WAKILI PETER MADELEKA ni POLISI! AFUNGUKA KUHOJIWA UTORO KAZINI - ASEMA YEYE ni ZAIDI ya IGP...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 11. 2023
  • WAKILI PETER MADELEKA ni POLISI! AFUNGUKA KUHOJIWA UTORO KAZINI - ASEMA YEYE ni ZAIDI ya IGP...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 246

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 6 měsíci +5

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @josephatbwakome5711
    @josephatbwakome5711 Před 6 měsíci +26

    Ukiwa umesoma na kuelewa vitu unakuwa na full confidence, Lowasa hakukosea kusema elimu elimu elimu.Congratulation wakili msomi Peter Madeleka

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 Před 6 měsíci +10

    Very inspiration, natamani nikasome sheria, kwa manufaa yangu na jamii yangu. Huyu ndiyo maana halisi ya wakili msomi.

  • @leonardkinanda3284
    @leonardkinanda3284 Před 6 měsíci +8

    Hongera kwa spirit ya kuwapambania watu wengine ! Mungu anawapenda watu kama wewe Doctor peter

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 Před 6 měsíci +11

    Hongera kaka! Hiyo ndiyo raha ya kuelewa mambo!!! Hadi rahaa!! Kaka unajua mambo mkuu!!!

    • @marianmartin7483
      @marianmartin7483 Před 6 měsíci

      Kichwa kizuri sana hiki. Safi sana. Madeleka akili nyingi.

  • @musanzowa8988
    @musanzowa8988 Před 6 měsíci +10

    Wale wote tuliosoma Luka 3:14 mikono juu!

  • @godsson5954
    @godsson5954 Před 6 měsíci +8

    nilikua sieleag mtu akiijita wakili msomi sasa huyu ni wakili msomi pasipo kujiita hayo maneno HUYU NDO THE REAL WAKIL MSOMI

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y Před 6 měsíci +6

    Mh madeleka nakuku bali Sana mungu akubaliki

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Před 6 měsíci +6

    Huyu ni jasusi.Serikali ina siri kubwa sana.

  • @jacobpatrick7936
    @jacobpatrick7936 Před 6 měsíci +3

    Nikachukua mkoba wangu nikaondoka zangu,hii kauli imekaa ki mamlaka sana

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Před 6 měsíci +6

    Dah cc tunatafuta ajira kwa nguvu lakini kumbe kuna watu wameajiriwa na hawataki ajira zao dunia round about bhan tutafute hela vijana

  • @user-bc8gj8uk3g
    @user-bc8gj8uk3g Před 6 měsíci +2

    Huyo mwamba huwa namkubali saaana kwakujiamin kwake kajb kwa jeur saaana kamanda wa police wa mkoa nivitu vidogo saaana salute mwamba madeleka

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 Před 6 měsíci +2

    Jamaaaa linajua hadi raha respect madeleka

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 Před 6 měsíci +1

    Upo sahihi wakili.mungu amewaandalia makao mazuri pamoja na mh. Mwabukusi

  • @michaelmabula7444
    @michaelmabula7444 Před 6 měsíci +1

    Yupo na kazi maalumu

  • @EleziaNzowa-el7gi
    @EleziaNzowa-el7gi Před 6 měsíci +1

    Yaa inaleta raha sana kuwa na watu waelewa kama hawa katika nchi yetu, safi sana wakili madeleka mungu awe nawe daima

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Před 6 měsíci +2

    INCHI TAMU IKIWA NA WATU KAMA HAWA❤❤❤❤❤❤

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw Před 6 měsíci +2

    Wakili mahiri zawadi kutoka kwa Mungu hongera sana mtoto wetu na wakili wetu. Mungu akubariki sana na akuongoze daima maana uko vema kabisa mbele za Mungu na walimwengu. Binadamu hawakuelewi isipokuwa wale Mungu atakaowafunulia. Ni mtu wa pekee mwenye karama ya pekee. Ni mkweli na muwazi ndiyo maana upo shujaa. Mungu azidi kukulinda akupe baraka nyinginyingi sana Madereka unaaminika hata anayekutazama TU anakuamini kabla hujaongea naye. Tuanazidi kukuombea kila la kheri katika maisha Yako.

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 Před 6 měsíci +1

    Smart sana

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 Před 5 měsíci

    Jamaa anajikubali Kwa fact sana, bigup msomi

  • @JuliusMtunguja
    @JuliusMtunguja Před 6 měsíci +4

    Unafaa hata kuwa mbunge ukatetee wananchi jimboni mwako. Hongera.

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 Před 6 měsíci

      Huyu kapitiliza vyeo vyote Ana akili ya kizidi cheo cha Rais na sio lazima uwe mbunge kutetea wananchi

  • @mmewaswida
    @mmewaswida Před 6 měsíci +4

    Inachekesha kwa kweli, hasa hizi behavior za polisi wetu

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Před 6 měsíci +4

    Madeleka na Mwabukusi wanafaa wajiunge na Chadema kisha wagombee ubunge, ndipo wapate jukwaa safi la kupambana na wabadhilifu serikalini.

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 Před 6 měsíci

      Ni kwl, lkn si hadi wachaguliwe? Ama Chadema ndiyo wameunda/wataunda serekali? 🏃🏃

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 6 měsíci +22

    Knowing the law is a part of protection.✌️

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 Před 6 měsíci

      Thats why they don't teach from childhood
      Coz they will not rule us

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Před 6 měsíci

    Brilliant discussion learned counsel.

  • @mgegebrand
    @mgegebrand Před 5 měsíci

    Salute kwako Wakili

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 6 měsíci +2

    Wewe mpaka sasa wee ni jasusi ilo halipingiki

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 Před 6 měsíci +14

    Madereka ni mtu mwenye akili nje na Elimu ya shule

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Před 6 měsíci +3

    Akili.kubwa.huyu.sio.bashite.nape.mwigulu..na.vilaza.wegine.big.up

  • @felixsamford4168
    @felixsamford4168 Před 6 měsíci

    Huyu br yuko vizuri sana zaidi ya sana tanzania tunahitaji vichwa kama hvi

  • @josephgitagano4533
    @josephgitagano4533 Před 6 měsíci

    Excellent Advocate.

  • @user-ev2sm1rg4t
    @user-ev2sm1rg4t Před 6 měsíci

    Mungu akulinde peter

  • @LuganoPondo-km8ub
    @LuganoPondo-km8ub Před 6 měsíci +9

    Kweli wanaotuongoza Hawana uwezo wa kufikiri,na wenye uwezo wa fikra wako nje ya madaraka

    • @Asajile490
      @Asajile490 Před 5 měsíci

      Tatizo wananchi Na ccm yao

  • @user-nz9wf4bf2u
    @user-nz9wf4bf2u Před 4 měsíci

    Nakukubali

  • @hamisinamulya8810
    @hamisinamulya8810 Před 6 měsíci

    Bright man,mungu akubaliki

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t Před 6 měsíci +1

    Brilliant man

  • @wanatangawaja6397
    @wanatangawaja6397 Před 6 měsíci

    Mwenyezimungu akuzidishie

  • @ThomasKajiru
    @ThomasKajiru Před 6 měsíci +1

    Subirini akifa na kuanza kusomwa risala yake ndio mutaijua Tanzania 🇹🇿 vizuri

  • @samwelkessy9129
    @samwelkessy9129 Před 6 měsíci +1

    Safi sana kaka

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 Před 6 měsíci +5

    Hao police wa Arusha hawana uwezo wa kumhoji Wakili Msomi madeleka ,sawa na Waziri mkuu amhoji Rais

  • @RajabJuma-pe9ml
    @RajabJuma-pe9ml Před 6 měsíci +6

    Yani mkuu ukitaja police dam mpaka inanisisimka mana walisha nipiga bilakosa walidai Mimi nimzururaji nikawaonyesha kilakitu nanilpo Toka lakn nilpgwa huyo askari police mpaka Leo nikimuangalia mh! ila Haina shida

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Před 6 měsíci

    Hongela Sana

  • @HamisSaid-uc5jm
    @HamisSaid-uc5jm Před 6 měsíci +2

    Boss nimekukubali sana natamani niwe karibu nawe nijue mengi

  • @user-le3oc2xz1f
    @user-le3oc2xz1f Před 6 měsíci

    Uko vizur sana hongera

  • @furaha7154
    @furaha7154 Před 6 měsíci

    Ok sawa

  • @kwasmokweka9598
    @kwasmokweka9598 Před 6 měsíci +4

    Madeleka oyeeee

  • @godsonkilua7738
    @godsonkilua7738 Před 6 měsíci +6

    Nakukubali sana wengi wanakosa haki zao kwa kutokujua sheria , Mungu akutangulie ktk huduma yako

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 Před 6 měsíci +2

    Madeleka mungu akulinde

  • @GalusChikawe
    @GalusChikawe Před 6 měsíci

    I'm on
    ..

  • @Asajile490
    @Asajile490 Před 5 měsíci

    Daa nilikuwa siyajui haya

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Před 6 měsíci +2

    Raha ya kujua sheria ndiyo hiyo

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 Před 5 měsíci

    Yap !! Ila mwamb naona yy na polisi mbalimbali kabixa ha apendi kabix dhuluma zinazofanywa na polisi Mungu kakupitisha uko ili ufanye amendment na eatu ajue kama usingekaa uko usingejue haya

  • @user-ol5ih9wh1p
    @user-ol5ih9wh1p Před 6 měsíci

    Wow so good 💪🏻💪🏻

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 Před 6 měsíci

    Asante Wakili

  • @elisaabraham-xr5zj
    @elisaabraham-xr5zj Před 6 měsíci

    Hongera kaka

  • @user-ey8cb3wu9h
    @user-ey8cb3wu9h Před 6 měsíci

    Kama unajua ni raha sana hongera zako

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 Před 6 měsíci +3

    Huyu jamaa kweli msomi

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 Před 6 měsíci +5

    Madeleka na Jeshi la polisi hawana tatizo wala ugomvi wowote kati yao, wanaolipamba jambo hili lionekane kama kuuuuubwa ni waandishi wa habari

  • @michaelmwalimu6057
    @michaelmwalimu6057 Před 6 měsíci +1

    Wana sheria bwana

  • @user-ph2tk3cy9s
    @user-ph2tk3cy9s Před 6 měsíci

    Kweli kabisa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před 2 měsíci

    Namkubali saaaan huyu,Anatakiwa kuwa Rais

  • @user-nz9wf4bf2u
    @user-nz9wf4bf2u Před 4 měsíci

    Nisaidiee namba ya cm tyu

  • @askofkibwe6106
    @askofkibwe6106 Před 6 měsíci

    Sheria ya kweli ni ya Mungu t

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 Před 6 měsíci +3

    Sasa masaa 24 ndani ya PGO jumlisha miaka sita ya bila maulizo na walimweka ndani kwa sababu ambazo hazikutajwa na mlengwa madeleka hii sikama walimpa go ahead bila kelele wana sababu zao hawa hawapo serius na pia hatakama jeshi ni moja lakini mwenye mamlaka ya kuita huyu jamaa ni mkuu wake kule Zanzibar maana alipotelewa na mtu ambaye naye pengine alijua aliridhia upotevu wake

  • @user-le7pv1wo2j
    @user-le7pv1wo2j Před 6 měsíci +1

    Mmmh

  • @NeemaLieda-qz3kd
    @NeemaLieda-qz3kd Před 6 měsíci +8

    Huyu jamaa angestahili kuwa mkufunzi mkuu wa chuo cha maofisa wa polisi Tanzania anauwezo mkubwa sizani kama yupo mkubwa wa.polisi a.mbae anaweza kupiga nae michi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Před 6 měsíci

      Kwa mifumo yetu ya kumsujudia watawala wala msingemjua,kuna wanasheria wengi sana nchi ungejaribu kujiuliza kwanini hawasikiki wala kujulikana

  • @RevocatusJames1212
    @RevocatusJames1212 Před 6 měsíci

    Mwanangu kua usomee sheria

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 Před 6 měsíci

    Ure so smart nakutafuta

  • @manethmwiyanja2452
    @manethmwiyanja2452 Před 5 měsíci

    safi nakutunukia degree nyingine.

  • @meckitilidatushabe
    @meckitilidatushabe Před 6 měsíci

    Big up bro

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Před 6 měsíci +3

    Hawa mapolise wamekuwa kanakwamba hawakuzaliwa na wanadam hawana roo ya kibinadam

  • @mkoma49
    @mkoma49 Před 6 měsíci

    nimependa apo kwenye neno la Mungu

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Před 6 měsíci +2

    Hii dunia ni ngumu sana

  • @edgarmbehikya8150
    @edgarmbehikya8150 Před 6 měsíci

    Congrats

  • @ebeni_mitimingi
    @ebeni_mitimingi Před 5 měsíci

    I like this man 😅

  • @user-vy5ei1xl4p
    @user-vy5ei1xl4p Před 6 měsíci +5

    Elimu ina mhimu sana katika maisha ya sasa

    • @geraldmadirisha2100
      @geraldmadirisha2100 Před 6 měsíci

      Nadhani Sheria ina umuhimu sana katika maisha ya sasa kwa kuwa bado watu wengi wenye Elimu wanateseka

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Před 6 měsíci

    Naomba.namba yako kakangu.muhim

  • @asalitamu5182
    @asalitamu5182 Před 6 měsíci

    Safi

  • @tazamamaajabuyaulimwengu2786

    Jamani mwenye namba ya huyu wakili naomba anipatie

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 Před 6 měsíci

    😅😅😅 nahapa ipoo😅😅 14:56

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 Před 6 měsíci

    Peter na mimi nimeonewa sana pls can you help me?

  • @josephinarobert3325
    @josephinarobert3325 Před 6 měsíci +4

    Siyomtoro wanataka kumsumbua

  • @elinazijonasi2957
    @elinazijonasi2957 Před 6 měsíci +3

    SHULE imebakia silaha ambayo wakati Fulani watu wameitumia kwa manufaa mapana binafsi ya jamii na kinyume chake pia

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu Před 6 měsíci +1

    Acha inyeshe tuone wapi panapovuja!

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Před 6 měsíci +2

    Kaka nimekukubali sana kwa majibu yako

  • @DoganJagard-dn2sk
    @DoganJagard-dn2sk Před 6 měsíci +6

    Madereka unafaa uwe katibu mkuu chadema

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 Před 6 měsíci

    This is fact

  • @johnyusuph3221
    @johnyusuph3221 Před 6 měsíci +1

    Akili mingi

  • @YusuphSadallah-um4sp
    @YusuphSadallah-um4sp Před 6 měsíci

    Fact ✌️

  • @user-fx9wv7wk5b
    @user-fx9wv7wk5b Před 6 měsíci +2

    Namimi mdogo wako ezekieli nakupa bigup pambana

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 Před 6 měsíci +2

    Uliletwa kwa ajili ya mashekhe wetu

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 Před 6 měsíci +2

    Chumaaaa hikoooo

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Před 6 měsíci +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kaka nimekupenda mno mno , ila sasa watu wana woga kukuunga mkono kukomesha uovu uliopo, yaani Tz ingekuwa paradiso kama haki ingetendeka kisawasawa

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 Před 6 měsíci +2

    He could be a sword

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 Před 6 měsíci +1

    We mtuu sanaa

  • @_don777
    @_don777 Před 6 měsíci +7

    Kama umeona Genius Gonga like

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Před 6 měsíci

    Hongera kaka madeleka

  • @msafirimunna1279
    @msafirimunna1279 Před 6 měsíci

    Siasa tu hizo

  • @michaelabrshamsaidimu367
    @michaelabrshamsaidimu367 Před 6 měsíci +2

    Madeleka huwa hakurupuki,kwakua si mvivu wa kusoma

  • @user-eq9ch2nh3c
    @user-eq9ch2nh3c Před 6 měsíci +2

    Hahaha amani itawale