Wanawake msiwe na Tabia ya kuwaambia watoto wenu maneno mabaya juu ya wazazi wenzenu jamani mlipendana inakuwaje muwe waadui jamn mm nawapenda wanaume wanajitambua hata kama uondoke lakini hawasemi baya mungu awabariki wanaume wote
Mama Loveness ndio wakulaumiwa, damu nzito kuliko maji, Abel alijua wazi Loveness ni mwanawe alikua anajaribu kumtafuta Loveness amwambie ukweli lakini mamake ndio alikua hataki iwe ivo, ona walichofanya watoto sasa, funzo kwa wengi tambulisheni watoto wazazi wao ata kama mliachana kuna leo na kesho😢
ila nyie bana hio kingereza mnaonafika hamuezi bt you're continue to force issues, ati what else dadie, yani mnatumia kauli za kingereza kwenye haideserve hamuoni kama mnajidhalilisha. anyway mnafanya vizuri sana may God will rise your talent guys
Wakwanza kutoka Kenya wakuu likes zangu
Kenya wapi tujuane
Mwenye atanipa like nampeleka police😂😂😂
Nagojea unipeleke police😂😂
Twende basi
Anza na mimi
Hamkomi hhhh
😂😂😂😂😂😂
Mambo zenu watanzania wenzangu nawapenda wote ndg yenu kutok kenya 🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿naipenda nchi yng tz like kumi tyuuu sikujua kua nitam🤣🤣🤣🤣💋💋💋💋💋
Mafunzo mazuri sana,kila mzazi angalie hii movie tusije kulaumiana badae, congratulations guys nawapenda sana 🇰🇪
Wee joice ndo wakusema hayo?
@@AbdullaAzizAbdulla Ina kitu ndani hii movie
Wakwanza naombeni lek zangu
Wapo doctor kunambi jamni ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Na me naombeni likes ❤❤hat kumi japokuwa nmekua wa mwisho😂😂
Wanawake msiwe na Tabia ya kuwaambia watoto wenu maneno mabaya juu ya wazazi wenzenu jamani mlipendana inakuwaje muwe waadui jamn mm nawapenda wanaume wanajitambua hata kama uondoke lakini hawasemi baya mungu awabariki wanaume wote
Huyu dada ni mtamu sana 😂😂😂❤❤🎉,mm ua siombi likes
Mwenyewe mm nimetokea kumpenda🎉
Watano jamani mnipe like zenu na comment zenu basi hata kama ni tano
Nely is soooo handsome ❤
😂😂😂😂😂 jamani naomba likes zenu.
🎉🎉🎉🎉🎉😭😭😭😭😭😭
Eti dada mke wangu😂 ! Kama umependa iyo line basi like apa
Staki malke senyu mbona niombe kipindi kiko tamu mafunzo kali weee nawapendda
Badala ya kutoa comment, mnaomba likes za nini
Mtoto ni wa kwangu
Hii movie ina mafunzo mazuri sana kazi nzuri jamani ❤❤❤
Mama Loveness ndio wakulaumiwa, damu nzito kuliko maji, Abel alijua wazi Loveness ni mwanawe alikua anajaribu kumtafuta Loveness amwambie ukweli lakini mamake ndio alikua hataki iwe ivo, ona walichofanya watoto sasa, funzo kwa wengi tambulisheni watoto wazazi wao ata kama mliachana kuna leo na kesho😢
Ila love usewe uki igiza kufa mimi naumia ya ukweli nawapenda 🇰🇪
Watatu mimi nipeni lak zangu jaman😅😅😅😅😅😅
Wa pili😂😂😂 like 👍 tu
Kazi nzuri
Upuhuzi uwo mnahanza kwanini muweke picha Kelvin msirudiag ivo tena upuhuzi uwo
Wawowawo tenahi ninzuri sana tena inawuzunisha pongezi wakyezaje 'nikibawo
Naombeni like angalau moja
Bigger up kelvin ❤❤💪💪
Watono jamani hongerani donta plus nice work 🎉🎉🎉🎉
MashaaAllah MashaaAllah 🎉🎉🎉wallah hii movie iko poa sana ❤❤❤❤
Loveness ww n mzuri Sana hata japo kua lkn ww n kiboko
Hivi mnaombanga like za nn
Ww ujaomba lkn una kumi tayari
🤣🤣🤣🤣Sasa doctor kunambi unavyokimbia kimbia hivii huoni kama unawatisha watu jamaniiiii
Katika baba love na mama love nani wa kulaumiwa hapo kwa love ya mimba ya kaka yake
Mbn mnachelewesha siku moja kabla ya ndoa yangu jmn duuu
Kwani hizo like mnapeleka wap😏😏.. zinauzwaa😒
Ukiwa na mtoto awe msichana au mvulana ni heri wajue wazazi wote wawili maana kuna jambo laweza tokea mkose la kufanya
Kbs Evaline
Eeeeh😂 kunambi udaktari tenaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aisee bora angepewa mzee abel....sio kunambi asee😂😂😂😂
Kelvin nimekuwa ninawakumbumba kbs ❤❤🇧🇮🇧🇮🥰
What do you talk daddy? Nelly! Msomi kizungu hujui 😅😅😅
Camera ipo vzr sana
Wakwanza kutoka moz🇲🇿
😂😂😂Love vitu vichachu vichachu vinaongeza uchachu kweny kichwaa😅😅
Wa mwisho hapa na sitaki like zenu
Mmmmmmhhh makubwa leo nely wakutoa hela
Malizeni ndoa yangu jamani nawapenda bule mungu awatunze ❤❤❤❤
Filamu nzur sana ❤❤❤loveness wacha wee mama kijacho.
Kivyangu mm mwenye makisa niuyo mm angemwambiya lavenesi mapema yasinge tokea ayoyote nauyo bb nimakosa kuwa munakata mimba siovizuri onasasa matokeyo yake😢
Kunambi mbona wewe mkali namna hiyo?😂😂😂
Like za daktari kunambi hata kama nimechelewa
Mm wa mwisho jaman lakn mtu asiguse comment yangu😅😅😅
Kwann
Wanja wa mama unaniua😂 mimba sio nyingi ya mwez mmoja😂
Oy like zenu njombe Tanzanian nimewahi Leo wanao ipenda Kama mm like
Mwamba eeee nafatilia sn mv zn ila mnazngua kaz zinafanana
This is very painful 😭😭😭😭, but has a big lesson to learn, anyway thanks alot ❤❤❤❤❤
Kunambi katokekezea kuwa docter
Kama kama una akili utaamini wanawake bado ni tatizo kama huyu mama
Asanten kazi nzuri 🎉 ila tunataka siku Moja kabla ya ndoa yangu jmn😢
Kabisaa❤
True
Me mwisho jamani lakini napita tuu,,,
Naombeni like hata mbili nimekuwa wa 19
Mafunzo mazuri wamama tujulize watoto wetu baba zao ata ukiwa mmekosana tuaiambie watoto ati baba alikufa
Mama ambia mtoto babaake ni yule mwenye anamuzia dukani acha kuzima data😂
😂😂😂eti
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂hee eti unaanza kuokota ma gauni hayo kuna kuficha tena😂😂
Love nakupend a jamani❤❤❤❤❤
Ni vizuri
😂😂Baba G umepigaje apo
ila nyie bana hio kingereza mnaonafika hamuezi bt you're continue to force issues, ati what else dadie, yani mnatumia kauli za kingereza kwenye haideserve hamuoni kama mnajidhalilisha. anyway mnafanya vizuri sana may God will rise your talent guys
Mmmh kazee kamerud tena
Hatariiiiii ❤ love kutoka tanzania
🎉movie mbona hamtoi kwa utaratibu??
Asanteni kwa mafunzo nawapenda nyote 🎉🎉🎉❤❤❤
Today I only laugh 😂 😂
Kwenye hili igizo kuna mambo tumepigwa, tunazingua na kuingiza siasa mpaka kwenye maigizo! Yote kwa yote, igizo lina ujumbe mzito.
Kenya Watching, twapenda
Madhali wamezaliwa nje ya ndoa hamna udugu hapo endeleeni tu
Jamani kunambi umesomeya wp udokta 😅
😅😅😅 acsalimiane na wanawake
Mbna kama baba na mtoto wanatakana sio kwa mapoz ayo baba na mtoto 😂😂
duuh kaz nzur san
kazi nzuri
Kwaio kweny hii movie Love ndo mkubwa kwa Nelly 😂 ay sjaelewa
Kumekuchaa 😂😂♥️♥️
Unyama sana ndonta
Love unadeka hadi raha
Wakwanza kutoka Zambia wakuu likes zangu
Love kazingua hauez mkolomea mama yako hata Kama iweje😢
Hii nimeielewa sana ila wanawake mtambue dam nzito kuliko maji
Jamani movie nzuri yenye mafunzo ni mejifunza kitu kikubwa
Hila love kwa kudeka number one😂😂😂
Mimi wakwanza
To be continued
Woiii movie tam sana aki nawapenda bure donta tv
Love nes hakika ni mrembo umeplay vizuri love nes uhusika😢😢😢😢
Filamu nzuri sana na ina masomo sana. Mimi ni mzazi na naipenda sana kwani mawaidha mazuri inanifunza
Kulia ya mr Abel imenifanya nicheke kwenye hii movie yenye masikitiko
Mwendelezo wa siku moja kabla ya Ndoa vp
ety hawatuletei episode ya 12
1:22:26 ila Doctor ana vitisho😂😂
Kunambi anavopita res utadhanni ni doctor wa ukweli 😂😂😂
Hahaha huyo.kunambi
Wa 36 leo naomba likes 🎉
Very nice movie thanks
docta siyo kwa speed iyo,🤣🤣😂