WAZIRI SILAA AUWASHA MOTO MKOANI PWANI | AUNDA MIKOA MIWILI KUMALIZA MIGOGORO | MTASAIDIWA NA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 07. 2024
  • WAZIRI SILAA AUNDA MIKOA MIWILI KUMALIZA MIGOGORO PWANI
    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema Wizara yake imefikia maamuzi ya kuanzisha mikoa miwili ya Ardhi katika Mkoa wa Pwani ikiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika falsafa yake ya Maridhiano, Kujenga upya nchi, Uvumilivu na Mageuzi yaaani 4R
    Waziri Silaa amesema hayo katika ufunguzi wa kliniki ya Ardhi Bagamoyo kwa ajili ya kusikiliza na mitatu kero za migogoro ya Ardhi kwa wananchi iliyofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Majengo.
    Aidha, Waziri Silaa amesema kuwa ofisi za Ardhi zinapaswa kutoa huduma kwa uwazi ili wananchi waweze kusikilizwa pasipo kifucho.
    Mikoa mipya iliyoanzishwa ni Pwani Kaskazini wenye wilaya za Kibaha, na Chalinze. pamoja na hayo
    Katika hatua nyingine Waziri Silaa amebainisha kuwa Kliniki za Ardhi zinazoendelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini zitafahamika kama Samia Ardhi Kliniki. Pia Pwani kUsini wenye wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Mafia na Kibiti
    Ikumbukwe Kuwa Mhe Waziri Silaa anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika majimbo 30 yenye migogoro mikubwa.
  • Zábava

Komentáře • 5

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 Před 21 dnem

    Jaman kuna watu wana roho mbaya😊

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 Před 21 dnem

    Mbona RC unajiami kutishia watu.kuna jambo anapiga mikwara wananchi wasifunguke

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před 22 dny

    Mh. waziri FATILIA ENEO LA VISEGESE. KUNA VIWANJA VYA MAKAZI NA VIWANDA. HUU MWAKA WA 12 HAKUNA CHA KIWANDA WALA FIDIA KWA WAHANGA WA UPANDE WA VIWANDA. TATIZO NI HUYU RC. KAIFANYA PWANI KM NYUMBANI KWAKE. ACHUNGUZWE

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz Před 23 dny

    Mheshimiwa nenda wiraya kisalawe

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před 22 dny

    Huyu RC NDIE TATIZO NI MNAFKI SANA. AHAMISHWE MKOA. NINA MASHAKA ANASHURIKIANA NA WATENDAJI KTK UTAPERI. RAIS Hmisha huyu RC.