Makonda afunguka kulia Kanisani "Mimi ningekuwa nimekufa | Hakuna Urais pale"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 11. 2018

Komentáře • 412

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 Před 5 lety +41

    Umeongea ukweli mno na kulia ni ishara ya kujishusha saana mbele za Mungu.

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np Před měsícem

    Watu Wa imbaji wanjili kwanini. Musitumie maneno hayo yabusala. Kutengeneza nyimbo nzuli. Amejieleza vizuli sana nikweli we we unaloho wamungu. Tanzania itapona kwa ajiliyako. Amen from Burundi. Tuna kupenda Sana

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Před 5 lety +55

    mkuu mimi sio mkristo lakini nimekuelewa pili jambo unalo pigania nikubwa sana pili unavita kubwa lazima umlilie mungu wala usijali wanavyo kudisi

    • @pretinesspastory9782
      @pretinesspastory9782 Před 5 lety

      Zumbe Shauri kanywe kret ya soda umalize yote bill itumwe kwangu!! watu kama nyie nawapenda sana!! Mungu akutunze mwaya ningeongea mengi juu yako ila nakuombea Allah akutunze!!

    • @mirajikinuke6636
      @mirajikinuke6636 Před 5 lety

      Makonda pambana mpaka mwisho wako...Maana hii ni safari ndefu sana tena mapambano makubwa sana .....M/mungu akulinde na akusimamie katika jambo hili la kuzuia Ushoga

    • @zamzamhamisi7332
      @zamzamhamisi7332 Před 5 lety

      Umeonae mkuu yuko sahihi kabisa

    • @stevenboy1239
      @stevenboy1239 Před 5 lety

      Mungu akubariki sana ningekua karibu nawe ningekuunga bando la mwezi

  • @renathahagai1251
    @renathahagai1251 Před 20 dny

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 Před 5 lety

    Waache tu wanaoongea we chapa kazi TU! Kama umependezwa hebu like Basi!

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 Před 5 lety

    Well said comrade! Asante sana.

  • @andrewkayanda9887
    @andrewkayanda9887 Před 5 lety +15

    Nimekuelewa sana Mkuu wa mkoa. Mungu akubariki sana ktk malengo yako

  • @nice5671
    @nice5671 Před 5 lety

    ameni

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @lightm2225
    @lightm2225 Před 5 lety

    Kumcha Mungu nichazochamarifa barikiwa. Songambele. Mtangulize Mungu wako bila Mungu minute🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    Asante 👏👏👏👏👏👏

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 Před 5 lety +31

    MKUU MUNGU HATOKUACHA NA MUNGU NDO KILA KITU KWAKO

  • @joeldhahabu2037
    @joeldhahabu2037 Před 5 lety

    Amen

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 Před 5 lety +6

    Nakuelewa sana...... Kikubwa Mungu akupiganie brother. Sisi tulio wa Rohoni tunakuelewa.

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 Před 5 lety

    AMEN.

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 Před 5 lety

    💪👌👍

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 Před 5 lety +15

    May Holly Spirit keep guiding u Sir

  • @ubuyutv2577
    @ubuyutv2577 Před 5 lety +13

    Mungu akubaliki sana mkuu wa mkoa

  • @nancymwaria2102
    @nancymwaria2102 Před 5 lety

    Mungu akubariki ...nakuelewa

  • @gloriaanaclet6860
    @gloriaanaclet6860 Před 5 lety +27

    kwa walio wa rohoni watakuelewa vizuri Mheshimiwa.....mbele ya Mumgu aliye amiri jeshi mkuu hakuna kujikaza kiume.... na kama ulivyosema baada ya ibada huwezi elezea kilitokea nini

    • @yohanamnyeti7222
      @yohanamnyeti7222 Před 5 lety

      Hassan!! Pole sana nilifikiri unaweza kuwa mtu. Mwenye busaraha na hekima katika hili, yaani unaanza kuleta na maeno ya dini ya kweli au unataka nikukumbushe kuwa we we ndio umepotea?
      Hebu soma vizuri quarn yako mtume wako Mohammed anaulizwa juu ya hatima yake na wafuasi wake anasema yeye hajui mwisho wake ni nini na Hata wamafuata hajui anakowapeleka na akatoa ushauri kuwa juu ya hilo waulizeni wenye vitabu yaani( Wakristo).
      Pili Allah unayemuita mungu wako kwenye huyo quaran anasema "naapa kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi" kumaanisha kuwa yeye si mungu muumbaji, jitambue uache kukashfu imani za wenzako tunaijua zaidi imani uliyo nayo. Mungu tunaye muabudu wakristo yeyw mwenyewe anasema " naapa kwa nafsi yangu" ikijitambulisha kuwa yeye ndie.
      Juu ya utume wa Mohammad na Yesu Kristo, Yesu Kristo alitumwa na Mungu toka mbinguni na kisha baada ya huduma yake ya miaka 3 na nusu akafa akazikwa na siku ya tatu akafufuka na akapaa mbinguni alikotokea mpaka yu hai .
      Mohammad wako wewe alizaliwa akajiita mtume akaoa na akawakiri kutokujua mwisho wenu akafa na akazikwa hadi leo yumo.kaburi.
      Nikushauri tu Mr. Hassani ulitakaiwa utoe maoni yako tu pasipo kujihesabia haki kwenye imani yako ambayo inakuambia pepo yenu mtakuta kila mmoja ameandaliwa wanawake wa kutosha, hiyo pepo yenu ni ya uzinzi kwa hiyo Hata sasa mnafanya maandalizi juu ya kuingia kwenye hiyo pepo. Wakristo Yesu alituweka wazi kanisa akasema mbinguni hakuma kula, kuoa, wala kuolewa maana wote tutabadilishwa na kuvaa mwili wa utukufu.
      Jitahidi sana Mr. Hassani kuwa mtaraabu juu ya imani za watu wengine. Na Mungu akusaidie

    • @agnesjames8995
      @agnesjames8995 Před 5 lety

      Ni kweli amkimbiliaye na kumtumainia mungu hata aibika mngu atakupiginia ktk kazi yako

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 Před 5 lety

    Mungu akulinde

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 Před 5 lety

    Mwenyez Mungu akubariki na akutangulie

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 Před 5 lety

    Uko sawa mzee

  • @misscon7592
    @misscon7592 Před 5 lety

    Fact..

  • @andrewsagilichuma3779

    Hongera Kaka umetoa elimu Kwa kila ambaye hajamjua ROHO MTAKATIFU

  • @jebrasmrema8568
    @jebrasmrema8568 Před 5 lety

    God bless

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 Před 5 lety

    Uko vizuri mheshimiwa Makonda 👍

  • @imranrajabu3294
    @imranrajabu3294 Před 5 lety

    Safi sana Paul Makonda....mungu yupo

  • @gracehizapolenisana4287

    Pole mheshimiwa

  • @allyramadhani9830
    @allyramadhani9830 Před 5 lety

    nice broo

  • @mercedesphiri1609
    @mercedesphiri1609 Před 5 lety

    Hongera stay strong.

  • @lucasmbuba3149
    @lucasmbuba3149 Před 5 lety

    Asante mkuuuuuu tunakuombea

  • @fugakwamalengo707
    @fugakwamalengo707 Před 5 lety

    point leo kwa Mh.Makonda Paul

  • @feyndungu5567
    @feyndungu5567 Před 5 lety

    Kabisa i agree with you .Amen amen

  • @roseabdul5633
    @roseabdul5633 Před 5 lety

    Good good

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Před 5 lety

    Bravo mheshimiwa, halelluya count your blessing name them one by one,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @merrimerri799
    @merrimerri799 Před 5 lety

    fact God bless you RC

  • @jonasmwita1837
    @jonasmwita1837 Před 5 lety +2

    Ubarikiwe sana Mh mkuu wa Mkoa na Hongera kwa kutambua kwamba sehem pekee ya suruhisho na matatizo yako ni Mungu. Hata Musa aliomba toba kwa niaba ya wana Israel na Mungu akawasamehe. Kutoka 14:1_

  • @selemanimwendilemo9335
    @selemanimwendilemo9335 Před 5 lety +12

    Mimi nahisi watu wanakuonea gere,suala la kulia kanisani halina ukuu wowote Mungu akusimamie kwenye kazi zako kama ni mapungufu wanadamu wote tunayo lkn kwa hili lakwako basi watafute lingine

  • @juventusdaudi2088
    @juventusdaudi2088 Před 5 lety +1

    Ubalikiwe sana kaka yangu.

  • @husseinkulumbiza8894
    @husseinkulumbiza8894 Před 5 lety

    Mungu yuko Upande wako,pambana Mungu Atakusaidia Nasi tunakuombea,Akulinde Akutie Nguvu.

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 Před 5 lety

    Kweli kabisa baba makonda nakupenda sana hakyamungu mungu akulinde sana

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 Před 5 lety

    Kweli kbs

  • @fatomaeid6639
    @fatomaeid6639 Před 5 lety

    Uko sawa mheshimiwa

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    Amen baba, aisee umesema kweli baba

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 Před 5 lety +9

    Upo sahihi sana mkuu

  • @elizabethzabron8489
    @elizabethzabron8489 Před 5 lety

    Natamani ungekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya God bless you

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 Před 5 lety

    Mkuu NAKUKUBALI, bless bro.

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 Před 5 lety +12

    Kusema kweli, zamani nlikuwa simkubali kabisa huyu mtu.ila nimemfuatilia sana nilichogundua ni kwamba huyu kaka amekulia kwenye mazingira ya maumivu ktk maisha yake.ni kama mtu ambae alinyanyasika sana.kwa hiyo amepata nafasi kubwa serikalini anatamani kuwasaidia wale wote ambao anahisi kwa sasa na wao wanapitia maisha ya kuumia kama aliyopitia yeye.anajisikia uchungu.lakini mijitu haimuelewi.

  • @zhnnnsafisanamweshimiawata1312

    pole sana mkuu wa mkoa

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 Před 5 lety

    100% ni kweli kabisa.

  • @pastordaudimwanisenga715

    Amina baba Mimi nakuombea uzidi kumtumikia Mungu

  • @ebenezerurioh9610
    @ebenezerurioh9610 Před 5 lety

    Fact sanaa mh

  • @angelinaally8138
    @angelinaally8138 Před 3 lety

    Amina sana Makonda mtukuze mungu wako mwanadamu Ananini

  • @ministermwakafwila5108
    @ministermwakafwila5108 Před 5 lety +11

    Mungu azidi simama na wewe Mkuu wa Mkoa

  • @irenerashid5868
    @irenerashid5868 Před 5 lety

    Mungu aendelee kukusimamia

  • @benjaminleonard5470
    @benjaminleonard5470 Před 5 lety

    Mungu akuongoze mkuu wa mkoa.

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 Před 5 lety

    fanya kazi kaka mungu akutangurie na atakurinda

  • @benadictoalloys7752
    @benadictoalloys7752 Před 5 lety +3

    Mwenyezi Mungu akujaze nguvu zaidi mkuu uendelee kupambana na hao wakupingao

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Před 5 lety

    Unalilia taifa lako kweli baba roho mtakatifu amina mimi nakuelewa roho mtakatifu

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 Před 5 lety

    Safi sana mkuu

  • @noahmadal753
    @noahmadal753 Před 5 lety +20

    Kaka Paul nimekuelewa umevunja gospel ya maana sn lazima majibu mazuri yaonekane

    • @manganamanganamanganamanga7313
      @manganamanganamanganamanga7313 Před 5 lety

      ww mtangazaji hauna vya kuuliza,muache mkuu apige kazi kulia kanisani ni njema

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 Před 5 lety

      Safi sana makonda Julia kanisani kipindi cha maombi una uwenzo Wa kuzama sana ndani ya maombi jinsi roho mtakatifu anavyokutumia endelea na maombi makonda mwangalie mungu usimwangalie binadamu hawajui walinenalo

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    Nimekuelewa sana baba

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    Wewe mshikilie Mungu baba, achana na watu wa dunia

  • @kenya-yj3eq
    @kenya-yj3eq Před 5 lety

    Kwani kulia ni jambo la kushagaza Tz nanyi mko na mambo...Mungu asimame na wewe mueshimiwa umalize kazi ya mashoga salama

  • @gracefernard9765
    @gracefernard9765 Před 5 lety +1

    Mwenyezi Mungu akusimamie

  • @sesiliachungu1118
    @sesiliachungu1118 Před 5 lety

    amina mtumishi nimekuelewa vizuri sana

  • @zainabubalama4622
    @zainabubalama4622 Před 3 lety

    Nimekuelewa Sana Mh Paul Makonda. Mungu akupe nguvu zaidi inshaallah 🙏🙏🙏🙏

  • @zahararajabu4169
    @zahararajabu4169 Před 5 lety

    Pole sana ndugu yan kwanza unavyo ongea namm nalia wallah pole sana mungu akusimamie katka vitu vyote unavyo fanya inshaallah

  • @Kathren-ed7xb
    @Kathren-ed7xb Před 5 lety

    Mungu azidi kukupigania kaka yangu ni bora kulia mbele za mungu kuliko kumlilia binadam asiyejua thaman ya binadam mwenzie mungu akutangulie

  • @jameslighton381
    @jameslighton381 Před 5 lety

    Mungu akutumie kweli mkuu wa mkoa umenena ambayo wachache sana watakuelewa

  • @simonkuhenga1757
    @simonkuhenga1757 Před 5 lety +1

    Nice talk..very deep mh Paul

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Před rokem

    Mhhh

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 Před 5 lety +3

    Kulia inaonesha how strong a guy is..bravo RC

  • @samwelimwashambwa8725
    @samwelimwashambwa8725 Před 5 lety +11

    kwa hapo nmekuelewa mkuu

  • @mgoledaudi7598
    @mgoledaudi7598 Před 5 lety +1

    Ulishukiwa na Roho Mtakatifu, kwa macho ya nyama wanaona kama unalia, kwa macho ya rohoni ulikuwa umezama kwenye maombi mazito, ubarikiwe sana

  • @yohanasimtenda748
    @yohanasimtenda748 Před 5 lety +2

    Uko sahihi mkuu, mbele za Mungu hakuna kuleta uheshimiwa, nikunyenyekea na kujikabidhi kwake akuhudumie, Ukuu wa mkoa pembeni kwanza linapokuja suala la Ibada. SAFII

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Před 5 lety

    Sawa kabisa hata mie nkiendaga mbele za Mungu wakati naomba nkakumbuka mema aliyonitendea najikuta nalia tu. Nimekuelewa mkuu

  • @shufaafarihya8674
    @shufaafarihya8674 Před 5 lety

    mungu ndie kila kitu tuko nyuma yko

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 Před 5 lety

    Kwa mungu hakuna cha mwanaume wala mwanamke mungu ni zaidi ya nafasi zetu napenda sana kuona makonda analia kwa kuomba msaada toka kwa mungu tunakombea sana kwa mapambano makubwa mbele yako

  • @chachamwita8350
    @chachamwita8350 Před 5 lety

    Na kwa nguvu za Mwezi Mungu utashinda

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 Před 5 lety

    duuuùh .hapo sawa..mkuu acha kuyasikiliza maneno ya watu..we piga kazi ..

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 Před 5 lety

    Kweli kabisa mheshimiwa embu wakuache tu coz hao wanakusema hawana imani na mungu

  • @doreenmrimi2808
    @doreenmrimi2808 Před 5 lety

    Uko sahihi Makonda

  • @charlzzesonconsciousness6685

    Wa tz tuna kasoro ya kuona udhaifu tuu mnaniboa sana #kwenye vitu vya maana tumuunge mkono sio kila kitu ni kupinga tu
    #piga kazi brother

  • @davidolemollel4962
    @davidolemollel4962 Před 5 lety

    Nimekukubali Baba

  • @mivunjoc.miyego1427
    @mivunjoc.miyego1427 Před 5 lety

    Excellent Mr RC. Hilo jibu ndilo linalofaa sana kupita majibu yote ambayo hao walitegemea. Nimefurahi sana mkuu. Mungu akubariki sana.

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Před 5 lety +2

    Hapo ni kweli kabisa. Mkuu upo sahihi.

  • @eddybayzor4106
    @eddybayzor4106 Před 5 lety +10

    Piga kazi muheshimiwa tuko pamoja

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Před 5 lety +3

    Mungu akusaidie Makonda. Hakuna kosa kulia kanisani.

  • @pamelajerome5644
    @pamelajerome5644 Před 5 lety

    Mungu atakusaidia isaya anasema usiogope

  • @consolatamaarufu58
    @consolatamaarufu58 Před 5 lety

    mbele za mungu lazima ulie uwepo Wa mungu unanguvu sana

  • @sheikhasalim9124
    @sheikhasalim9124 Před 5 lety

    Mtu yeyote mwenye imani ya kweli zalima hisia ina kuja mbona masheik wetu wana lia wacheni maneno yenu

  • @annaitolya7712
    @annaitolya7712 Před 5 lety +1

    Ubarikiwe sana kwa utumishi kwa wasio elewa hawataelewa maana ya kulia

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe Před 5 lety

    Hakika baba, kama sio Mungu usingekua hapa

  • @melkizedeckkimaro2094
    @melkizedeckkimaro2094 Před 5 lety +5

    Kweli kaka

    • @benardgervas8840
      @benardgervas8840 Před 5 lety

      Somo la roho mtakatifu hilo mkuu kukuelewa ishu sana.

  • @jovywagofya7329
    @jovywagofya7329 Před 5 lety +1

    🙏🙏🙏🙏well said

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 Před 5 lety +2

    Mungu aendelee kkusaidia kutambua kuwa pasipo yeye hakuna linalowezekana.
    (Yohana 15:5 )

  • @festagaudence3803
    @festagaudence3803 Před 3 lety

    Hakika

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz Před 5 lety

    Wewe umemulilia mungu na c binadamu, sababu unapigana na vita kubwa mno, ucjl pia unahofu ya mungu.