NDEGE YA KWANZA KUUNDWA TANZANIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 09. 2018
  • Mgunduzi alietengeneza magari na helicopter ya kwanza sasa anatengeneza ndege yake hapahapa.
    #Tanzania #Zanzibar #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "VISA VYA KUSISIMUA | MAKALA | HABARI | VIPINDI MBALI MBALI | HAPA HAPA KTV TZ ONLINE"
    • VISA VYA KUSISIMUA | M...
    ~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Komentáře • 31

  • @ktvtzonline
    @ktvtzonline  Před 5 lety +4

    Number ya kuwasiliana na KTV ni +255 625 323 932

    • @is-hakamassoud8706
      @is-hakamassoud8706 Před 5 lety

      Mm kipaji changu kipa
      Lakin sin Tim ya kucheza

    • @haarithsaamiry3469
      @haarithsaamiry3469 Před 5 lety

      Huku kwerekwe mkabala name chuo cha mwalimu Hussein kuna nyumba inamoto wa maajabu mpka wenye nyumba wamehama vipi mlikuja

    • @samwelmakungu8220
      @samwelmakungu8220 Před 4 lety

      KTV TZ ONLINE imi nafikira utengeneza / go cart lakini baada ya hiyo nitategeneza self runing machine ya kutoa umeme, kwasasa nashindwa kwa
      Aajili ya malighafi sina uwezo nazo

  • @latifahamisi3051
    @latifahamisi3051 Před 5 lety +5

    mashaa allah allah azidi kukupa kipaji zaidi ya hapo inshaa allah

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 Před 5 lety +1

    Masha Allah hongera Sana Coach Sugu bakumbuka mwaka 2012 uliponipakia kunipeleka home na GARI yako ya Sugu 2

  • @bkassimidarous2076
    @bkassimidarous2076 Před 5 lety +1

    ktv tz online nendeni na jumbi wilaya ya kati u/nguja yupo jamaa anatengeneza ndege hatari sana uyo jamaa anaitwa HASSAN ALI BAKARI hem nendeni nako mkaone

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 Před měsícem

    Naomba namba sugu.

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 Před 5 lety

    Maa shaa Allah

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Před 8 měsíci

    Okay mnasema anaweza kutengeneza gari mpaka sasa kashatengeneza gari dizaini gani mpaka nataka kutngeneza ndege asije kuuwa watu

  • @qaiszahran7992
    @qaiszahran7992 Před 5 lety

    nakukubali sugu wewe unaweza kuliko wote Tanzania..😍

  • @geofreypaul9503
    @geofreypaul9503 Před 5 lety

    Kweli

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 Před 5 lety

    Mtaji wa masikin nguv zake mwenyew honger kaka

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 Před 5 lety

    mm kula sana

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 Před 3 lety

    Hiyo ndege inapaa?

  • @mrsnam6897
    @mrsnam6897 Před 5 lety

    Engine au machine ya mahindi

  • @MavaziClothing
    @MavaziClothing Před 5 lety

    Inabidi abaki kwenye kuitengeneza Magari Aache mawazo ya ndege. Kwani anatakiwa aboreshe ubora WA gari yake.
    Na aweke fikra zote hapo hapo kwenye ufanisi aliojaariwa..

  • @suleimantwn9104
    @suleimantwn9104 Před 5 lety

    Mm nipo tyari kusrkana na huyo wasababu mm pia nina kipaji nadhani kukisrkana tunaweza kutengneza kitu kimoja na kufankazi bila shaka

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 Před 5 lety +1

    Tanzania kuna vituko

    • @mariamdjae9825
      @mariamdjae9825 Před 5 lety +3

      Qaboos said, hakuna vituko Tanzania sema mashaallah kwa kipaji cha mwenzako usimdharau, Allah kampa kipaji chake isipokua umasikini na udhaufu wa nchi yetu na serikali kutompatia support ya kumnyanyua kipaji chake, kwani hao wanofanya ni nani? Si binadamu kama sisi, sio malaika ila wamepata supported wakafikia malengo yao. Serikali ingewashuhulika wt kama hao si wangefungua kiwanda cha magari Tanzania. Ss wa Africa tuna choyo na kudhauliana ndio maana hatuendi mbele. Huoni Hilo gari lilompatia tunzo liko mitaani tu, wezetu wangelifungulia showroom likawa kumbukumbu.

    • @is-hakamassoud8706
      @is-hakamassoud8706 Před 5 lety

      @@mariamdjae9825 maneno yako ni saw

    • @awadhirajabu7754
      @awadhirajabu7754 Před 5 lety

      huu mtandao wa airtel ndugu watanzania mnauonaje utoaji wa uduma ya intaneti apa tanzania angekua wazili Rugola naisi afrika tungekua mfano wa kuigwa kuusu intaneti

    • @salamahajji3678
      @salamahajji3678 Před 5 lety

      Qaboos said Zanzibar tunajivunia kwakua na vipaji

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Před 5 lety

    Kwanini hilo gari mnaliwacha linakufa hapo nje,msilipeleke makumbusho

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 Před 5 lety

    Mbona wanaotengeneza makolokolo ya namna hii wapo wengi mitaani.

    • @BESTTV1LIVE
      @BESTTV1LIVE Před 5 lety

      Cha tofauti hapo ni Kuunda engine
      Nina hisi hengine wachomea mabati tu sio engine

    • @awadhirajabu7754
      @awadhirajabu7754 Před 5 lety

      Angekua mtu wa ulaya kusingetokea mtu wa kuita kokoro ila black nacc baazi yetu niwatumwa wawazungu atumkubali mtu wa namna hii wakati pengine anaweza kubuni kitu adim ulimwenguni

  • @yahyasaid5841
    @yahyasaid5841 Před 5 lety +1

    😂😂😂😂 ssa kna htare ya mtu kufa

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 Před 5 lety

    Hawa ndio wa kupewa kipaumbele na serikali ili kiendeleza kipaji na kuongezewa ujuzi lakini Africa duhhhhh kaziao siasa za kijinga

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 Před 5 lety

    hapo domo tupu hakuna hata dalili na hivyo anavyoelezea hiyo Engine haifahamu hata kidogo