SHEIKH MTOTO AMPINGA DR SULLE KUHUSU MAJINI - ATOA TAMKO ZITO KUHUSU MAFURIKO YANAYOENDELEA - AELEZA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 05. 2024
  • SHEIKH MTOTO AMPINGA DR SULLE KUHUSU MAJINI - ATOA TAMKO ZITO KUHUSU MAFURIKO YANAYOENDELEA - AELEZA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 433

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před měsícem +17

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Před 28 dny +22

    ALLAH akupe umri mrefu mwanangu kipenz.Akuepushe na hasadi za kila aina.

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 Před 29 dny +80

    Kuna wanawake allah amewabariki matumbo yao wanazaa watoto wazuri namna hii mashaallah kwakweli nami namuomba allah abarik tumbo uzao wangu kama hivi hongera kwawazaz wake 👏

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Před 28 dny +29

    YAA ALLAH nijaalie kizazi changu au hata wajukuu zangu wafuate nyayo za Ramadhani au hata zaidi yake.Hakika wewe hujibu duwaa za waumini Aamiyn Yaa Rabby

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 Před 20 dny +5

    MashaAllah M'mungu amlinde huyu sheikh mtoto na maadui wa kilimwengu. M'mungu ampe Elimu zaidi inshaAllah .

  • @user-pi4cb1vt9y
    @user-pi4cb1vt9y Před 27 dny +15

    Namuoza binthi angu mwanaid aki maliza shule amfate kenya mashallah kijana yupo vizuri.

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Před 27 dny +11

    MashaAllah MashaAllah Allah amkuze vyema amuepushe na hasad huyu mtt mzuri wallah ni mtt ila ni MashaAllah maongez yake japo mengine ni kama mtt ila wallah anabusara wazaz wake wamepata mtt MashaAllah Tabarrakallah❤❤❤❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Před měsícem +18

    Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu amzidishie umri mrefu wenye afya na furaha na amuondoshee husda za binaadam na majini. Insha'Allah.

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 Před 17 dny +4

    Mashaallah Mashaallah ☝️Allah azidi kukuongoza kukuwezesha 🤲🤲🤲 bi idhnillah in shaa Allah ❤❤❤

  • @adandida5727
    @adandida5727 Před 27 dny +11

    MashaAllah huyu mtoto ana hikma, Allah amzidishie na amjalie umri mrefu

  • @user-lu5js8lv2n
    @user-lu5js8lv2n Před 16 dny +4

    Yarabi nakuomba na mm nipate mtt mwenye kukujuwa ya rabi❤❤

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Před 14 dny +2

    Ma sha allah
    Sheikh ramadhani Allah akujaalie umri mrefu wenye taqwa na baraka ndani yake
    Allah awabariki na awahifadhi wazazi wako

  • @khadijabalolwaeuphrasie3488

    maa shaa Allaah tabaarak Allaah
    Allaah akujaaliye ilmu yenye manufaa duniani na kesho Aakhera
    Allaah akuhepushe na riyaa
    nakupenda mwanangu kwa ajili ya Allaah
    Allaah azidi kukuhifadhi kipenzi

  • @MerryBlanna
    @MerryBlanna Před 20 dny +5

    Mashallah ALLAH akuepushe na vishauwishi pamoja na vijicho venye husda na akujalie maisha marefu ynye busara

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9c Před 25 dny +6

    Allah atulinde na hasad za viumbee n Allah akupe umr umrefu na elumu yakher y Dunia nakhera pia, Ammin

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 Před 28 dny +10

    MASHAA ALLAH !.. ALLAH ! AZIDI KUKU HIFADHWI . 🙏🙏😭♥️♥️♥️♥️

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Před měsícem +11

    Jaman mwanangu Ramadhan Habib kienzi chetu Allah akuhifadhi yarab Allah akuongoze na ww utuongoze

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 Před 25 dny +4

    MashaAllah Sheikh Ramadhan... Mwenyezi Mungu akulinde na Akuzidishie In sha Allah Taallah 🤲🤲🤲

  • @rasulihamadi9733
    @rasulihamadi9733 Před měsícem +37

    Mtoto mdogo anabusara zaidi ya mashekh wetu wazee

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 Před 26 dny

      MTOTO UMBO TU HUYU LAKINI ANAKITU KIKUBWA NDANI KINACHOONGEA KUPITIA UMBO LAKE LA UTOTO.
      INGIA NDANI SANA UTAELEWA TU.

    • @saidiomari708
      @saidiomari708 Před 14 dny

      Allah hampi kila mtu hivi vipawa na busara kama hizi ndio maana hata mitume na manabii walikuja kwa uchache hili kuonyesha utukufu wake.

    • @opujejoshmahjoshmah1432
      @opujejoshmahjoshmah1432 Před 7 dny

      Waamanisha kilicho ndani ni Q72​@@mashramadhani1989

    • @abdallaawadhomarOmar-os3cn
      @abdallaawadhomarOmar-os3cn Před 3 dny

      MaahaAllaah

  • @SalmaShabani-mq6tc
    @SalmaShabani-mq6tc Před 2 dny

    MashaaAllah kwakweli hivi wazazi wake wanajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo,Allah akujaalie mwanangu umri mrefu uzidi kuwa mfano kwa wenzako🤲🏼🤲🏼

  • @user-yx3qr9nf1l
    @user-yx3qr9nf1l Před 26 dny +6

    Kabisa ,mambo ya urefu Allah ndio anajua❤❤❤

  • @muhydinaden552
    @muhydinaden552 Před měsícem +8

    Interview ilikuwa sawa mpaka ulivyomtaja huyo hayawani lakini alhamdulillah sheikh amelika hilo suala wazi mwenye akili yatamfaa....Allah amuhifadhi sheikh Ramadhani aweze kusoma dini kupata ilmu zaidi na kuelimisha umma...Aamiin.

  • @user-fp9ei8gg8s
    @user-fp9ei8gg8s Před měsícem +6

    Insha allah mungu akuzidishie elim
    Na hekima busara na akupe umri
    Mlefu uzidi kutufikishia daawa amina

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 Před 29 dny +4

    MashAllah tabarakallah,Allah ampe umbri mrefu zaidi huyu sheikh' wenye barka tele..na pia ampe elmu zaidi aweze kutuelimisha sisi wanadamu .wallahy ni furaha sana kujaaliwa kupata mtoto mwenye barka na Tena mwenye kipaji kizuri maisha Cha kuwa mwalimu wa dini au sheikh..! Allah amlinde kijana huyu mdogo Kwa kila Shari,amiin ya Rabb 🤲🤲..

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 Před měsícem +4

    Mashaalah,hekima nyingi na busara,na kumtanguliza mungu zaidi ,na kumpa mungu nafasi yani taqwa,sio jambo dogo,wapo waliokufuru miongoni mwa masheikh wakubwa kwa kuamini nyota na pete za Kijini, hakika wamekufuru,Allha amjalie mtoto huyu ktk kujulisha watu ktk utukufu wa Mungu zaidi.

  • @user-qe3fs1xc3b
    @user-qe3fs1xc3b Před 29 dny +9

    Wallahy najiskiia rahaaaaaaaaaaaaaaa.MashaALLAH.moyo wangu unasuuzika wallahy.Mwenyezmungu akueke umri twawil na uzidi kusimama kwenye njia hii sahihi . Yaa rabby waongoze pia watoto wetu majumbani mwetu wawe kwenye njia sahihi ya. dini na uwaepushe na mitihani mizito .

  • @BonaDonard
    @BonaDonard Před 26 dny +3

    Nakupenda Sana mwanangu mungu akulinde nakilabaya duniani munguakuweke duniani miaka 200

  • @abdillahiabdallah7530
    @abdillahiabdallah7530 Před 22 dny +2

    tuseme barakallahu fiyk mashallah ni kwa ajili ya neema uliopewa bnafc aliopewa mwenzio muombee Allah ambariki

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Před 14 dny +1

    Allah amuajalie huyu mtoto kheirat zaidi.mashallah

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b Před 29 dny +5

    Wallahi hy mtt hana baya mungu ani jalie namimi nipate watt kamahy inshaallah🌹🥀🙏🙏🙏

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Před 28 dny +4

    Mashahalla mwenyezi mungu akujarie maisha marefu na mwisho mwema

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 Před 28 dny +4

    Bismillah mashallah tabaraqa RAHMAN ALLAH ATUJAALIE tuwe wenye kufaulu amin

  • @babraadhiambo5456
    @babraadhiambo5456 Před 25 dny +2

    Allah akuhefadhi sheikh Ramadhan .. akuepushe na hasad mdogo wangu

  • @mamilooutukufu3516
    @mamilooutukufu3516 Před měsícem +28

    Mungu nijalie nipate mtoto kama uyu daaaah yuko vizur kuliko hata watu wazima ana hikima na busara yan uyu kashushwa siyo kwa hekima hiz alizonazo

    • @samxx411
      @samxx411 Před měsícem +6

      Amin ila na ww zidisha ibada ujipendekeze kwa Allah

    • @thedon8467
      @thedon8467 Před 29 dny

      AMEEN

    • @furahaabonga6642
      @furahaabonga6642 Před 29 dny +1

      Mtoto anaeamini majini et wapo wanaohabudu Mungu

    • @jumasalimo6360
      @jumasalimo6360 Před 28 dny

      Amin

    • @samxx411
      @samxx411 Před 28 dny

      @@furahaabonga6642 wewe elimu huna utajuwa nini unadhani

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Před 28 dny +2

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi pmoja wazazi wake pmoja mashekh zake❤❤❤ Allah akuhifadhi sheikh wg Ramadhani

  • @user-fp1gc7gf3y
    @user-fp1gc7gf3y Před měsícem +14

    Jaman LIKE kubwa ❤❤❤❤❤
    Tu like

  • @user-yx6lc6om9b
    @user-yx6lc6om9b Před 11 dny

    ❤❤❤ mashaallah hongera yarabi nijalie kizazi chema chenye kheri na mm🙏🙏🙏

  • @PonamaliMtanzania
    @PonamaliMtanzania Před 4 dny

    Mwenyezimungu akujalirie maisha malefu apa duniani

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Před měsícem +15

    Allah akuhifadhi na majitu yenye hasadi na akujaalie uwe sheikh mkubwa wa kuongoza watu wamjue Mungu wao ameen.

  • @ngendishahaasha6438
    @ngendishahaasha6438 Před 24 dny +1

    MashaAllah MashaAllah, Allah Akukuze na akuzidishiye ilmu

  • @denisnathan5632
    @denisnathan5632 Před měsícem +6

    Mashallaah ❤️ mungu akupe umri mrefu inshallaah 🙏

  • @leilamuhaji7945
    @leilamuhaji7945 Před 26 dny +1

    MashaAllah TabarakaRahman. Allah akulinde na akuonhoze ktk taqwa daima🤲

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 Před 28 dny +5

    Masha Allah sheikh ramadhan

  • @hassandinhoosmail6378
    @hassandinhoosmail6378 Před měsícem +1

    Masha'Allah. Sheikhuna Ramadan. Allah akupe Umri mrefu na afya njema.🙏🙏❤️❤️❤️

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 Před 24 dny +1

    Allah azidi kukuongoza sheikh ramadhan na akulinde na hasad na jamii islam inshaallah

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m Před 27 dny +2

    mashaAllah tabaraqa raahman Allah akuzaidishie umri mrefu ili tupate mafunzo ya daawa

  • @hasnaissah8500
    @hasnaissah8500 Před 23 dny +1

    MashaAllah allah akulinde shekh Ramadhan

  • @dulapele7868
    @dulapele7868 Před 17 dny +1

    mashallaha Allah akulinde na husda

  • @AbdallahFahm
    @AbdallahFahm Před 9 dny

    Mashallah allah akubarik

  • @samxx411
    @samxx411 Před měsícem +8

    Huyu kijana wallahi namkubali Allah amemrudhuku elimu ya dini

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 Před měsícem +1

    Maa Shaa Allah..
    وزادك الله علماً بالبركة والنفع

  • @CKMO
    @CKMO Před 8 dny

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤MashaAllah Allah akukuze na akuzidishie Afya na baraka na elimu ya juu kabisa Amin

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j Před měsícem +5

    Mashallah huyu ni sheikh wetu wa baadae

  • @LEOPARDMHILE
    @LEOPARDMHILE Před měsícem +22

    Daaa dogo nimemkubari ingawa mm mkristo utafika mbali

    • @sein.208
      @sein.208 Před měsícem +3

      Karibu sana kaka ktk dini ya Uislam

    • @AishaIddy-bt3rl
      @AishaIddy-bt3rl Před měsícem +2

      Allah Akuongoe Kabla Ya Mauti Yako

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Před měsícem +3

      ​@@sein.208kupenda kitu simpaka uwe mwisilamu mimi na fatilia sana makongangamano lakini bado siwezi kuhama dini nitakufa na msaraba wangu mungu ni yule yule

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 Před 29 dny

      Allah akuongoze njia ya haki

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p Před 26 dny +1

      Ndio miujiza ktk uislaam ndugu yangu mtoto mdogo anapewa elimu kubwa au mtoto WA miaka 10 au 12 kuhifadhi kitabu kizima Cha Qur-an juzuu 30,Mungu amefanya haya iwe miujiza kwa watu watambue njia yake hauwezi kushuka malaika WA mtume kwa ss ila ameieka miujiza midogo midogo kuwaonesha watu.

  • @user-xx9qt6ym6v
    @user-xx9qt6ym6v Před 23 dny

    mashaallah Allah akujaalie umri mrefu na akuzidishie elmu na akulinde na akukinge na kila shari Allah aongoze vizazi viwe kma Ramadhan Inshaallah

  • @salimjuma9450
    @salimjuma9450 Před 27 dny +1

    Maasha ana hekima wallahi MUNGU amzidishie

  • @user-tp5dn3jb9g
    @user-tp5dn3jb9g Před 27 dny +3

    Mungu wa mbinguni akupokee kwa mikono miwili

  • @MwanjaaSalim
    @MwanjaaSalim Před 20 dny +1

    Mashallaaa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před 28 dny +5

    Allah amemjaalia kipaji,vizuri wazazi wake wamtafutie sheikh wa kisunna akasome kwake

    • @KhalfaniFarisy-gj1dm
      @KhalfaniFarisy-gj1dm Před 25 dny

      HAPO UMENENA VEMA NDUGU. USALAMA WA DUNIANI NA AKHERA KUSHIKAMANA NA QUR,AN & SUNNAH. HUKO WENGINE MASUFI WATAMUHARIBU

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před 25 dny +1

      hakuna wa kisuna Wala masufi wote TU sasa hivi wamekuwa wajanja wajanja

  • @user-xg5is7mq1g
    @user-xg5is7mq1g Před 27 dny +1

    Allah aendelee kukuongoza na kukusimamia shekhe inshallah

  • @zahrambarouk8328
    @zahrambarouk8328 Před měsícem

    Mashaallah! Mwnyz Mungu azidi kukukuza ktk maadili hayox² mjukuu wangu nakuombea

  • @halimaibrahim2972
    @halimaibrahim2972 Před 25 dny

    Masha Allah Tabaraka Allah. Allah akuzidishie ilmu yako In shaa Allah

  • @abdulsalum9772
    @abdulsalum9772 Před 26 dny +1

    Allha akuongez katk kila la hri na akuepushie shari amini ❤❤

  • @omarkumbu3612
    @omarkumbu3612 Před 14 dny

    Masha ALLAH...... ALLAH amzidishie Insha ALLAH.

  • @NuruMokiwa
    @NuruMokiwa Před 13 dny

    Mwenyeenzimungu amjalie kijana

  • @MachanoMohdmachano-mo6xe
    @MachanoMohdmachano-mo6xe Před měsícem +13

    Huyu kijana ni Bora kuliko Mimi yaa Allah tuongowe na sisi tuwe waja wako wema na tuhifadhi inShaallah , nakupenda Sana Sheikhe Ramadhani

  • @rahoumkhatry3758
    @rahoumkhatry3758 Před 25 dny +1

    ماشاء الله تبارك الرحمن ❤

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Před měsícem +1

    MaashaAllah. Allah azidi kukuongoza

  • @alimaulid9543
    @alimaulid9543 Před 25 dny

    Masha Allah, Allah amuhifadhi na kila hasidi na ampe istigma ktk dini

  • @Swalahudintv
    @Swalahudintv Před 14 dny

    Allah amhifadhi kijana wetu na amjalie daawa yenye manufaa mbele ya Allah.

  • @fatmaZakiya
    @fatmaZakiya Před 29 dny +1

    Allah akuzidishie elimu sheikh, amiin ya Rabb

  • @MariamAsudi
    @MariamAsudi Před 28 dny

    Allah amuongoze katika safari yake ya dunia na akhera shekh Ramadhan 🤲🤲🤲

  • @d.family.choir1799
    @d.family.choir1799 Před 26 dny

    Mwenyezi Mungu akulinde sana katika dunia iliyo halibika

  • @sarahmana2663
    @sarahmana2663 Před 16 dny

    MashaAllahu tabarkaallahu

  • @FatumaZuberi-ln1cl
    @FatumaZuberi-ln1cl Před 25 dny +1

    Endeleya shekh wangu❤❤

  • @SaidiNjanga-ks1qp
    @SaidiNjanga-ks1qp Před 23 dny

    Mashaallah shekhe Ramadhani Allah akuhifadhi ln sha Allah

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el Před 22 dny

    Mashallah sheikh amekuwa sasa mwenyezi mungu ampee umri mrefu

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Před 22 dny

    MaashaaAllah! Allah amhifadhi.

  • @mhawasadik5483
    @mhawasadik5483 Před 29 dny +3

    Masha Allah mungu ampe umri zaidi

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 Před 25 dny +1

    Mashallah sheikh Ramadhan ❤

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Před 17 dny +1

    Masha'Allah

  • @user-td8bp9kz8d
    @user-td8bp9kz8d Před 24 dny

    MashaAlla Allah akuhifadhi

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Před 14 dny

    Ma sha allah
    Sheikh ramadhani Allah
    Akubariki na akuhifadhi

  • @EagerRedRose-ee6xr
    @EagerRedRose-ee6xr Před 24 dny

    MaashaaAllah tabarakaAllah ❤❤ Allah akuhifadhi❤❤🎉

  • @MalakMalak-nb9xp
    @MalakMalak-nb9xp Před 24 dny

    MashaAllah 😘 Allah akuzidishie

  • @abiomar1652
    @abiomar1652 Před 23 dny +1

    Mashaallah mashaallah

  • @BaitonBayser-cm8bu
    @BaitonBayser-cm8bu Před 21 dnem +1

    Nampenda sana uyu🇧🇮

  • @AdowIbrahim-ck3vp
    @AdowIbrahim-ck3vp Před 5 dny

    Masha Allah good

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Před 28 dny +1

    I love you so much my young brother❤❤❤ well come in Zanzibar at Jambiani

  • @sharifaluwole3102
    @sharifaluwole3102 Před 3 dny

    MashaAllah ❤❤

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 Před 16 dny

    Maashallah❤

  • @SaadiaOmar-xd6qg
    @SaadiaOmar-xd6qg Před 22 dny

    Mashaa, Allah, Allah amuhifadhi, Ameen thumma Ameen

  • @MirajiHanza
    @MirajiHanza Před 14 dny

    Mashaalah

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 Před 18 dny

    Mashallah

  • @MasudiAthumani-kx7ye
    @MasudiAthumani-kx7ye Před 23 dny

    Jazaka llahu lkhair

  • @fatmaabdallah-sg1rk
    @fatmaabdallah-sg1rk Před 24 dny

    Mungu akusimamie zaidi

  • @UmmyHafsah
    @UmmyHafsah Před 12 dny

    ❤❤ mashaallah tabarakallah

  • @user-hj2ff9zt6m
    @user-hj2ff9zt6m Před 21 dnem

    ALLAH AKUZDSHIE MDG WNG AKUONGOZE ZAID KTK KHER

  • @user-qv3xp1fd4u
    @user-qv3xp1fd4u Před 15 dny

    Maashaallah

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Před 29 dny +3

    MASHAA. ALLAH kuhusu majini kajibu vizuri sana haifai kushirikiana na majini kwa lolote hata km ni majini mema

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw Před 28 dny

      Mmh mbon nambi sulaiman aliwamiliki na akafanya nao kz akawatuma we nae

    • @hassanomar1041
      @hassanomar1041 Před 27 dny

      ​@@nikrahayubu-sz3pwndio maana ukamuita nabii Allah amewapa kipaji flani kueza kuwamiliki lakini sisi binadamu wa kawaida nafsi zetu dhaifu sana hatuezi kuwamiliki labda watudhuru au uwadhuru wenzio kupitia wao. Basi ndio tukaambiwa tusishirikiane nao kwa lolote

    • @hassanomar1041
      @hassanomar1041 Před 27 dny

      ​@@nikrahayubu-sz3pwndio maana ukamuita nabii Allah amewapa kipaji flani kueza kuwamiliki lakini sisi binadamu wa kawaida nafsi zetu dhaifu sana hatuezi kuwamiliki labda watudhuru au uwadhuru wenzio kupitia wao. Basi ndio tukaambiwa tusishirikiane nao kwa lolote