Manabii ni wazamani leohii dini ni biashara maharamia na majambazi yamefungua makanisa kuwaibia watu bila ya wao kujijua. Someni alama za nyakati msipende sana miujiza huko ndiko mnapopigwaaa amkeni amkeniii eee. Ila wajingandiyo waliwao sikuzote
ZEMBWELA , omba Mungu kila siku. Maana hapo ndiyokwako, maana .Gen- Z. Wanataka Elimu. Diamond anasaidia watangazaji. kama WEWE. CROWN Media watakupa GETI, ndiyo nafasi talô.
Hawa jamaa wana COLLABO fln very unique in TZ 😂😂
Afrika kinachotusumbua sio kukosa elimu, kinachotusumbua ni ujinga na umasikini.
Mjinga anaelimika sisi Tuna upumbavu
Ila Kitenge🤣🙌,bora muwafichuee
Wapenda miujiza
😂😂 acha wanyooshwe si wasenge wanataka miujiza awataki kazi
😅😅😅😅
Taifa lina angamia kwa kukosa maarifa
Leo Leo ❤❤❤ 1
Vibanda vya waganga hakuna tena vichakani Sasa vimehamia makanisani
jaman mbona mnawasema sana wakusanya kodi mnataka na wao wasipate riziki
Asee mm nlshapigwa 250,000 niljuta mnoo alaf pesa iyo nilmkopa mtu daah
Hooo 😂
Hahahahahahahahaha
Yaaaan nyie
Yote ayo kutokana na kukosa elimu na umaskini uliokithiri
Kweri viumbe wangu wanaangamia kukosa maarifa
Je! Hayo maji yanupoko wanalipia kodii? Sere kuu ali Yende ikakusanyebkodi huko sio kutuona wanyonge.
Duuu we've lost...
Eti Mndewa aliongea na MUNGU HAHAHAHA
awamanabii wengi niwezi wanajua mbinu zakuuzatu nahawaripi kodi
NDIO MAANA WAKRISTO WANAZIDI KUA MASIKINI KWA KUDANGANYA 🤣🤣🤣
WAKINA NANI WANAZIDI KUA MATAJIRI
Hayajawakuta..
Wajanja hua tunwazoom tu
WAHUMINI SIKU HIZI WAMEKUWA MAVAMPAYAA
DINI NA SIASA ZINALIPA NCHINI ZA AFRICA
MPAKA ULAYA WANASEBENZAAAAAA😅😅😅
Upuuz na wizi
Leo hizi habari za moto
Nyie mseme baadhi hata.nyie ni bidhaa za Mondi
Hamna jipya..nyie ni bidhaa tu..
hawa jamaa wanafujo sana
😅😅😅
Wezi wanakuw exposed, 😁 wameshaanz kujisafisha.. mwengine anasema Abraham kalaani watu weusi wao wamepona!!
Na kwani pafu moja baraka masaa mangapi? 😂
Mbona hamuwataji wanasiasa
Walimtaja Mpina na Bashe
Manabii ni wazamani leohii dini ni biashara maharamia na majambazi yamefungua makanisa kuwaibia watu bila ya wao kujijua. Someni alama za nyakati msipende sana miujiza huko ndiko mnapopigwaaa amkeni amkeniii eee. Ila wajingandiyo waliwao sikuzote
😂😂😂 Acha wapigwe wajinga ndo waliwao vipofu wa akili
Wez ..........wajinga ndo waliwao hahahhaa
😂😂😂😂
Hamjaumwa nyie ndio maana mnasoma
Na wao wanatumia ugonjwa wako kukupata
Je ukiumwa ao manabii feki ndo wanaponya?😂😂😂wajinga awato isha Duniani, wangekua wanaponya ivi Hospital zingekua na wagonjwa kweli!!
ZEMBWELA , omba Mungu kila siku. Maana hapo ndiyokwako, maana .Gen- Z. Wanataka Elimu. Diamond anasaidia watangazaji. kama WEWE. CROWN Media watakupa GETI, ndiyo nafasi talô.
Kwaio liama Aly anaelimu kubwa na nimtangazaji wa hapo unapopataja?
Acha chuki,tafuta hela....unataka kumzarau bcz unamjuwa kwenye comedy
Huyu mburula bado anaamini Elimu ndio Taaluma
Wajinga ndio waliwao wacha wadanganywe wavivu kusoma maandiko