Kwakweli nimeipenda sana hii movie ❤yani huwa nikiwa naiangalia natamani isiishe mapema mnakipaji sana 🎉 Like kama nawewe unajifunza kitu ukiwa unaiangalia hii picha
Kai naye ni mshamba sana kila kitu akiambiwa anamwambia kendi,angewatafuta wazazi wa kendi na kuwaleta ndo lingekuwa bonge la suprise yani kwa kendi aiii.... unawafelisha wanaume bro .Tunaoona anafeli Kai gonga like...
Je unajifunza nini kupitia hii movie 1, tujifunze kuishi vzr na watu maana kendy asinge munyanya zuu ayoyote yasingelitokea 2, tuwaeshimu wazazi wetu maana kendy angekuwa anamuheshimu mama yake wende agelikuwa na baraka kutoka kwa wazazi wake 3,wanawake wawawshimu wanaume zao kendy alikosa heshima 4,kumbu ulicho pamba ndicho utakacho kivuma kendy bado unavuma maana uliyapanda mengi BIG UP TEAM BUSADI TV
Hongera bibi zuuuh kwakumsaidia zuuuh na Kai kurejea kwenye akili zao zakawaida, pia ninawapongeza kwamafundisho yenu mazuri mnayotupatia wanajamii wenzenu. Ninawaomba nawatazamaji wenzangu tujifunze kwahaya yanayojidhihirisha kwenye maisha yetu Halisi yandoa zetu. Tunavoamuru kuyaishi maisha yandoa basi tuhakikishe tunaishi katika Imani nakweli pia tukiona bado tusubirie wakati ufike ndipo tuingie kwenye maisha yandoa Ili kuyaepuka matatizo yasiyo naulazima.
Guys ingekuw vyema kuwarch movie hadi mwisho ndio tuazde coment kulengana na movie,lakini nyinyi mwakimbilia kuomba like,huwa mwaziprleka wapi??❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂
Whatsapp Channel 👇👇
whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c
Oyooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Episode 38 jamani msituache njia panda
@@busatitv jamn move nzur sana lakin jamn toka zuu awe chizi mmeanza kutukwanza story nyingi sna ogezen dk kam mwanzo
Mimi hata sisemii😂😂😂
@@busatitv mambo niyapendayo mimi Aya nasemaje 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 38 chapu
Wanao penda wawe natoa vipande viwili kwasiku wagonge like 👍 🎉🎉 apa
😂😂hope jioni walete 38😅😅tupate painkiller ya jioni tulale vizuri 😝😝😝
❤❤❤❤❤😂
😢Hata wangetoa vitano Iko vzr
We utoe vipande viwili we Nan?😅
@@SuzanneOg-yj1nr 😀😀😀twategea ya Leo☺☺
Ndo nn jan mukatufanya tukeshe jamni waliokesha wote like hapa wajue kam tumemind
Yani had kichwa chauma juyausingizi 😅😂wakukesha macho nikingoja
Yan nimeingoja sana Jan . wanatfanya tuamke asubuhi kama mateja macho yanauma kwa usingzi 😂😂😂
Mm nililala Saa nane imagine 😂😂
Poleee
Khaaaah jaman kazi mnayo😂😂😂😂
Walio furahi uchawi kuisha gonga like hapa
🎉🎉
Kwakweli nimeipenda sana hii movie ❤yani huwa nikiwa naiangalia natamani isiishe mapema mnakipaji sana 🎉
Like kama nawewe unajifunza kitu ukiwa unaiangalia hii picha
Kai naye ni mshamba sana kila kitu akiambiwa anamwambia kendi,angewatafuta wazazi wa kendi na kuwaleta ndo lingekuwa bonge la suprise yani kwa kendi aiii.... unawafelisha wanaume bro .Tunaoona anafeli Kai gonga like...
Kweli kabisa
Naona mapema ndio best 🎉🎉🎉🎉 from Kenya 🇰🇪🇰🇪 kama wewe ni team Zuuu pita nami 🙏🙏
Hahaha usijali tuko tu
@@AminaKavuo-gj3oc thanks 🙏🙏
Jamn mkimaliza faino mtoe nahio nyimbo wanao ipenda iyo nyimbo gonga like ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Kwa kwel 😂
Jaman na me leo nimewah wale tunao taka kai na zuu waonane like kwengu
Team strong team zuu kma furaha imerudi gonga likes 😁😁😁caddy kimemramba na asubui siku zote penzi la dawa halidumu kweli
Weweeeeee 💃 💃 fulu shangwe apana chezea team zuu🎉🎉
😂😂a m here
@@Rahema123twatoa madera ya harusi ya rangi gani 😂😂
@@user-qq6mv6vh3e😂😂😂❤❤
🎉🎉🎉❤❤😂😂
Wakwanza like tafadhari😂😂😂
Je unajifunza nini kupitia hii movie
1, tujifunze kuishi vzr na watu maana kendy asinge munyanya zuu ayoyote yasingelitokea
2, tuwaeshimu wazazi wetu maana kendy angekuwa anamuheshimu mama yake wende agelikuwa na baraka kutoka kwa wazazi wake
3,wanawake wawawshimu wanaume zao kendy alikosa heshima
4,kumbu ulicho pamba ndicho utakacho kivuma kendy bado unavuma maana uliyapanda mengi
BIG UP TEAM BUSADI TV
Nice comment🌟🌟
Watu 100 kwanza kukoment tupeane like na kila 1 atakuwa na 100 like
Nimewai Leo naombeni ata like mbili 👌
I love the movie
Sema kuwai nakupatan n kofi kwa kendy vile ilifaa mnipe likes 5 bas😂😂😂
😂😂😂😂😂 jmn wee
Wanaopenda vipande viwe vilefu gonga like hapa wadau wangu😊
Wa kwanza leo like za zuu wapenzi
Mimi natakaa kubaki tu nikitizama khaii venye anamupa makavu Yake candy 😂 candy nakucheka kwa sauti 😂😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wakwanza leoooo like zenu apaaa
Ambao walimkia simi like 😂😂😂
Jaman na mimi nataka like 😢😢
Wanaemkubali Kai like nying kwangu
kama unadhania hiyo suprise ni zuu kama mm Gong like tukisonga😂😂😂
Wa kwanza 🎉🎉🎉🎉jamanii utamu wa house girl naomba likes zngu
Ayaaaa kumekucha uku kendy leo atakula kipondo muje mumuombee
Ni kwanza leo naomba like zetu
🎉🎉🎉
Watu badala mtoe maoni na najinsi move inavyofindisha mnakazi yakuomba like mtadhani nyie ndotunawatizama
Yani weaca tu 😅
Wsnachisha Akili,unapoteza time kushoma comet Ili upande fuzdo kumbe upuuzi tu WA like
Jamna nlinifanya nkalal sa kumi nangojea movie lakin nyinyi waongo
Hongera bibi zuuuh kwakumsaidia zuuuh na Kai kurejea kwenye akili zao zakawaida, pia ninawapongeza kwamafundisho yenu mazuri mnayotupatia wanajamii wenzenu. Ninawaomba nawatazamaji wenzangu tujifunze kwahaya yanayojidhihirisha kwenye maisha yetu Halisi yandoa zetu. Tunavoamuru kuyaishi maisha yandoa basi tuhakikishe tunaishi katika Imani nakweli pia tukiona bado tusubirie wakati ufike ndipo tuingie kwenye maisha yandoa Ili kuyaepuka matatizo yasiyo naulazima.
Team zuu naomben like sijachelewa jaman
Wakwanza naombeni like jamani
Wakwanza leo like zangu
Hongera Sana Kai nafurahia jinsi unavyo jipapania kama Mume pokea maua yako ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Haya sasa jaman kila mtu anaomba like , kila mtu anadai yeye niwakwanza basi jaman mimi leo nimechelewa😂😂😂naombeni ata moja tu😊
Kiukwel nmekesha 😂😂yote sababu naipenda sana movie yenu hongera sana
Surprise naona ni Zuu tu ,hongereni sana kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Sema kimeumana kendy 😢😢😢mwimba ya kujinduka hauna pole samahani dada kendy😢😢😢
Yan watu hawamalizii move wanawah kucoment tu nimewah nipen like...c mtengezee move zenu😏... naingojea surprise ila nahc km zuuh wangu😂🥰
Naisi ni dadake zuu
😅😅😅
Atamimi wakwanza naomba like ❤❤🇧🇮🇧🇮
Nimempenda San kendi kwenye hii move amenikosha San safisan kendi
Nakukubli sana kai na ka sele na mm naomba like
Watu jomn mnaamkia humu kwel nam like kwangu atakam nimechelew so saan
Ngoereni wana busati mungu hawaongeze kipaji chenu
Ukisikia majini binadam cand no1
Movie nzuri sanaaa...hadi natamani iendelee.....but nasubiria ya next,gongeni likes kwa wingi hapa msipite 😊
Yaani inafundisha aki nawapenda sna wana busati❤❤❤nasubiri hio surprise kwa kai😂😂😂😂
Amen 🙏🙏🙏 Bibi kazi nzuri SN wote wako salama karibuni furaha itakuwepo. Kend ugua pole 😭😭😭😭😭😭😭😭
Ambao tuna shauku ya kujua sapraiz ya kai gonga like hata kumi nienjoy kidogo 😂😂😂😂
jaman mumenifanya sikulala juu nasubiri kumbe munachelewesh 🎉🎉munipee like kwa kaz yenu nzuri nakutufanya tukeshe
Jaman angalieni move bwana like za nini sasa
Wale tunao amini Cendy ana achika like apa
Hata mm wakwaza jmn weee😅🎉❤
Weeeeh Leo nimejaribu kukimbia like zangu
Kendi moto umeuwasha ujue nakuuzma
Suprise bila Shaka n zuuu
Sijawahi Pata like anyway nani kaibahatisha kama mimi 😂
Mimi ap 😢😂😂
Team Zuu tufurahie ushindi ❤❤❤
Wakawanza leo...team gen Z
Can u imagine kukaa macho toka Jana hdi sahii
Kai lew umenfrahish kuliko hat siko zotw❤❤❤❤❤🎉🎉
Hongera bibi zuuu kuwaponya wajuku wako
Wangapi wanaamini penzi LA dawa Lina mwisho❤❤
Kai 😂😂😂bana kachaluka hongeleni kwakazi nzr
Movie nzuri kabisa hongera🎉🎉
Duuh wa2 mnalala online
Kai hindio maamuzi ya kiume nakupa✅✅ ✔️💯
Wakwanza jamn ❤❤❤
Wangap tulikesha kuisubur EP 37
Na mmi naombeni like ata 2 tu jamani 😰😰
Kazi nzuri sana mungu awabariki sana
Daaaaahhhh yaaani brooo nakukubali sana kwa maamuzu yako
Mnipe like jamani Mimi 😢 haaaaa
Wakwanza leo naomba like
Wowo❤❤❤❤❤❤❤
Imeisha patamu iyo surprise ni gany tena😊
Waoooh
❤❤like jamani
Me kilasiku wa mia na jmn🎉ata like 5
❤
Nimechelewa nipen hata like 10
Sija chelewa naombeni like
Wenye walikuwa wanasubiri na. Kukesha like me... Moment chinini na mnilke... Baci🎉....
Jamn mm amnion mbn sipat like jmn nipen 🎉🎉🎉🎉
Yan hii movie natamani hataishie haraka jamani daah nlipenda sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Leo I must be number one
Daaaah jamani nimesubili sana muda mrefu Ahsantee my brother 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Kuna chakujifunza humu n maisha halisi tunayoishi humu dunian jamnii hongeren sana woote Kaz nzur sana❤❤❤🎉🎉
Wa Kwanza ...wapi likes zangu
Mimi wa kumi Leo, naombeni like zangu 😂😂😂
Hatimae kai kajitambua sasa😊😊
❤ jamn japo vipande viwil kwasiku
𝐓𝐞𝐚𝐦 𝐳𝐮𝐮 𝐡𝐨𝐲𝐞𝐞𝐞𝐞𝐞𝐡
Hoyee 🎉🎉🎉🎉🎉
Team Zuh rahaaaaaaa ❤️❤️😂😂😂😂
Kwani uwa inatoka xaa ngp jmn mi nachelewa kuangalia siwi wa kwanzaaaaaa😂😂😂😂😂
Very nice 🎉🎉🎉🎉 team strong tuko rada waiting for the next part nikiwa Dammam 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
jaman haiishi tu hii movie🙈🙈🙈🙈🙈
Guys ingekuw vyema kuwarch movie hadi mwisho ndio tuazde coment kulengana na movie,lakini nyinyi mwakimbilia kuomba like,huwa mwaziprleka wapi??❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂
Hongeren San Kwa Kaz nzur🎉🎉🎉❤❤❤
Waoooh hongera Sana kwa Kazi zenu nzuli mashallah❤❤❤❤❤