KMC FC 1-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 12/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Azam FC imeendelea kuifukuzia nafasi ya pili kwenye ligi baada ya ushindi wa mabao 2-1 leo dhidi ya KMC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa Azam Complex, Chamazi.
    Magoli yote matatu yamefungwa kipindi cha kwanza, akitangulia Yannick Bangala dakika ya 11 kabla ya KMC kusawazisha dakika ya 15 kupitia kwa Wazir Junior.
    Goli la pili na ushindi limetoka kwa Gibril Sillah dakika ya 37 ya mchezo.
  • Sport

Komentáře • 35

  • @pvansong_tz4690
    @pvansong_tz4690 Před 17 dny +2

    Mechi nzuri sana hii🎉

  • @chumshaame
    @chumshaame Před 16 dny +3

    Nyie watanzania mnarohombaya haiwezekanwi mzanzibari mumuite mlaurojo wakati nyie mukija forodhani mnapangana kule ilakwauwezo WA mungu kiatu mwakahuu cha feitoto mutaka musitake

  • @fabianmihafu697
    @fabianmihafu697 Před 17 dny +3

    Huyu Silah ni mzuri sana kwenye kupunguza mabeki na finishing

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 17 dny +1

      😂😂😂 kolozsugar anawafaa Sana atawasaidia uyo mbavu chasambi 🤣 mbavu silla au kibu

    • @joxamorekarisma
      @joxamorekarisma Před 16 dny

      Simba inabidi tumuibee bonge la wingaaaa uyooo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 16 dny +1

      @@joxamorekarisma winga mbona mnao wa kutosha ...
      Yupo ludvock chasambi
      Yupo Edwin balua
      Yupo Saleh Karabaka
      Yupo kibu Denis
      Yupo saidoo ntibanzokiza
      Yupo Luis miquissone
      Yupo Onana Esomba
      hata clotus Chota Chama
      anaweza kucheza winga pia au mnatak winga mbirimbi....

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Před 17 dny +1

    Je kwanini azam hawachezi lafu hatarishi kama walizokuwa wakicheza walipocheza na yanga?maana yake ile ilikuwa maelekeza maalum

  • @omarbushir
    @omarbushir Před 16 dny

    Point 3 muhim💙

  • @user-mf9bj5uo8b
    @user-mf9bj5uo8b Před 17 dny +1

    Wala uroho wachague moja nafasi ya pili au ufungaji bora

  • @bellenoe414
    @bellenoe414 Před 7 dny

    Huyu kipa atulize wenge😢

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x Před 17 dny +7

    Alhamdulilah mla urojo hajafunga inshaallah dua kwa kii kesho afunge inshaallah

    • @ibrackibrahim6909
      @ibrackibrahim6909 Před 17 dny

      We nikuma tu

    • @Adrext
      @Adrext Před 17 dny

      Afadhari kwa kweli mla urojo asifunge tushikilie kamba akipata penat ateleze avunje miguu kenge huyu

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d Před 17 dny

      Acha matusi Sasa hapo unatukana nn?​@@ibrackibrahim6909

    • @user-cz9zu7ur1h
      @user-cz9zu7ur1h Před 16 dny +2

      Kumbe mbaumia akifunga fei bc mnashida😅

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d Před 16 dny

      @@user-cz9zu7ur1h We kolokwinyoooo Bado unatoa na komenti bila aibu Yanga bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @bellenoe414
    @bellenoe414 Před 7 dny

    😅😅😅😅😅😅😅😅kipa kanichekesha😅😅 sijui amitaka kuingia awe mchezaji 😅

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Před 17 dny

    Hawa azam hawana mpango na nafasi ya pili ndio maana walimwachia ushindi kaka yao

  • @user-jz8ir6mh5m
    @user-jz8ir6mh5m Před 16 dny +1

    Kmc atuna kipa apa

  • @user-qi2dt9nm1k
    @user-qi2dt9nm1k Před 16 dny

    Apo kolo kazi anayo

  • @hsgsnzvznzgsndg
    @hsgsnzvznzgsndg Před 16 dny +1

    Kipa wa azam kadaka nnje ya box

    • @bellenoe414
      @bellenoe414 Před 7 dny

      Azam makosa ya team yao wanajikaushaga😢

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 Před 17 dny +2

    Kipa wa azam mbn hkupatiwa red card kw kosa la kushik mpira kwa mkono nje ya box ?

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 Před 16 dny

    Ila huyu sira huyu daaah

    • @joxamorekarisma
      @joxamorekarisma Před 16 dny

      Gibrill ni bonge la wingaaaa....simba inabidi tumuibee

    • @davidpeter8099
      @davidpeter8099 Před 16 dny

      @@joxamorekarisma kabisa mwanangu ni mtu na nusu