Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 04. 2022
  • Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia bungeni amejikuta akiwafurahisha wabunge wengi mara baada ya kuhoji kwanini polisi wamekuwa wakisimamia mitihani akihoji kwamba akili ya mtu siyo bando hivyo akiitaka serikali kuwa inaangalia wale ambao hawana akili wakifaulu mtihani wa mwisho ndio wachukuliwe hatua

Komentáře • 31