Mwananchi Digital
Mwananchi Digital
  • 36 454
  • 171 602 158
Wananchi Mbeya wahaha huduma ya maji, wanawake wahofia usalama wao
Mbeya. Wananchi wa mitaa ya Mponzi, Sinde, Chaula na Makunguru jijini Mbeya wameendelea kusotea huduma ya maji kwa zaidi ya miezi miwili tangu kukatika kwake, huku wanawake wakielelezea hofu yao kiusalama wanapoamka usiku kutafuta huduma hiyo.
Huduma hiyo ambayo ilipotea tangu Machi mwaka huu kwa baadhi ya maeneo, haijarejea tena na kufanya wakazi wa maeneo hayo katika Kata za Isanga, Ilemi na Ilolo kukosa maji na kusababisha adha kwa wananchi hao.
Kwa sasa wananchi huamka kati ya saa 10 hadi 11 alfajiri kutafuta huduma hiyo ambapo kimbilio kubwa imebaki kuwa chanzo cha Afrika ambapo asilimia ya wengi hupata msaada hapo, wengine wakitumia maji ya visima vya kuchimba ambayo si salama kwa afya.
Hata hivyo, tangu Mwananchi Digital kuripoti changamoto hiyo, Juni 10, mwaka huu mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya (Mbeya Uwssa) walikiri uwapo wa tatizo hilo ikiahidi kufanyia kazi ikisema kwa sasa upo mgao.
Mwananchi imefika katika baadhi ya maeneo ambayo ni kimbilio kwa wananchi kupata maji ikiwamo chanzo cha maji Afrika na visimani na kushuhuhudia foleni ya wananchi wakiwamo watoto wadogo wakihangaika kupata huduma hiyo.
Wakizungumza leo Juni 28, baadhi ya wananchi wamesema tangu kukatika maji mwezi Machi, wamekuwa katika wakati mgumu ikiwamo kuamka nyakati za usiku wakisema hawajaona utekelezaji wa kumtua mwanamke ndoo kichwani.
zhlédnutí: 74

Video

Wanachama wa ZHSF kuanza kupata huduma Tanzania Bara
zhlédnutí 79Před 11 hodinami
Wakati wanachama wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF) wakianza kupata huduma za matibabu Julai, mwaka huu, Tanzania Bara, asilimia 26.7 ya Wazanzibari watapata matibabu bila kuchangia huduma hizo. Mbali na hilo, kuanzia Julai mwaka 2024, watumishi waliokuwa NHIF kutoka sekta ya umma watarudi rasmi ZHSF na wafanyakazi wote waliopo sekta binafsi wataanza kuanza kupata huduma ZHSF kuanzia Se...
Simanzi!!! Vilio vyatawala wanafamilia watatu waliofariki wakitoka harusini wakizikwa Rombo
zhlédnutí 423Před 12 hodinami
Vilio na simanzi vimetawala kwenye mazishi ya watu watatu kati ya wanne wa familia moja waliofariki dunia kwa ajali ya gari wakitokea harusini mkoani Dar es Salaam kuja Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, huku mamia ya waombolezaji wakishiriki maziko yao. Wakati miili hiyo ikiingizwa nyumbani kwao ikiwemo mwili wa mama wa bwana harusi, Cesilia Luka, Antonio Luka na Godfrey Michael katika Kijiji...
Mahakama yaionya Serikali kesi ya madai ya ukahaba
zhlédnutí 864Před 13 hodinami
Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive imeionya Jamhuri (upande wa mashtaka) katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano mahakamani hapo, kwa kushindwa kutekeleza amri yake ya kuwapeleka mahakamani mashahidi wengi baada ya shahidi aliyetarajiwa kudaiwa kuwa mgonjwa. Hata hivyo, shahidi huyo alifika mahakamani akisaidiwa kutembea kwa kushikiliwa, akitembea kwa kujikokota huku akionesh...
Adam atimiza ndoto kwa Fei Toto, asimulia alivyowekwa selo Libya
zhlédnutí 225Před 15 hodinami
Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Adam Omary Adam amesema ametimiza ndoto yake ya muda mrefu, aliyokuwa anatamani kucheza timu moja na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto'. Kwa nafasi anayocheza Adam, anaamini akiwa na Fei Toto uwanjani, anaweza akafunga mabao mengi, kutokana na ufundi wake wa kuchezesha timu na kutoa pasi za mwisho. Adam aliwahi kupata ofa ya kuichezea Al-Wahda ya Tripoli ya Libya, anas...
Kilichojiri kesi ya padri na wenzake wanane tuhuma za mauaji ya Asimwe
zhlédnutí 4,6KPřed 15 hodinami
Watuhumiwa wanane wa mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba akiwapo Paroko Msaidizi Elipidius Rwegashora wa Parokia ya Bagandika wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera. Mtoto Asimwe alichukuliwa Mei 30, 2024 na watu wawili wasiyojulikana akiwa nyumbani na mama yake, saa 2:30 asubuhi katika Kitongoji cha Mbale kilichopo katika Kij...
Familia ya Sativa yasubiri hatima ya madaktari , afya yake yaendelea kuimarika
zhlédnutí 537Před 16 hodinami
Familia ya Edgar Mwakabela anayedaiwa kutoweka Juni 23 na kupatikana mkoani Katavi, imesema inasubiri ripoti za madaktari itakayowapa mwanga wa kujua lini ndugu yao ataletwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi. Mwakabela anayeishi Mbezi wilayani Ubungo ni maarufu katika mtandao wa X (zamani Twitter) kwa jina la Sativa anadaiwa kutoweka Juni 24 na kupatikana jana Alhamisi Juni 27 katika pori la Kat...
Wafanyabiashara, vibarua wataja funzo walilopata kwenye mgomo
zhlédnutí 340Před 17 hodinami
Wakati Serikali ikitangaza kutatua kero 15 kati ya 41 na wafanyabiashara kufungua maduka jijini Mwanza, vibarua wameeleza kupata funzo kwenye mgomo huo ikiwamo kuweka akiba. Jana Alhamisi Juni 27, 2024, Msemaji Mkuu wa Serikali alitoa taarifa kwa umma kuwa Serikali imetatua kero 15 kati ya 41 za wafanyabiashara na kuwaomba wafungue maduka yao. Baada ya kauli hiyo ya Serikali, leo Ijumaa Juni 28...
#SIMULIZI KISA CHA MTANZANIA WA KWANZA JASUSI, KOMANDO ALIEDAKWA KWA UHAINI
zhlédnutí 420Před 17 hodinami
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Watuhumiwa tisa mauaji ya Asimwe walivyofikishwa mahakamani Bukoba
zhlédnutí 1,8KPřed 18 hodinami
Watuhumiwa tisa mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba leo Juni 28, 2024. Mei 30, 2024, mtoto Asimwe aliporwa kutoka kwa mama yake na watu wasiojulikana kisha wakatokomea naye. Juni 17, 2024, ikiwa ni siku 18 tangu alipochukuliwa, Asimwe alikutwa mabaki ya mwili huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolkewa. Juni 19,2024 Jeshi la Polis...
'Ma - hustlers' Kenya wanavyomkomalia Ruto kwa kuwasaliti, ndege aliyosafiria kwenda Marekani
zhlédnutí 701Před 19 hodinami
Baada ya maandamano makubwa yaliyofanyika juzi nchini Kenya na kusababisha vifo vya takribani watu 22 na kusababisha Rais William Ruto kukubali kuuondoa muswada tata wa Sheria ya fedha, vijana wa Gen-Z wameandamana tena jana wakitaka kiongozi huyo ajiuzulu. Licha ya Rais Ruto kutekeleza matakwa yao ya kuuondoa muswada huo, siku moja kabla, bado vijana hao wameendelea na maandamano yao, huku wak...
Said Makapu afichua siri za Yanga
zhlédnutí 337Před 19 hodinami
Said Makapu afichua siri za Yanga
Ajali iliyouwa wanne wa familia moja Korogwe majeruhi wasimulia, nilijikuta nimetupwa nje
zhlédnutí 849Před 20 hodinami
Ajali iliyouwa wanne wa familia moja Korogwe majeruhi wasimulia, nilijikuta nimetupwa nje
Malisa aripoti Polisi Moshi, atakiwa kurudi Julai 11
zhlédnutí 172Před 2 hodinami
Malisa aripoti Polisi Moshi, atakiwa kurudi Julai 11
Bodaboda watakiwa kufuata sheria za usafirishaji, Sare maalumu kununuliwa kuwatofautisha
zhlédnutí 214Před 2 hodinami
Bodaboda watakiwa kufuata sheria za usafirishaji, Sare maalumu kununuliwa kuwatofautisha
Kinachoendelea mgomo wafanyabiashara Mwanza, adai kunyimwa unyumba
zhlédnutí 687Před 2 hodinami
Kinachoendelea mgomo wafanyabiashara Mwanza, adai kunyimwa unyumba
Sativa’ aliyetoweka Dar siku nne apatikana Katavi, alalamika kuumwa ataka apelekwe hospitali
zhlédnutí 10KPřed 2 hodinami
Sativa’ aliyetoweka Dar siku nne apatikana Katavi, alalamika kuumwa ataka apelekwe hospitali
Ajali yaua wanne wa familia moja Korogwe yasemekana walitoka kwenye harusi, mama mzazi naye yumo
zhlédnutí 6KPřed 2 hodinami
Ajali yaua wanne wa familia moja Korogwe yasemekana walitoka kwenye harusi, mama mzazi naye yumo
Chama alivyotibua dili la Farid Simba, Samatta atajwa, "Niliumia sana kukosa kombe la CAFCC"
zhlédnutí 361Před 2 hodinami
Chama alivyotibua dili la Farid Simba, Samatta atajwa, "Niliumia sana kukosa kombe la CAFCC"
Mgomo wa wafanyabiashara Kkoo Gari la matangazo lapita kuhamasisha kufungua maduka
zhlédnutí 5KPřed 2 hodinami
Mgomo wa wafanyabiashara Kkoo Gari la matangazo lapita kuhamasisha kufungua maduka
Sh10 milioni kuipaisha Arusha Super Cup
zhlédnutí 31Před 2 hodinami
Sh10 milioni kuipaisha Arusha Super Cup
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatu
zhlédnutí 1,5KPřed 2 hodinami
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatu
Wananchi Handeni wawashukia viongozi kukwamisha ujenzi wa zahanati
zhlédnutí 198Před 4 hodinami
Wananchi Handeni wawashukia viongozi kukwamisha ujenzi wa zahanati
CHALAMILA ATAKA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUDUMISHA AMANI, AOGOPA YALIOTOKEA KENYA
zhlédnutí 625Před 4 hodinami
CHALAMILA ATAKA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUDUMISHA AMANI, AOGOPA YALIOTOKEA KENYA
YALIYOJIRI KIJIWE CHA MWANASPOTI LEO, MASHABIKI WAVUTANA KUHUSU CHAMA, ABAKI, AENDE?
zhlédnutí 325Před 4 hodinami
YALIYOJIRI KIJIWE CHA MWANASPOTI LEO, MASHABIKI WAVUTANA KUHUSU CHAMA, ABAKI, AENDE?
Sekeseke la mgomo wa Wafanyabiashara Mwanza, wadaiwa kukacha kikao na RC Mtanda
zhlédnutí 813Před 4 hodinami
Sekeseke la mgomo wa Wafanyabiashara Mwanza, wadaiwa kukacha kikao na RC Mtanda
Sakata la maandamano Ruto asalimu amri arejesha muswada wa fedha , atuma salamu za rambirambi
zhlédnutí 1,9KPřed 4 hodinami
Sakata la maandamano Ruto asalimu amri arejesha muswada wa fedha , atuma salamu za rambirambi
Sakata la mgomo wa biashara latua bungeni, Mwigulu afafanua 'migomo inaturudisha nyuma'
zhlédnutí 611Před 4 hodinami
Sakata la mgomo wa biashara latua bungeni, Mwigulu afafanua 'migomo inaturudisha nyuma'
Mwigulu asema Tanzania hatukopi kwa sababu ni maskini, agusia bwawa la umeme 'tusifatilie dola'
zhlédnutí 258Před 4 hodinami
Mwigulu asema Tanzania hatukopi kwa sababu ni maskini, agusia bwawa la umeme 'tusifatilie dola'
Wafanyabiashara Kariakoo ngoma ngumu, waweka msimamo kufungua maduka, wamtaka Rais Samia
zhlédnutí 34KPřed 4 hodinami
Wafanyabiashara Kariakoo ngoma ngumu, waweka msimamo kufungua maduka, wamtaka Rais Samia

Komentáře

  • @revocatusclavery3562
    @revocatusclavery3562 Před hodinou

    Police nimewaheshimu Tena Kwa wale asikali wapelelezi alivyotengeneza nywele kama mchezaji wa mpira au muuingizaji fulani hivi kumbe askari

  • @AzizaMselemu
    @AzizaMselemu Před 2 hodinami

    Nawrzakumleta mtoto mwakani

  • @sundaymsenga9351
    @sundaymsenga9351 Před 5 hodinami

    Watu wa CNMS wajinga sana mnalala wakati baba anazungumza mambo ya msingi😂 mbadilike mambo ya sap yakishamba sana

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Mwiguruu akachunge ng'ombe asituene watanzania ni wajinga z sana

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Tataz madudu yote ya magufuli mama ameyarudisha hao ni mafisadi 2

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Badala ya kujdili ugumu wa maisha mnatuchezea 2 akili

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Ashungwa nae ndy walewale

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Alima apewe nafasi ya mwiguru ameshindwa kazi

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Huyo jamaa mnamngangania wa nn

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Samia huyo mwiguru umemuea apo kwa kaz gani anayoifanya apo pg nyama chini mama

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    Huo mkataba feki ni uhuni ndy tunafanyiwa kwenye nchi yetu

  • @IddiErias
    @IddiErias Před 8 hodinami

    mwegurubwew ni mpigaji 2 akuna chochote unachokifanya kwenye hy sekta

  • @efatauroki867
    @efatauroki867 Před 9 hodinami

    Na wale walio muhwa kamanda mawaza mbona kwann wameachiwa?

  • @KisendiNyanda93
    @KisendiNyanda93 Před 9 hodinami

    Yan bado atujasema na mpaka tuseme

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 Před 10 hodinami

    Kero za wafanyabiashara zimetatuliwa ??? kama ni ahadi tu za kutatua hakuna kufungua maduka mkifungua mumekwisha hakuna kero itatatuliwa

  • @wadantz123
    @wadantz123 Před 10 hodinami

    Mbwa hao ni kunyonga ty

  • @MnonyaMrmnonya
    @MnonyaMrmnonya Před 10 hodinami

    Rest in peace

  • @sophiapeter6817
    @sophiapeter6817 Před 10 hodinami

    Pole yake sana

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Před 10 hodinami

    Wanatumalizia oxygen ya nchi....Wafukiwe

  • @clarkcian2857
    @clarkcian2857 Před 10 hodinami

    aliyeuliza ayo maswali hana akili

  • @zulfahaji91
    @zulfahaji91 Před 11 hodinami

    Kwa nn umrejeshe

  • @SelemaniMajengo-fg7nv
    @SelemaniMajengo-fg7nv Před 11 hodinami

    Aisee! Acha tu. Wamekuchokoza wenyewe wape maneno

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba Před 11 hodinami

    Msipoteze mda nao please please nyongeni kabisa

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Před 12 hodinami

    Mmemsikia anayesema subiri? Mtu anaomba msaada anasikia maumivu , badala ya kumsaidia haraka anaambiwa subiri, wabongo bhana.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba Před 12 hodinami

    Dd acha kumuhoji mpeleke hospital

  • @MustafaabdullaIssa-zl8mp
    @MustafaabdullaIssa-zl8mp Před 12 hodinami

    Hatar mpaka mkuu wa kanisa ameshiriki!

  • @righitkileo
    @righitkileo Před 12 hodinami

    Padre tunamalizana nae kwenye Novena kwisha habari yako

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Před 13 hodinami

    Haya mashtaka yanapaswa kufanyika mikoa yote wanaharibu sana watoto na VIJANA hawa wamama

  • @loycenicolao7488
    @loycenicolao7488 Před 13 hodinami

    Jamani tuwe tunawaambia madereva wasiendeshe Kwa speed ni htari sana. Hiyo anasababisha mwenyewe vifo.

  • @loycenicolao7488
    @loycenicolao7488 Před 13 hodinami

    Jamani tuwe tunawaambia madereva wasiendeshe Kwa speed ni htari sana. Hiyo anasababisha mwenyewe vifo.

  • @Emmanuelnindwa
    @Emmanuelnindwa Před 13 hodinami

    Najiunga manisha na wrm mungu nisaidie

  • @bunzaristeven5772
    @bunzaristeven5772 Před 13 hodinami

    Huyu msoma taarifa anazingua

  • @rebeccamalumbosefyuko5380
    @rebeccamalumbosefyuko5380 Před 13 hodinami

    sasa mama wakati kwanan umluhusu kurudisha kwake

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Před 13 hodinami

    Ndani ya police kuna vitengo aisee yaani kuna jamaa wawili hapo wamesokota nywele utadhani ni wavuta bangi ukiwakuta mtaani kumbe ni maaskari aisee.

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd Před 9 hodinami

      Hao wapelelez wanafung ndevu

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 Před 9 hodinami

      @@VeronicaAdam-lx8yd wanafuga ndevu na kusokota nywele,ndo maana sipendagi kuropoka kwa watu nisiyo wajuwa

  • @rebeccamalumbosefyuko5380
    @rebeccamalumbosefyuko5380 Před 13 hodinami

    ushatan ulimuingia

  • @rebeccamalumbosefyuko5380
    @rebeccamalumbosefyuko5380 Před 13 hodinami

    duh

  • @HezekiaChilongola
    @HezekiaChilongola Před 13 hodinami

    Kijana Hana baya kbx

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola Před 14 hodinami

    Pingu Moja watu 3

  • @user-fp5to3bu4s
    @user-fp5to3bu4s Před 14 hodinami

    Sidhan kama waliitaji ulinz wowote mngewaachia2 wananchi wakawachoma moto

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před 14 hodinami

    Mnaua mtoto kweli kwanini na nyie msiuwawe

  • @RoseMziray
    @RoseMziray Před 14 hodinami

    Wèwe mtangazaji kuwa makini wanne wapi ujui kitu

  • @user-gh4mg2wn8y
    @user-gh4mg2wn8y Před 14 hodinami

    Wanyongwe hao kenge..

  • @GaudiosFilbert-fy7bq
    @GaudiosFilbert-fy7bq Před 14 hodinami

    Maandiko yalishasema aliyeua kwa upanga auawe kwa upanga sioni kwenda mahakamani wakati kila kitu kipo wazi nikupoteza makaratasi na kusumbua majaji tu

  • @Sanuamedia007
    @Sanuamedia007 Před 15 hodinami

    Wanyongwe

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini Před 15 hodinami

    Wewe mbomba wa nne vip na tisa

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 Před 15 hodinami

    Inalilah wainalilah polen wanafamilia pamoja na jamaa

  • @PendoSanga-t2d
    @PendoSanga-t2d Před 16 hodinami

    Chuma hiki

  • @edwardseluyange8426
    @edwardseluyange8426 Před 16 hodinami

    Hapo sawa!

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani Před 16 hodinami

    Yani hawana huruma kabisa mnapomuuwa mtoto mpaka kufa na kumkata baazi ya viungo vyake yani roho zenu zipo vipi mashetani nyingi na baba unashiki bado kuumuua mtoto wako roho yako ipo vipi wewe shetani mkubwa mnyongwe tuu muone raha ya kuua nini

  • @MussaMudde
    @MussaMudde Před 17 hodinami

    Umeongea true kbs wachezaji wa kibongo awapewi thamani