MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 06. 2023
  • MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
    Haya ni maombi ambayo unaweza kuomba usiku na pia hata kama umelala unaweza kuyaweka tu ukalala yakawa yanaendelea. Tambua kwamba kuna nguvu katika maombi.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    CZcams Link:
    / holyspiritconnect

Komentáře • 268

  • @moja6907
    @moja6907 Před 3 dny +1

    BWANA YESU ...MFALME WA NAZARETH Jina lako ni jina KUU, Utukufu wako ...ni wa Milele ...Ufalme wako hauna mwisho...Unijalie ...Amani, ushindi ktk vita na watesi wangu, afya , vipato ,imani , na upendo kwa wote ukadhihirike mbele ya wote ...walio hai. KWA JINA LAKO lishindindalo Majina yote MFALME...

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Před dnem

    Hakuna kina linguine yesu kina lako nitamu nizuli kila alitajae hupona hakuna kama wewe kwa wanangu hakuna kama wewe Jehovah jile johova nisi hakuna kama wewe Amen 🙌🙏🙏🙏 najiweka mikononi mwako

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Před dnem

    Hakuna kama wewe mungu wewe ujibue maombi Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙏🙌🙏 mungu ujibue maombi naomba ujibu maombi ya haja ya moyo wangu

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Před dnem

    Amen 🙏🙌 Amen 🙏🙏 Amen 🙌🙌 Amen 🙏🙏 bwana yesu ni wewe mwenye baraka na heshima baraka zinawewe bwana yesu Amen 🙏🙌🙏 hakuna kama wewe bwana yesu bwana yesu utukufu una wewe

  • @dorahbendera6066
    @dorahbendera6066 Před 11 měsíci +9

    Mungu anisaidie niweze kuwa na kiu ya maombi na roho mtakatifu aingie ndani yangu

  • @naimbqmbotto6454
    @naimbqmbotto6454 Před 3 dny

    Mungu nisaidie kwa maana wewe ni kila kitu kwangu

  • @NancyNancy-fr8ms
    @NancyNancy-fr8ms Před 12 dny

    Mungu baba nakushukiru kwa zawadi niliopata kutoka kwako,, naomba unifungie katika maisha yangu,,, Amina

  • @marykavindu9131
    @marykavindu9131 Před 19 hodinami

    ASANTE yesu kwa neema yako amen

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 Před 7 měsíci +6

    Asante Yesu kwa rehema na huruma kwenye maisha yangu na watu wote wanaonizunguka.na familia yangu

  • @floramwande8216
    @floramwande8216 Před 18 dny +1

    BWANA YESA HAKUNA KAMA WEWE NAOMBA UNITOE KWENYE HAYA MISHA MAGUMU NINAYO ISHI MUNGU NISAIDIE

  • @user-vs1yg3ts8b
    @user-vs1yg3ts8b Před 8 měsíci +2

    Asante mungu hakuna jambo linaloshindikana kwako jehova ameen

  • @mariamwakajila235
    @mariamwakajila235 Před měsícem +1

    Eeeh! Mungu Unirehemu nataka unifungue Masikio ya nisikie na kuongea vizuri🙏🧎🙇😭🙌

  • @charleskagonji7468
    @charleskagonji7468 Před 9 měsíci +2

    We mungu uknisamehe makosa yangu na familia yangu nkuja mbele zako usiniache

  • @LeaBonifasi
    @LeaBonifasi Před 3 dny

    Asante mungu kwa neema yako na upendo

  • @Teaching356
    @Teaching356 Před 24 dny

    BWANA YESU unirehemu.

  • @ManuelImani
    @ManuelImani Před 12 dny

    Amena bwana yesu asifiwe

  • @VanessaRippel
    @VanessaRippel Před 12 dny

    Eeemungunihurumie nashukuru kwakuni inua nakusifu hakuna kama wewe Asantesana utendae makuu ni wewe uniponye mfalme wa wa wafalme unishindie majaribu

  • @Marrymboya-cl9io
    @Marrymboya-cl9io Před 2 měsíci

    Ee mungu unijibu maombi yangu

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Před 11 měsíci +2

    Naomba rehema kwa inchi ya Kenya na viongozi wa Kenya pamoja na ulimwengu wote

  • @HusnaKassim-ze3bs
    @HusnaKassim-ze3bs Před měsícem

    Mungu vni mwemaa

  • @HamisAlhaji-tq9kb
    @HamisAlhaji-tq9kb Před 9 měsíci +2

    Ee..Mungu ukaisikie sauti yangu unisamehee...Na nisiwe mwenye shingo ngumu🙏🙏🙏

  • @drverianmsuya6199
    @drverianmsuya6199 Před měsícem

    Mungu ni mwema sana

  • @ManuelImani
    @ManuelImani Před 12 dny

    Mni ombeye aleluya

  • @samwelimacha795
    @samwelimacha795 Před dnem

    Amina sanaaa

  • @clesensiamlosa9987
    @clesensiamlosa9987 Před 5 měsíci

    Amina baba kwa maombi yako mazuri

  • @serahnthamba2097
    @serahnthamba2097 Před 9 měsíci +1

    Naomba rehema juu ya Kila eneo ya maisha yangu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Před 6 měsíci

    Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Před 5 měsíci

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @GraceMbasha
    @GraceMbasha Před 3 měsíci

    Asante roho Mtakatifu🙏🙏

  • @AdelhermaMbwana-dy6dp
    @AdelhermaMbwana-dy6dp Před měsícem

    Amen mungu asante

  • @GraceMbasha
    @GraceMbasha Před 3 měsíci

    Asante yesu🙏🙏

  • @user-qc6ns8fx6q
    @user-qc6ns8fx6q Před 4 měsíci

    inua huduma yangu na uponyaji❤😅

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn Před 6 měsíci +1

    Amen mungu nomba ukajibu maombi yangu

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 Před dnem

    Amen

  • @suzyaroni416
    @suzyaroni416 Před 5 měsíci +1

    Ameen

  • @diazndomba6043
    @diazndomba6043 Před 7 měsíci +3

    Amen! Maana we ni Mungu Mwenye enzi uliyehai unayejibu maombi

  • @MsamakaMihambo-yv5do
    @MsamakaMihambo-yv5do Před 6 měsíci

    Asante yesu

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx Před 9 měsíci +2

    Aminaaa Mungu sikia kuomba kwetu

  • @user-eg3gg1bs4q
    @user-eg3gg1bs4q Před 3 měsíci

    😭🙏🧎‍♀️ good bless me from my life

  • @JanethJoseph-tq2ns
    @JanethJoseph-tq2ns Před 4 měsíci +1

    Emeeeee ❤

  • @user-pu3ly3ej2y
    @user-pu3ly3ej2y Před 5 měsíci

    Niomba nipone tumbo lauzazi niwena bebamimba ziwezinakaahad mdawa kujifungua miezi 9 amen

  • @proscoviakaganzi62
    @proscoviakaganzi62 Před 6 měsíci

    Mungu nakuomba toto mwenye afya njema naomba afya njema ya damilia nutuepushe na maadui zetu utupiganue vita na utushindie utatufiche na vioo vya kuzimu

  • @christinajohn1822
    @christinajohn1822 Před 8 měsíci

    Amina yeah napokee

  • @christinajohn1822
    @christinajohn1822 Před 8 měsíci

    Nakuhimidi yeah nakuabudu

  • @HusnaKassim-ze3bs
    @HusnaKassim-ze3bs Před 2 měsíci

    Ameni kubwa

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Před 4 měsíci

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @user-ek7ck1om3l
    @user-ek7ck1om3l Před 2 měsíci

    Namshukuru Mungu kupitia maombi haya nimejikuta na nene kwa lugha barikiwa mtumishi

  • @user-mo8on5ll7e
    @user-mo8on5ll7e Před 6 měsíci

    Bwana tusamehe

  • @aproniamfugale9097
    @aproniamfugale9097 Před měsícem

    Ameeeen Mungu nakukabidhi maisha ya watoto wangu.

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Před 19 dny

    Amen 🙌🙌🙏🙏

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Před 11 měsíci +1

    Naomba rehema kila eneo la maisha yangu pamoja na familia yangu katika jina la Yesu kristo amen

  • @ndeningwambora3302
    @ndeningwambora3302 Před 4 měsíci

    Asante Yesu kwa uponyaji
    Sintakufa bali nitaishi nami nitayasimulia matendo ya Mungu

  • @annakimario-rw6rd
    @annakimario-rw6rd Před 5 měsíci

    Mungu aniponye na magonjwa yote yanayo niandama na wale wote wanao umwa mungu awaponye wote

  • @clesensiamlosa9987
    @clesensiamlosa9987 Před 5 měsíci

    Naomba katika maisha yangu nifanikiwe nimalize nyumba nyangu

  • @LuluMkota-kt4ux
    @LuluMkota-kt4ux Před 5 měsíci

    Naomba kufunguliwa uckie kuomba kwetu we yesu wangu napokea

  • @sarahnyasulo6876
    @sarahnyasulo6876 Před 8 měsíci

    Barikiwaaa

  • @NanaMachela
    @NanaMachela Před měsícem

    Ninakutamani sana Mungu wangu! Nisaidie ninapokaukiwa!!!

  • @user-mj3zp5ht3b
    @user-mj3zp5ht3b Před 2 měsíci

    Amen ukweli Amen 🙏🙏🙏

  • @Vee8064
    @Vee8064 Před 11 měsíci +21

    Amen Eheee Mungu Usikie Kuomba Kwetu sawa na Zaburi 86:6. 🙏

  • @julianasuleman219
    @julianasuleman219 Před 3 měsíci

    ZMungu nilinde na nguvu za wachawi .Mungu nipe njia ya kujikinga

  • @user-oy4gj7cx2y
    @user-oy4gj7cx2y Před 2 měsíci

    Eee mungu unisamehe makosa yangu ambayo nayafahamu nanisiyo yafahamu

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in Před 6 měsíci

    Mungu naomba kupitia maombi haya nipate kibali Cha kuolewa

  • @MaombiFrancois
    @MaombiFrancois Před 5 měsíci

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Před 4 měsíci

    BWANA YESU wewe ni MUNGU unajibu maobi

  • @happinesspatrick3902
    @happinesspatrick3902 Před 5 měsíci

    Ee Mungu tunashukuru kwa ajili ya mtumishi wako!

  • @user-tq9pj6du5r
    @user-tq9pj6du5r Před 6 měsíci

    Bwana yesu fungua milango yangu iliyofungwa amina

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in Před 6 měsíci

    Mungu kupitia maombi haya nipate kibali Cha kupata kazi

  • @LillianYatundu-yh2cn
    @LillianYatundu-yh2cn Před 11 měsíci +1

    Mungu ni samehee dhambi zangu na unirehemu

  • @oman798
    @oman798 Před 5 měsíci

    AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU Bwana niwewe tu

  • @user-bj1wh2nx9n
    @user-bj1wh2nx9n Před 5 měsíci

    Mungo naomba utusikie ktk ucku wAleo

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 Před 4 měsíci

    BWANA YESU wewe ni MUNGU ujibiwe maobi

  • @LuluMkota-kt4ux
    @LuluMkota-kt4ux Před 5 měsíci

    Bwana yesu fungua milango yangu iliyo fungwa

  • @MaombiFrancois
    @MaombiFrancois Před 5 měsíci

    Ubarikiwe

  • @user-yl3no6uf5d
    @user-yl3no6uf5d Před 4 měsíci

    Amen and amen ee yesu mwema nakuomba ukanijibu maombi yangu 12 yakatimie bwana ktk jina la yesu kristo kayajibu na kuyabariki. Mungu wangu kama ulivyo umba mbingu bila nguzo bwana na leo yajenge na kuyajibu maombi yangu kwangu bwana

  • @elizabethmhinas7414
    @elizabethmhinas7414 Před 9 měsíci

    Amenmunguwewe peke Yako ndy unaejibu maombi ninaimani katikajina layesukristo

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 Před měsícem

    Amen amen

  • @ilumboligoha3516
    @ilumboligoha3516 Před 11 měsíci

    Bwana Yesu ni wewe peke yako utendayo makuuuu

  • @user-rq9vf5di6s
    @user-rq9vf5di6s Před 9 měsíci

    amina mtumishi mung akulinde umeniongoza katika maomb ya uck

  • @user-we3oo2ug3q
    @user-we3oo2ug3q Před 6 měsíci +2

    Aminaaaaa 🙏🙏🙏🎉 that's Awesome congratulations pastor 🙏

  • @user-ce2xq9nc8w
    @user-ce2xq9nc8w Před 4 měsíci

    Amina

  • @neemaaggrey-yh6os
    @neemaaggrey-yh6os Před 2 měsíci

    Asante Mungu kwa rehema na huruma yako

  • @ellytarimo2568
    @ellytarimo2568 Před 11 měsíci +2

    Amen Mungu ni mwema kwangu

    • @jescachuwa1566
      @jescachuwa1566 Před 7 měsíci

      Amina naomba uibariki familia ya ngu nauwalinde dhidi ya maombi haya

  • @evelineshimirimana9773
    @evelineshimirimana9773 Před 11 měsíci +1

    Bwana YESU okowa inci ya Gabon 🇬🇦

  • @user-hf7vg1rs4f
    @user-hf7vg1rs4f Před 6 měsíci

    Asante Mungu wng utukufu una wewe🙌

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry Před 2 měsíci

    Ee mungu sikia maombi haya,,,ameeen

  • @user-ff1so3xm3g
    @user-ff1so3xm3g Před 8 měsíci

    Naomba rehema kwenye kila Ebro la maisha yng

  • @JumaNussura
    @JumaNussura Před 7 měsíci

    Mungu uskie saut yangu usku huu

  • @user-ep6ic8wt8s
    @user-ep6ic8wt8s Před 2 měsíci

    Amen mungu wewe utendae makuuu

  • @user-oy4gj7cx2y
    @user-oy4gj7cx2y Před 2 měsíci

    Amen 🙏

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv Před 4 měsíci

    Asante Baba Wewe Ndio Unsyejibu Maombi Uliju Maombi Ya Ayubu Ukajibu Maombi Ya Ana Maombi Ya Maombi Ya Yule Mwanamke Aliye Toka Damu.Assnte Mumgu Umejibu Katika Jina La Yesu.

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i Před 4 měsíci

    Amen 🙏🙏

  • @JumaNussura
    @JumaNussura Před 7 měsíci

    Mungu uñjibu maom bi yañgu

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 Před 7 měsíci +1

    Amiiina

  • @HalimaAmani-sq3bm
    @HalimaAmani-sq3bm Před 6 měsíci

    Asante Yesu kwa neema ya maombi

  • @junnemwenda8956
    @junnemwenda8956 Před 11 měsíci +2

    Amen mtumishi,🙏🙏

  • @ndeningwambora3302
    @ndeningwambora3302 Před 4 měsíci

    Napokea kwa damu ya Yesu

  • @lucwilliam
    @lucwilliam Před 5 měsíci

    Napokea katika
    Jina la yesu

  • @user-rk8fq8pc1s
    @user-rk8fq8pc1s Před 8 měsíci +1

    Ameeen🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @lucyadongo8994
    @lucyadongo8994 Před 11 měsíci +1

    Bwana Yesu niwewe unaweza katika Jina la yesu kristo Amen

  • @magdalenecheyo8084
    @magdalenecheyo8084 Před 2 měsíci

    Zab 86:5