WAZEE WA YANGA WAITAKA KARIAKOO DERBY/WATUPA JIWE KWA MTANI/WASIKIE HAPA.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 04. 2024
  • Sport

Komentáře • 152

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Před 2 měsíci +25

    Wazee wameitika hapana chezea yanga 🎉🎉🎉🎉 daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💛💛

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 Před 2 měsíci +16

    Hao Wazee waenziwe ndiyo wanatuombea nasi tunafanikiwa. Hongereni wazee

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 Před 2 měsíci +9

    Twapaswa Kuiombea Yanga !!Dua ziwe kubwa sana !!Tuliomba sana kipindi cha mamelody na Yanga ndiomana Mungu hakutuacha!!Dua zetu ziipate Timu YETU ya young African!!Mungu isaidie Yanga YETU tuzidi kwenda mbele

    • @FaridaSeif-yk3th
      @FaridaSeif-yk3th Před 2 měsíci

      Mimi mechi ya mamelod miliomba dua tusifungwe na tupate goli japo moja na hatukufungwa na goli ndo lile lililokataliwa,,kwa iyo derby hii mtani anakufa Tatu bila insha'Allah.

  • @elbacabdoudjesh5629
    @elbacabdoudjesh5629 Před 2 měsíci +51

    Mm leo ni wa tano kila mwananchi naomba tujuwane kwa like zenu

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n Před 2 měsíci +8

    " maono yangu tu" hii ni yanga tv ya kwetu sisi hii mechi jaman tumeipa wazee mi naona uwekwe utaratibu kwa walioko Dar matawi yote wafuate na usafiri ,wapewe ulinzi uwanjani, wapate picha ya pamoja uwanjan baada ya menchi, lakini piya kangekuepo na kautaratibu ka namba furani tuchangie kinachopatikana walipiwe tiketi hakika siku itakuwa bora sana na ya kipekee wanafamilia wenzangu " wananchii"

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před 2 měsíci +3

    MUNGU ni mwema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @imanikubwa2896
    @imanikubwa2896 Před 2 měsíci +7

    Wazee ni muhimu kuwepo,maana hata mbinguni wapo,Wazee 24 ktk kiti Cha Enzi Cha Mungu. Mungu ibariki Yanga

  • @HusseinKafuta
    @HusseinKafuta Před 2 měsíci +6

    Kila la kheli timu yangu pendwa Yanga Africans inshallah tutashinda next weekend Young bingwa

  • @johnjames-pw1dp
    @johnjames-pw1dp Před 2 měsíci +4

    Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e Před 2 měsíci +11

    Ee bikira maria mtakatifu wa mungu utuombe siku ya jumamosi tushinde, aminaaaaaaaaa

  • @phiddeschacha3143
    @phiddeschacha3143 Před 2 měsíci +6

    Sisi wazee tupo kwa amani zetu, tutawasili na kujitokeza mapema sana, siku hiyo. Point 3 ndo muhimu zaidi hatuhitaji magoli meeengi zaidi ya points🙏🏾🙏🏾

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před 2 měsíci +4

    Safi sana wazee wetu Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 Před 2 měsíci +6

    Daaa!! Aluwatani pokes maua yako nimeipenda hii aisee

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper Před 2 měsíci +10

    Wazee musituangushe kolo anatakiwa azivagae kuanzia tatu❤❤❤

  • @jassontv5366
    @jassontv5366 Před 2 měsíci +22

    Aliewaelewa wazee gonga like za kutosha hapa🤣🤣🤣 imeisha hiyoooo

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 Před 2 měsíci +8

    Nimependa kauli ya mzee, tusibweteke na propaganda eti wanaugomvi, hawana ugomvi hawa, ugomvi tuwasababishie sisi😂😂

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 Před 2 měsíci +7

    Mzee mpili😂😂 atuchezi atucheziii😂😂😂🎉🎉

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 Před 2 měsíci +13

    Tulivyo jipanga sisi wazee ni zaid ya mipango hohoho kama nawaona madunduka hohohoho💚💚💚💚💚❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 Před 2 měsíci +2

    Ishaall tumtangulize mungu magoli yapo ila tusijiamini sana

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 Před 2 měsíci +9

    Kila la kheri wazee day

  • @steamtvtz
    @steamtvtz Před 2 měsíci +5

    Hiii imeenda

  • @Jamessichone-tg7pm
    @Jamessichone-tg7pm Před 2 měsíci +7

    Kilalakheri safari njema tupo pamoja wananchi wazee day

  • @allenmdimi8105
    @allenmdimi8105 Před 2 měsíci +1

    Hongereni chama langu yanga kwa kuwa wabunifu

  • @isayamuse4672
    @isayamuse4672 Před 2 měsíci +5

    Ongeeno na wachezaji wasile hongo wakauza game😢

  • @user-kr2qr8vx1x
    @user-kr2qr8vx1x Před 2 měsíci +5

    Kwa kuwa ona TU usoni hao wazee ni mbili yanga moja Simba mtanitafuta na nitaomba zawadi Kwa rais wa yanga ni mnyenyekevu msikivu hiyo imeishaaaaaaa

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +21

    Yanga 7️⃣ Simba 0️⃣

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před 2 měsíci +2

    Hao ndo wachawi wenyewe wanaofuga majini lazima muwaheshimu ,,SIMBA SPORT CLUB❤❤❤❤❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO

  • @johnmushi8739
    @johnmushi8739 Před 2 měsíci +5

    Nilikua napendekeza siku hyo wazee wapate eneo lao uwanjani.

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 Před 2 měsíci +12

    Fanyeni kama tulivyowaagiza wazee wetu tunawategemea makolo hawatoki watapigwa kama ngoma yani😅😅😅

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc Před 2 měsíci +3

    Wazo la mchambuzi wa Finest online Miraji Maramoja wamelichukua Yanga FC

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 Před 2 měsíci +5

    Wazee day on its best

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +12

    Twenden kwa mkapa tukajaze uwanja

  • @mohamedymohamedy143
    @mohamedymohamedy143 Před 2 měsíci +5

    Wazee wetu..wazazi wetu dua zenu ni muhimu kwa timu yetu

  • @GibsonShuma
    @GibsonShuma Před 2 měsíci +1

    hongera rajabu domogazi nkubali bimkubwa😂😂🔥

  • @PeterMakole-ve2wu
    @PeterMakole-ve2wu Před 2 měsíci +5

    Simba watajua kwanini hii mechi ni wazee day,au hawajui utu uzima dawa?

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Před 2 měsíci +4

    Kila la kheri point 3 muhimu

  • @KennethNgoleka-fh5mi
    @KennethNgoleka-fh5mi Před 2 měsíci +2

    Mimi ngoleka nipo masasi mtwara kwa liyembe nataitakia YANGA ushindi maana tunakutana na wachezaji wazee kwa tafsiri yangu,piga hao tatu bila.

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 Před 2 měsíci +6

    Mpili nakukubari sans

  • @adamshehe6237
    @adamshehe6237 Před 2 měsíci +10

    Yanga African

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Před 2 měsíci +10

    Makolo wapo zanzibar kupunguza magoli ila magoli 7 au zaidi zipo pale pale😂. Wazee washasemaa watawashugulikia😂😂😂.

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 Před 2 měsíci +4

    Wazeee oooyeee❤❤ yanga bingwa 😂😂

  • @amosibushaija4808
    @amosibushaija4808 Před 2 měsíci

    Msimsahau mzee wetu mheshimiwa Jakaya Kikwete na yeye ni Mwana Yanga damu damu

  • @mahamudhimu7934
    @mahamudhimu7934 Před 2 měsíci +4

    Yanga yanga yanga

  • @LucasMtabo
    @LucasMtabo Před 2 měsíci

    Ulishazeeka mzee mpiri, kacheze na wajukuu nyumbani

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +7

    Yanga 7️⃣ NGURUWE fc 0️⃣

  • @rahimunuru133
    @rahimunuru133 Před 2 měsíci +1

    Hii ndoto inanisumbua sana kila siku naota SIMBA amefungwa 6-0 ad naogopa yan ee mwenyez mung wanasimba tuwe na uvumilivu tareh 20 🥹🥹

  • @eltonezra1247
    @eltonezra1247 Před 2 měsíci +2

    Hapo kwenye wazee kutoka Sumbawanga, Mzee Mpili kaubonda mwingi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +5

    Mpiri bwana 😅

  • @KimSaidi
    @KimSaidi Před 2 měsíci +2

    ❤❤❤❤❤

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +8

    Tupo pamoja

  • @GwamakaSamson-pg6bl
    @GwamakaSamson-pg6bl Před 2 měsíci +7

    Yanga 10 nguluwe fc0

  • @JohnDismas-1440
    @JohnDismas-1440 Před 2 měsíci +7

    Yanga 8-0 simba😅

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Před 2 měsíci

    Namshkr sana mno Eng.Hersi Said+ uongozi wote uliopo madarakani bila kumsahau mfadhili wetu GSM kwa kutuheshimisha cc WAZEE hiyo 20/aprl.Vjn mnaweza/mnajituma cc tulishawapa BARAKA zote,propaganda zao ZICTUTOE MCHEZONI,Ari/kasi/uwezo/nia ya USHINDI ipo palepale,inshaAllah ushindi,Aluta continua.

  • @LazaroLawrence
    @LazaroLawrence Před 2 měsíci +1

    Mzee mpili moto

  • @zachayomzury
    @zachayomzury Před 2 měsíci +1

    Ss wazee tunapiga 7 hao mwakarobo natuna hasira San😅😅😅

  • @user-np4om6hz4m
    @user-np4om6hz4m Před 2 měsíci +1

    Tupopamoja wazee wetu nasisi vijana tupotayari kuwaungamkono wazee wetu naamini tutashinda insha allah

  • @user-sq4kc5ee2z
    @user-sq4kc5ee2z Před 2 měsíci

    Hongereni wazee

  • @yoelmickaj4049
    @yoelmickaj4049 Před 2 měsíci +1

    Hawa sio wazee tu, BALI HAWA NI WAZEE WA KAZI. Mtan eeee njo utuambie ulipata wap ujasir wa kutucheka Kwa MADIBA. YANGA bingwa

  • @user-nf3dc9fb6v
    @user-nf3dc9fb6v Před 2 měsíci +3

    🙏🙏🙏

  • @chrispinkomba2771
    @chrispinkomba2771 Před 2 měsíci

    Hongera rajabu domogazi,hili jina ntampa Binti yangu

  • @user-kt3ro2zt5i
    @user-kt3ro2zt5i Před 2 měsíci +2

    💚💛💚💛💚💛🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před 2 měsíci +2

    Allaah Akbar

  • @damasdaudi7799
    @damasdaudi7799 Před 2 měsíci

    Mzee mpili kashasema sisi ni nan Hadi tupingee😂😂😂

  • @user-cv4jb1bm6i
    @user-cv4jb1bm6i Před 2 měsíci +7

    Ila twendeni mbele turudi nyuma wazee hawachezi mpira😂

  • @user-rp6ev9ux1o
    @user-rp6ev9ux1o Před 2 měsíci

    Wazeee tunawaamini ,daima mbeleee

  • @langastonechat
    @langastonechat Před 2 měsíci +6

    Wameisha hao wazee wako vzr

  • @wizzygraphicschannel
    @wizzygraphicschannel Před 2 měsíci +1

    Mzee mpiri😂😂

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Před 2 měsíci

    Pia itapendeza zaidi tukizilipa zile 6 walizotufunga makolo ili tusiwe na deni nao

  • @user-xf1gm8iu9f
    @user-xf1gm8iu9f Před 2 měsíci

    Mimi Niko Kibiti ni mmoja wa wazee,"Tunawaombea YANGA USHINDI siku ya jumamosi"

  • @AbdallahallyIflahim
    @AbdallahallyIflahim Před 2 měsíci

    Wananch eeee tukutane kwa mkapa😢😢

  • @user-zg5jv2zh9v
    @user-zg5jv2zh9v Před 2 měsíci +1

    Wezeeeee wa chumviiiii nyingi

  • @joctanmazengo7505
    @joctanmazengo7505 Před 2 měsíci +1

    Tunashinda

  • @MathiasFungavyema
    @MathiasFungavyema Před 2 měsíci +8

    Mm ndo kidume wa kwanza yanga 7️⃣ NGURUWE fc 0️⃣

  • @Promk112
    @Promk112 Před 2 měsíci +2

    Mzee mpili kaona mikoa ni mbeya na SUMBAWANGA tu😂😂😂😂😂

  • @princemercury5824
    @princemercury5824 Před 2 měsíci

    Nimesikia sumbawanga kwa mzee mpili

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Před 2 měsíci

    Hii imeenda duniani😁😁

  • @AbubakarMizora-fd2ke
    @AbubakarMizora-fd2ke Před 2 měsíci +2

    Kamwe waambie wazee tunatakaheshima iwe yamiaka tukifugwa wataongea hawa

  • @merinachalinze-rn2cc
    @merinachalinze-rn2cc Před 2 měsíci

    Mungu mwema

  • @user-pf3qt1lb1h
    @user-pf3qt1lb1h Před 2 měsíci +1

    WAZEE DAY(Mapigo ya kiutu Uzima)

  • @MaglassmaglassTz
    @MaglassmaglassTz Před 2 měsíci

    Sababu tunacheza na wazee ..hiyo tarehe 20 bs inaitwa wazee day ...sawa 🤣🤣🤣🔰🔰🔰🖐️

  • @Aviwamwadin-so3vy
    @Aviwamwadin-so3vy Před 2 měsíci

    Mbona mi sijaona dalili za ushindi hebu rudini tena muianfalie game kwa umakini sio kuongea kwa mdomo tu

  • @user-jh3fd5yt9i
    @user-jh3fd5yt9i Před 2 měsíci +1

    Hatari sana

  • @amosibushaija4808
    @amosibushaija4808 Před 2 měsíci

    Kufikia ijumaa tiketi ziwe zimeisha tuone sold out

  • @user-nt6fb2ky3t
    @user-nt6fb2ky3t Před 2 měsíci

    Naiona mechi ya yanga vs mnyama imeshaisha Kwa matokeo ya 7-0 Simba

  • @bsure234
    @bsure234 Před 2 měsíci

    Ahsanteni wazee wetu

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu Před 2 měsíci

    Msituletee mashetani tu,maana mayele analia kijana wa watu.

  • @user-rp6ev9ux1o
    @user-rp6ev9ux1o Před 2 měsíci

    Daima mbeleee!!!!

  • @mbogosimba5042
    @mbogosimba5042 Před 2 měsíci +2

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jackobchavala3384
    @jackobchavala3384 Před 2 měsíci +2

    💚💛

  • @hamishamis179
    @hamishamis179 Před 2 měsíci

    Hata wahuni nao huzeeka jamani

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 2 měsíci +1

    Haaa hadi mibibi wamo😩😩😩😩

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Před 2 měsíci +2

    😂😂😂😂😂

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Před 2 měsíci +3

    Wazee Derby 😅😅😅😅😅😅

  • @prosperabison1368
    @prosperabison1368 Před 2 měsíci

    🔥🔥

  • @felishonde113
    @felishonde113 Před 2 měsíci +1

    Yanga ni baraha tripu hii wanapigwa 7 hao watoto wa mudy

  • @user-im5kc6ey7j
    @user-im5kc6ey7j Před 2 měsíci

    👏👏👏👏🔥🔥🔥

  • @allykinyaga6060
    @allykinyaga6060 Před 2 měsíci

    Mzee mpili mbona umeishikilia hiyo SUMBAWANGA??

  • @user-fi7ky2yp9u
    @user-fi7ky2yp9u Před 2 měsíci

    Fanyeni kz wazee

  • @dastanjrk1811
    @dastanjrk1811 Před 2 měsíci +1

    😄😄😄litakufa jitu

  • @TumainiBiswalo-ok4xm
    @TumainiBiswalo-ok4xm Před 2 měsíci +2

    ila yanga mnatisha eti wazee dey