WACHEZAJI WA ZAMANI YANGA WALIVYOWAPA SOMO MABINGWA WA SAFARI LAGER CUP - AVIC TOWN

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 06. 2024
  • Sport

Komentáře • 40

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove Před 8 dny +8

    Mashallah hakika najivunia san kuwa shabiki wa timu iyi ya wananchi ni timu ya watu kbs hakika allah awalinde viongozi wetu kwa upendo nakujitoa

  • @user-vm4vi3xf7q
    @user-vm4vi3xf7q Před 8 dny +10

    Nafurahishwa sana na program hii ya kuwakumbuka ma legendary wetu tena kuwapa hazi kama izo yaan hawa ni watu wa muhimu sana.

  • @othumanyahya9168
    @othumanyahya9168 Před 7 dny +1

    Hicho ndicho kinachotakiwa katika mpira, YANGA onyesheni njia na timu zingine zifuate. Hongera sana SAFARI LARGER kwa kuibua vipaji na kuwatumia wachezaji wa zamani kuto mafunzo.

  • @yustinodavidmillungu4585

    Asante Sana Midfielder wangu Sekilojo Chambua Kwa kumtaja striker WA vitu Said Mwamba kizota

  • @SurprisedAgilityPuppy-od7lj

    Watu wa maana sana hawa nimefurahi sana timu yangu kua karibu na wakongwe wetu safi sana

  • @jacobjames8706
    @jacobjames8706 Před 6 dny

    Hongereni sana wananchi

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 8 dny +1

    Tumalize deni hata ktk ya msimu tusajili tunahitaji marekebisho kidogo tuu kulingana na bajeti yetu ,kuna uchovu na injuries.,i love u yanga watoto wa jangwani.

  • @Tunually
    @Tunually Před 5 dny

    awa vijana watacheza na team gan hiy tareh 29

  • @CatherineFrancis-ii7eq
    @CatherineFrancis-ii7eq Před 8 dny +2

    hii nzuri

  • @Cathyson469
    @Cathyson469 Před 8 dny +3

    Kweli Yanga ni shule ya soka

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 8 dny +1

    Yanga ni timu yangu damu uwanja wa jangwani uko sawa nashukuru uongozi , hatutaki wachezaji washaridhika na hela,tunahitaji wachezaji wenye malengo na nini wanahitaji kwenye brand ya yanga ,hatuhitaji wachezaji washaridhika na hela .daima mbele nyuma kwetu mwiko,irusheni yanga kids.

  • @jackmabirangacharles9398

    Yanga ibaki kuwa Yanga tu

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu Před 7 dny +1

    Yanga bingwa

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Před 8 dny +1

    Stephen Nemes mkae nae karibu ni mtu wa mazoezi sana.na alikuwa kipa mzuriìi mno .Yanga.Nyota nyekundu......ni kipa aliekuwa anafanya mazoezi sana

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 8 dny +1

    Sijui kama kwenye historia ya nyerere au yanga kama imeandikwa cos wasungu waliotutawala wanazo hizo history kwenye vitabu vyao vya ukoloni

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před 7 dny +1

    Mwanaume kuwa na deni lenye manufaa kama kubeba makombe huo ndiyo uanaume. Siyo unalalala tuu bila kujibidisha na kukosa makombe huo siyo uanaume.

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b Před 7 dny +1

    Tuangalie vijan watatfaa

  • @bingwaabdallah5011
    @bingwaabdallah5011 Před 7 dny +1

    Safii

  • @user-sg6xy4qs6o
    @user-sg6xy4qs6o Před 8 dny +1

    Mbona awakwenda kwa madunduka na awkutumia uwanja wa bunju si nasikia madunduka wanauwanja?

  • @alexkobo185
    @alexkobo185 Před 8 dny +4

    Mbona sauti kama changamoto

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj Před 8 dny +1

    Samahani mbona Keneth Mkapa simuoni kwani yupo wapi huyu mwamba💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @mbarakamwayungu3485
    @mbarakamwayungu3485 Před 3 dny

    HUYO ALIELETA WAZO HILI LA KUWATUMIA WACHEZAJI WA ZAMANI KATIKA KUWAJENGA KIMCHEZO WACHEZAJI VIJANA,MUNGU AMUWEKE,NA AMPE UPEO ZAIDI,SIJAMUONA OMARI HUSENI KEEGAN ZAIDI YA MIAKA 20.

  • @BakaryOngo
    @BakaryOngo Před 7 dny

    Mafunzo kama hay tuwspe timu ze2 B kwausha uli mwema

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Před 8 dny +1

    Sawa mnawafundisha lakini kama wa nenda cheza na yanga hii tunaowajua 😢😢 wanakula nyingi😅

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc Před 7 dny

      Hata kama watakjla nyingi lakini haziwezi kufika 7 kama za jirani😂😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Před 5 dny

      Hilo sio lengo la hii programme!! Lengo ni kuwapa vijana ,elimu, experience, confidence, kumbukumbu na kuwaonjesha raha ya kucheza kiwango cha juu pia kuwapa fursa ya kuonyesha uwezo wao! Sio mechi ya ligi au michuano🤣🤣🤣

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Před 8 dny +1

    Acha kuropoka ropoka, deni la babu yako, nani anadaiwaa?

  • @amanizavala
    @amanizavala Před 8 dny

    Utopolo lipeni Hela za watu kenge nyie

  • @Tunually
    @Tunually Před 5 dny

    awa vijana watacheza na team gan hiy tareh 29