VIBE LA WANANCHI KWENYE SOKO LA SAMAKI (FERRY) KUELEKEA KARIAKOO DERBY

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 04. 2024
  • Sport

Komentáře • 36

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před 2 měsíci +6

    Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 Před 2 měsíci +1

    Best derby song bravo sana MC Mbogo

  • @MaglassmaglassTz
    @MaglassmaglassTz Před 2 měsíci +3

    Hatunaga majirani ....hapa soka tu na magoli kwa sanaa ...kalale njaa kwenu 🔰🔰🔰💪

  • @christophermwashiozya5178
    @christophermwashiozya5178 Před 2 měsíci

    Kanyimbo kazuri sana hongera ila msiende na Matokeo sababu Darb ni Darb msije mkafa kihoro hakunaga Simba mbovu mbele ya yanga Imara Tufanye wajibu wetu kama mashabiki na wanachama kuingia kwa wingi uwanjani ili tukawape Vaib la kutosha wachezaji wetu.Mungu bariki Timu yangu Yanga africa.

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 Před 2 měsíci

    Inshaallah mungu tusimamie tushinde

  • @user-eh5il7pw2f
    @user-eh5il7pw2f Před 2 měsíci

    Jamani hii hbr ya Mzize kwenda Azam mbona siitaki kuisikia !asuende atapotea kabisaaa

  • @iqramawadh80
    @iqramawadh80 Před 2 měsíci +3

    Ila Yanga yangu Raha sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 2 měsíci +1

    Wapili jamani wimbo huu jamani umesababisha nimepata mke mwe!

  • @sondagm007
    @sondagm007 Před 2 měsíci

    DAIMA MBELE

  • @AshimuMuhammad
    @AshimuMuhammad Před 2 měsíci +1

    Ubunifu wa hali ya juu

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před 2 měsíci

    Allaah Akbar

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 Před 2 měsíci +1

    Point 3 muhimu ikiwezekana tuzilipe zile 6 tusiwe na deni nao tunahitaji ushindi haijalishi kutokee Nini ushindi ndio furaha yetu

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Před 2 měsíci +1

    Wakwanza 💛💚

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 2 měsíci

    Majirani sio watu ukiwa nacho utaombwa chumvi,ukiwa hauna maneno kibao mpaka kwa mkeo..twendeni nao kama mamelodi au beluzdad ,namkubuka marehemu mdingi..ngao wakiwa kama mamelodi,mpira sio siasa haturudi kwenye bakuli...love u yanga...kuna wanangu nishawalipia tiketi japo nitakuwa kazini ,watoto wa jangwani..

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 Před 2 měsíci

    Wengine wote wanaiga tu,hii ndiyo original!!

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e Před 2 měsíci

    Oyo Oyo oyoooooooooooooooooooooooooooooo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 2 měsíci

    Mzee yuko vzr anatembea haraka haraka kweli🤣🤣🤣🤣 kumbe bado hajazeeka bhana.

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Před 2 měsíci

    Hataleeee sana

  • @MariaRashidi-te6pt
    @MariaRashidi-te6pt Před 2 měsíci

    Wananchiii hatuna majirani😅😅😅

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Před 2 měsíci

    Nahc ktk huu mchezo,game approach itakayotumika,ni ile ya "Mamelodi Vs Yanga".Kwa maana kwmb,Yanga atakuja kama Mamelodi na Simba atakuja kama Yanga,ili kumzuia huyo Mamelodi wa Kariakoo asipate goli llt.So very tactical game

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 Před 2 měsíci

    Jiulize kwa nn wameenda kufanyia feri na jamqa walipita hapo

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 Před 2 měsíci

    One love wana inchii🎉🎉

  • @Ba63828
    @Ba63828 Před 2 měsíci +2

    Dar bila YANGA huzuni

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 2 měsíci

    Hakika nimecheka kama chiz sawa bhana kwa mkapa kuzika na suhna

  • @choyorashidichoyo8067
    @choyorashidichoyo8067 Před 2 měsíci

    ❤❤❤

  • @tinamalele8560
    @tinamalele8560 Před 2 měsíci

    💚💚💚💚💛💚💛

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py Před 2 měsíci

    💚💚💚💚

  • @mudimkagila5252
    @mudimkagila5252 Před 2 měsíci

    💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @usatoenglandvegas4046
    @usatoenglandvegas4046 Před 2 měsíci

    My timu❤❤❤❤❤

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 Před 2 měsíci

    Nimeipenda, vipaji vipo Tz

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 Před 2 měsíci

    Hatari

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 2 měsíci

    Hii ngoma mkifanyia promotion ,hatuwahitaji watani hata kama hawatokuja.washaanza kususa kwenye mechi yetu ,sisi wengine tuko mbali ,ila tunachangia chama.

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly Před 2 měsíci

    🔥🔥🔥🔥

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg Před 2 měsíci

    💛💚💛💚🫶