Simba SC Tanzania
Simba SC Tanzania
  • 2 688
  • 82 104 405
MAKALA MAALUM YA TUNU HASSAN KWENDA KWA MZAMIRU YASIN 'KIUNGO PUNDA'
SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213
πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1
πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/
πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania
𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania
🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial
About the Official Simba SC CZcams Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
πŸ”΅πŸ”΄βšͺ #NguvuMoja #Wenyenchi
zhlΓ©dnutΓ­: 10 530

Video

BAADA YA ISRAH MWENDA NA MZAMIRU YASIN KUONGEZEWA MKATABA/AHMED ALY AMWAGA MAUA/"WATU WA MAANA"
zhlΓ©dnutΓ­ 26KPΕ™ed 2 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
AHMED ALLY: "WALIKUA WANAMVIZIA KIBU DENIS HAWAKULALA/USAJILI HUU UMEWAPASUA VICHWA WAVIMBA MACHO"
zhlΓ©dnutΓ­ 21KPΕ™ed 2 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
πŠπˆππ” πƒπ„ππˆπ’ πˆπ’ 𝐇𝐄𝐑𝐄 π“πŽ π’π“π€π˜ | πŠπˆππ” πŒπŠπ€ππƒπ€π‰πˆ ππ€πƒπŽ π˜π”ππŽ 𝐒𝐀𝐍𝐀 πŒππ€πŠπ€ 2026
zhlΓ©dnutΓ­ 4,5KPΕ™ed 2 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
πˆπ’π‘π€π„π‹ πŒπ–π„ππƒπ€ πˆπ’ 𝐇𝐄𝐑𝐄 π“πŽ π’π“π€π˜ | π“π”ππŽ ππ€π˜π„ πŒππ€πŠπ€ 2026
zhlΓ©dnutΓ­ 6KPΕ™ed 4 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
AHMED ALLY AFUNGUKA DILI LA INONGA KUUZWA/"NI KWA MASLAHI YA SIMBA NA MCHEZAJI/TUTAMKUMBUKA"
zhlΓ©dnutΓ­ 32KPΕ™ed 4 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
πŒπ™π€πŒπˆπ‘π” π˜π€π’πˆπ πˆπ’ 𝐇𝐄𝐑𝐄 π“πŽ π’π“π€π˜ | πŠπˆπ”ππ†πŽ 𝐏𝐔𝐍𝐃𝐀 ππ€πƒπŽ π˜π”ππŽ 𝐒𝐀𝐍𝐀 | πŒππ€πŠπ€ 2026
zhlΓ©dnutΓ­ 8KPΕ™ed 4 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
πŒπ„π‘π‚πˆ π‡π„ππŽπ‚πŠ πˆππŽππ†π€ ππ€πŠπ€ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” πˆππŽππ†π€ | 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 𝐒𝐀𝐍𝐀 πˆππŽππ†π€ ππ€πŠπ€
zhlΓ©dnutΓ­ 20KPΕ™ed 7 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
CHAMA MKATABA UMEISHA/SEMAJI AHMED ALLY AZUNGUMZA KILA KITU/"MAAMUZI YATAFANYIKA HIVI KARIBUNI"
zhlΓ©dnutΓ­ 46KPΕ™ed 9 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
AHMED ALLY: "AUBIN KRAMO ATAKUWA SEHEMU YA KIKOSI MSIMU UJAO WA 2024/25 | AMEPONA"
zhlΓ©dnutΓ­ 55KPΕ™ed 9 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
GOLI LA EDWIN BALUA KWENYE TAMASHA LA WAPE TABASAMU | MOROGORO
zhlΓ©dnutΓ­ 24KPΕ™ed 12 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
A-Z AHMED ALLY AZUNGUMZIA SAKATA LA LAMECK LAWI/"NI MCHEZAJI WETU/MSIMU UJAO WATU WATANENEPA"
zhlΓ©dnutΓ­ 98KPΕ™ed 14 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
PRE SEASON MSIMU HUU NI WAPI?/AHMED ALLY AWEKA WAZI TAREHE RASMI YA TIMU KUINGIA KAMBINI
zhlΓ©dnutΓ­ 55KPΕ™ed 14 hodinami
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: simbasc.co.tz/ πŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 πŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 πŸ”΅ Facebook: simbatanzania/ πŸ“Έ Instagram: simbasctanzania 𝕏 Twitter: SimbaSCTanzania 🎢 Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC CZcams Channel: Simba Spor...
πŠπ€π‘πˆππ” π”ππ˜π€πŒπ€ππˆ π‹π€πŒπ„π‚πŠ π„π‹πˆπ€π’ π‹π€π–πˆ | π–π„π‹π‚πŽπŒπ„ π‹π€πŒπ„π‚πŠ π„π‹πˆπ€π’ π‹π€π–πˆ
zhlΓ©dnutΓ­ 43KPΕ™ed 16 hodinami
πŠπ€π‘πˆππ” π”ππ˜π€πŒπ€ππˆ π‹π€πŒπ„π‚πŠ π„π‹πˆπ€π’ π‹π€π–πˆ | π–π„π‹π‚πŽπŒπ„ π‹π€πŒπ„π‚πŠ π„π‹πˆπ€π’ π‹π€π–πˆ
πŽππ‘πˆπ†π€πƒπŽ π‹π”πˆπ’ πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„ | πŠπ€ππˆπŒπ€πŒππŽ π‹π”πˆπ’ πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„
zhlΓ©dnutΓ­ 21KPΕ™ed 19 hodinami
πŽππ‘πˆπ†π€πƒπŽ π‹π”πˆπ’ πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„ | πŠπ€ππˆπŒπ€πŒππŽ π‹π”πˆπ’ πŒπˆππ”πˆπ’π’πŽππ„
π”π‘π€πŠπŽπ™π„ π’π€πˆπƒπˆ ππ“πˆππ€π™πŽππŠπˆπ™π€ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” π’π€πˆπƒπŽ | 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 𝐒𝐀𝐍𝐀 'π†πŽπƒπ…π€π“π‡π„π‘ 𝐖𝐀 ππ”π‰π”πŒππ”π‘π€'
zhlΓ©dnutΓ­ 12KPΕ™ed 21 hodinou
π”π‘π€πŠπŽπ™π„ π’π€πˆπƒπˆ ππ“πˆππ€π™πŽππŠπˆπ™π€ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” π’π€πˆπƒπŽ | 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 𝐒𝐀𝐍𝐀 'π†πŽπƒπ…π€π“π‡π„π‘ 𝐖𝐀 ππ”π‰π”πŒππ”π‘π€'
AHMED ALLY: "SAIDO NI MCHEZAJI ANAYEPENDA SANA KAZI YAKE/TUNAWASHUKURU BURUNDI KUMZAA SAIDO"
zhlΓ©dnutΓ­ 72KPΕ™ed 21 hodinou
AHMED ALLY: "SAIDO NI MCHEZAJI ANAYEPENDA SANA KAZI YAKE/TUNAWASHUKURU BURUNDI KUMZAA SAIDO"
AHMED ALLY KUHUSU 'THANK YOU' YA JOHN BOCCO/"NI HAZINA NDANI YA SIMBA SC/TUTAMKUMBUKA SANA"
zhlΓ©dnutΓ­ 18KPΕ™ed 21 hodinou
AHMED ALLY KUHUSU 'THANK YOU' YA JOHN BOCCO/"NI HAZINA NDANI YA SIMBA SC/TUTAMKUMBUKA SANA"
𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 π‰πŽπ‡π ππŽπ‚π‚πŽ | π“π‡π€ππŠ π˜πŽπ” 𝐋𝐄𝐆𝐄𝐍𝐃 π‰πŽπ‡π ππŽπ‚π‚πŽ | 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 π‚π€ππ“π€πˆπ
zhlΓ©dnutΓ­ 33KPΕ™ed dnem

#ONTHISDAY | SIKU KAMA YA LEO MWAKA 2022 TULICHEZA NA MBEYA CITY MAMBO YAKAWA HIVI
zhlΓ©dnutΓ­ 7KPΕ™ed dnem
#ONTHISDAY | SIKU KAMA YA LEO MWAKA 2022 TULICHEZA NA MBEYA CITY MAMBO YAKAWA HIVI
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI MO DEWJI AMTEUA CRESCENTIUS MAGORI MJUMBE WA BODI
zhlΓ©dnutΓ­ 39KPΕ™ed dnem
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI MO DEWJI AMTEUA CRESCENTIUS MAGORI MJUMBE WA BODI
MWAMBA WA LUSAKA CLATOUS CHOTTA CHAMA 'π‚π‡π€πŒπ€ 𝐁𝐀𝐁𝐀'
zhlΓ©dnutΓ­ 33KPΕ™ed dnem
MWAMBA WA LUSAKA CLATOUS CHOTTA CHAMA 'π‚π‡π€πŒπ€ 𝐁𝐀𝐁𝐀'
NAHODHA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE
zhlΓ©dnutΓ­ 1,3KPΕ™ed dnem
NAHODHA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE
HII NDIO SIRI YA UBORA GOLIKIPA WETU WA SIMBA QUEENS/CLEAN SHEETS ZAKUTOSHA/"NAMSHUKURU MUNGU"
zhlΓ©dnutΓ­ 1,4KPΕ™ed dnem
HII NDIO SIRI YA UBORA GOLIKIPA WETU WA SIMBA QUEENS/CLEAN SHEETS ZAKUTOSHA/"NAMSHUKURU MUNGU"
MAGOLI YOTE | SIMBA QUEENS {3} VS GEITA QUEENS {0} | LIGI KUU YA WANAWAKE
zhlΓ©dnutΓ­ 2,5KPΕ™ed dnem
MAGOLI YOTE | SIMBA QUEENS {3} VS GEITA QUEENS {0} | LIGI KUU YA WANAWAKE
AISHA MNUNKA MFUNGAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MAGOLI 20/SIKIA HAPA FURAHA YAKE BAADA YA MECHI
zhlΓ©dnutΓ­ 3,8KPΕ™ed dnem
AISHA MNUNKA MFUNGAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MAGOLI 20/SIKIA HAPA FURAHA YAKE BAADA YA MECHI
JENTRIX SHIKANGWA: "NINGEANZA MSIMU NA SIMBA QUEENS NINGEFUNGA MAGOLI MENGI/CECAFA TUTAFANYA VIZURI"
zhlΓ©dnutΓ­ 2,2KPΕ™ed dnem
JENTRIX SHIKANGWA: "NINGEANZA MSIMU NA SIMBA QUEENS NINGEFUNGA MAGOLI MENGI/CECAFA TUTAFANYA VIZURI"
AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUKABIDHIWA KOMBE/"TUNA BALAA VIBAYA MNO/UBINGWA BILA KUFUNGWA"
zhlΓ©dnutΓ­ 6KPΕ™ed dnem
AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUKABIDHIWA KOMBE/"TUNA BALAA VIBAYA MNO/UBINGWA BILA KUFUNGWA"
PRE-SEASON TUTAFANYIA WAPI?/TAREHE YA SIMBA DAY NI LINI?/SEMAJI AHMED ALLY AWEKA WAZI KILA KITU
zhlΓ©dnutΓ­ 74KPΕ™ed dnem
PRE-SEASON TUTAFANYIA WAPI?/TAREHE YA SIMBA DAY NI LINI?/SEMAJI AHMED ALLY AWEKA WAZI KILA KITU
USAJILI MPYA/WANAOPEWA 'THANK YOU'/WALIOONGEZA MIKATABA TAARIFA IPOJE?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY
zhlΓ©dnutΓ­ 85KPΕ™ed dnem
USAJILI MPYA/WANAOPEWA 'THANK YOU'/WALIOONGEZA MIKATABA TAARIFA IPOJE?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY

KomentΓ‘Ε™e

  • @godsonmbise
    @godsonmbise PΕ™ed 3 minutami

    Tutawakanda Tena mkono

  • @godsonmbise
    @godsonmbise PΕ™ed 12 minutami

    Tutawakanda Tena mkono

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 PΕ™ed 50 minutami

    Timu badala lifanye usajili mapema liko linatoa macho tu, kulipa tu hela ya usajili kwa lameck lawi hadi mjikokote weeee hadi mnakiuka makubaliano halafu mnaanza kulia kwa huruma, mnachoweza ni kutwa kugombana tu. Utahira mtupu! Ngojeni msimu uanze muanze kulialia. Safari hii mnashuka daraja pimbi nyie

  • @OnaiSabuni
    @OnaiSabuni PΕ™ed hodinou

    vip kocha tuttasajiri

  • @JumaDallei
    @JumaDallei PΕ™ed hodinou

    Mo wewe mkorofi kwanini umengoja tuumie?

  • @DeoctaBuchacha
    @DeoctaBuchacha PΕ™ed 2 hodinami

    Mgunda anafaa

  • @drdd774
    @drdd774 PΕ™ed 3 hodinami

    Sasa kibu Denis, msimu mzima goli 1, anayemnyemelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

  • @talazain1017
    @talazain1017 PΕ™ed 3 hodinami

    Kiungo Punda

  • @Shadia544
    @Shadia544 PΕ™ed 4 hodinami

    πŸ˜‚πŸ˜‚LEO 27/6 /2024 πŸ˜‚πŸ˜‚anaerudia raha hiii tujuane hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚siku hiii ilikuwa tamuu sanaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 PΕ™ed 5 hodinami

    Hii club ni ya kipumbavu sana. Huwa hamjui hata mnatumiaje social media zenu. Sasa hii ndo habari ya kuwapostia followers kweli? Naapa, yanga inaenda kuwa bingwa misimu mitatu ijayo. Labda Azam ndo waitoe lakini si simba ya wapunbavu hivi. Ndo tunapostiwa vitu vya kipumbavu namna hii????

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu PΕ™ed 5 hodinami

    Huyu baba Mungu amubarik sana

  • @ommymp9058
    @ommymp9058 PΕ™ed 5 hodinami

    Mzamiru yasin ni mzaliwa wa kijij cha mkabogo mkoani kigoma ila morogoro kakulia kwa baba yake mdogo mzee sadiki, AKA atakalo mola,kma unabisha nipe maana ya selemba kwa kilugha chochote morogoro(kiluguru,kikaguru,kipogoro na ametokea ukoo gani)

  • @emanuelsamwel999
    @emanuelsamwel999 PΕ™ed 6 hodinami

    Tupo field wananchi nani anaangalia haya marudio mwezi wa 6 hii😊

  • @Ndenza
    @Ndenza PΕ™ed 7 hodinami

    Ila kigoma asa wachezaj wa mkabogo sijui tunashida ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lunyamila Hadi Leo inaonekana ni wa shinyanga ,,,,,, na Mzamiru naye ety morogor duuuuuuh ila pow as tuko naye❀❀❀

  • @MatimbaBilinge
    @MatimbaBilinge PΕ™ed 7 hodinami

    Please kanut abaki jamn

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g PΕ™ed 8 hodinami

    Kiungo fundi

  • @user-ge6iu2sn1i
    @user-ge6iu2sn1i PΕ™ed 9 hodinami

    Allah, Kujituma , na bahati

  • @olengoko051
    @olengoko051 PΕ™ed 9 hodinami

    Wanao angalia marudio mwezi huu tujuane kwa like please

  • @ChrispinvicentyBensonny
    @ChrispinvicentyBensonny PΕ™ed 9 hodinami

    M2 anatembea2 mchezaj gor moj kwel

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 PΕ™ed 10 hodinami

    Ndio selemba mzamiru Yasin ni nyumban hila msisaaau kiungo bora adi akapewa aka kiungo punda congratulations Yasin

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 PΕ™ed 10 hodinami

    Hongera sana dada TUNU HASSANI kwa makala zuri kuhusu msamiru πŸŽ‰πŸŽ‰

  • @girbetpaul8309
    @girbetpaul8309 PΕ™ed 10 hodinami

    Wewe Tunu acha kupotosha, Mzamiru Yasini saidi selemba. Alizaliwa Kijiji Cha mkabogo kata ya kalizi tarafa ya kalinzi mkoa wa kigoma. Alisoma shule ya msingi mkabogo ila sekondari ndiyo alisomea morogoro. Baba yake mzazi na mama yake wanaishi kigoma Kijiji mkabogo kitongoji Cha luhinga. Chukuanhiyo

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 PΕ™ed 10 hodinami

    πŠπ”πŒππ„ 𝐓𝐔𝐍𝐔 𝐍𝐈 π’π‡π€ππˆπŠπˆ 𝐖𝐀 π’πˆπŒππ€ π’π€π…πˆ π—π€ππ€πŸ˜‚

  • @freudntanama7839
    @freudntanama7839 PΕ™ed 11 hodinami

    Ni kama sijasikia vizuri eti ni WA wapi vile?!! Moro au Kigoma?

  • @ramdhuabbakar1666
    @ramdhuabbakar1666 PΕ™ed 11 hodinami

    dada we hujui chochote mzamiru alianza kucheza polisi tanzania

    • @jumayusuf2684
      @jumayusuf2684 PΕ™ed 10 hodinami

      Andaa na wewe makala ya hicho unachokijua

  • @mwadinihaji1277
    @mwadinihaji1277 PΕ™ed 12 hodinami

    Nguvu moja

  • @AntonManyoni
    @AntonManyoni PΕ™ed 12 hodinami

    Mzamiru amezaliwa kigoma kata ya kalizi kijiji cha mkabogo kijiji alichozaliwa winga Edibili jonasi Lunyamila

  • @user-cz9me7mq9r
    @user-cz9me7mq9r PΕ™ed 13 hodinami

    Kiungo pundaaβ€πŸŽ‰

  • @user-cz9me7mq9r
    @user-cz9me7mq9r PΕ™ed 13 hodinami

    ❀❀

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd PΕ™ed 13 hodinami

    Good job❀❀❀

  • @AlexNoah-ks8we
    @AlexNoah-ks8we PΕ™ed 13 hodinami

    Kibu denga oyeee

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je PΕ™ed 13 hodinami

    Kwa ile mikimbio yake isiyo na faida

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford PΕ™ed 14 hodinami

    Hayo mapambo Yako tutayaona kaka ALLY

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 PΕ™ed 15 hodinami

    KABLA YA LIGI KUANZA TUWAFANYIE KINGA YA ALBADIRI WACHEZAJI WETU NA TUCHINJE SADAKA YA KONDOO HATA 7 AU VIROGO VINATUHUSU ❀❀❀❀❀❀ TUSICHEKE NA MAADUWI SIMBA OYEEEEEE ❀❀❀❀❀❀❀❀❀

  • @maendeleoleo2594
    @maendeleoleo2594 PΕ™ed 15 hodinami

    Namkubali sana Mzamiru

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk PΕ™ed 18 hodinami

    Mafanikio ya mpira yapo kwenye usajili mzuri kwahyo viongozi mjitahidi kusajili wachezaji wazuri ili tupate mafanikio 😒😒😒😒😒SIMBA NITA KUFA NAYO HATA SIKU NIKIFA NAOMBA NIZIKWE NA JEZI YA SIMBA πŸ’ͺ🏻❀❀❀❀❀❀❀❀❀😭😭😭😭😭

  • @khatibomary4132
    @khatibomary4132 PΕ™ed 18 hodinami

    Je!Ayoub na Chama watakua sehemu ya kikosi ?

  • @sultankiogolo
    @sultankiogolo PΕ™ed 19 hodinami

    Tunamtaka mayele bosi na kipre jr bos fanya ivo

  • @JosseSmoleli
    @JosseSmoleli PΕ™ed 19 hodinami

    Vp❀

  • @jofreymhagule7505
    @jofreymhagule7505 PΕ™ed 20 hodinami

    Nguvu moja πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 PΕ™ed 20 hodinami

    Anajitambua hy mzamiru ya sini

  • @DenyceMwesi-ws9hi
    @DenyceMwesi-ws9hi PΕ™ed 20 hodinami

    Mwamba kweliwel abak uyo

  • @FrankKaundaJr
    @FrankKaundaJr PΕ™ed 20 hodinami

    Mzamiru nimzariwa wa kigoma

    • @neemamshote9577
      @neemamshote9577 PΕ™ed 20 hodinami

      Tulia ndugu usichokijua mzamiru kwao ni morogoro ila wanaishi kigoma

    • @msolekaonlinemedia
      @msolekaonlinemedia PΕ™ed 11 hodinami

      @@neemamshote9577 wewe ndio hujui MZAMIRU YASSIN NI MUHA WA KIGOMA TENA VIJIJINI HUKO KARIBU NA BORDER YA BURUNDI, MOROGORO KALELEWA NA BABA YAKE MDOGO AMBAYE NDIYE ALIMPELEKA MORO KIDS NA BAADAE MTIBWA SUGAR

  • @awadhge-son1395
    @awadhge-son1395 PΕ™ed 20 hodinami

    Mbona imekua usiku sana

  • @tausigulam22
    @tausigulam22 PΕ™ed 20 hodinami

    Yes,its true

  • @manenokassimonlinetv5623
    @manenokassimonlinetv5623 PΕ™ed 20 hodinami

    Tunu Hasan shenkome nakubr

  • @alitante4279
    @alitante4279 PΕ™ed 20 hodinami

    Tunatk welcome za kigeni kesho jp moja tuu

  • @ArnoldJoely
    @ArnoldJoely PΕ™ed 20 hodinami

    Selembaa kiungo punda

  • @mohamedsaid8221
    @mohamedsaid8221 PΕ™ed 20 hodinami

    😊😊😊😊