Mazoezi ya Kijeshi ya China, Urusi na Belarus Yana lengo Kutuma Salamu Kwa NATO?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 08. 2024
  • Wakati vikosi vya majeshi ya China na Belarus yakiendelea na mazoezi ya kijeshi mashariki ya Belarus, umbali wa takribani maili 40 mahali ulipo mpaka wa nchi mwanachamawa NATO, siku ya jumapili pia China na Urusi zimetangaza kuanza zoezi jingine la kijeshi katika eneo la bahari ya Pasifiki.
    Katika taarifa yake Wizara ya Ulinzi ya China imeeleza kuwa zoezi la kijeshi kati ya Urusi na nchi yao litahusisha majeshi ya majini na melivita, ambapo tayari melivita za Urusi zimeshawasili katika bandari ya kijeshi iliyopo katika jimbo la Guangdong. Zoezi hilo linatarajia kufanyika kwa siku kadhaa ndani ya mwezi huu wa saba.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Komentáře • 3

  • @user-up6zl1ck3j
    @user-up6zl1ck3j Před měsícem +2

    Wangejumlisha na N,korea

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Před měsícem +3

    Waafrica wote tunamtaka urusi sio marekani anae taka watoto wetu wawe mashoga

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e Před měsícem +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂haya huwa ni mazuzu yenyewe sijui ninan kayapa mamulaka ya kumsaidia Ukraine 🇺🇦