LISSU AKABIDHIWA GARI YAKE ILIYOPIGWA RISASI,ALAMA ZA RISASI ADAI "MILANGO NITAIPELEKA MAKUMBUSHO"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024

Komentáře • 24

  • @muyasaidy
    @muyasaidy Před 21 dnem +10

    Tuma namba tukuchangie Kaka wala usihofie kabisa

  • @user-fn6xy1ku7d
    @user-fn6xy1ku7d Před 21 dnem +8

    Hiyo gari ipelekwe makumbusho tu

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 Před 21 dnem +7

    Mbona mikutano yake ya kudai katiba mpya hamupost.Acheni unafki sisi syo malimbukeni...We need double standard

  • @meryLeonard-is8ry
    @meryLeonard-is8ry Před 21 dnem +3

    Punguza kitambi mzee wangu nakutegemea jembe langu

  • @user-nb5op7ss2s
    @user-nb5op7ss2s Před 21 dnem +1

    Dah! Sijafahamu kwann wanasiasa na wanaharakat wa kwel kwann hawadumu. Walimshambulia Lisu, walipotea/ kupotezwa, mauaji ya Aqwilina, walimshambulia mbunge wa manyara. Mpaka leo hakuna taarfa kamili. 🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️

  • @Wish_Tv
    @Wish_Tv Před 21 dnem +2

    Uyo Dada wa Amina Amina anakela kiasi 😂

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro Před 21 dnem +1

    Kweli

  • @elisantenyange8751
    @elisantenyange8751 Před 21 dnem +5

    Mwamba anaishi na risasi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před 21 dnem +2

    Huyu atakuwa na.mshahara .serikalini. maana kawa.kimyaaa sana na nidhamu juu alafu kanenepa

  • @SheMndagala
    @SheMndagala Před 21 dnem +2

    Huyu anaemwambia lisu kabeba mavi, atafutwe naakamatwe,hayo ni matusi baba wawatu kamkosea nini,vyombo vya dora msimwache huyo, hana maadili

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 Před 21 dnem +1

    Mungu ameahapigana na watesi wako....

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Před 21 dnem +1

    Mwamba anaishi aliekusababishia hayo mathila Kafa

  • @troybolton6686
    @troybolton6686 Před 21 dnem +1

    Sijui apunguze msosi maana hilo tumbo kwa kiafya siyo poa kwa sababu kabeba mavi mengi tumboni

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Před 21 dnem +4

      Wee jamaa una loho mbaya yaani nimecheka saaana kabeba mavi mengi tumboni wenye vitambi woote Dunia wataandama wakuue maana umewadharirisha 😂😂😂👍👍

    • @fxmeddy9567
      @fxmeddy9567 Před 13 dny

      Kweli bro kiafya sio nzuri

  • @user-ot5us9mz9w
    @user-ot5us9mz9w Před 20 dny

    Mzee siasa ningumu sio mpira hvyo Kila mtu angetaka kufnya atakvyo angefnya sikama angeenda kulichumua kama tikiti

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Před 21 dnem +4

    Ushapewa gari sasa toa sera za chama sasa sio mwaka mzima uzungumzie makabidhiano ya gari , Sera za Chadema nini wananchi tunazisubiria au hadi CCM wafanye jambo nanyi mje nyuma nyuma kukosoa??

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Před 16 dny

    Eti dotto magari anataka aiuze hiyo gari

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Před 21 dnem

    Siku zote alikuwa wapi kulichukua?Kila Siku stori hizo hizo, na suala la katiba limeishia wapi?

    • @elisantenyange8751
      @elisantenyange8751 Před 21 dnem +2

      Acha nongwa, unajisahaulisha Alisha taka kulichukua hakupewa, mwamba yupo hai na roho mbaya zenu. Na swala la katiba mpya linaendelea.

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 Před 21 dnem +2

      Lisu Mungu ana mtetea

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 Před 21 dnem

      @@elisantenyange8751 du! Hatar sana, sasa mwakan uchaguzi, hii katiba mbona mnatuchelewesha? Bila katiba mpya mwakan sipigi kur