PRE SEASON MSIMU HUU NI WAPI?/AHMED ALLY AWEKA WAZI TAREHE RASMI YA TIMU KUINGIA KAMBINI

SdĂ­let
VloĆŸit
  • čas pƙidĂĄn 20. 06. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    đŸ“± App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    đŸ“± App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    đŸ”” Facebook: / simbatanzania
    📾 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    đŸŽ¶ Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC CZcams Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    đŸ””đŸ”ŽâšȘ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • Sport

Komentáƙe • 184

  • @J.moo_jamali
    @J.moo_jamali Pƙed 6 dny +47

    Kama unaamini simba bingwa mwakani gonga likes kibao apa❀❀❀

  • @rehemamadaba8399
    @rehemamadaba8399 Pƙed 6 dny +27

    Simba yangu!! Chama langu Iwe jua iwe mvua!! Wachezaji wana enjoy wakiwa Simba hatuna madeni na hatujafungiwa na FIFA

  • @PauloSamweli-mt4pt
    @PauloSamweli-mt4pt Pƙed 6 dny +15

    Mungu atutangulie kwenye mandaliz ya timu yetu simba nguvu moja

  • @SipriangadrodMagola
    @SipriangadrodMagola Pƙed 6 dny +17

    Kuweka kambi ismaily SIO shida shida timu yetu iwe Bora
    #simbaguvumojađŸ’Ș

    • @godfreyfussy8360
      @godfreyfussy8360 Pƙed 6 dny

      Kitu kinaniumaga team pre season bila kukamilika wachezaji

  • @LUCASRAMADHANMASANJA
    @LUCASRAMADHANMASANJA Pƙed 6 dny +7

    Simba nguvu moja naipenda daima iwe Giza au mwanga leteni wachezaji wanaoendana na Simba msituletee wa mchongo

  • @MpembaRose
    @MpembaRose Pƙed 5 dny +2

    Jamani naipenda sana Simba yangu inaniumiza sana Kila la heri

  • @user-id5oc7hm4n
    @user-id5oc7hm4n Pƙed 6 dny +4

    Roho yangu Simba jamani❀❀

  • @EmmasonLewis
    @EmmasonLewis Pƙed 6 dny +4

    Mungu ibariki smba ,

  • @barakarichOfficial1
    @barakarichOfficial1 Pƙed 6 dny +9

    Aminia Chama langu simba 👑🩁

  • @ShaabaniAlRashidy
    @ShaabaniAlRashidy Pƙed 6 dny +1

    simba ❀nguvu moja insha allah tutakuwa imara zaid

  • @methodsedekia7123
    @methodsedekia7123 Pƙed 6 dny +2

    ❀❀❀ tunaipenda sana simba yetu msituangushe msimuu huu

  • @JustinLoseriani
    @JustinLoseriani Pƙed 5 dny +1

    ❀❀ I love you simba simba nguvu moja

  • @ZachariaHillary
    @ZachariaHillary Pƙed 6 dny +6

    Wapigaji wengi mno Simba.Unapata pesa husajili.Ukisajili unasajili wachezaji wa mafungu.Harafu utegemee Simba ya moto.Nyoooooo

    • @JohnKavula-xw7xl
      @JohnKavula-xw7xl Pƙed 6 dny +1

      Umechangia pesa ya usajili??đŸ€”đŸ€”đŸ€”đŸ€”đŸ€”

  • @SomekeAtanas
    @SomekeAtanas Pƙed 6 dny +8

    Usajili uwe wa nguvu mwaka huu tumeteseka sana jaman sio kawaida yetu kuteseka

  • @edgarlaurian-d8w
    @edgarlaurian-d8w Pƙed 6 dny +1

    Appreciate my team đŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’Șfrom Dubai, gonga like ❀❀❀

  • @GressAmon
    @GressAmon Pƙed 6 dny +2

    boss yupo kazin anae amin alike apa😊

  • @edgarlaurian-d8w
    @edgarlaurian-d8w Pƙed 6 dny +3

    NANI ANAAMINI SIMBA 🩁🩁🩁🩁 BINGWA MSIMU UJAO ,, GONGA LIKE KAMA ZOTE

  • @JuliusMThomas
    @JuliusMThomas Pƙed 6 dny +6

    Sijutii kuipenda Simba

  • @yohanamachei1581
    @yohanamachei1581 Pƙed 5 dny +1

    Kazi kazi hakuna kukata tamaa

  • @ZainaRamadhani-eg4nk
    @ZainaRamadhani-eg4nk Pƙed 3 dny

    Mungu atujazie neema kwenye timu yetu 2024/2025đŸ€Č🙏

  • @barakahamisi-234
    @barakahamisi-234 Pƙed 6 dny +3

    Lakn sio mbaya mnyama nguvu moja🩁🩁🩁

  • @SuleimanKali
    @SuleimanKali Pƙed 6 dny +1

    Simba nguvu moja

  • @sillabenitoofficial4706
    @sillabenitoofficial4706 Pƙed 4 dny

    ❀❀❀❀❀I love you so much simba yangu❀❀❀

  • @BlessAdili
    @BlessAdili Pƙed 6 dny +2

    No doubts about our team next season on " ubingwa" big up to our Chairman, and his cabinet 🎉

  • @Issa-y5s
    @Issa-y5s Pƙed 5 dny

    Nafurahi sana wana simba nguvu moja

  • @AdactusKatima
    @AdactusKatima Pƙed 6 dny +2

    Mnyamaaa nguvuu Mojaaa Daimaaa❀

  • @InnocentKagole
    @InnocentKagole Pƙed 6 dny +2

    Dua nyingi chama langu Nguvu mojađŸ’Ș

  • @RamanhoDossantos
    @RamanhoDossantos Pƙed 6 dny +3

    Simba nguvu moya

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw Pƙed 6 dny +2

    i love simba till i die❀❀

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr Pƙed 6 dny

    Saf nmefurah kuxikia tunaenda misiri isimalia ❀

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr Pƙed 6 dny

    Mungu ni mwema tumetesema sana tajili MO ametuxikia

  • @FakiHamadi-um4pp
    @FakiHamadi-um4pp Pƙed 6 dny

    Mungu atujaalie ubingwa heshma irudi

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 Pƙed 6 dny

    Nguvu moja❀

  • @MonicaMosha-bz6bz
    @MonicaMosha-bz6bz Pƙed 6 dny +1

    Simba hoyeeee

  • @MohamedSalehe-q5f
    @MohamedSalehe-q5f Pƙed 5 dny

    Simba nguvu 1

  • @nestoryvunja7509
    @nestoryvunja7509 Pƙed 6 dny

    I like ❀❀❀❀ Simba

  • @fadhilichibupa1160
    @fadhilichibupa1160 Pƙed 6 dny

    Pre season bila kocha mkuu,kama ndivyo mgunda ndo aendelee na timu mpka msimu ujao uishe ,haileti afya kama mtamtangaza kocha mkuu mwingine nje ya mgunda baada ya pre season itakuwa kichekesho sana

  • @Idrisaa-ko2iu
    @Idrisaa-ko2iu Pƙed 6 dny

    JAMA wanasimba wenzang popote mlipo duniani tuungane tuijenge Simba mpya
    Simba nguvu mmoja

  • @MonicaMosha-bz6bz
    @MonicaMosha-bz6bz Pƙed 6 dny

    Naipenda simbaaa❀

  • @JawaBakari
    @JawaBakari Pƙed 6 dny

    Nendeni Mungu awatangulie

  • @babumohamedi2205
    @babumohamedi2205 Pƙed 6 dny +1

    Kocha!!!

  • @RobertDaudi-vh4ff
    @RobertDaudi-vh4ff Pƙed 6 dny

    ❀❀❀❀❀simba

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania Pƙed 6 dny

    Simba nguvu moja đŸŠâ€ïžđŸ’Ș

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Pƙed 6 dny

    SIMBA NGUVU MOJAâ€â€â€đŸŽ‰đŸŽ‰đŸŽ‰

  • @user-id5bm6ff2z
    @user-id5bm6ff2z Pƙed 6 dny

    Simba yangu ❀❀❀❀❀

  • @RashidyMichael
    @RashidyMichael Pƙed 6 dny

    Nguvu mojaaaađŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’Ș

  • @AlanMdemu-ui9gg
    @AlanMdemu-ui9gg Pƙed 6 dny

    ❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀ naamini hivyo

  • @blessingskawelu9965
    @blessingskawelu9965 Pƙed 6 dny +1

    Siku nyingine uje utwambie kwamba Ngunguz ameiachia Simba

  • @petermathias2734
    @petermathias2734 Pƙed 6 dny

    Naimani na chama langu(Simba nguvu Moja)

  • @japhetchandika5687
    @japhetchandika5687 Pƙed 6 dny

    Simba nguvuđŸ’Ș🏿 moja

  • @DullayMwale
    @DullayMwale Pƙed 6 dny

    Simba nguvu mojaaa

  • @Hemedyamir
    @Hemedyamir Pƙed 5 dny

    Kila la kheri mnyama kwenye pre season naamin msimu ukianza team itakuwa vizur tuna imani na team yetu Simba nguvu mona

  • @isayakatuwa9482
    @isayakatuwa9482 Pƙed 6 dny

    Hivi thank u jobe bado

  • @OswaldOnesmo-jh4bm
    @OswaldOnesmo-jh4bm Pƙed 6 dny +1

    Tunaiombea Kwan mungu

  • @FestoYohana-ll4wk
    @FestoYohana-ll4wk Pƙed 6 dny

    simba bingwa mwakan

  • @nsikojohn6325
    @nsikojohn6325 Pƙed 6 dny

    Mnyamaaaaaaa

  • @Ndundu-zf8mh
    @Ndundu-zf8mh Pƙed 5 dny

    👏👏👏

  • @LinusJulias
    @LinusJulias Pƙed 6 dny

    His halal mungu atusaidie

  • @RamathaniMussa
    @RamathaniMussa Pƙed 6 dny

    Mungu ndy kila ki2

  • @ElishaJelema
    @ElishaJelema Pƙed 6 dny

    Ila simba❀❀❀

  • @ZiduKapanganya
    @ZiduKapanganya Pƙed 6 dny

    Naam ❀❀

  • @SandraSanga-m8e
    @SandraSanga-m8e Pƙed 5 dny

    🎉🎉

  • @PHILBETDANIELMLAGI
    @PHILBETDANIELMLAGI Pƙed 6 dny

    Akika Simba bingwa msimu huu 2024-2025

  • @Athukuzwejemusikaziri
    @Athukuzwejemusikaziri Pƙed 5 dny

    â€â€đŸŽ‰

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 Pƙed 6 dny

    Safi sana, ingawa tunataka kila siku mtangaze wachezaji 3 wanaoachwa.
    Na kwa nini twende pre season na 95% ya kikosi na siyo 100% kama mlivyoahidi tangu mwanzo?

  • @user-hy1tr7kv4g
    @user-hy1tr7kv4g Pƙed 6 dny

    ❀❀❀❀❀❀❀

  • @NassibKuchenga
    @NassibKuchenga Pƙed 5 dny

    đŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’ȘđŸ’Ș

  • @allykagawa
    @allykagawa Pƙed 6 dny +1

    đŸ”„

  • @SylvesterLyuvale
    @SylvesterLyuvale Pƙed 6 dny

    Hizo gharama kwanini zisitumike kununulia wachezaji wakubwa.Mnaenda kutalii tu huko hongera Sana Waturukism.

  • @kasimually-d9p
    @kasimually-d9p Pƙed 6 dny

    Tunataka Tim bora

  • @robinsonshoo6754
    @robinsonshoo6754 Pƙed 6 dny

    Cha msingi tuu tuone full squad ikiwa pale atutaki mambo ya mafungu mafungu

  • @user-zh7ii6vo7m
    @user-zh7ii6vo7m Pƙed 6 dny

    Hakika

  • @SimonZephania
    @SimonZephania Pƙed 6 dny +1

    @simba Nguvu moja😅😅

  • @anselmgervase5012
    @anselmgervase5012 Pƙed 6 dny

    Simba nguvu moyaaaaaaaaa...
    Nyota 5 pre season na bado hata nafasi ya pili ni mgogoro, mihela hiyo tafuteni walimu wazuri na walimu wazuri. Wachezaji wengi wapya 😱

  • @user-rn4wu1ml2z
    @user-rn4wu1ml2z Pƙed 6 dny

    Mnaacha kufanya usaajili mzuri mnahangaika

  • @RamathaniMussa
    @RamathaniMussa Pƙed 6 dny

    Ishallaa mungu akujalia

  • @MussaLopa
    @MussaLopa Pƙed 6 dny

    Nguvu moja

  • @kelvinMalima-ui5tk
    @kelvinMalima-ui5tk Pƙed 6 dny

    Ko ndo hiyo Taarifa au vipi 🎉🎉🎉

  • @muhdumar5517
    @muhdumar5517 Pƙed 6 dny

    Msifanye kama msimu uliopita mkaondoka na wachezaji wachache alafu hamna mlichokifanya bora kuondoka na wachezaji wote baada ya kukamilika

  • @EvanceThadeo-tk4lf
    @EvanceThadeo-tk4lf Pƙed 6 dny +2

    Wakwanza mm

  • @hilalmdosi3806
    @hilalmdosi3806 Pƙed 6 dny

    Mm nilitamani kambi tungeeka zanzibar

  • @franccoz94
    @franccoz94 Pƙed 6 dny

    Mngebakii tyuu bongo,maana mnatuzinguaga sanaa na hizo preseason

  • @charleznicholas416
    @charleznicholas416 Pƙed 6 dny

    Simba chama langu

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness Pƙed 6 dny +1

    Ati "PREASON"

  • @Lil_eagle_gcb
    @Lil_eagle_gcb Pƙed 6 dny

    đŸ”„đŸ”„đŸ”„đŸ”„

  • @MercySisilo
    @MercySisilo Pƙed 5 dny

    Kila kher tim yetu

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla Pƙed 6 dny

    tunaanz kuondoka makundi kwa makundi ikiwa mpk saiv hatujamaliz kuwaacha wachezaj tukaingiz wengine tunafany kosa lile lile kuondok makund kwa makund

  • @ZachariaHillary
    @ZachariaHillary Pƙed 6 dny

    Tatizo la Simba litaisha siku MO akiiacha timu.Unawatuhumu watu kula pesa harafu unawateuwa tena kuwa wajumbe.Sioni maendeleo yoyote yale.

  • @johnboscomkude
    @johnboscomkude Pƙed 6 dny +1

    Natamani msimu huu sifa zisiwe nyingi

  • @edsonedward4579
    @edsonedward4579 Pƙed 6 dny

    🙏

  • @BarakaMayan
    @BarakaMayan Pƙed 6 dny

    ❀❀❀❀

  • @mtwalehkilala6424
    @mtwalehkilala6424 Pƙed 6 dny

    Simba bado ina makandokando mengi tunatama kuwa mabingwa kisukwe kikosi vizuri ili tusiwe na matumaini yenye shaka

  • @shevbran7390
    @shevbran7390 Pƙed 6 dny +1

    🎉

  • @isayakatuwa9482
    @isayakatuwa9482 Pƙed 6 dny

    Msimu mwingne pelekeni timu congo

  • @VenasiDeusi
    @VenasiDeusi Pƙed 6 dny

    ❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀

  • @maxfundi1520
    @maxfundi1520 Pƙed 6 dny

    ❀

  • @mwesigyeglory215
    @mwesigyeglory215 Pƙed 6 dny

    Uwezekano wa ubigwa upo sana

  • @ElishaJelema
    @ElishaJelema Pƙed 6 dny

    Ila simba

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Pƙed 5 dny

    Ila Mimi mawazo yangu au maoni yangu chama tungeachana nae Alisha kuwa kirusi Cha mannala

  • @user-lx5xk4wo7k
    @user-lx5xk4wo7k Pƙed 6 dny

    Waache mbambamba tunaomba tu msajili watu wenye akir yakujitima nashangaa bado jobe na Fred mmewacha mnafel