Video není dostupné.
Omlouváme se.
TAZAMA WACHINA WANAVYOPIKA CHAKULA CHA KITAZANIA
Vložit
- čas přidán 16. 05. 2019
- Aisha na Mume wake Akko ni Raia wa China ambao wamejichukulia umaarufu kwenye mji wa Guangzhou kwa uwezo wao wakuongea Lugha ya Kiswahili na Kupika vyakula vya Kitanzania na Mgahawa wao wameupa jina la Tanzania.
Safi kabisaaa hicho ndicho kiswahili anachokipigia debe mhe.magufuli kinakua duniani kote
Inapendezana
Kama umesikia jina la Rais Magufuri gonga like
Manshallah Aisha. So amefunga hata hajavaa shungi. Maskin mdogo2 ataweza uislam. Nimependa Aisha kuwa muislam
Safi sana yan halaf unakut mtz anajifany hajui kiswahili washenzi kbs
Yaan wagen wanasamin lugha milimbuken sasa ikiwa ugenn hatakiswahl hawaongei
@@butondodavid2105 yana jifanya kizungu mbele shwain yan huw nakerek bac tu na ndo maan rais wa chin hat akiend nchi yyt anaongea lugha yake na si nyingn asa Tz yet sas majanga😂😂😂
@@queengee988
Wapuuzi
Huwa wana niboa kiukweli bhasi tu Mamy 😱
😁😁😁love you tz love you kiswahili
arie Sikiaa anapika kuku samaki firigisi like zangu
Huyu Demu akikaa bongo wiki mbili tu ataongea kiswahili zaidi ya profesor kabudi....
Jamani tuwachangie ticket za kwenda Tanzania...mchina bwana..hongerini sana. Wafanya kazi as Ubalozini wanafaa kuwa tembelea😊
Hahahaaa!
Hiki kiswahili ni nomaaaa! Nimefurahi sana
Maasha Allah Aisha muislam😘
Wow Tanzania is very famous in China 🇨🇳
Napenda Ayo tv, sana hongereni sana
Duuu kajifunza kiswahil hata kufika ajafika ongera sanaaaa
Mtangazaji unapomuhoji mtu kama huyo uwe unaongea taratibu sana ili akuelewe na ajifunze zaidi kutoka kwako.
That's true bro
Nikweri maana kunaswali limempita
mhojiwaji mwenyewe yuko moto kujibuuuu
😂😂😂😂😂 nimecheka Sana Hawa wachina kiboko
@@hawamkamba2407 😆😆😆😆😆
Safi kama umesikia Kuku kinyenzi Gonga like twende sawa
😅😅🤣🤣🤣😃
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Mungu yuwakuona🤣🤣👌
Tekita. Bei😂😂😂😂😂😂😂
AISHA UKO VIZURI KWENYE KISWAHILI
Nmewapenda mnoo pia kwa sababu wanapika vyakula vzuri syo vinyoka nyoka hapana
maa shaa Allah nimeipenda sana Tz juuu
Ayo tv mko mbali xana duuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mimi pia funga hamna kula
Hamdulillah nimeipenda sana mimi funga hamna kula halafu wewe mzaliwa kwenye uislamu unakula mchana wa ramadhan bila udhuru wowote unazidiwa na aisha mchina huoni haya?
😂😂
Safi friend of tz mnatia moyo nchi nzuli sio kupenda vita na maandamano ovyo badae maisha yanakua magumu
Chinese are really very cool. We call it inculturation. They speak african language and eat african food cooked in african way. Waouh! Bravo. Welcome to Afrika.
Maashaallah Muslim 🙏🙏
MUNGU nisaidie siku Moja ikukupendeza niende hii nchi ya china MUNGU nisaidie Mimi🙏🙏🙏🙏
Mtangazaji uko vizuri sana mana watu wengi huwa wanakiona kiswahili hakina diri umeona wakina aisha wamejifuza kiswahili wana piga helatu
hongera sana AISHA nimekukubari sana
Moja mme moja mke, safi sana. Nimeipenda
Kama umesikia dona sembe napika gonga like
NIMEWAPENDA SANA HAWA WA WATU WAPO VIZURI SANA NINGEKUWA NA UWEZO WA KUFIKA CHINA NINGEKWENDA NIONJE MAPISHI YAO NIMEFURAHI SANA KUONA WANAONGEA KISWAHILI VIZURI SANA NA HAWAJAWAHI KUFIKA TANZANIA I LOVE YOU ALL CHINESE PEOPLE SO MUCH WELCOME TO TANZANIA MWUAAAAAAAA!
Bradha miradi ayo unapamba kwelkwel unaitangaza kaz yako hongeraa sanaa
Kaka angu unajikaza kucheka sana 😂😂😂😂
Mashaa Allah muislam dah
Safi sana nimeipenda
It soo awesame....
Ooh my god swahiili China 💖💖💖💖💖💖💖🙏🇹🇿🇨🇳👏👏🇴🇲
Safi sana hawa watu wanajitahidi kujifunza lugha yetu kweli nimeamini wana upendo wa kweli
hamsinyii😂😂😂😂
TANZANIA juu hapana chezea
Amazing nilicho jifunza kutumia fulsa
Daa nime penda ucheshi wa dd Aisha safi Sana mungu aku zidi shie
Kwa vile anamjua jina rais MAGUFULI
Kwa heshima hii rais magu engemualika huyu Aisha tz.
Ni heshima kubwa walilolipatia taifa hili la TZ mpaka kumjua jina rais.
MUHESHIMIWA RAIS NAOMBA HUYU MAMA WENGEMSAIDIA KUKANYAGA TZ
NA PIA KUWA MGENI WAKO NA WATZ WOTE KWA JUMLA
Tuache uvivu tufanye kazi fulsa zipo nyingi bongo,vijana mnachagua kazi mnachotaka ni kubofya bofya simu zenu na kuzurura ovyo alafu mdondoshewe pesa tutachelewa xana,Enx ayo tv kwa kutuletea mambo mazuri
Safi sanaaa
Big up sana milard ayo wachina saizi wamekua kwa rugha
Iyo kari khaaaa 😂😂mchina kavunja rekodi
Aisha uko vizuri hongera dada kwa kujuwa kiswahili
Aisee, tujifunzeni kichina....kinasaidia sana ukikijua.
Vizur sana hii story ni exposure nzur
Mashallah mashallah mashallah mashallah Aisha
China bado wanatumia Rambo 🤔🤔🤗😂😂Toto mbili mume n.a. mke...hongeraa sana aisha
Mashallah she is very nice lady ❤👌💕💕
Asante saana bint
Dah nmefurahi sana ajawai kufika tz lakini anajuwa vizuri kiswahili
Safi sana mchina
Aki yamung Tanzania nchi pendwa
Nimekupenda cn aisha
Watanzania mnakwama wapi wanaume kupsaidiana na mke kupika mama tilie , mko radhi mkae vijiweni kupiga swaga mchana ukifika unaenda kwenye banda la mkewako kula tena ukikuta hata wateja ww ndo unataka uhudumiwe haraka wakati hulipi
Wanaudhi sio Sir ujanja wa kipuuzi tuuu msaada hakuna pumbu zao hao
Elizabeth Joseph haswa
Nic
Safi sana Aisha
Safar hii nikifika China nitawatembelea Hawa jamaa.
Nichukue na mm! 😓😓
Nasikia Raha Sana💕💕💕💕💕💕
😍😍Karb tz aisha
nimefungua miaka bili hapa..hihihihiiii umejitahid aisha
Kumbe kuku wa kienyeji wapo
Mashaallah
duuuh mchina nomaaa
Nimetaman dona hilo jmn😋😋😋
Wow
Mashallaaaaaah Aisha
Aisha nimekupenda ujawai kifika tz lakin unsongea kiswahili vizr wadada wa tz wenyewe wanakwambia kiswahili awakijui yan wanaboa kwel uko ndy mkataa kwao mtumwa
Wapigaji tu hao
Wanajifanya kizungu kwa wiiiiingi!!!
Ukizubaa imekula kwako
😀😀kiswahili kinachanja mbuga duuh
karibu again chin
Mashallah
Good job
ila nilicho jifunza wenzetu huwa hawaachi fursa. aisha huyo kama ni huku kwetu huyu ni mama ntile kabisaaa wa kitaa, lkn kajiongeza kaenda kusoma kiswahili ili ahudumie wateja wake lkn kwetu huku anaye jifunza kichina ni tour guide lkn kwa mama ntile kibongo bongo bado sanaaaaa japo kuwa wachina wako kibao wanafanya shughuli za ujenzi. watanzania tujifunze kitu kutoka kwa AISHA kujiongeza ni kitu muhimu sanaaaa
Kweli kabisa ndg yangu
Magufuli ana julikana hadi China
Wewe eeeeeeeeeeeee gooooooooooood China
karibu sana kwenye dini yako ya asili Msalimie sana kaka Jet lee
Haha hahahaha ....mnachekesha sana
Safi sana dada
Unamuliz A anajibu H 😂😂😂😂Watangazaj poleni
Hongera Aisha
Kwa kasi hii wachina wameshaiteka dunia nzima. The future is exciting.
Ambrose Kituyi wamesha taker over dunia American hawajajuwa tu ila soon they will see most countries will start using the dollar and that will be the end of it
Harafu eti vijidada huku vinajifanya havijui kiswahili
Kweeeli utakuta vi english viiiiiiingi
Ukiwachunguza sana hao utagundua ni vipigaji tuu
😂Umeonaee
Umeona 🤣🤣🤣
Si vijinga tu
shikamoo kiswahili, mi nilidhani kawahi kukaa mbagala maana anatiririka kiswahili hadi raha.
Unazaliwa chikundi huko alf kesho ukihojiwa unafnya hujui kiswahili aiseeee 😂 bongo n kwikwi jmn mweeeew
Safi sana
Daah wanaume kam huyu mme wa aisha wa kusaidiana kaz hiv tz hawapo yan daaaahh🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
unakaa wapi?
😂😂😂😂wakufa vita vya pili
Mi nipo dada angu ....japo sijapata wa kupika nae .....
😂😂😂kila mtu anamajukumu yake wewe utaenda kazini kumsaidie
Nipo mma
Kazi ipo 😝😝😂😂nimecheka
Huo uguli uwe mgumu basi maana kuna wasukuma huku wakija huko kama ugali laini watamaliza sufuria nzima walai
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umetisha et watamaliza sufuria
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😅😂🤣😂😅🤣😂
Kweli kabisa maan ugali unaonekana laini laini hatari
Jamani
👏👏
Hamshinyi Hhhhh nmeshjua kmbe kichna
I like the way she talks
Ayo naomba mm nifike uko niwasaidie tufike mbali kwenye bishara jaman
Mchina ametisha sanaa
Hahahahahahahahaha unachekeshaaaaa we we mchinaa
Mbavu zangu jamani😂😂😂😂paspo hamna janani😂😂😂
safi Sana, Sasa unawakuta watanzania wajifanya hawajui kiswahili eti aonekane kingereza kimemuathiri hovyo 😂😂
🙏🙏😍🤩🤩
Meini mombe jaman
@Kay Ji 😅😅😃😃😃
Aisha kiswahili chako cha privet kwelii 😂😂😂gonga like nyingi nyingi kwa Aisha
Watanzania mwe macho.Mtapikiwa Mbwa na Nyoka