MAKONDA Amuwashia Moto Mkurugenzi, Unataka Niharibu kazi Yangu? Ngoja Utaona

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • MAKONDA Amuwashia Moto Mkurugenzi, Unataka Niharibu kazi Yangu? Ngoja Utaona
    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalinbali ya serikali inayotekelezwa katika mkoa wake..
    RC Makonda leo Aprili 17, amefanya ziara hiyo katika wilaya ya Temeke na kukagua ujenzi wa barabara, ambapo amewataka wanaosimamia miradi yote Dar kuhakikisha fursa za ajira zinaanzia kwanza kwa Watanzania wenyewe kabla ya kuwafikia wageni...
    #RCMAKONDA
    www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Komentáře • 19