UTAPENDA! RAIS ENG. HERSI AKI-ENJOY NDANI YA SERENGETI AKIWA JUU YA BALLOON

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 06. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • Sport

Komentáře • 91

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Před 9 dny +17

    Kula Maisha Kijana Mwenzangu Unastahili Zaidi Na Zaidi, Mungu Akulinde Ndugu Yangu,,🙏🙏🙏🙏💪💪💪💚💚💚💚💛💛💛💛

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 9 dny +12

    Kwa uwepo wako tu hapo tayari umeutangaza utalii wetu hongera sana hersi rais wetu wa yanga

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 Před 9 dny +10

    Yang Africa imetangaza utalii like never before.
    Asante kwa ubunifu mkubwa sana.
    Peekaboo wachezaji na wapenzi serengeti

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před 9 dny +9

    MUNGU ni mwema hongera Sana Engineer Hers kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana nyote shalom

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f Před 9 dny +9

    We are proud of Tanzania, we are proud of Young African SC and we are proud happy to happy to have you Eng.Herse 💐🙏🙏

  • @Le_petery
    @Le_petery Před 9 dny +9

    Serengeti is amazing.. Seems was nice experience. One day I will be there 💚💛🇹🇿🇹🇿

  • @rajabually2060
    @rajabually2060 Před 8 dny +2

    Mungu akuweke raisi wetu daima mbele

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Před 9 dny +3

    Such a so much respected figure in our country. Not only in football arena,but he earns from all the aspects of life. Nampenda sana Eng. Hersi🎉🎉🎉🎉

  • @ramadhannjolesti
    @ramadhannjolesti Před 8 dny +2

    Rais wa team kubwaaaa💚💛💪🙏

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 Před 9 dny +3

    Rais Eng.Hersi Said,yuko kazini kutafuta wafadhili wa Yanga,na pia timu ya Yanga kuwa Ambassador wa Serengeti sadaru + Safari balloon wakatangaze nje ya nchi hasa zile watakazokuwa wanaenda kucheza nazo.Tumia pesa upate pesa,hakuna kulalia masikio.
    Big up sana Eng. Hersi Saidi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @saidkilungi641
    @saidkilungi641 Před 9 dny +7

    Jamani huyu rais anawapenda sana wachezaji wake yaani mpaka kasema kuna kila sababu wachezaji wakainjoi nao

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Před 9 dny +3

    Mambo niyapendao ndoto zangu mbaka zikamilike nipande baluni💛💛💚

  • @allydaud612
    @allydaud612 Před 9 dny +8

    Pumzika raisi wetu kazi unayoifanya ni ngumu

  • @ezekielmirambo8704
    @ezekielmirambo8704 Před 9 dny +3

    Big up and much congrats Eng. Hersi

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Před 9 dny +2

    Mungu akusimamie rais wetu

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Před 9 dny +3

    Una vitu vingi sana Rais wetu kipenzi hakika yanga oyeeeeee

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před 8 dny +2

    YANGA hiyo 💛💚💛💚💛💚Daima Mbele nyuma mwiko

  • @martinabel3896
    @martinabel3896 Před 9 dny +3

    Hii inaitwa royal tour part 2, hongera eng hersi kwa kuutangaza utalii

  • @GCM43
    @GCM43 Před 9 dny +10

    Hongera kwa kutangaza utalii

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema Před 9 dny +3

    Safi sana Rais wetu Unatisha

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 Před 9 dny +4

    Hard work pays,....enjoy your holiday president eng💚💛🏆🙏

  • @Mmenga_junior
    @Mmenga_junior Před 8 dny +2

    Amazing!! This is perfect

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Před 9 dny +1

    Hongera sana Rais wetu Kwa kuzidi kuifanya YANGA yetu iwe juu na ama Kwa hakika next season ni juu zaidi na zaidi hakika mungu akulinde siku zotee

  • @User255tv
    @User255tv Před 9 dny +4

    Wahenga walisema "raha jipe mwenyewe", big up Engineer!

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p Před 9 dny +5

    hongera jembe la wananchi

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před 9 dny +7

    Shwari 🎉🎉🎉

  • @user-it2pz1hf9t
    @user-it2pz1hf9t Před 9 dny +3

    Yan yang no stres honger Rais wet

  • @Kilindoni_tv
    @Kilindoni_tv Před 9 dny +4

    Inshaallah mtafika tu

  • @JaphetCarrick
    @JaphetCarrick Před 9 dny +3

    Ebhana kama vile movie 🎉

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Před 9 dny +4

    dah ira we mwamba kweri unawapenda wachezajiwako maana naona ujasaau kuwataja ongera sana

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq Před 9 dny +5

    arafu awa always uwa wanakimbia2😂😂😂😂

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 Před 9 dny +16

    Mwache apumzike kumchapa mtu nje ndani si mchezi

  • @willyseme-fz4qu
    @willyseme-fz4qu Před 9 dny +4

    Kiongoz 🔰🏆

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Před 9 dny +4

    Kiongozi wetu shupavu Sana big up🎉🎉🎉🎉

  • @GIPSONURASSA-xl7cr
    @GIPSONURASSA-xl7cr Před 9 dny +7

    Yang bhn Raha tuu asante rais

  • @matronamushi7021
    @matronamushi7021 Před 9 dny +4

    Enjoy baba...umefanya makubwa ni wakati wa kula Raha sasa💚💛💚

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před 8 dny +2

    Allaah Akbar

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před 8 dny +2

    Mtoko wa kiwango cha juu huo Engineer wa TZ wengi matajiri hawajui kula bata huyo🇹🇿🇹🇿💛💚💛💚🇹🇿🇹🇿💛💚💛💚🇹🇿🇹🇿

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq Před 8 dny +2

    mtashobya josia nikiwa Kenya ongera sana mnatisha atari sanaa

  • @PatsonIkula
    @PatsonIkula Před 9 dny +3

    Imekaa vizuri

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 Před 9 dny +3

    YANGA BINGWAAA 🎉🎉🔥💯💐🇹🇿

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md Před 9 dny +1

    🎉🎉🎉our president

  • @user-uy8nu6zr7w
    @user-uy8nu6zr7w Před 8 dny +2

    Nimepamiss sana Serengeti national park hakika Serengeti haijawahi kumuboa mtu.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs

    😂😂😂😂😂😂 yanga bingwa

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 Před 9 dny +3

    Kupanda ilo shingapi ivi !?

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Před 9 dny +3

    Kilalakheir kiongozi wetu

  • @Promk112
    @Promk112 Před 9 dny +4

    Namna gani Eng unawajali wachezaji wetu kwa hio kauli "natamani wachezaji wetu wa yaoung africans waje hapa wafanye utalii wa hot air baloon"

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Před 9 dny +3

    Nimelipia yanaga app lkn inanigomea jamn

  • @LomTarakwa
    @LomTarakwa Před 9 dny +6

    Mbebeni taratibu raisi wetu usajili unaendelea na bado tunamuitaji sana

  • @sidemnyamwezi4069
    @sidemnyamwezi4069 Před 9 dny +3

    Kwa wazawa ni gharama kiasi gani kutarii kama vile Raisi wetu wananchi.means kupanda balloon nk

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 Před 9 dny +4

    Big leader.. eng

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 Před 9 dny +3

    Je inaruhusiwa kupanda na watoto

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 Před 9 dny +3

    I believe I can fly one day!❤

  • @abubakarkarsan31
    @abubakarkarsan31 Před 9 dny +4

    Mungu amzidishie busara ili yanga izidi kupiga hatua

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 Před 9 dny +3

    Pilot ni mtaliano huyu maana lafudhi yake ni ya kitaliano.

  • @matronamushi7021
    @matronamushi7021 Před 9 dny +4

    Raha sanaaa

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 Před 9 dny

    Asante president of yanga umenitangazia kampuni yangu ya urushaji balloon hapa serengeti, Tarangire na kogatende ,karibuni sana MIRACLE EXPERIENCE BALLOON 🎈

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 Před 9 dny +5

    Ok

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Před 9 dny +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥

  • @davidiccasmir129
    @davidiccasmir129 Před 9 dny +2

    Why does it not support downloading?? 😢😢😢

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Před 9 dny +2

    💛💚💛💚💛

  • @mansiusdeusi7752
    @mansiusdeusi7752 Před 9 dny +17

    Mm wakwanza naomben like zenu😊

  • @MussaalexmapundaMapunda
    @MussaalexmapundaMapunda Před 8 dny +1

    😂😂😂😂😂 wao watazani anacheza kumbe anajambo lake uyo!

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Před 9 dny +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @salumadam5527
    @salumadam5527 Před 9 dny +2

    Inshaallah nami ntaenda kutaliiiii

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Před 8 dny +1

    Nakaya unaelekea wapi?😢😢

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 Před 9 dny +3

    Enjoy

  • @idiidi-rq5gk
    @idiidi-rq5gk Před 7 dny +1

    Eng vp umewaona cmba😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Před 9 dny +2

    Sasa huyu mzungu avutae kamba ndio dereva

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Před 9 dny +1

    Simba anawidwa Kila seem😂

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před 8 dny +1

    Peleka Timu nzima Baba yote nzima na bench la ufundi tafadhali

  • @renatusrweyongeza9333
    @renatusrweyongeza9333 Před 9 dny +3

    Fahren Sie gut.

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 Před 9 dny +1

    💚💛💚💛

  • @user-ox9wj6tu3c
    @user-ox9wj6tu3c Před 9 dny +3

    Naomba kuliza huyu dada hizi kamba anazovuta zinamana gan

    • @EliasHassani
      @EliasHassani Před 8 dny

      Apo ni kubalance ballon liwe na ukubwa kazaa na distance flan

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og Před 8 dny +1

    Mbona kipind leo kimekua kifupiii

  • @user-ly5jh5wq9y
    @user-ly5jh5wq9y Před 6 dny

    Aiseee haha mimi nitaenda huko

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Před 8 dny +1

    7-2

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 Před 9 dny +1

    ❤❤❤

  • @user-rv3ml6cf7e
    @user-rv3ml6cf7e Před 9 dny +1

    Apo sasa kataa mh

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 Před 4 dny

    waweke bei za kitanzania, kumchaji mtz $400-500 kama mgeni wa nje sio fair

  • @martinabel3896
    @martinabel3896 Před 9 dny +4

    eng hers naomba uwalete wachezaji wetu huko serengeti

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b Před 8 dny +1

    Perezi

  • @user-ox3pd3vc9d
    @user-ox3pd3vc9d Před 9 dny +1

    Asieudie tn ivi km ndo anapata ajal inamaana ndo tusiwe nae hpn kwakweri bado tunamuhitaji san

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 Před 9 dny +2

    Ok