KUTANA na AMRISH PURI -MZEE wa MIAKA 53 ALIYEFUNGWA JELA AKIWA na MIAKA 12 KISA UJAMBAZI -INATISHA..

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 05. 2024
  • KUTANA na AMRISH PURI -MZEE wa MIAKA 53 ALIYEFUNGWA JELA AKIWA na MIAKA 12 KISA UJAMBAZI -INATISHA....
    Kutana na Athuman Swedi Mkazi wa Babati mkoani Manyara mwenye umri wa miaka 53 Ambaye alifungwa jela Akiwa na miaka 15 tu kisa Ujambazi wa kutisha
    Athumani Swedi Anasema Aliànza kufanya ujambazi akiwa na Miaka 12 pekee na alikamatwa mnamo mwaka 1982 akiwa na wenzake watatu na kufanikiwa kutoka jela mnamo january ya mwaka 2011
    Yapo matukio mengi Ya kutisha ambayo aliyafanya akiwa na umri mdogo ikiwa ni pamoja na kufanya ukatili kwa mama mjamzito, tukio ambalo analijutia sana hivi sasa
    Hata Hivyo anasema Maisha ya Jela Yamemfunza mengi Ijapokuwa Anajutia Kile ambacho aliamua kufanya kwa sababu kimemuaribia maisha yake na kumfanya hivi sasa kuishi maisha ya kimaskini
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 42

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před měsícem

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @mishimtambo4684
    @mishimtambo4684 Před měsícem +2

    Ukikaa jela muda mrefu akili inadumaa kwanza huo mwaka 1982 nakumbuka tulikuwa tunakimbiza gari la ugawaji

  • @user-bp4vy6ui4p
    @user-bp4vy6ui4p Před měsícem +1

    Mzee wacha ni lete beseni na maji uklie tuone uko kunavuja huko manake ulikua mke jela😂😂😂

  • @starjay3052
    @starjay3052 Před měsícem +2

    umakini mwingi kwenye ugawaji nimeupenda 💵💰🤜🤛✅🌍✈️

  • @Gallo_Decoration
    @Gallo_Decoration Před 16 dny

    Hamjawah kuuwa lkn nyiny ni wauwaji...Yan Mama mjamzito mnampa adhabu hadi ujauzito unatoka...yani mlikuwa watoto lkn msio nahuruma hata chembe..hivo vifungo viliwastahili wala hamkuonewa

  • @sirsalumlipipajr9413
    @sirsalumlipipajr9413 Před měsícem

    1982 Rais wa nchi alikuwa Baba wa taifa, Mwl. JK Nyerere na sio Mzee Mwinyi kama msimuliaji anavyosimulia lakin pia inafikirisha kusema by that time mchunga mbuzi alipwe 20k kwa mwezi.........anyway au bas

  • @aziza9093
    @aziza9093 Před měsícem +1

    Kaz zr

  • @meshack3266
    @meshack3266 Před měsícem +2

    Du kweli umasikini imejipatia mwenyewe miaka yote iyo but onger kwa kukubaliana na hali na kutojihusisha na maovu

  • @kaifajuma6790
    @kaifajuma6790 Před měsícem

    Kwamiaka hiyo hayo malipo ya 20.000.kwamwezi hayakuwepo kwa mchunga mbuzi huo nimshahara wamtumishi kabisa

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 Před 27 dny

    Huyu akili ana halafu muongo kuna vitu anaropoka tu hata ajui anadanganya

  • @user-zb8mk6kt2b
    @user-zb8mk6kt2b Před měsícem

    Kima cha chini mishahara 1982 serikalini 600 huyumuongo na sheria ya kifungo miaka30 kilikuwa haipo

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Před měsícem +1

    ASANTE MZUNGU MATOPE NA KIZUNGU CHAKO 😂😂😂😂

  • @manfredherman2898
    @manfredherman2898 Před měsícem

    Iv mwandish uyu anadanganywa live amekaa tu

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Před 29 dny

    Pole sana umepata mjukuu sio mtoto

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 Před měsícem

    Huyu ni muongo alisoma akiwa na umri gani kuchunga mbuzi miaka 8 darasa la kwanza alianza akiwa na umri gani, 20,000/ ilikuwa nyingi sana ananogesha maongezi

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Před měsícem +1

    Hili zee liongo Sana 1982 raisi alikuwa mwinyi 😂😂😂😂

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 Před měsícem

      Kuna kusahau na wearer utafikirinini jela 30 😮😮😮

  • @MswadikuOmary
    @MswadikuOmary Před měsícem

    Duh

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Před měsícem

    Mwongo mwongo sana huyu

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 Před měsícem

    AK 47 HAIKUWEPO NA ULIKUWA UNALIPWQ 20000?

  • @robertmtaliki7885
    @robertmtaliki7885 Před 27 dny

    Muongo sana haiwezekan rais awe mwinyi mshahara 20elfu anadanganya

  • @user-mo3ik6go6r
    @user-mo3ik6go6r Před měsícem +2

    1982 rais nyerere sio mwinyi

    • @kaifajuma6790
      @kaifajuma6790 Před měsícem

      Huyu mzee nimuongo hapakuwa namalipo ya 20.000 kwamwezi huo mshahara niwamtumishi mkubwa serikalini

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 Před měsícem

    Umenikumbusha Oldeani mwaka 1988 kwenye mashamba ya kahawa tulikuwa tunalima miraba tunalipwa pesa inaitwa noma ni kijidude fulani, wazungu wenye mashamba alikuwa anaitwa MICHAEL GERKEN

  • @samkoka3
    @samkoka3 Před měsícem

    Muongo sana huyu

  • @manfredherman2898
    @manfredherman2898 Před měsícem

    Muongo 😢

  • @LameckAntontupa-zy1rw
    @LameckAntontupa-zy1rw Před měsícem +2

    Hata hapo kwenye mshahara 20000 mwaka 82 ni uongo

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 Před měsícem

    Huyu kapoteza kumbukumbu 82 raisi bi Nyerere sio mwinyi

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 Před měsícem

      Af 82 Analipwaje Elf20!,
      Wakat 20 Ya 82 ni Saw na milion 2 Ya Sasa😂

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 Před měsícem +1

      Rais alikua nyerere mwinyi kaanza mwaka 85 mpaka 95

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Před měsícem

    Huyi akamatwe jamabazi haachagi kazi yake

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 Před měsícem +4

    Huyo jamaa muhogo sana 1982 hakuna mtu alokuwa anaweza kupata 20000 maana 1986 mshahara mkubwa ulikuwa ni kati ya 1200/ kawadangaye watoto wadogo