eneo la maegesho ya bajaji katika mtaa wa Gongo la Mboto ilala jijini Dar Es Salaam.
    Aidha Silaa amemtaka mkuu wa mipango miji halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam kumilikisha eneo hilo la maegesho ya bajaji kwa mkurugenzi wa jiji na kumtaka aweke utaratibu mzuri wa malipo kwa madereva wa waliokuwa wakipaki eneo hilo ikiwemo kuwapunguzia ushuru kutoka shilingi elfu 2500 waliyokuwa wkilipa awali hadi kufikia shilingi elfu moja 1000.
    Waziri Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo hilo baada ya kuwepo mgogoro huo ambao umezua taharuki hasa kwa madersva bajiji waliokuwa wakifanya kazi eneo hilo kutolewa na anayedai kuwa ndiye mmiliki.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 345

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 3 měsíci +5

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @mankamanka6616
      @mankamanka6616 Před 9 dny

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @user-ks8oy9lt7z
    @user-ks8oy9lt7z Před 3 měsíci +21

    Mtie na ndani mjinga uyo pole waziri kwa changamoto unazokutana nazo Allah akuhifadhi

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 Před 3 měsíci +13

    Safi wazir hongera sana sana nchi hii wangepatikana mawazir 10,kama ww yaani nchi ingependeza mno❤❤❤❤

  • @crismtete8837
    @crismtete8837 Před 5 měsíci +14

    Huyu ndie Waziri.. mtulivu, ana busara na anasimamia haki. . Good job

  • @raframs.stationery
    @raframs.stationery Před 3 měsíci +5

    Mimi ki ukweli kungekuwa na neno jingine jipya la kumpongeza mh waziri ningeweza kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya. Mungu akulinde kwa kila BAYA

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 Před 5 měsíci +6

    Waziri Mh Jerry Slaa, Mungu akulinde kwa kusimamia haki kwa wanyonge.

  • @nassorosadick9232
    @nassorosadick9232 Před 5 měsíci +7

    Mh. Waziri, nakupongeza kwa hekma na uvumilivu uliouonesha kwa Bwana Bakari Shingo.
    Pia umechukua hatua sahihi.
    Hongera sn

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 Před 2 měsíci +3

    Hivi mawaziri wengine jifunzeni huku jamani full of wisdom full of information etc Hongera sana Brother Jerry. Mungu akuinue zaidi Kwa ajili ya wananchi wa Tanzania

  • @alphoncenerlimbweni6233
    @alphoncenerlimbweni6233 Před 5 měsíci +8

    HONGERA SANA MY UK BIG UP MUNGU AZIDI KUKULINDA KATIKA UTENDAJI WAKO

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 Před 5 měsíci +10

    Waziri slaa endelea hivyo utaheshimika sana na utafika mbali Mungu akusaidie

  • @waltersesuru43
    @waltersesuru43 Před 5 měsíci +11

    Wazili uko vizuli sana mungu akupe afya njema.mama samia .tunakupenda sana.kwa kazi yako nzuri sana.kidumu chama cha mapinduzi.

    • @selector728
      @selector728 Před 8 dny

      Waziri sio Wazili,vizuri sio vizuli

  • @chemstry409
    @chemstry409 Před 3 měsíci +3

    Sillah The thing I like you, Your so come, You take time, Your not rush...Mwenyezi Mungu akulinde na akutangulie kwe kazi zako za kila siku....🙏

  • @mathiasmwingira6951
    @mathiasmwingira6951 Před 5 měsíci +14

    Sasa kama waziri anajibiwa hivyo hivi mwananchi wa kawaida hajui hili wala lile atajibiwa vipi, hatari sana, waziri your too humble very good, kama kwenye jimbo lako hawakutaki njoo kwetu ugombee CCM ni moja.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 2 měsíci +2

      Pata picha angekuwa Makonda ajibiwe hivyo, hahaha hapangetosha, jamaa angelala ndani 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před měsícem +2

      ​@@MsAggie5KWANI HUYO KABEBWA UNAFIKIRI KAPELEKWA KEMPISKI?? 😂😂😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před měsícem +2

      ​​@@MsAggie5HUYO AHUKUMIWE KIFUNGO TENA KIWEKWE LAAAAAAIVU MITANDAONI ILI WENGINE WAJINGA KAMA YEYE WAONE HANA ADABU KABISA.

  • @hawahbohero2425
    @hawahbohero2425 Před 5 měsíci +10

    Hekima na busara mh Waziri uko vizuri

  • @user-ks7zc6kd7u
    @user-ks7zc6kd7u Před 5 měsíci +15

    Waziri Jerry hoyeee big up Bwana Yesu akutunze Damu ya Yesu ikufunike

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 5 měsíci +6

    Safi sana mkuu ilo jama likanyee ndooo sasa maana kibuli mpaka kwa waziri

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Před 5 měsíci +5

    Mh. Piga kazi ukimtanguliza Mungu mbele.. Wananchi tunakuewa sana

  • @user-nb8ot8be9f
    @user-nb8ot8be9f Před 3 měsíci +2

    Asante waziri sasa tunaomba mawaziri wengine wafanye kazi kama waziri wa aridhi

  • @ancytarimo1103
    @ancytarimo1103 Před 5 měsíci +24

    Sasa huyo mzee anamjibu waziri kwa kiburi hivyo yaani inaonyesha Nidhamu yake sio nzuri. Nakupongeza sana Mh Waziri Jerry maana naona ulimvumilia muda mwingi bado anakujibu anavyotaka. Tukumbuke ndugu watanzania Waziri ni mteule wa rais tena anaingia Cabinet. Yaani waziri huyu kweli anatumia vizuri taaluma yake ya sheria kitendo cha kuendelea kumsikiliza mtu anaebisha hivyo kwa kweli ni ustahimilivu mkubwa mno. Yeye angesema nimekosa Mh waziri asingefikia huko huenda angemshauri nini cha kufanya. Big up Waziri.

    • @ramadhanisalimu-bt3ql
      @ramadhanisalimu-bt3ql Před 5 měsíci

      😮😮mmmmh

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Před 5 měsíci

      Mama samia hongera sanaaaa yaaan hapa wazziir umetupatia mvumilivuu aliekomaaaa kiakili na busaaraaa .... Allah awasimamie ingekua mtu mwingine huyu bakari shingo angekula koffii la mdomo kwanza...

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 Před 3 měsíci

      Mpuuzi sana bakari

    • @mc-omoro2366
      @mc-omoro2366 Před měsícem

      Bakari Shingo ghafla kageuka kuwa Bakari Shipa 😅

  • @martinakessy5413
    @martinakessy5413 Před 3 měsíci +3

    Mh Waziri uko vizuri Sana Tusaidie maana wababe ni wengi.

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Před 5 měsíci +6

    Hivi ndivyo Waziri anatakiwa kufanya kazi kwa kufuatilia,big-up Jerry. Unakuta baadhi ya Mawaziri wamepewa dhamana wanashindwa kufanya kazi wizara zao zinayumba lakini bado hawashtuki ?!

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Před 5 měsíci +9

    Huyu mwenyekiti afukuzwe kazii hafai ni mjinga sana

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před 5 měsíci +8

    Mzee mwenzangu umefeli kwa majibu ya hovyo

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Před 5 měsíci +9

    Alafu anajibu jeuli kama kweli anazo document za ukweli

  • @mbeya
    @mbeya Před 5 měsíci +2

    Mweshimiwa waziri wema huu hautasaulika maishani huduma hii tunaihitaji hapa Manga veta mbeya Kuna team hapa inaongozwa na Bwana japhet inazulumu viwanja vya wanachi na kwa sasa inauza eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa nursery school

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Před 2 měsíci

    Young boy Mungu atuwekeee insha'Allah.

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious Před 5 měsíci +2

    Mh. Kwenye ofisi hizo siri zinauzwa sababu wanajuaje kama eneo halina umiliki? Nadhani uchunguzi uanze kwenye ofisi husika 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Mungu akusimamie kwa kazi ya kutetea haki za sisi wanyonge 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @henrykibodya1207
    @henrykibodya1207 Před 5 měsíci

    Keep it up

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 2 měsíci +1

    Yani Jeri safi Sana..nakusoma sheria ni safi Sana kwamana unakuwa unajielewa Sana..Jeri silaha mungu akujalie Sana..Yan kusoma nimali sana

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Před 3 měsíci

    Mungu akutangulie

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Před 5 měsíci

    Huyo mwehu sana jamaa Mh.Jery Slaa wewe ni Mwamba hatari...mnoo Big up sana

  • @user-mp4yt7ps5q
    @user-mp4yt7ps5q Před měsícem

    Hongera sana waziri Mungu akulinde

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe Před 3 měsíci

    Safiiiii mungu akulinde wanyonge tunaonewa

  • @user-lp4fi7bx9q
    @user-lp4fi7bx9q Před 5 měsíci +3

    Anadharau sanaa hawezi kumdharau waziri kiasi hicho

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 Před 5 měsíci +18

    Maeneo ya hivyo yako mengi sana mjini!! Nyoosha Mambo Jerry, na usisahau barabara ya banana- kitunda-mwanagati-kivule. Watu wanateseka sana mzee.

    • @isaackkamanga3567
      @isaackkamanga3567 Před 5 měsíci

      Huku hawezi kugusia anakujua vizuri 😂😂😂😂

    • @bamdogokiki1486
      @bamdogokiki1486 Před 3 měsíci

      Mengi ya wazi yalichukuliwa au yamechukuliwa na CCM.

  • @user-ws8bc1jn7z
    @user-ws8bc1jn7z Před 5 měsíci

    😮bgp kiongozi wangu jerry silaa pamoja

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Před 3 měsíci

    Bwana Yesu azidi kukuinua

  • @user-rp8vz2yt4j
    @user-rp8vz2yt4j Před 5 měsíci

    BG up kiongoz...

  • @tiopherysanga2934
    @tiopherysanga2934 Před 5 měsíci +3

    Kauri ya mheshimiwa nimeipenda hapo mwisho nina uungwana mwingi lakini sina ujinga big up mh

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Před 8 dny

    Kweli MUNGU ana watu wenye kuifahamu HAKI nini na inathamani gani. Barikiwa Waziri .

  • @markshawej6003
    @markshawej6003 Před 2 měsíci

    Duh

  • @barakamassawe2454
    @barakamassawe2454 Před 3 měsíci

    Mungu akubariki uzidi kusimamia Haki

  • @user-qz7xl1xj7v
    @user-qz7xl1xj7v Před 3 měsíci +6

    Huyu shingo sio mara ya kwanza kuchukuliwa na police,enzi za mkuu wa mkoa makonda alishawekwa ndani

  • @NeemaMlay-jb6zj
    @NeemaMlay-jb6zj Před 3 měsíci +1

    Mtetezi wa wanyonge❤❤❤

  • @2003hintay
    @2003hintay Před 5 měsíci +4

    Mh Waziri fanya kazi usitishike na ndevu halafu jeuri adabu Hana pesa inampa kibri

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Před 3 měsíci

    ❤❤❤❤❤ waziri

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 Před 3 měsíci

    Ofc c mambo ya vyimbo vya habari,safi sana mzee

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w Před 2 měsíci

    Hongera Mheshimiwa na Timu yako MUNGU Akubariki

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm Před 3 měsíci +1

    Safi Waziri umesahau kitu kimoja huyo jamaa Bakari Shingo TRA inatakiwa imshukie kwa hayo mapato ya dhuluma aliyokuwa anayapata wamkamue wamfilisi hizo hela zinazomtia kiburi alainike awe na adabu kwa viongozi wetu wa nchi

  • @mgangamjita8657
    @mgangamjita8657 Před 5 měsíci +2

    Barabara za kitunda machimbo, kivule na f/kumi Hali mbaya wajawazito wanajifungulia njiani njoo ujionee ktktk ya mji Dar es salaam so sad

    • @valerianmtowe7822
      @valerianmtowe7822 Před 5 měsíci

      Si ndo nyie huwa mnapewa kofia na t sheti za ccmu mnasaau matatizo kula chuma icho bado hamjasema

  • @StellaMwasha
    @StellaMwasha Před 11 dny

    Wooooooh

  • @godlistenJohn
    @godlistenJohn Před 5 měsíci +5

    Huyo mwenyekiti hana nidhamu, hapo anaongea na waziri sipati picha akizungumza na mwananchi wakawaida pindi wametofautiana

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 Před 5 měsíci +1

    Uyuwaziri mkuu inaonekana katiba ya Taifa letu ipo kichwani.
    Unaona anavyo wapa Uhuru wa kujieleza jamani.
    Kiongozi Bora Sana.

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 Před 5 měsíci +6

    Huyu bakari anajibu kihuni sana.Wazir unabusara sana. Mheshimiwa waziri maeneo kama hayo ni mengi sana. Watu wanawatoza Kodi kuubwa wajasiliamali wadogo wakati eneo wamevamia la wazi

    • @doreenfrank3508
      @doreenfrank3508 Před 5 měsíci

      Yaaani huyu waziri ana hekima.... Mungu aendelee kumbariki

    • @user-cw3vu8mu3k
      @user-cw3vu8mu3k Před 5 měsíci +1

      Huyu bakari yuko sahihii kabisa anajua haki zake unajua kuwa waziri haina maana wewe ni mahakama kama unataka maelezo mpe mtu barua ajibu kwa barua si unawaleta waandishi kwenye biashara ya mtu ili kujitengenezea nafas kisiasa watanzania wengi hawazijui haki zao na wanaburuzwa na wanasiasa ambaye anaweza kuwa leo kwa hiyo nafas na kesho hayupo afate utaratibu si kuleta makamera

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 Před 5 měsíci

      ​@@user-cw3vu8mu3ktatizo Lako ni uelewa mtuhumiwa anaandikiwaje barua?

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 Před 3 měsíci

      tatizo nawewe hujielew mtuhumiwa ikimwandikia barua utampataje je wewe unaona anachokifanya huyo jamaa kipo kikatiba au kisheria

    • @albertchuma4313
      @albertchuma4313 Před 6 dny

      ​@@user-cw3vu8mu3kwewe unajuwa mamlaka aliyonayo waziri kikatiba? Kama sio kupwayuka tu.. waziri hakuandikii barua! Waziri anaweza kukutia ndani bila maelezo yoyote! Hapa sio marekani eti haki yakikatiba😂😂😂

  • @kanoa645
    @kanoa645 Před 5 měsíci +13

    Waziri hekma imetawala sana, umemvumilia sana, kweli huyu bwana hajaonyesha picha nzuri

    • @Barakaclassic
      @Barakaclassic Před 5 měsíci +2

      Ni kweli kabisa huyo jamaa Hana discipline

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 Před 5 měsíci

      Usikute hilo jamaa ni lishogaa maana si kwa zalau hizo

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Před 5 měsíci

      😢😢😢🎉huyu jamaa hovyooo kweliii......yaan anamjibu wazirii kama anajibu mbovuu duh

  • @SadiHassan-ob6nv
    @SadiHassan-ob6nv Před 3 měsíci

    Allah akulinde wazili

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Před 5 měsíci

    Safi waziri

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Před 3 měsíci +1

    Safi sana mh waziri huyu ni muislamu wa namna Gani yaani anatuaibisha sana waislamu mh Jerry endelea na mipangovyako. Safi kabisa

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Před 5 měsíci

    Safii babaa mweshimiwa Jerry

  • @leonidaleonard9382
    @leonidaleonard9382 Před 5 měsíci

    😊

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Před 5 měsíci +1

    Well done waziri ardhi ni tatizo sugu

  • @johnndembwike7790
    @johnndembwike7790 Před 5 měsíci +5

    Dah huyo jamaa jeuri sana anapata wapi ushujaa wa kumjibu waziri namna hiyo?

  • @elisantenyange8751
    @elisantenyange8751 Před měsícem

    Hongera waziri

  • @johnsimba
    @johnsimba Před 3 měsíci

    Hongera sana Waziri tembea inchi mzima hasa na huko musoma ni balaa tu

  • @SalamaJuma-mg3ru
    @SalamaJuma-mg3ru Před měsícem

    Mtoto mdogo lkn maashaallah Allah akulinde mh silaa

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Před 8 dny

    Ukiwa na shule raha sn kwa kweli hongera jerry slaaa shule ipo hekima busara ipo

  • @shamimukanju8402
    @shamimukanju8402 Před 3 měsíci

    Meenyeezi Mungu mpe afya njema waziri wetu Jerry mama yetu mh.Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunashukuru kwa kutuletea jembe

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 Před 5 měsíci +7

    Unaongea na waziri kama unaongea na mtu wa kawaida tia ndani huyo

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 Před 5 měsíci +2

      Kwan wazr sio mtu wa kawaida??

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x Před 5 měsíci

      haya ndiyo machawa yakiongea na waziri yanajiona kama yanaongea na Mungu wakati hata rais unaongea nae kama mtu wa kawaida@@eladiuspeter586

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 Před 3 měsíci

    Ukiwa mtenda haki huwezi kupendwa nawatu ila cc wanyonge tupo na ww kijana wetu Mungu akulinde baba, pacha wako Makondo yuwapi jaman Mama Samia waangalie hawa vijana kwa macjo mawili wanafukunyua mengi yaliyo jificha

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Před 5 měsíci +1

    Hatari kweli hswa wazuri na wengine roho mamlaka
    Sheria ifuate

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 Před 3 měsíci

    Safi sana haijalish dini wala.nn ww piga kazi tuu

  • @ADAMSANGA-lv7fv
    @ADAMSANGA-lv7fv Před 5 měsíci +1

    Njooooo iringaaa wazidiii michezo hiyooo imezidi huuku

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Před 3 měsíci

    "Ujue mimi nina uungwana mwingi .. lakini sina ujinga" .. nimeipenda hio Mh.Waziri.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 Před 6 dny +1

    Iwish angekuwa makonda hapo na hayo majibu

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Před měsícem +1

    Slaa asihamishwe ardhi Sasa hivi kama ni promotion aongezewe marupurupu tu 😁.. Akihamishwa ardhi tabu itarudi palepale

  • @user-zx4zr3hc7y
    @user-zx4zr3hc7y Před 5 měsíci +4

    Jamaa anajibu kwa jeuri sana sema mh waziri huyu ni mstaarabu sana

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x Před 5 měsíci +2

      jamaa anajibu kwa usahihi huwezi waziri kumuuliza mtu nikikuandika barua nikataka ulete nyaraka utaleta? jamaa kajibu kisomi sana kuwa wewe andika utajibiwa sio kuulizana katika media serikali inaenda kinyaraka

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Před 5 měsíci

      ​@@user-ez9qc2jo1xamejibu kisomi sawa ila sasa jeuli hyo inatakiwa utambe ukiwa na nyaraka halali ndo patamu sasa mweupe tu halafu unajibu jeuri si ujinga huo. Ujue waziri mpaka anafika eneo hilo taarifa maalum anazo sasa kwann asiseme ukweli tu kuliko jeuri asiyokuwa na maana.

    • @albertchuma4313
      @albertchuma4313 Před 6 dny

      ​@@user-ez9qc2jo1xdah😂😂😂

  • @user-kg3cr9gg1h
    @user-kg3cr9gg1h Před 2 měsíci

    Nakubaliii wazir Jerry slaa

  • @BahatiMaduhu-jp3cb
    @BahatiMaduhu-jp3cb Před 3 měsíci

    Hatar

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 Před měsícem

    Waziri wa aridhi Silla unatufurahisha sana hata kama Niko njombe

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 Před 8 dny

    silaa❤❤❤❤

  • @user-su3zd6mz6d
    @user-su3zd6mz6d Před 5 měsíci

    Jamaa ana hekima mnoo

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe Před 3 měsíci

    Safi sana mbuge Jeri mitano tena

  • @jamesbaisy8068
    @jamesbaisy8068 Před 5 měsíci +2

    Suala la hilo eneo nalifahamu vizuri, ni utata sana anayemiliki hapo nasikia yupo ulaya Shingo ni msimamiz.

  • @Abubakarhemed-cp5wb
    @Abubakarhemed-cp5wb Před 3 měsíci

    Wapo wengi sana hao Muheshimiwa

  • @user-rk8cf7cd5x
    @user-rk8cf7cd5x Před 5 měsíci +1

    Duh mfunge uyo zezeta anamjibu kiongoz kama yupo bar mjinga uyo

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b Před 5 měsíci +1

    Mzee yupo sawa, mambo ya ofisi ni barua, sio kuvamiana tu

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Před 5 měsíci

      Nawewe chizii kama bakari shingo...yaonekana Hana walezii waliomlea vizuur...

  • @IddyZohan
    @IddyZohan Před 5 měsíci +1

    Nakukubali mh waziri kiongozi makini wewe

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 Před 5 měsíci +3

    Nchi yetu bana Waziri ameenda kumuweka mtu kwa shs 2500 wakati kuna MAJIZI ya BILLIONS za hela wanaachiwa huru Uraiani....Mungu Inusuru nchi yetu

    • @user-lh9hd2vr5v
      @user-lh9hd2vr5v Před 5 měsíci

      Yaani anamasha Kila bajaji kwa siku inalipa 2500

    • @user-ee5tt5wk6j
      @user-ee5tt5wk6j Před 5 měsíci +1

      Acha unafiki wew ayo MAJIZI wew unayajua.?wazir anafanya kazi yake vyema kabisa..tena kwa ilolijaamaa ungekua wew ndo waziri Kwa ayomajibu usingewezakuvumilia mda wote uo
      Kama busara na hekima ametumia kubwa mno adi mim nimechukia Kwa nin anamuacha anatamba mda wote uo

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 Před 5 měsíci

      @@user-ee5tt5wk6j Kwa mfano TU mdogo huyu kaiba 2500 kwa kila Bajaj kwa siku hatujui anaingiza kiasi gani na kwa mwezi kaiba kiasi gani
      Alafu kuna jitu linaiba BILLIONS za hela ambazo za walipa kodi masikin ambalo waziri bado anakunywa nae KAHAWA na wanapigiana simu
      Sasa hapo mimi na wewe nani mnafik

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 Před 2 měsíci

      Yeye kama waziri anasimamia wizara yake nakutoa hukumu kwenye wizara yake ,hivyo huko wanakopiga mabilioni yeye waziri hakumhusu

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 Před 2 měsíci

      @@andrewkissava9184 Hapa ndo shida inapoanza KUPAKA CHUMVI kwenye KIDONDA

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Před 5 měsíci

    Huyu ndo Jerry sasa🙌🏽

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 Před 3 měsíci +1

    Tatizo kubwa watu wanamdharau waziri kwakuwa wanamuona ni bwana mdogo.

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation Před 3 měsíci

    Waziri Silaha inaonekana mchapakazi , safi sana , anatatua wajanja

  • @paschalkimboka4605
    @paschalkimboka4605 Před 3 měsíci

    Dah Silaa mvumilivu sn

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před 5 měsíci +1

    Jery slaa
    Hao ndiyo wanaitwa ALWATWAN!!

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Před 5 měsíci +3

    Hao wanafikiri hii nchi ni ya mama yao mbwa kabisa

  • @peterchande957
    @peterchande957 Před 5 měsíci +1

    Wazuri naguswa na utendaji wako nakukubsli mnoooo

  • @NeemaJuma-zf7vd
    @NeemaJuma-zf7vd Před měsícem

    Mpuuzi sana huyo jamaah, Tia ndani

  • @user-iu4du7ws6s
    @user-iu4du7ws6s Před 5 měsíci

    Safi sana waziri, Mungu akutie nguvu na kukulinda

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g Před 5 měsíci +3

    Halafu huyu mwenyekiti waserikali zamtaa anaonekana anakiburi sana

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa Před 5 měsíci +1

    Waziri chapa kazi ns kuna stendi bubu kila mkoa zife futilia dodoma zimeanzishwa stindi bubu na open supes zimejengwa

  • @josspower9039
    @josspower9039 Před 5 měsíci

    Anaitwa nani alesababisha mgogoro