RAIS ENG. HERSI ALIVYOMHAMISHA BACCA KUJIUNGA NA TIMU JOB | KIBWANA APAGAWA - WAPE TABASAMU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 06. 2024
  • Sport

Komentáře • 53

  • @user-hp5zf2fw4o
    @user-hp5zf2fw4o Před 6 dny +30

    Upendo uliopo yanga ndo unaifanya timu yetu isonge mbele

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 Před 6 dny +26

    Kibwana kwenye timu yake kuna kazi😂😂😂😂

  • @user-it2pz1hf9t
    @user-it2pz1hf9t Před 6 dny +15

    😂😂😂😂😂😂Yaan nyie viongoz muna anza kutup tabasam leo kabla ya kesh lah sanaa. 😅😅😅

  • @nestory8045
    @nestory8045 Před 6 dny +11

    mbona mapema hivyo 😂😂😂😂😂

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian Před 6 dny +11

    Yani sisi team kibwana tuna GSM lkn bado mnatuibia wachezaji imeniuma sana hiii😂😂😂😂😂

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 Před 6 dny +12

    Kibwana usitumie nguvu sana

  • @NeemaSilasy
    @NeemaSilasy Před 6 dny +9

    Noma sana

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f Před 6 dny +13

    🤣🤣🤣🤣 nmecheka sana ila Bacca ni mali sanaa

  • @zabronernest3471
    @zabronernest3471 Před 6 dny +22

    Kiongozi wa pekee anaejua kuishi na wachezaji

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před 6 dny +6

    😂😂😂😂ila mnajua kumuonea kibwana jmn juu Ako na ibwe mwenye ayupo oficen ila nawapenda tupunguze tu madeni jmn team yetu inaupendo wa Hali ya juu

  • @user-jf7vx9nb9m
    @user-jf7vx9nb9m Před 6 dny +5

    Yaan ktk sehem ambayo hatuna presha wala maradhi ni Wana yanga kwetu raha tu shida zao wenyewe

  • @JulieMbeko-jw6iq
    @JulieMbeko-jw6iq Před 6 dny +1

    Uko viziri sana Rais wetu,ila hpo kunakitu nimekigundua kinaendelea,safi sana.

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q Před 6 dny +5

    I love yanga

  • @HajiSuleiman-fr2nk
    @HajiSuleiman-fr2nk Před 6 dny +6

    Imeisha iyoo😅😅😅

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba Před 6 dny +3

    Basi kama ndio hivyo mrudishie hiyo nauli kibwana aliyo tumia kumfuata bacca znz, Msiwe kama kolo fc walivyo mpola Ramek lawi kutoka coastal.

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Před 6 dny +4

    Jamani boss mbona munamuonea kibwana mwanangu 😂😂 basi ngoja nimpe ushauri Kama kocha wake ana baki mzuri kwao amlete jamani 😂

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 Před 6 dny +1

    Hahaha BACCA MAOKOTO ndio kila kitu

  • @twalibnurdin4494
    @twalibnurdin4494 Před 6 dny +3

    Kibwana mbona kama ana ghazabu😅😅

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b Před 6 dny +3

    Job danger

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n Před 6 dny +2

    Kibwana taftaaaaa pesa ,Kaka 😂😂😂

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p Před 6 dny +1

    Yaan kheri tu ligi isianze kwanza. Maana raha hizi zinazidi hata mashindano ya ligi kuu hahaha...

  • @lwzmangulu7532
    @lwzmangulu7532 Před 6 dny

    Hiii ni Tim ya watu wenye frahaa daima mbele nyuma mwikoo kweli 💚💚💚💚💚

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před 6 dny +1

    Ety Bacca kaibiwa airport😅😅😅

  • @jemimabakari
    @jemimabakari Před 6 dny +1

    Sio vizuri 😂

  • @user-mx9bt2mj2l
    @user-mx9bt2mj2l Před 6 dny +1

    Mimi Tim kibwana jaman kila atua dua🤣🤣

  • @meddyfahaddy711
    @meddyfahaddy711 Před 6 dny +5

    Huyu Eng. Hersi anaweza hata akamsajili kibwana kwenye team job😄😄

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 Před 5 dny

      Meddy 😂😂😂😂😂😂 umetisha na hii comment 😂😂😂 Fala wewe

  • @user-un6bn5jo3i
    @user-un6bn5jo3i Před 6 dny

    Mnamuonea sana kibwana mmemwibia mpaka back sasa yy timu yake itakuaje basi chukueni ushindi tu kabisa timu zisiingie uwanjani

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Před 6 dny

    😅😅😅😅😅😅dah hii kali bacca Hana mas'hara na pessa Kuna siku atakuja kututoka Ivo Ivo kufuata hela uyo 😅😅😅

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Před 4 dny

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elardmassawe5513
    @elardmassawe5513 Před 6 dny

    Nimemfata mwenyewe zanzibar😂😂😂

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před 4 dny

    Mu mnziiiiiiiiu ujinga mtupu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před 6 dny +4

    Hahahahaha

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw Před 6 dny

    One love💛💚💚💚💚💚😜😜

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 6 dny

    Kuleeeee wanahangaika na wakina Lawi,mabingwa wanapata tabasamu 😆😆😆😁😁

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p Před 6 dny

    Hahaha.... YANGA NI ZAIDI YA MPIRA. RAHA SANA.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 6 dny

    Jamani mrudishieni angalau Kibwana nauli yake aliyotumia kimfuata Bacca Znz🤣🤣🤣🤣

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy Před 6 dny

    Big club

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 Před 6 dny +3

    😂😂😂😂😂😂

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n Před 6 dny

    Ha ha ha watu wamemuiba juuu kwa juuu

  • @user-lg6je8xh4p
    @user-lg6je8xh4p Před 6 dny

    Hahahaha... Mrudishieni ghalama zake, amemfuata Zanzibar huyu hahahah.....

  • @zainaburamadhani1444
    @zainaburamadhani1444 Před 6 dny

    😅😅😅😅😅 mnavituko nyie

  • @user-rj4lt9np5p
    @user-rj4lt9np5p Před 6 dny +2

    😂😂😂

  • @johnmgalilwa9136
    @johnmgalilwa9136 Před 6 dny +2

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema Před 6 dny +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg Před 6 dny +1

    😂😂😂😂

  • @soudmdegela580
    @soudmdegela580 Před 6 dny +2

    😂😂😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 Před 6 dny

    😂😂😂😂

  • @user-pp7im3us3v
    @user-pp7im3us3v Před 6 dny

    😂😂😂😂😂😂

  • @SarahMgaya-yb6ek
    @SarahMgaya-yb6ek Před 6 dny

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey Před 6 dny

    😂😂😂😂