Joel Nanauka / Namna ya kutimiza malengo 3 / THE GATES TV
Vložit
- čas přidán 22. 03. 2018
- #JoelNanauka #TimizaMalengoYako #TheGatesMedia #TheGatesTv
Joel Nanauka, Mwandishi wa kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO akielezewa namna ya kutimiza malengo yako. Usisahau ku subcribe, kushare, ku Like na ku comment ilikupata video mpya zaidi.
FOR VIDEO & PHOTO COVERAGE
Call/text/whatsapp: +255 787 411 564 or +255716 000 931
Visit our Website: thegatesmedia.co.tz
Follows us Instagram: / thegatesmedia
Follows us Twitter: / thegatesmediatz
For more videos subscribe to our channel: / @thegatesmedia
Asante CEO and MD of Africa Successes Academy Mungu akubariki sana
Asante nyingi ziende kwa Mama mzazi wa kaka joel hakika mafundisho yako yamenibadilisha mno good bless you
Amen
Sure 🙈
Kabisa matumbo yaliyobarikiwa
Mungu aendelee kukutunza masomo yako yananibariki mnoo
Napenda mafundisho yako
MUNGU akuongoze ckuzote Kaka Joel , somo zr Allah bless you.
Thanks
Ubalikiwe sana kaka unatusaidia sana una Fanya tujiamini kwamba tunaweza
Asante kwa somo ...ili uwe coach wangu inakuaje Kaka Joel
Mungu akubariki .. nimebarikiw sana na somo hili nami nazidi kusonga mbele💪💪
ubarikiwe baba na mungu aendelee kukuweka ili usaidie wengi.ubarikuwe mno
Hongera Sana Nanauka wewe ni msaada sana Mungu akubariki AHSANTE SANA
Hapa kweli kaka nimekuelewa
ahsante sana brother Mungu akupe maisha marefu
Kaka umenikomboa sana
Hongera kwa kutoa Elimu nzur sana ya kutimiza malengo
kaka Joel Nanauka nakushukuru sana kwa kunibadilisha kung'ang'ania kutimiza malengo
Nahitaji kujifunza zaidi hapa
Napenda sana siku yangu nianze kwakusikiliza kitu kutoka kwako!hivyo usipotee tusipate tabu tunao Fanya speech zako kuwa sehemu ya maisha yetu
Perfect
Kabisa bro mungu akubariki
Asante nipo na we popote kupitia speech zako
Jamani kweli ili kufikia ndoto za biashara anguka,bomoa kuta vunja mipaka yaaani ukitoka umetoka sasa mtu anataka afungue biashara January alafu miez mitatu hajauza anaanza Ooo siuzi noo tengeneza jina mwaka au miaka
Ahsantee sana Mungu akubariki 🙏🙏🙏
nashukuru kwamafundisho yako
Nimejifunza mengi kutoka kwako mwarimu muzuri ubarikiwe
Asante sana , nimesikiliza kwa umakini sana nikiwa na notebook yangu
Vizuri sana
kaka nachukia umasikin
Ahsante kwa malifaa
Asante sana kwa ujumbe mkubwa ...naiona kesho yangu
Hiyo tatizo ninalo lakuahirisha. Asante sana
mungu akubariki mnooo.umenifanya nizidi kusonga mbele kumbe Niko sahihi.
Nimekubali sana nukuu zako
Ninakuelewa sanaJoel
Nimekuelewa.sana.kaka.uko.juu
Great words
Mungu akubariki sana
Ahsante sana kakaangu
guys like you ni resources za taifa kwaajil ya ku-awaken others kujtambua. salute to you!!! keep it really
kwel aisee nakubal pia.
Mimi nakihitaji kitabu cha timiza malengo yako na vingine nipo kigoma
Bradhar umenitoa mbali sana Kaka
Hello shikamoh kitabu Cha ishinde tabia ya kugairisha mambo shingap
Nakuelewa sana Joel maana nilipotea sana kwa ck hiz mbil nimebadilika natumaini nitakuwa vzuri zaidi
hongera kaka kwa mafunzo
true brother
Ahsante kaka
Thanks alots
Mungu azid kubak kipaji chako
Shukurani Joel tunajifunza mengi toka kwako, moja ni hili la kufanya kufanya mambo bila kuahirisha
Asante San Kaka Joel Arthur nanauka.... Mungu atubaliki
Assa Mwakasangam.
Asante sn
Mafundisho ya joeli.nimefunguwa duka.namwakahuu naongezalingine.utukufu kwa.jehova
mung akubaliki
Yani Kaka umegusa maisha yangu mungu akuongoze xana Kaka wewe umetoa mbali
Daa hata sijui nilikupataje mtandon .nazani ilikua nimpango wa MUNGU ili niniitimiz maono yangu MUNG akutie nguv
Asante kaka joel
Nimesikiliza kwa makini sanaa
Vizuri sana
good speech.
ELIMU KUBWA SANA HII MWALIMU WANGU NANAUKA ..MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SANA ILI TUENDELEE KUPATA ELIMU YAKO
AMEN
yananisaidia sana
Santee
nice
Like 😍😍😍
Shahad Stars nimejifunza mengi kupitia kwako
asante Sana
Kaka joel ubarikiwe %100unanijenga sana
Heshima kwako blo
Brother we ni mwisho.. Wa yote UBARIKIWE SANA SANA
paulinyo israel nikweri anaweza jamaa
Truly blessed with you....
It's a genuine therapy, i see.
Nitazaa mtoto tamuita joel
Habar kaka Joel naomba ushaur wako mi nikija wa miaka 25 nimegundua kuwa Nina kipaj cha kuzungumza hasa upande wa kuhutubia semina za kidini ndogo ndogo ;kilicho nifanya nijue nguvu yangu ya ushawish mara ya kwanza nilihutubu shere ya dini nilitunzwa pesa nikashangaa sana:sehemu ya pil kipind cha dini huwa nikisimama hakuna mtukutu Wala muhuni anae sumbua nikiwa nahutubia na pesa wakinipa wenyewe;sehemu ya mwisho madrasa inafika hatua watoto awapend aZungumze mwingine zaid ya mm ;Nafanya kaz ya ulinZ nakosa muda wakujua niendeleze vp kipaj changu ni shaur kaka Joel by Said malagalaga
Kaka napataje vitabu vyako hasa kinachoweza kunihamasisha kufikia malengo na kujua bihashara zangu inakuwa
Good
Amen
Kweli kabisa
exacty
Nahitaji kitabu cha timiza malengo yako
ubarikiwe kaka!
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana
Mimi ninaishi mozambike kaka Asante sana nimikwera sana Kwa ujumbe wako😊😊😊 mungu akubariki sana
Sauti Ngwajima
Kiongozi unacho kifanya nikityu kizuri saaana an
day 2mbona sioni kaka na kitabu nakipataje nmekusikia mwaka jana ila nmekuelewa sana
Pambana upate chako ili tuwasadie wazazi
vizur
genius Tv Asa
namba
Cha muhimu Kaka hapo kwa mfano hyo wik end n kwel watu wanakuwa Free jarbu kuelekeza wawekeze ktka jambo gan ambalo litaleta tija kwao?
day 2 hakuna????
This man is God sent
Wakenya mpo???
naweza pata kitabu hiki wapi
Hiyo ya tano ni sana nahis ni mitaji inasumbua maana unachek hata kitu cha kuuza upate mtaj unakosa uombe kwa nani huoni
Ajiriwa kwa muda ili upate mtaji wa kuanza
Alafu kaka Joel unatufundisha mengi wengine kununua vitabu shida utuwekee na no ya sim tutume hata ya soda na tuweze kuwasiliana tuulize vya siriiiiiii 0765492492
Let me subscribemeeeeeen i like det
Asante kaka mbona zile namba ulizo tupa tukipiga hazipokelewi
Ni Mungu ametupatia wewe ili utumike kubadilisha kizazi. Umesomeka Kaka kwa Watu mashuhuri Kama Mimi tunakuelewa sana. Ila ninatafuta sana namba yako
@joel_nanauka nahitaji msaada zaidi kwako unachokiongea kilinikuta ila sikujiona ndonimefeli nilinuka nanikapambana najua ikosiku nitakua napopahitaji mimi 0621072012
yangu maombi 2
0718902632 nitafute
kitabu chokonitapatawapi
asante kaka nimejifunza mengi
Brother vp fitabu vyako sinapatikana wapi?
Asante kaka Joel kwa mafundisho mazuri
Somo zuri sana Brooo mungu akubarik xan
Asante Sana Joel
Tuko nawewe
Kaka umenikomboa sana
Jamani kweli ili kufikia ndoto za biashara anguka,bomoa kuta vunja mipaka yaaani ukitoka umetoka sasa mtu anataka afungue biashara January alafu miez mitatu hajauza anaanza Ooo siuzi noo tengeneza jina mwaka au miaka
naweza pata kitabu hiki wapi