DADA wa KAZI AIBA MTOTO wa BOSI AKAMUUZE - ''MTOTO WA KIKE MIL 5 - WA KIUME MIL 7''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 02. 2024
  • DADA wa KAZI AIBA MTOTO wa BOSI AKAMUUZE - ''MTOTO WA KIKE MIL 5 - WA KIUME MIL 7''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 161

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 4 měsíci

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Před 3 měsíci +16

    Boda boda apewe hongera yke umuenzi huyo bodaboda dada

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Před 4 měsíci +5

    kwa kweli bongo inatisha imani hakuna hata chembe wallahi ni washenzi hatati wema ni kidogo sana

  • @user-wc6wq7rm7x
    @user-wc6wq7rm7x Před 4 měsíci +5

    Pole dada kizazi kinauma.picha zisambazwe kote Nchi mzima.

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 Před 4 měsíci +3

    Mimi nawaogopa sana wadada kwakweli 😢😢😢

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Před 4 měsíci +1

    😢😢💔

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Před 4 měsíci

    Pole dada

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Před 4 měsíci +2

    Dunia imekwisha 😮😮

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 Před 2 měsíci

    Jina lake nani na kwao wapi hadi wazazi wake wajulikane

  • @cecyngitu4752
    @cecyngitu4752 Před 3 měsíci +3

    Kwanini siku hiyo hiyo usimpeleka polisi?????

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 Před 3 měsíci +3

    IMELDA TUNAKUAMINI SANA, HII HABARI NI YA UONGO 100% FUATILIA UTAJUWA SI KWELI NI YA KUTENGENEZA. UTAONEKANA NA WEWE NI KANJANJA UNAPIKA STORY.

    • @dorahmcharo3083
      @dorahmcharo3083 Před 3 měsíci

      Kabisa yaani hata anavyoongea ni muongo. Imelda hapa ameongizwa chaka. Huyo hata RB hana

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Před 3 měsíci

    Dah! Kuna umuhimu kuwa na day care maofisini

  • @edwinsilas4326
    @edwinsilas4326 Před 3 měsíci +1

    Tarifa ya mchongo hii,,,Sasa Kama mtoto alimpata!!! Na huyo binti kwann hakumchulia hatua mda huo,,,afu Sasa anasema anamtafuta,,,,why?????? Mbona sikuelewi kabisa huyu dada

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Před 4 měsíci +3

    Subuhanallah. Yarabi ss huko anapoendakuwauza wanafanywa nini. Mtihani Allah tunusuru yarabi nahi Dunia

  • @user-bf6nb4bx3b
    @user-bf6nb4bx3b Před 4 měsíci

    Polen

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l Před 4 měsíci +5

    wekeni ma camera kwa nyumba hawa wafanyakazi hawa

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 Před 3 měsíci

      Kamera itasaidia nini na akishakimbia ndio itakuonesha anayoyawaza moyoni

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Muwache kuajiri watoto kuwatumikisha kama watumwa wenu ni child labour

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 Před 3 měsíci

    Mungu atusaidie akina mama mm wanangu nimewalea kwenye baby care na sipatag shida. Wanapofikisha miez 6 tu nampeleka. Mungu awatunze walez wa Hope day care

  • @ridhiwanakida3074
    @ridhiwanakida3074 Před 3 měsíci +1

    hivi Hawa wadada wanaoiba watoto wa watu kwann wasizae wakwao wakawauza

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola Před 3 měsíci +5

    Usikute hili ni tangazo la shule la day care na hatujui

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Před 3 měsíci

      Bwana usitake kunichekesha wakati jambo la huzuni😂

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Před 3 měsíci

    Jamani inatisha kabisa nitalea mwenyewe wajukuu zangu

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m Před 3 měsíci

    Hao watu wako hapo hapo maana ya masilianiano.

  • @joymrema4141
    @joymrema4141 Před 3 měsíci

    Jamani dunia simamaaaa

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Před 4 měsíci +1

    Hapo daycare pia ukute watt wanateswa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Před 3 měsíci

    Maana yeye ndiye mchongo aulizwe walikua wanaenda wapiii

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Před 4 měsíci +2

    Amechka kwsabbu hakula hakuya hata maji ameubiswa saaaan masin pole saaan

  • @MubinaRoshan
    @MubinaRoshan Před 4 měsíci +3

    Dada umekosea ungempeleka polisi umemwachia atafanya kwa mtoto wengine

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni muongo ukimsikiliza kwa makini na alijua ameajiri mtoto anamtumia kwa hiyo angekuwa na kesi ya kujibu , na uongo mwingine hakuwapeleka watoto wake hospitali siku hiyo hiyo baada ya kuwapata

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw Před 3 měsíci +1

    Serikali itusaidie kuwa na vituo viingji vya daycare ili kunusuru haw.a watoto wasiuzwe. Vinginevyo skins mama watashindwa kufanya kazi jamani. Mh. Mama Samia tunaomba ulitazame hili kwa moto wa huruma. Vituo vya daycare vitanusuru watoto.

  • @user-cs1jf8mc9g
    @user-cs1jf8mc9g Před 3 měsíci +1

    Anaitwa nani kwa majina na nikabila gani ametokea wap

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 Před 3 měsíci

    Mbona haukumpeleka polisi sidhani Kama ni kweli

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Před 3 měsíci

    Kosa kumwachia aulinzwe anawauza wapi Kwa ajili Gani

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 Před 3 měsíci

    Kwa nn usigemupeleka mdada polisi kama munaingiza vile

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u Před 4 měsíci +3

    Aan kwakwel ndo maana hata choon naenda na mwanangu weee siamin hata sekunde na tunaish nao ndo hivy tu kaz nying ila weng wao washenz unawathamin lkn hawajilew

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 Před 4 měsíci +2

      wewe kama mimi niko nao lkn siwaamini niko na mfanyakazi wa kuja na kuondoka kama yuko siogi mpaka aondoke au nioge kabla hajakuja

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u Před 4 měsíci

      Kabisa 😂😂😂😂

    • @navyoagrey7523
      @navyoagrey7523 Před 3 měsíci

      Yan na Kaz niliacha nilee Sina aman aisee na Hawa wadada

  • @user-tp1kd8nj1s
    @user-tp1kd8nj1s Před 3 měsíci

    Hao waliomtuma si wangekamatwa jamani.

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Před 4 měsíci

    polesana mu gumkubwa katuyanusrayake

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 Před 3 měsíci

    Ndoma warabu ataukar nao miaka mia awakuamini atadikumoja

  • @abdallahnassoro2460
    @abdallahnassoro2460 Před 3 měsíci

    Serekali ipo kwa ajili ya siasa tu mtu kafanya mambo yote ayo nabado emeachiwa aise

  • @ivoniaheaven3137
    @ivoniaheaven3137 Před 4 měsíci +1

    Haya matukio ya kuiba watoto jamani!! Nakumbuka miaka nane iliyopita jirani yangu aliibiwa mtoto wa kike sasa aliibiwa akiwa na mwaka sasa ana miaka kumi, alipatikana mwanza kutoka tegeta mpaka mwanza siku ya nne

  • @SoniaYunusu-ze7zq
    @SoniaYunusu-ze7zq Před 3 měsíci

    Mnaobisha bisheni tu ila tegeta kuna mtu aliiba mtoto wa jirani wa miezi6. Akaenda kumuuza laki2 tu,

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Před 3 měsíci +1

    Huyu mama anaongeaga aje? Hunamuona,hametoroka,hunamwacha 😂😂😂😂

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Před 4 měsíci +1

    Yaani Dada ungetakiwa ulichome moto dk hiyo2.Cmu iliximwa kichawi na hilo dada la kaxi,ili likisema ulili2ma wa2 waliamini,Kamwangalie kwa maombi huenda ni lichawi.

    • @juliethmagezi3104
      @juliethmagezi3104 Před 3 měsíci

      umesema vyema ni MCHAWI na Huyo boda ni malaika wa huyo mtoto ndio alimvaa boda ili apatikane...Maombi yakazwe wazazi

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Před 4 měsíci +1

    Kumbe watoto wakiume wanauzwa bei nyingi kuzidi vyakike.nilikuwa sijuwi kweli,kweli😮😮

    • @user-jn7do4wd6f
      @user-jn7do4wd6f Před 4 měsíci +3

      Kwa iyo na ww pia unataka ukauze watoto sababu ya pesa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 4 měsíci +1

      ATI BEI NYINGI ROHO IMEMTOKA 😂😂😂😂 NJAA MBAYA.

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 Před 4 měsíci

      Usije tu ukaingia kwenye mtego

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Před 4 měsíci

    Lazima atafutwe lazima atafundisha wenziwe kufanya unyama huo
    Sasa ashikwe ili wapayikane hao walomtuma wanao kipa pesa

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Před 4 měsíci

    yanihatasijuwiwatu tuishije maanamtuunafanyakazi unahtajimdadawakazi akusaidiye unapoedakazini hujuwi nyumayapaziya kunanini nimtihani

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Před 3 měsíci

    Dada unatutangazia day care!

  • @jenipherjackson3826
    @jenipherjackson3826 Před 4 měsíci +1

    Kwa upande wng naona kesi haina mashiko km unabisha skilza kwa makini akuna usawa😮😮

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni muongo huyu dada kibonge kuna Jambo anaficha na ni kosa kuweka picha za mtu mtandaoni wakati ukumpeleka police na hamna ushahidi wa maana

    • @user-rw2mm1jk6o
      @user-rw2mm1jk6o Před 3 měsíci

      Mbona ww unamtetea sa​na huyo mdada wakazi au unaijua hii story kwa undani zaidi@@Kabwela776

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Před 4 měsíci +2

    Kwann msimpeleke police time hiyo hiyo mlipomshika?

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni muongo huyu kibonge na ana uovu wake alimfanyia huyu mtoto kwanza ameajiri mtoto mdogo kumtumia kama mtumwa wake

    • @getrudermassawe5499
      @getrudermassawe5499 Před 3 měsíci

      Yaani hata mahojiano yalipaswa kufanyika police

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 Před 3 měsíci

    Ni uongo bhana. yaani usimpeleke polisi kweli? Eti majirani walimuona anatembea haraka sana. Kwann wasifuatilie? Acheni uongo bhana

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 Před 3 měsíci

    Alitoroka akiwa mikonon mwa nan

  • @MwanahamisNsila-sz1kr
    @MwanahamisNsila-sz1kr Před 3 měsíci

    Story haina ukwel hii anaejieleza haeleweki anachokiongea

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u Před 4 měsíci +2

    Jaman mtengu mbn kwangu uwii namm nipo na mfanyakaz mnhh bora umesema tujitahadhar

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 Před 4 měsíci

    I nashangaza kwanini hawakumpeleka polisi ns yeye alisharipoti polisi.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni story ya kutunga mnalishwa matango pori ni Wale wenye ubongo wa kuku ndio wanaweza kuamini huo uongo upuuzi

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před 3 měsíci

    Anaonekana tu mtu mbaya ki roho na.alisha kua muhuni watu tumefanya kazi za ndani tena mshahara mdogo na mpaka sasa tunawasiliana na kusaidiana tena miaka mingi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 3 měsíci +1

    Hii ni story ya uongo ambayo nia ni kutangaza biashara ya hiyo kindergaten kwamba mnaweza kuwaacha watoto wenu mkienda kazini nani asiyeijua Tanzania walivyo maana story ya huyo dada kibonge ukiwa Na akili unaona ni muongo huwezi kumkamata mwizi wa mtoto wako usimpeleke police na watoto wako umewapata usiwapeleke hospitali siku hiyo hiyo je kama walikuwa wamelishwa kitu kibaya, na mara anasema alimchukua mtoto wa kazi akiwa Na miaka 18 ameishi naye kama miaka 4 na akiulizwa miaka yake anasema ni kama almost miaka 22…. Kama ana miaka 22 ina maana Hana uhakika Na miaka ya huyo mtoto … mtoto ukimuangalia sio miaka 22 ni miaka kama 16 au 17 ina maana ilikuwa child labour Na inaonekana alikuwa anamyanyasa Na ametumia defensive mechanism ili kusema nitawaonyesha video jinsi tulivyo Na Bond nzuri ili kuziba uovu wa huyo mwanamke kibonge mwajiri😅😅😅😅

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc Před 4 měsíci +2

    Mmhh mbona hii kesi haija kaa sawa 😢

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 4 měsíci

      Ni muongo huyo libonge tipwa tipwa livivu la kunya

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Před 3 měsíci

    SASA YULE BODABODA ALIYEKUA ANAWASAFIRISHA HUKO WAPIIII

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Před 4 měsíci +1

    serekali itamuachia vipi mtu huyu wasimtafute akawasema hao walomtuma

  • @zaunamoody7311
    @zaunamoody7311 Před 3 měsíci

    Hili ni tangazo la shule usituchoshe sisi na upuuzi wako kwaza kwanini majirani wakuambie usimuache mtoto na mdada ukaona upuuzi iyo ni shule unatutangazia bhana aya tutawaleta watoto wetu

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Před 4 měsíci +1

    Wafanya kazi sasahv ni mtihan taadhar inaiitajika kwa waajiri

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 3 měsíci

    Huyu mwanamke ni muongo kabisa nahisi anataka kumchafua huyu mtoto kwenye mitandao au hii stori feki global tv wanamlipa huyu kibonge yaani mtu akuibie mtoto wako umkamate halafu usimpeleke police halafu watoto wako uwapate usiwapeleke hospitalini kuna vitu anaficha huyu dada na alijua anafanya kosa kisheria kuajiri mtoto na kuna mambo mengi anaficha kuna unyama mtoto amefanyiwa akajua akienda police huyo mtoto angesema na ni under age under 18 na hiyo ni child labour.. Mijitu mingine ona hilo dada chibonge yaani unamtumikisha mtoto under 18 anaonekana mdogo kabisa na bila aibu linakuja kuongea kwenye vyombo vya habari, ingekuwa nchi za kistaarabu kwanza umewekwa rumande na kufunguliwa kesi ya kuajiri mtoto child labour , kama uko responsible mother ungeacha mtoto alee watoto maana wote ni watoto na mtoto hana rational decision making ! Acheni kunyanyasa watoto wa wenzenu na kuwatumia kama watumwa wenu please let’s children be children because they have rights to be children in this world 🌎!!!!

    • @juliethmagezi3104
      @juliethmagezi3104 Před 3 měsíci

      Don't judge hujakutana na mdada mshirikina wewe anawaloga hadi msahau

  • @ainammbaga4683
    @ainammbaga4683 Před 3 měsíci

    wadada wa kazi ni mateso sana sasa hivi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 4 měsíci +1

    ⁠Mkome huko Tanzania 🇹🇿 ya Mavi kunuka nchi ya mashunzi kuajiri watoto na kuwanyonya muwalipe vizuri na muwe na utu muache kuwanyanyasa , kama huyu kibonge mvivu wa kunya ameajiri mtoto ni child labour hiyo ni kosa kisheria na halioni hata aibu kumtumikisha mtoto kumlelea mtoto wake lenyewe ni livivu tu lingeweza kufanya kazi nyingi mwenyewe!

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Před 4 měsíci

      Omba yasikukute, usiropoke tu 🥹🙄

    • @arafawilliam2142
      @arafawilliam2142 Před 4 měsíci

      Sasa huku we unajua jinsi mshahara ilivyo mdogo

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      @@arafawilliam2142kwa hiyo kama mshahara ni mdogo ndio mtumikishe watoto huoni huo ni unyonyaji na ni utumwa angekuwa mtoto wako anatumikishwa ungejisikiaje ni kosa kuajiri mtoto

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 Před 4 měsíci

    Ww dada mshenzi unamtafuta wap apo ulipokampata ungempeleka polisi lakin ulimuachia huna hakili naakuna unachoongea umemkamata bila kumpeleka polisi eti nilimuacha namjib hayo aliyokujib bado unamuacha duh sion unachoongea umemuachia kusudi ww

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni kwanza yeye ana kesi ya kujibu ni child labour na ukimsikiliza kwa makini ni muongo huyo dada kibonge kuna mambo anaficha , na ni kosa kuweka picha za huyo mtoto mtandaoni wakati hakumpeleka police anaweza kushitakiwa kwa kumchafua huyo mtoto !

    • @dorahmcharo3083
      @dorahmcharo3083 Před 3 měsíci

      Muongo huyu na mashavu yake

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      @@dorahmcharo3083 ni kweli ni muongo kabisa huyo kibonge mvivu wa kunya

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Před 4 měsíci

    Huyu dada ilitakiwa abanwe ataje msururu wote.kuna watu nyuma yake.lakini imelda na wewe unashindwa kuhoji.swali la kwanza ilitakiwa unlike alimpata wapi?

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 4 měsíci +2

    Wakati mwingne nyinyi wenyew wanawake mnasababisha wadada wa kazi wawafanyie ukatili watoto wenu wengi wenu mawachukulia kama uchafu na wakati huo mnajisahau kuwa dhamana ya watoto wenu iko mikononi mwao mnapokuwa mmeenda kazini ndo unakuta sasa dada wakazi analipiza kwa mtoto syo vizur wanavyo fanya ila wanafanya kutuliza machungu mnayowafanyia syo maboss wote ni wabaya ila wengi wenu hamfai kabsa

    • @wineththomas4803
      @wineththomas4803 Před 4 měsíci +2

      We Bado mtoto sana uwajui wadada tunakusubiri ukuwe kidogo, tusome cmmnt yako

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t Před 4 měsíci

      @@wineththomas4803 niko na watoto wawili hapa nilpo na nna miaka 30 kwahyo nnachokisema nakijua vizuri sana sijakurupua waajiri wengi ni wakatili mno usinibishie hata mishahara wakat mwingne hawalipi

    • @pendoyese4452
      @pendoyese4452 Před 4 měsíci +1

      Mmmmm wadada changamoto sana jamani ebu usiongee kabisa mdada unaweza ukampenda ukamchukulia kama ndg Yako au mtoto wako lakini anabadilika gafla tuu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Ni kosa kuwatumikisha watoto wadogo kuwa watumwa wao kuwatesa na kuwalipa mshahara mdogo wafanyakazi wengi wa ndani Tanzania wanateswa na kunyanyashwa na waajiri wao huwezi kuajiri mtoto hiyo ni child labour !

    • @jacquelinekiria
      @jacquelinekiria Před 3 měsíci

      ​@@Kabwela776eee jamni kila coment unajibu vibaya wew bila shaka huyo dada wa kazi ni ndugu yako

  • @dorahmcharo3083
    @dorahmcharo3083 Před 3 měsíci +1

    Huyu Dada ni muongo na hii story ni ya kutunga eti alimleta Ndugu yake akae na mtoto pamoja na Dada mara nimpeleka mtoto kwa Dada yangu Boda akamuona anatembea haraka haraka. Mara majirani walimuona akasema anabembeleza mtoto. Kisha akamkamata akamuacha mahali alafu msichana akapotea. Mara nikapewa bei za ada ya shule na Madam Joy ambae ni Boss wangu. Ina maana accountant hujui ada ya mtoto? Huu ni uongo.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 3 měsíci

      Huyo kibonge aliyenenepeana kama anakula Mavi ni muongo ni story ya kutunga ila watanzania wengi ni mapumbavu majinga wanaamini huu upumbavu uongo

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Před 3 měsíci

      Huyo kapewa comission amtangazie boss wake hiyo shule siku hizi mitandao na hawa waandishi uchwara si wa kuwaamini wakikosa story wanatuletea za uongo kuongeza mapato ya views😢

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Před 3 měsíci

      Weeßßf​

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 4 měsíci +1

    Huyu dada kibonge kama chura haoni hata aibu kumfanyisha kazi huyo mtoto amlele mtoto wako anaonekana Hana miaka 18 , hivi Tanzania hamna serikali hiyo si child labour, na mnaweka picha za watoto kwenye mitandao si kukiuka haki za watoto , huyo mtoto alikuwa ananyanyashwa na unaleta one sided story kutoka kwa huyo chibonge tipwa tipwa mvivu wa kunya

    • @NajmaLema
      @NajmaLema Před 4 měsíci +1

      Kwaiyo Ata akiwa ananyanyaswa ndo kutaka kuuza mtoto, acha kutetea upumbavu wewe

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 4 měsíci +1

      @@NajmaLema kwa hiyo wewe ulitaka afanyeje kwanza kwa nini ameajiri mtoto mdogo wewe huoni ni kosa hilo ni child labour , ni mpumbavu tu kama wewe anaamini one sided story kutoka kwa huyo kibonge, huko Tanzania mmezoea sana kuwanyonya wafanyakazi wa ndani na kuwatumikisha kama watumwa wenu shame on you !

    • @mokeya
      @mokeya Před 4 měsíci

      Jamn muwe munasikiliza had mwisho amesema ako na miaka 22

    • @pendoanzigar3172
      @pendoanzigar3172 Před 4 měsíci

      imelda umeahindwa kumuuliza huyo dada kamtoa wapi?

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 4 měsíci

      @@mokeya Hana miaka 22 huyo ni miaka 16 au 15 unafikiri atasema ana miaka chini ya 18 si anajua ni kosa kisheria , anaonekana ni mtoto kabisa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před 4 měsíci +1

    Huyo mwajiri ukute alikuwa ana mnyanyasaji Na hamlipi mshahara au mshahara mdogo kazi nyingi anafanyishwa kazi kama mtumwa, Tanzania ingepitisha sheria ya mshahara wanaopashwa kulipwa wafanyakazi wa ndani na watambulike kama wafanyakazi wengine na mshahara wao uwe unalipwa benki ili kukwepa kutolipwa mshahara wao kutokana na sheria ya mshahara wa wafanyakazi wa ndani !

    • @khadijaahmed4713
      @khadijaahmed4713 Před 4 měsíci +3

      Hayajakukuta ndo maana unasema hivo subir yakukute ndo utasema kumbe ndo wako hivi hata uwape million lkn wadada hawajielew wengi wao

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 4 měsíci

      @@khadijaahmed4713sio kweli mkome kuajiri watoto na kuwanyonya muwalipe vizuri na muwe na utu muache kuwanyanyasa , kama huyu kibonge mvivu wa kunya ameajiri mtoto ni child labour hiyo ni kosa kisheria na halioni hata aibu kumtumikisha mtoto kumlelea mtoto wake lenyewe ni livivu tu lingeweza kufanya kazi nyingi mwenyewe!

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 Před 4 měsíci +1

      ​@@khadijaahmed4713Kuna mtu aliwahi kiniambia hivyo, niliishia kumuachia MUNGU, Alichokuja kufanyiwa na dada wa kazi hakuamini macho yake.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Před 4 měsíci

      @@sabinaluyego4408Mkome kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani muwalipe vizuri Na Mkome kuajiri watoto wadogo ni child labour na muwe Na utu msiwafanye wafanyakazi wa ndani watumwa wenu

    • @sophiekindem9071
      @sophiekindem9071 Před 4 měsíci

      😢

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 Před 4 měsíci

    Jana nime kuona dada imelda mtema pale mikocheni tanesko ukiwa ktk pikipiki jioni sakumi nambili kasoro

    • @dorahmcharo3083
      @dorahmcharo3083 Před 3 měsíci

      Jamani hadi ukasema kwenye pikipiki😂 ungesema tu umemuona mikocheni Tanesco. Yeye angejua ni kwenye boda boda.