SIKIA..!! Vituko vya Makongoro Nyerere mbele ya RAIS SAMIA | "Nivue barakoa..?"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 04. 2022
  • #MwlNyerere #Miaka100yaNyerere #RaisSamia #MakongoroNyerere
    Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere aitoa salamu za familia wakati wa Mdahalo wa Kitaifa wa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 09 Aprili, 2022 Shule ya Uongozi Kibaha, Pwani.

Komentáře • 218

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 Před rokem +5

    Mwl.Nyerere amerudi mpaka raha .Ana upendo sana makongoro na watu na Tanzania pia .hongera mtoto wa mzee wetu wa taifa.

  • @BernardUrassa
    @BernardUrassa Před 2 měsíci +1

    You deserve high position for sure,you remind us our beloved Father of our Nation Julius Nyerere,Thank you Sir.God bless you

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Před 2 lety +2

    Mwalimu Nyerere ni mwalimu pia kwa wazazi wengi, tujifunze kuishi maisha ambayo watoto wetu hawatatuonea aibu bali watajivunia kuitwa watoto wetu..Mungu azidi kukutunza mhshmw.

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 Před 3 měsíci

    Ahsante Muheshimiwa Makongoro kwa hotuba nzuri za kumkumbuka Mwalimu Julius Nyerere kwa bidii zake za kazi na mengineyo aloyafanya ya maendeleo.ya nchi yetu Tanzania.

  • @user-sv2cc4xn1m
    @user-sv2cc4xn1m Před 5 měsíci +1

    Hongera sana Mzee Makongoro Mungu akujalie Maisha mema na hekima zaidi.

  • @samuelnyariki7275
    @samuelnyariki7275 Před rokem +1

    Wonderful, legacy's records are in the register of our creator. In the fullness of time he reveals how his servants worked when they were on earth. Even Nyerere's grand children will bear testimony at 200 years of his remembrance. Great men's works live on for many seasons.

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn Před 2 měsíci +1

    Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki afrika

  • @mackiemguhi692
    @mackiemguhi692 Před 2 lety +7

    Nimependa hotuba yake.
    Ubinadamu kwanza. Mbwembwe zimenogesha lkn alichokuwa anaongea anakifahamu." Barakoa hoyeee!

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 Před 2 lety

      Wenye akili wanamuelewa alichokuwa anamaanisha.Alikuwa anafikisha ujumbe.

    • @lucasharison2441
      @lucasharison2441 Před 2 lety

      Makongoro Ana jipya kichwani akuna kitu baba yake alikuwa na uwezo mkubwa sana

  • @SmonTangas
    @SmonTangas Před 8 měsíci +3

    Kaka umetisha sana ooyee

  • @GeoffreyMaweu
    @GeoffreyMaweu Před 3 měsíci +1

    Kiswahili chatuzidi sisi wakenya lakini hongera makongoro

  • @calvinkambanga8312
    @calvinkambanga8312 Před rokem +1

    Namkubali sana majaliwa na mama samia wanafanya kazi

  • @mikekamili6686
    @mikekamili6686 Před 3 měsíci

    Huyu mwana wa Marehemu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere nimcheshi kweli 😂. Ana hekima na talanta ya kuwa msanii. Usemi wake hapa umenifurahisha sana. Mwenyezi Mungu ayiweke roho ya marehemu Mwalimu Nyerere pahali pema peponi 🙏.

  • @BrendaKimario-ys7lk
    @BrendaKimario-ys7lk Před rokem +1

    Nampenda Makongoro...sichoki kumsikilizaga,!.. Makongoro Mungu azidi kukuinua😅

  • @ignatiusm.ndwiga7438
    @ignatiusm.ndwiga7438 Před rokem +1

    A good speaker. God bless him.❤

  • @amosshidai8378
    @amosshidai8378 Před 4 měsíci

    A good teacher

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Před rokem

    Very nice speech excellent 100 mcheshi sana una roho nyeupe sana Kama baba yako

  • @muhwezitimothy1316
    @muhwezitimothy1316 Před rokem

    Asante sana

  • @deuskalinga2449
    @deuskalinga2449 Před 7 měsíci

    Good speaker hono. Makongoro

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 Před rokem

    😍🥰♥️🔥🔥🔥 Makongoro oyeee

  • @kanyamagaraabdallah8300
    @kanyamagaraabdallah8300 Před 2 lety +1

    oui je attends bien , et je dit que , dieu benisse Rais nyerere du TZ , ameeni

  • @user-eq2nq6os7v
    @user-eq2nq6os7v Před 9 měsíci +1

    Congratulations ❤❤❤

  • @user-yd9up9zg4t
    @user-yd9up9zg4t Před 4 měsíci +1

    Mungu ibariki Tanzaniaaa

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 Před 5 měsíci +1

    Daaa point sana sana

  • @RevCharlesJPeter
    @RevCharlesJPeter Před 7 měsíci

    Siku moja mtoto mmoja wapo wa Mwl. Nyerere akiwa Rais itakuwa raha sana. Tutakuwa tunaita Rais Nyerere

  • @meshackchavo4928
    @meshackchavo4928 Před 2 lety +1

    Nakukubali sana makongoro

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 Před 2 lety

    Ongera makongoro, mungu mpunguzie azabuza kabur mwalim nyelele

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Před 2 lety +3

    Makongoro anapenda kufarahi na watu TENA ni mtoto wa mjini sana nasikia lugha zake

  • @FelisianLiheta-nf2nr
    @FelisianLiheta-nf2nr Před rokem +1

    Safi sana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Před 2 lety +2

    Safi

  • @user-cw2hf5zp6u
    @user-cw2hf5zp6u Před měsícem

    Daah namkubali

  • @vincentmhoro1952
    @vincentmhoro1952 Před 2 měsíci +1

    Kuna vitu vitatu tu ambavyo mtu huna uwezo au uhuru ea kuchagua. Vitu hivyo ni:-
    1. Mungu wako
    2. Mzazi wako na
    3. Jirani yako.
    TAFAKARI

  • @profbznesyohana6989
    @profbznesyohana6989 Před 2 lety +3

    Makongoro ni kichwa sana japo wengi hawamuelewi, amewaponda sana tena kwa kutumia tafisida kali

  • @andrewalbin3847
    @andrewalbin3847 Před 2 měsíci +1

    7:00 vidole oyeeee😂😂😂

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Před rokem

    Namkubali sanaa best yangu apo vipi Sasa lol!

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 Před 2 lety +1

    Sawa!

  • @peterkesimba9619
    @peterkesimba9619 Před 2 lety

    Very wise

  • @kazitembo4928
    @kazitembo4928 Před 2 měsíci +1

    Makongoro oyeeeh,, lakini mzee wasila akawepo yupo

  • @selemanimadeha4658
    @selemanimadeha4658 Před rokem +4

    Speach za makongoro zinahitaji akili kubwa Sana kuzielewa

  • @tibonmbingi1082
    @tibonmbingi1082 Před měsícem

    Hayo ndo mnayoweza

  • @user-ct3um3fr6j
    @user-ct3um3fr6j Před 4 měsíci

    Aijirudii bwana enzi mungu amlazemahali pema

    • @drkalokola5861
      @drkalokola5861 Před 3 měsíci

      Kumbe kwenye Chawa umo.

    • @drkalokola5861
      @drkalokola5861 Před 3 měsíci

      Baba wa Taifa hakuwa mnyonyaji wala hakuwa fisadi.
      Mwalimu alikuwa mzalendo.
      Mwalimu aliwachukia wanyonyaji na hasa wakoloni Mamboleo.

  • @nickdhaemperor-ox7sz
    @nickdhaemperor-ox7sz Před rokem +2

    Natamani sana niingie Tanzania

  • @michaelkaswahili9593
    @michaelkaswahili9593 Před rokem +2

    Ok

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Před rokem

    As philosopher as the father

  • @LerwenceokuloMolle
    @LerwenceokuloMolle Před 4 měsíci +2

    Makongoro my friend ulisaliwa kweli

  • @eugenenkandu1287
    @eugenenkandu1287 Před rokem

    Like father Like son

  • @emanuelmuna1242
    @emanuelmuna1242 Před 2 lety +1

    Barakoa hoyeeee😂😂😂

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 Před 2 lety +1

    Wenye akili nyingi tumekuelewa 🤣😆😆💪💪

  • @noelmugizi5853
    @noelmugizi5853 Před 2 lety

    Anabahatisha

  • @samuelkamau3418
    @samuelkamau3418 Před 2 lety +1

    Why no one will mention how he is a spitting resemblance of Mwalimu Julius Nyerere

  • @allymwazoa2284
    @allymwazoa2284 Před 7 měsíci

    Kama utani vile lkn Msg inafika vizuri kama ilivyokusudiwa

  • @mussamisinzo4934
    @mussamisinzo4934 Před rokem

    Ok mh makongoro mungu akubariki sana!

  • @salummwanga8181
    @salummwanga8181 Před 2 lety +2

    Sionagi umuhim wa vituko kwake, labda umsifie kuwa anachapa kaz, vituko na vichekesho vinasaidia nn ktk jamii za sasa?

  • @swalehesaad2692
    @swalehesaad2692 Před 2 lety +1

    Nimemuona manara

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Před 10 měsíci +1

    Mimi ni mmoja wa wale waliokuwa na wasi wasi kuwa baada ya Mwal. kung'atuka nchi hii itakuwaje? Juu ya umoja wetu, uwadilifu wa viongozi na mengine mengi. Namshukuru Sana Mungu wasi wasi wangu ulikuwa sahihi kabisa tangu Mwal. ang'atuke TUNASHUHUDIA UFISADI MTUPU awamu kwa awamu!!! Na sasa umoja wetu u mashakani, sote TUNASHUHUDIA MKATABA WA DP WORLD ULIVYO uibua UDINI NA UMETUGAWA AAJABU!!! WATU wameacha kujibu HOJA WANACHOMEKEA UDINI!!! Kama hawajui madhara MAKUBWA yanayosababishwa na UDINI. WAISLAMU NA WAKRISTO TUMEISHI KAMA NDUGU MIAKA YOTE YA MWAL. UFISADI HAUKUSHUHUDIWA, KAMA NIMESAHAU NIKUMBUSHE!!! UFISADI BAADA YA MWAL. NITAKUKUMBUSHA KWA UFUPI: LOLIONDO, UFISADI HUU ULIONDOKA NA UHAI WA MWANDISHI WA HABARI NDG YETU KATABARO, EPA, ITPL, MEREMETA NA RICHIMOND N.K. MWALIMU ALIWAHI KUSEMA KUWA : SIKUWA NAAPA KWA KUTANIA MUNGU SI MTAANI WANGU, HUYO NDIYE MWALIMU J. K. NYERERE. NANI KAMA NYERERE MIONGONI MWAO?

  • @nkwabidonald4277
    @nkwabidonald4277 Před 2 lety

    Duh

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před 2 lety +3

    Makongoro mmpe uongozi tu kwa vile ni mtoto wa hayati nyerere lakini ni mtu wa comedian sana kwa kuongeza jiji la arusha ni bomu kabisa mlevi sana

    • @whimsymaverick3057
      @whimsymaverick3057 Před 2 lety +1

      Jiji la Arusha haiko Manyara we MTU. Huijui hata nchi Yako unathubutuje KUCOMMENT?

    • @laurinfred2931
      @laurinfred2931 Před 2 lety +1

      @@whimsymaverick3057 😅😅 mwambie afatilie hata hutuba za Mwl Nyerere zilikuwa na ucheshi ndani yake

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Před rokem

    Makongoro bana anachekesha sana aisee

  • @mussamisinzo4934
    @mussamisinzo4934 Před rokem +1

    Dah huyu jamaa anaongea kama Nyerere!!

  • @TECHTZTV
    @TECHTZTV Před 2 lety +3

    Yani katika wanasiasa sichoki kuwasikiliza ni huyu ,lisu,msigwa,mbowe,na lema

  • @missangela6720
    @missangela6720 Před 2 lety +3

    Waliomwelewa alichozungumza jmn

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Před 3 měsíci

    Aibu.

  • @stantonemgao3771
    @stantonemgao3771 Před rokem +1

    Lijenje yuko wapi mbona linapotezewa?

  • @josephkithama9739
    @josephkithama9739 Před rokem

    Wakati tukisoma Tabora,alikuwa anapiga bendi ya Tabora Boys alikuwa mpigaja mzuri wa bass guitar, watu walikuwa wanachanganyikiwa.mtu wa watu kama baba wa Taifa

  • @ramaaman9173
    @ramaaman9173 Před 2 lety +1

    Vizurisana inaletaupendo kwa wazalendo wa Tanzania tumkumbuke mwalimu

  • @januaymagori4642
    @januaymagori4642 Před 2 lety

    tumelewa 😂😂😂😂

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 Před 20 dny

    Hapa utadhani VITUKO kumbe kwa hapo hapo utakuta hujagundua NONDO za hali ya juu zilizojaa MANTIKI ,baadaye saana ndo utakuja kugundua analenga kitu . Ndivyo alivokuwa babake MWL J.K.NYERERE .

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 Před 2 lety

    aslm mumu plz anzishabishara yakwakoo itwe jina hiloo nimekutabiriya jina zuri kabisaa ukishindwa kufanya bisharas ni weww

  • @BernardUrassa
    @BernardUrassa Před 2 měsíci

    👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾✔️✔️✔️

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 Před 2 lety +1

    Makamu mpya wa Zamani tangu uhuru

  • @yustasemayengo3068
    @yustasemayengo3068 Před rokem

    Bwana ni mwema san

  • @josephkithama9739
    @josephkithama9739 Před rokem +1

    Ulikuwa una mwita Mwalimu au Baba?

  • @user-fr6rv2yb4s
    @user-fr6rv2yb4s Před 3 měsíci

    Jemeni my Kiswahili siyo fasihi. But naskia Makongolo Nyerere akisema "Wanapenda Kiki", Jemeni nini maana ya KIKI? Salam's kutoka Toronto Canada

  • @hindisaid2413
    @hindisaid2413 Před rokem +2

    Yani hata mbele ya raisi yeye anaendelea na vituko😅

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 Před 7 měsíci

    Makongoro hoooye

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 Před 7 měsíci

    R.I.P JKNyerere🙏

  • @mwazaniedward8119
    @mwazaniedward8119 Před rokem

    Sport

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 Před 2 lety

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Makongoro oyeeeèeeeeeeeeeeeeeeeee!

  • @michaelkimune7024
    @michaelkimune7024 Před 3 měsíci +1

    Ndugu zetu mna wengi wa kuwafaa-mpokeeni huyo!

  • @sundaykomba1327
    @sundaykomba1327 Před 2 lety +3

    Kama siyo mtu smart kumwelewa makongoro itakuwa ngumu sana

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 Před 2 lety

    Kutoa kofia kutoa kofia kutoa kofia
    waaaaa !😁😁😁😁😁

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Před 2 lety +3

    Hata baba yake alikua mcheshi sana

  • @gabrieltemba6916
    @gabrieltemba6916 Před 2 lety +1

    Makongoro ni comedian sana jmn cheka tu wangemchukua jmn

  • @keffaonchiri7813
    @keffaonchiri7813 Před 3 měsíci +2

    Mako anaongea kAma babake the late J.Nyerere.......Sauti ni Ya J.Nyerere

  • @jamesmuringi1791
    @jamesmuringi1791 Před 4 měsíci +1

    Nawapenda nyie ndugu watanzania.
    Mola kawapa kisichopatikana duniani.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Před 2 lety +3

    Ccm hamuoni aibu kukusanyana dhambi zimewajaa Kwa kunyanyasa watu na unafiki mwingi? Pindi magufuli yupo hai mlikuwa hamumwambii akikosea alipokufa mnaanza kusema kakosea je yakwenu ambayo mpo sahihi ni yapi? Mungu anawaona Tubuni ,Tunataka katiba mpya,tume huru ya uchaguzi

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 Před 2 lety

    Nampenda Nyerere hajawafanya watoto wake wawe marais wadogo kama Uganda, Burundi mtoto wa rais anapimewa heshima kama vile nae kapigiwa kura.
    Mwingine ni Magufuli katika shuguli zake watoto wake hawajawahi kuonekana ila nenda pengine du, baba akisafiri basi navitoto vyote

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Před 2 lety

    Naona hata aibu kuendelea kutizama na kusikiliza

  • @keffaonchiri7813
    @keffaonchiri7813 Před 3 měsíci

    Mako hoooye!

  • @user-uy8vp1fr7e
    @user-uy8vp1fr7e Před 3 měsíci +1

    Makongoro nyerere ni Mwamba sana

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 Před 2 lety

    kaka shikamio kiki long distance Orr short kiki

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 Před 2 lety +2

    Mwalimu nyerere ametuachia picha halisi

  • @Leminelimited
    @Leminelimited Před 3 měsíci +1

    M23

  • @johnmabugalusalulo2066
    @johnmabugalusalulo2066 Před 5 měsíci

    Siasa ni nzuli kwa mwana siasa aliye iva kisiasa,siyo kama wale wanao piga siasa kama wanagombana nawa tu,mala kutukana mala kukejeli mala kupiga siasa za kuzalaulina mala kusimanga viongozi walio tangulia mbele za haki,siasa iliyo nzuli niile yenye usitalabu kama vile makongoro anavo ipiga kama kinanda cha kanisa ni safisana

  • @tondiyeamani2948
    @tondiyeamani2948 Před rokem +1

    Nina amini

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 Před 11 měsíci +1

    Bro i guess is possessed with Nyerere spirit

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 Před 2 lety

    Iskadafaaauuu haa

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Před rokem

    Makomgoro hoyeee

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Před 3 měsíci

    Sun of first late julias kambarege first president repablic of tanzanian regional commissioner of ngorongoro but leader stroke comedian following late julias kambarege Nyerere jokes during his life time on his leadership can crush late people get angry at the beginning of meetings but at the end laphing sun also on seem truck creat lmotion of angry at the end laphing sun of late julias kambarege Nyerere makongoro Nyerere short briefing under full gavment official

  • @noelmugizi5853
    @noelmugizi5853 Před 2 lety

    Kawaponda kwenye kustaafu,nadhani wengine awakumhelewa kama wakina Kinana nawengineo mambumbumbu.

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 Před 2 lety

    Mabarakoa ya Nini?