Msukuma ahoji wanaosomeshwa kisha wanakuwa wezi; Aibua sakata la IPTL

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 11. 2023
  • Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma leo Ijumaa, Novemba 3, 2023 wakati akichangia maoni yake kwenye ripoti za Kamati za Bunge za PIC, LAAC na PAC kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)

Komentáře • 4

  • @hossenhossen1365
    @hossenhossen1365 Před 9 měsíci

    Unfair

  • @user-lz7rh1vr2y
    @user-lz7rh1vr2y Před 2 měsíci

    Tatizo la mfumo wa uendeshaji wa hii serikali haki sawa ata sikumoja na ndiyo maana imeshakuwa kula lushwa nijambo la muhimu kuliko kupokea mshahara kwa Kila mwajiliwa Aya bwana watanzania wakawaida sisi ni washangiliaji tu wa hayo tunayo yajua

  • @user-jh9ow3xz8d
    @user-jh9ow3xz8d Před 9 měsíci

    Kiongozi huku nje tunaumia tunatapeliwa kwa jina la tulia ackison mtusaidie viongozi

  • @remmymmewa307
    @remmymmewa307 Před 9 měsíci

    Kutesa kwa zamu, ila akina ss ndo tunaumia