PRE-SEASON TUTAFANYIA WAPI?/TAREHE YA SIMBA DAY NI LINI?/SEMAJI AHMED ALLY AWEKA WAZI KILA KITU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 06. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC CZcams Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • Sport

Komentáře • 125

  • @Economically-Growth-Musicians

    Bs hiyo Simba tuje Tukiwashe hapo, Muziki Mnene na Vipaji vikubwa zaidi from EGM🎉🎉🎉🎉 Simba tz changamkieni fursa hii

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Před 7 dny +22

    Can't wait Simba inapochukua ubingwa na kufika nusu fainali huyu mwamba akiwa msemaji naona atakuwa bonge kama msechu anaipenda Simba from the bottom of his heart

    • @adrianorayner6551
      @adrianorayner6551 Před 7 dny +1

      Na labda asichukue huyu mwamba , akih watakomab😂😂😂

    • @humphreymamuya4105
      @humphreymamuya4105 Před 6 dny

      Jee ni kweli imeondolwa mashindano ya klabu bingwa Afrika ? Na simba kupewa hiyo nafasi? Tujuze semaji letu asante

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx Před 4 dny

      Yupo kazini broo maan Simba ndo inayomuweka mjini hata Manara alikuw hivyo

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Před 3 dny

      @@brunoh_bx ni kweli yupo kazini ila huyu mwamba tangu akiwa Azam TV kazini alikuwa anaonesha mapenzi yake kwa team

  • @MichaelMsigala-pv7gx
    @MichaelMsigala-pv7gx Před 2 dny +1

    Naamini simba bora inakuja

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l Před 7 dny +5

    Simba nguvu moja

  • @user-if7pt1pr6l
    @user-if7pt1pr6l Před 12 hodinami

    We are going to be the hero of the next competition ❤❤ SIMBA NGUVU 1

  • @SharonF21
    @SharonF21 Před 7 dny +5

    All the best myteam❤🦁

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 Před 5 dny +1

    Nilichukia simba yangu asilimia 💯 ila kwa Habari hizi njema MO +MAGORI +BARBRA GONZALEZ ❤ALHAMDULILLAH 🇹🇿🇦🇪

  • @herykavuka
    @herykavuka Před 7 dny +4

    Go simba sports club

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws Před 7 dny +2

    Kabisa kabisa. Ahamed Ally apewe na uongozi hasa kwenye usajiri. Awe Semaji na Kiongozi. Nakumbuka tulikuwa na kocha mchezaji Hassan Afifu na SSC ilifanya VEMA.

  • @mogan-tz
    @mogan-tz Před 7 dny +4

    Msemaji tunae ila viongozi ndo ushuzi huyu angekuwa hata mjumbewa bodi basi naiona simba ya moto vibayabmnoo Kwan nini asiwe msemaji alafu akawa na mwenyekiti wa bodi

  • @SalmaChamy-tg4bo
    @SalmaChamy-tg4bo Před 7 dny +4

    Mimi nashauri mbaki hapa hapa msimu huu

  • @user-eq9ki8tk4s
    @user-eq9ki8tk4s Před 4 dny

    Nakukubali sana semaji

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970

    mkijisahu tuu huu mwaka tena watawafunga miguu tenawachezaji wote Upande wapili wameandaa kamati maalum kwaniaba ya kuwalibu wachezaji wote nawakumbusha kuweni makini Sana

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania Před 7 dny +7

    Semaji la caf 👏👏👏👏

  • @josephnobashi3223
    @josephnobashi3223 Před 6 dny +1

    Nadhani morogoro bigwa pana faaa sana karibuni moro town

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Před 7 dny +2

    Fanyeni yote leteni wachezaji wazuri tu hao juma mwiko watanyamaza wenyewe

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 Před 6 dny

    Pre season nje hauna tija zaidi ya hasara tu. Mlishakwenda sana na kutunia gharama kubwa ila mwisho ni hasara tu na pesa na matokeo ya timu. Fanyeni hapa hapa

  • @promisehezron706
    @promisehezron706 Před 7 dny +2

    Maneno hayo ungekuw unawashauli hata viongz huko kwenye mikutano yenu bs tungefika mbali

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws Před 7 dny +3

    Pesa itumike kusajiria wachezaji jamani! Dah! Mbona wale wafuga vyula na Mbu huwa hawaendi na wanafanya VEMA?

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t Před 7 dny +1

      Umesahau kutaja moja wanavuga hata simba wala majani pia usijzime data tabu iko pale pale

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 Před 6 dny

      Bila ngungu kutoka hatununui jezi hata

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 Před 6 dny +1

    wabak tz au waende Zanzibar ilikupunguza gharama zisizo za msingi

  • @imanmasawe749
    @imanmasawe749 Před 6 dny

    Zanzibar nisehemu sahihi sana kwa Simba kwanza watatengeza platform nzur ya wanachama na mashabiki pia nisehem nzur sana kwa kambi

  • @amtv3860
    @amtv3860 Před 7 dny +1

    🦁🦁

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Před 6 dny

    Bora Timu baking Tanzania kuliko kwenda nje kupoteza pesa nyingi bila tija

  • @SeifKarata-fr7dv
    @SeifKarata-fr7dv Před 6 dny

    Nendeni lushoto hali ya hewa Safi pia mazingira mazuri sana

  • @edwardlenga7961
    @edwardlenga7961 Před 5 dny

    Simba nguvu moja, tushikamane

  • @user-nl3vl4kn9g
    @user-nl3vl4kn9g Před 6 dny

    Unapaka siyagi,jam pilipili,chumvi,sukari,ndimu, washabiki hawataki porojo hizo wanataka foootball🔥

  • @benchris7580
    @benchris7580 Před 7 dny

    Tanga kuzuri sana kwa pre Season

  • @amjadikihongosi1135
    @amjadikihongosi1135 Před 7 dny +3

    Mbebwe zimeaza hiyo hela nibora mkafanyia usajiri

    • @Imanibroadcast24
      @Imanibroadcast24 Před 7 dny

      Kajifunze kusoma kwanza

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 Před 7 dny +1

      Nakuandika maana badala ya kusema usajili unatuandikia usajiri😂😂

  • @emanuelshilla6368
    @emanuelshilla6368 Před 6 dny

    Nguvuu mojaa

  • @elistarish
    @elistarish Před 6 dny

    Msiende pre season nje ya nchi,mi naona pigeni tizi kwenye vwanja vya mikoani mana ndo ua tunapoteza point mle

  • @HospiaceMata
    @HospiaceMata Před 16 hodinami

    Waende Tu nje wakafanye pre season coz just like a tour

  • @jeremiahgwimo8711
    @jeremiahgwimo8711 Před 7 dny

    Pre-season na wachezaji gani sasa😂 *Simba yanguuuu*

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Před 7 dny

    Hiyo Lushoto ndio yenyewe, Mkishindwa kabisa Basi Arachuga full accommodation..😂😂😂😂

  • @user-li4nd5ox3y
    @user-li4nd5ox3y Před 6 dny

    Mangungu atoke ahmed ally akae hiyo nafas na usemaj aendlee anaweza sana huyu mwmba

  • @DannyGold1996
    @DannyGold1996 Před 7 dny +3

    Huyu jamaa ahmed ally ningependekeza awe mwenyekiti wa simba sports club baadae ,he gas charisma

  • @kilianmtotowamungu3885

    Bakini hapa hapa tz

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 6 dny

    👊👍✌️.

  • @iskhakahaji
    @iskhakahaji Před 7 dny

    P endekezo langu Zanzibar

  • @aliasabakari9925
    @aliasabakari9925 Před 7 dny

    Binafsi napendekeza simba ikaweke kambi lushoto, kuna mazingira mazuri yenye utulivu na hali yake ya hewa ni nzuri kwa ajili ya kuandaa timu itakayoweza kushindana kwenye hali ya hewa yoyote

  • @user-ui2qd2gl9i
    @user-ui2qd2gl9i Před 7 dny

    Lushoto pata faa sana hali ya hewa saf mazingira mazuri

  • @fuad_fx_
    @fuad_fx_ Před 7 dny

    Hakuna haja ya kwenda huko bakini hapahapa
    Mnaenda nje kisha mnakuja na mambo ya maajabu

  • @paschalalexphoto9620
    @paschalalexphoto9620 Před 6 dny

    Ahimedi good best

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Před 7 dny

    Jamani jamani mangungu atoke hatumtaki akibaki jezi hatununui pia kola za jezi mbaya

  • @evaristusmakota8308
    @evaristusmakota8308 Před 4 dny

    Uzur wa huyu mwandishi wa Simba TV hamwin Ahmed daima anamcheka

  • @user-kv6li2ij6u
    @user-kv6li2ij6u Před 6 dny

    Nguvu moja

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh Před 6 dny

    Mh Ally Nakutabiria kuja kuwa kiongozi Mkubwa hapo Baadae

  • @abdallahluhinda
    @abdallahluhinda Před 5 dny

    Semaji la caf usiniache nataka kuja kuimba mashairi ya Simba yetu Niko mwanza.

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 Před 7 dny

    Wewe prisizon nn toa viongoz wabovu kwanza

  • @DaudSlungwe
    @DaudSlungwe Před 7 dny

    Ila wanasimba msemaji tunae

  • @DaudSlungwe
    @DaudSlungwe Před 7 dny

    Mubaki hapa hapa alusha

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Před 5 dny

    Tubaki bongo tuandae bonanza tualike tim mbili au tatu za nje tuache kutumia gharama kubwa baadae hizo gharama zinawekwa kwenye mapato na matumizi

  • @RotiSimwanza
    @RotiSimwanza Před 6 dny

    Jaman timu yetu yot

  • @RichieKidesela
    @RichieKidesela Před 7 dny

    Mm nashauli mbaki ichini2

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Před 7 dny

    Hilo tatizo,tuambieni mapema mnaficha nini michezo wa wazi huu

  • @NdiheSigaro
    @NdiheSigaro Před 11 hodinami

    Nashauri usajiri uwe mzuri na mtuletee wachezaji bora na walio na uzoefu wa mechi za afrika! Isihe kua tena porojo tu.

  • @patrickkilongo3214
    @patrickkilongo3214 Před 7 dny +1

    Mtaalam wa utani karud ,,,, our comedian his back , ahmed😇

  • @ramadhanmnembuka1408
    @ramadhanmnembuka1408 Před 5 dny

    Waje Ruangwa Lindi Mipango lafk IPO Vzur

  • @joachimkalungwana8654

    Uache ujinga wa kusifu sifu mambo kupita kiasi halafu yote unayoyasifu yanakuwa hasi hatutami tena

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Před 7 dny +1

    hatutakj

  • @HajiOmari-mv2bc
    @HajiOmari-mv2bc Před 4 dny

    Acheni ukhanithi kwenda uturuki cjui sauzi afrika alafu timu inakuja Kua mbovu izo habari msilete

  • @KareemMohamed-jh9bz
    @KareemMohamed-jh9bz Před 23 hodinami

    Kikubwa tuna itaji team bola na kikosi kipana

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 Před 7 dny

    Atujii uwanjani mpaka mangungu atoe nyooo nyinyi

  • @user-ic4cg5fx2f
    @user-ic4cg5fx2f Před 4 dny

    Mwaka huu Tusiende Uturuki.

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 Před 7 dny

    Mipango iyo anapnga nani😂😂😂😂na tuko kwenye mgogoro na mangungu

  • @albertisrael5879
    @albertisrael5879 Před 6 dny

    Juma mgunda apewe timu

  • @Johnmalekela
    @Johnmalekela Před 7 dny

    Ahamed ali mh naona kama tuwe siliasi kidogo yani tuwe kijanjaja mh maana pale kwa jirani wana watu sana

  • @MalikiPanga
    @MalikiPanga Před 5 dny

    Vizuli semaji letu tunakupenda

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 7 dny

    Hakuna mnachokisema hapo na kikatimia.

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 Před 7 dny

    Mangungu ni kirusi pale simba

  • @KigesoKigeso
    @KigesoKigeso Před 5 dny

    Mbona wachezaji walewale au

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b Před 7 dny

    Jezy mtanunua wenyewe msimu huu🐕‍🦺🐕‍🦺🐕‍🦺

  • @othinielfrednand5243
    @othinielfrednand5243 Před 6 dny

    Ajabu jamaa anasemea baadhi ya content ambazo sio uhalisia wa clabu yao

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 Před 7 dny

    Isidingo imeanza

  • @oneegraphy8285
    @oneegraphy8285 Před 7 dny

    amuendi tena uturukii hahahhaa

  • @user-tf7dd1jb3n
    @user-tf7dd1jb3n Před 3 dny

    nendeni handeni mkaugue funza

  • @abdallahsaidi5933
    @abdallahsaidi5933 Před 7 dny

    😂Ahmed jembe letu tuko pamoja

  • @minahismail9515
    @minahismail9515 Před 6 dny

    Yebox2 tulieni mnyama afanye kufuru..

  • @user-ok3mb5ux8p
    @user-ok3mb5ux8p Před 6 dny

    😂😂😂❤❤❤

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania Před 7 dny +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏

  • @SojephShabani-bd6nw
    @SojephShabani-bd6nw Před 7 dny

    Iringa

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 Před 6 dny

    Uyo mangungu anasubir nin atak afie umo?

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania Před 7 dny

    Utapeli tuu wabaki bongo maf faida

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Před 7 dny +3

    Mangungu asibaki tunachotaka usajiri bora sio bora usajili tunahitaji

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 Před 7 dny

    Tumefanya kampeni nchi nzima tususe kununua jezi mpaka mangungu na bodi yake wajiuzulu

  • @SwalehIsmail-vg7nw
    @SwalehIsmail-vg7nw Před 6 dny

    Kunguru 😂😂😂

  • @lameckyohana1101
    @lameckyohana1101 Před 4 dny

    Simba damudamu

  • @user-gu4mx2no8y
    @user-gu4mx2no8y Před 4 dny

    Huyu mwamba hakosei kuongea na anaipenda Simba mno

  • @joelsaganya4077
    @joelsaganya4077 Před 7 dny +2

    Hakuna haja ya kupeleka team nje, kwanini uingie gharama kisha mtu anasema anapata hasara, ni upuuzi wa hali ya juu.

  • @user-ld6fy2fi5s
    @user-ld6fy2fi5s Před 6 dny

    Uturuki ni laana kwa simba nendeni bunju tu ujinga wenu ni kuharibu pesa tu na hakuna lolote

  • @HospiaceMata
    @HospiaceMata Před 16 hodinami

    Huu msimu wanasimba tunaenda kuyaondoa majonzi yote mana usajr si wakawaida.

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Před 5 dny

    Unaendaje kuweka kambi nchi za barid na ukirudi bongo ni joto kali hapo ni kutalii tu

  • @orestaley2242
    @orestaley2242 Před 7 dny

    Wabeki hapa hapa ,afu mashabiki hawana shauku kbc wamechoka ko nyie bakini hapa hapa kwani amna chochot

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Před 5 dny

    Kama uko nje kuna biashara mnapeleka au mnafuata sawa lakin kama ni kambi bongo

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l Před 7 dny

    hulaya gundu sisi tunapo kwenda ulaya uku tuna waacha yanga wana dili na malefa wote timu zote waganga wote tuwe makini langu ilo wame tuwini apotu tubaki tuone kama kimimi muongo tubaki tudili nao

  • @mogan-tz
    @mogan-tz Před 7 dny

    Kambi twenzetu kalatu

  • @IsmailHussein-vq4gj
    @IsmailHussein-vq4gj Před 7 dny +1

    Karatu arusha

    • @flova7022
      @flova7022 Před 6 dny

      Huo mji unawarembo Tz nzima hkuna

  • @neemamshote9577
    @neemamshote9577 Před 21 hodinou

    Fanyeni yote ila Jobe lin mnampa senki you

  • @ProudNative
    @ProudNative Před 7 dny +1

    Nendeni mkaokoteze wachezaji tena, sisi kama wananchi tunawaahd 5 zngne

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb Před 3 dny

    Tumewazoea matapeli wetu

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Před 6 dny

    HUYO MANGUNGU ATOKE KABSA NDO WANASIMBA ANATUGAWA