BBC BIASHARA BOMBA: 'Ndege Zinatengenezwaje?'

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 01. 2019
  • Umeshawahi kujiuliza jinsi ndege aina ya Airbus, Bombardier au Boeing zilivyotengenezwa?
    Kwanini mashine kubwa kiasi hicho kinapaa angani ?
    Tupo katika kiwanda cha ndege cha Eikenhof Johannesburg, na ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo kwa ajili ya soko la Afrika Kusini na kimataifa. Na hapa tumepatana na Andrew Pitman ambaye ni Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni hii #AfricaAviation #Airbus #Bombardier
  • Jak na to + styl

Komentáře • 6