INAUMA! MUME AMCHINJA MKEWE MBELE YA MTOTO WAO MCHANGA USIKU WA EID...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 23. 07. 2021
  • INAUMA! MUME AMCHINJA MKEWE MBELE YA MTOTO WAO MCHANGA USIKU WA EID...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 659

  • @annahpsimon1156
    @annahpsimon1156 Před 2 lety +80

    Mungu simama na taifa la Tanzania cjui tunaelekea wapi jamn 😭😭😭😭

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 Před 2 lety +1

      Subhanna Allah sijui tunaelelea wali Tanzania ile nnayoijua mimi nguvu zimeniisha

    • @leticiakomba6695
      @leticiakomba6695 Před 2 lety +2

      Magufuli weeeeee Baba upo wapi?

    • @mamjubran774
      @mamjubran774 Před 2 lety +1

      Ila asilimia kubwa ya wabongo ni watu wakatili sana sijawai ona wabongo ni sawa na wa south afrika kuua watu ni mambo ya kawaida sana na sio hatari Mwenyezi Mungu badilisha roho za majitu haya wawe watu wema.

    • @irenewile
      @irenewile Před 2 lety +1

      @@mamjubran774 wewe wabongo sio Kama south Africa..uwongo mtu ,,kila mtu na roho yake ..Kama wewe katili peke yako..mbona watz hawana matumie Kama waafrica wengine,,tembea uyaone

    • @abdulmacho2571
      @abdulmacho2571 Před 2 lety

      @@shamilahussein5294 12³4

  • @aishaswalehe6848
    @aishaswalehe6848 Před 2 lety +17

    Daaaa skia kwa mwenzako yasikukuteee daaaa hinauma😭😭😭 mwenyezi mungu awafanyiee wepes😭😭

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 Před 2 lety +20

    Yah Allah tunaomba simamia Tanzania 🇹🇿 yetu

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 Před 2 lety +11

    Magufuli I miss you baba mbona toka uondoke mambo hayaeleweki eeh mungu tunusur na haya

    • @jacklinejohn222
      @jacklinejohn222 Před 2 lety

      Nihatari mno kama laana jamani

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 2 lety +1

      Mungu anawaona waliomuondoa laana inaitesa nchi na tunaoteseka ni sisi as if shetani ndo anatawala Tanzania

    • @nicholauslaurent6775
      @nicholauslaurent6775 Před 2 lety +1

      Tatizo.sio magufulu kuondoka bhna

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 Před 2 lety +29

    Innalilahi wa inailaihi rajiun...mkishindwana achaneni jmn isifike huko 😭

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 Před 2 lety +18

    R.i.p. Poleni xana wafiwa mungu aifanyie wepesi familia

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 Před 2 lety +5

    Muandishi wa habari maswali mengine hayafai eti mtoto mchanga saaii ata fanya nn Allah yuko nae In Sha Allah atakakuwa kwa nguvu za mungu

  • @levinabyamungu8453
    @levinabyamungu8453 Před 2 lety +15

    Poleni Sana wafiwa,Rip

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 Před 2 lety +7

    Subhannah Allah 😭😭😭yani Mbona binaadamu wamekuwa wanyama hivi😭😭😭 Allah ampe kauli thabiti na amsamehe makosa yake ya siri na dhahiri

  • @upendonzovu2027
    @upendonzovu2027 Před 2 lety +24

    Jamani mume wa kwanza mkishindana tutulie tulee watoto

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 Před 2 lety

      Nimejifunza kitu😭😭😭😭😭🤲🤲🤲

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Před 2 lety

      Mmesahau kuwa mlimchoma moto zunguu auu

    • @nooroman2535
      @nooroman2535 Před 2 lety

      Inalilai walnalilai rajiuni Mwenyezi Mungu hamsamei makosa yake

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 Před 2 lety

      Jomon pole mtoto wangu bora hajawazuru maana analaana huyo pepo aende kuzimu nawivu wake

  • @aicsengeremachoir909
    @aicsengeremachoir909 Před 2 lety +19

    E mwenyez mungu tusaidie tulinde sisi wanao na taifa kwa ujumla

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Před 2 lety +13

    Allah ape kauli thabit marehemu na awatie nguvu wafiwa malipo duniani damu ya mtu haiendi bure

  • @gililwise
    @gililwise Před 2 lety +2

    Binadamu hawana tena hofu ya Mungu.Mungu atusaidie atupe roho ya huruma kwa binadamu mwenzetu.

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 Před 2 lety +7

    Raisi mwenyewe sijui ana kazi gani RIP Magufuli

    • @marychami1700
      @marychami1700 Před 2 lety

      Acha hizo,Rais wetu Hana shida,acha lawama za ujinga

    • @magretkijanga6038
      @magretkijanga6038 Před 2 lety

      Mfuate magu mjinga wewe mnakera km nini RaisRais ulitakaje ndoa za watu anajuaje yanayotokea

    • @nasratanzania1690
      @nasratanzania1690 Před 2 lety +1

      @@marychami1700 yn amaanishi hv jmn matukio mengi halafu watuhumiwa hawashughulikiwi kama raisi ni wajibu wake kuhakikisha kila yupo.salama

  • @najma3268
    @najma3268 Před 2 lety +5

    Wewe kijana ni jasiri sana😭😭pole sana mdogowangu Na umeachiwa familia naamini wewe kwa kuona tukio , utakuwa umejifunza Na utawalea wadogo zako, mungu wetu ni mwema halali wala hasinzii, pele kijana Na familia kwa ujumla

    • @mwana4599
      @mwana4599 Před 2 lety

      Yaani nalia hapa. Walikuwa na familia nzuri jamani. Binti Kazan Moyo endelea mgahawa wa Mama yako jamani hawana Mama Mdogo au mkubwa wa kumsaidia kutunza mtoto. Poleni sana

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 Před 2 lety +29

    Waandishi kwanini hamtaji jina la mtuhumiwa na kuweka picha yake viUri ili mtu aweze mtambua huko mitaani alipo jificha ?

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 Před 2 lety +2

      Jina si kalitaja jinalake Nassib napicha niyo apo inaonesha sikiliza mwanzo utasikia jina nassib Napicha nihiyo hao ya mwanaume

    • @sidratybinkhamis2837
      @sidratybinkhamis2837 Před 2 lety

      Wakwe jina

  • @missmrs829
    @missmrs829 Před 2 lety +30

    Mbona mauwaji yamezidi Tanzania?? RIP kipenzi Magufuli yote yalikoma

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 Před 2 lety +1

      Wacha ujinga ww au umenunuwa simu utawala wa samia mbona hajajizuia yy kufa ?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 2 lety

      @@kishingokishingo1840 shetani yuko kazini

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Před 2 lety

      Mungu tunusuru

    • @tabumpate9762
      @tabumpate9762 Před 2 lety +1

      ACHA KUSEMA HIVYO MBONA NAPO WALIKUA WANAKUFA WENGI NA WATU WASIOJURIKANA

    • @zuhuzuli.5150
      @zuhuzuli.5150 Před 2 lety

      @@kishingokishingo1840 ndio ushangae imebidi nicheke🤔

  • @magechuwa804
    @magechuwa804 Před 2 lety +5

    Shetani yupo kazini tumwombe mungu majaribio haya yapite katika jina la yesu kristo

  • @yusrasalum
    @yusrasalum Před 2 lety +10

    Poleni sana nimeumia jamani 😭😭

  • @rukiaabdallah1132
    @rukiaabdallah1132 Před 2 lety +29

    Mwisho wa Dunia ndo huu sema siku bado haijajulikanaa😭😭 maana kila ukifungua CZcams kama hujaona watu kuchinjana utaonaaa magonjwa ya ajabu kwa mtu dah MUNGU simama

    • @activestudios.
      @activestudios. Před 2 lety

      Mwisho wa dunia bado sanaaaaaa UNGEBAHATIKA KUISHI IRAQ ndio ungeona maajabu yakutisha

    • @edimundelfazi5049
      @edimundelfazi5049 Před 2 lety +2

      @@activestudios. wew nimpingaj kwamaana hiyo unamaanisha siyo siku za mwisho? kila eneo linachangamoto zake ilani au iraki haiwezi kufanana na Tanzania au kenya point yangu nikwamba kiufup tunatembea katika siku za mwisho imebakia tu siku yamwisho yakuhukumu waliohai na waliokufa

    • @rogermomodesty3568
      @rogermomodesty3568 Před 2 lety +1

      @@edimundelfazi5049 una huakika gani au upo ndoyoni unaota

    • @tatotato506
      @tatotato506 Před 2 lety

      @@rogermomodesty3568 kweli kiama kinakalibia

    • @activestudios.
      @activestudios. Před 2 lety

      @@edimundelfazi5049 sawa tutaona iyo siku ya mwisho unayoisemea AMINI USIAMINI bado hujaona mambo ya kustaajabisha na hapa tulipo NDIO KWANZA DUNIA MPYAAAAAAA yani utakaa mpaka utazeeka utaachia wajukuu zako dunia nawao watafanya hivyo hivyo.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Před 2 lety +4

    Subhanaallah mungu wangu wa tanzania kumekuwa nini duniani yaarabi kuuwana kama kuku kweli 🤔💔mungu wangu tusaidie jamani 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kiri5807
    @kiri5807 Před 2 lety +11

    jamani kawadhulumu watoto mama yao mtoto mchanga hivyo hakumuonea huruma . Allah ajaaliye apatikane husda mkubwa .

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx Před 2 lety +1

    Daaaaah Aya Matukio ya Mauwaji Yanazidi Kunitisha Mpaka Naokopa Tanzania 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-cf5li5mf9o
    @user-cf5li5mf9o Před měsícem

    Eeee mwenyezi tunakuomba utunusuru waja wako na madhira ya dunia 😭😭😭🙏

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Před 2 lety +1

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu. poleni sana ndugu na jamaa. Allah amuhukumu aliyekatisha uhai wa mwenziye.😭😭

  • @rehemaezekia8214
    @rehemaezekia8214 Před 2 lety +1

    Pole mama g umekufa vibaya Ndungu yang ila malipo ni hapahap duniani baba g atalipa kwa hili damu ya mtu haindag bule

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 Před 2 lety +13

    Maskin dunia inaelekea wp jmn😭😭😭😭Innalillah wainna ilayhi rajioun 😢🥺

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 Před 2 lety

      Ok 👌 🆗️ 🙆‍♀️ 👍 🆒️ 🙆‍♂️ 👌 🆗️

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 Před 2 lety +7

    Tatizo kutokumjua mungu imani imepungua watu hawamuofu tena mungu mimi mwenyewe nilicho fanyiwa na binti mmoja toka tanga alafu anajiita more fire 🔥 unategemea mwanamke kama uyo unamfanyaje

  • @roseurio2139
    @roseurio2139 Před 2 lety +1

    Jamani tuwe na hofu ya Mungu ndani yetu maana haya matukio yamezidi 😭 poleni sana kwa msiba 😭😭😭😭😭😭

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před 2 lety +6

    😭😭😭😭 Sina neno Zaid ya kusema Ee Mungu Tusaidie ss waja wako ambao hatujui kesho yetu..Inahuxunish mno binadamu wa leo

    • @mwantumukawambwa8701
      @mwantumukawambwa8701 Před 2 lety

      Mm naon tume yaka nyaga

    • @mariamsamson8167
      @mariamsamson8167 Před 2 lety +1

      Daah inauma kweli had choz limenitoka eee mungu tusadie ss wanao jaman dunia inakwenda wap mahas yazid polen Sana Wana familiya

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 Před 2 lety +4

    Ee Mwenyenzi Mungu tusaidie ushetani huu uishe

  • @user-su9lf4lb2v
    @user-su9lf4lb2v Před 5 hodinami

    Poleni sana mungu awapesubra

  • @mwamvuakibenga9788
    @mwamvuakibenga9788 Před 2 lety +4

    Pole sana baba yangu

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 Před 2 lety +2

    Jamani dunia ya kuuana tu!! 😭😭😭😭😭 Mauaji mengi !! Poleni sana wafiwa! Inasikitisha!

  • @upendonzovu2027
    @upendonzovu2027 Před 2 lety +7

    Sasa hv matukio ni mwendo mmoja, kuua imekuwa jambo la kawaida.Mungu tusaidie.

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 Před 2 lety +4

    Subhanallah

  • @galary8688
    @galary8688 Před 2 lety +20

    Mbona mauwaji n MENGI jaman mtaacha sie wenye atujaolewa tuogope jmn juu uwez jua mzur n yup na mbaya n Nan jaman moyo WA m2 msitu jaman

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 Před 2 lety +2

      Hutajua endapo maisha Yako niya hovyo kwamfano mwaume kakutongoza umesha mvulia nguo lakini kama utaishi maisha ya kumcha mungu kabisa achana nahawa washikika dini tuu lakini mioyo Yao imeoza Sasa wewe ukajitoa Kwa mungu waukweli nakujitunza anakupa mume wamzuli au mke mzuri nihayo tuu

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 Před 2 lety

      Mi ctak kuolewa looh

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 Před 2 lety

      @@jescajulius8023 iyo ndio faida yakuchepuka ali yakuwa unamumeo au mkeo.tulieni kwenye ndoa zenu duh😭😭😭

    • @hasinarashid5059
      @hasinarashid5059 Před 2 lety +1

      Yaan wew kama bdo hujaolewaa tu tulia tu ndoa zinawaka moto huku.

    • @elipidiusrushema1759
      @elipidiusrushema1759 Před 2 lety

      @@hasinarashid5059 mbn nyie mnatuchoma moto hatujaacha kuwaoa!!😂😂😂

  • @benedictmbelwa2385
    @benedictmbelwa2385 Před 2 lety

    Poleni sana kufiwa wote, Mungu mwenyewe ajionyeshe kwenye maji hayo mazito

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 Před 2 lety +3

    Hawa wanaume wnatuhuwa sna jamn 😪😪😪😪😪😥 ila damu ya mtu inatembea malipo ni hapa hapa duniani damu ilomwagika atailipa polen sna wadog zangu Mungu yupo nanyi😥😥😥

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 Před 2 lety +1

    Daah 😭😭😭😭😭😭Jmn mungu tu nahitaji neema yako Tanzania

  • @tarifsarahoman7047
    @tarifsarahoman7047 Před 2 lety +1

    😭😭😭😭Poleni ndugu zangu Allah awape moyo wa uvumilivu Allah ata waekea penzi ndugu zangu yatapita tu

  • @joookahjokah8430
    @joookahjokah8430 Před 2 lety +6

    Innalillah Wainairah rajiun

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Před 2 lety +5

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun

  • @shufaamohammed5357
    @shufaamohammed5357 Před 2 lety +1

    Subhana allah poleni sana ndugi zangu

  • @justinemfilinge9874
    @justinemfilinge9874 Před 2 lety

    Poleni sana ndg wa marehemu kwa mcba huu wa kusikitisha

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 Před 2 lety +3

    Subhhannah Allah Allahu akbar Allahu akbar

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 Před 2 lety

    Kila kukicha ni matukio ya kutisha eeeh mwenyezi mungu tusamehe waja wako ingilia kati juu ya haya yanayotendeka,shetani anafanya kazi yake, Mungu tulinde Tz mauaji yamezidi uuuwiiiii!!!

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Před 2 lety +1

    😭😭😭😭😭😭Mungu ampumzishe kwa amani poleni sana familia Mungu awatie nguvu

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 Před 2 lety +9

    Mwezi wa 7 umekua na matukio yamauwaji mengi TZ...poleni sana ndugu Inasikitisha 🤦‍♂️poleni xna frm 🇰🇪

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 Před 2 lety +4

    Jamani inauma sana kwann kwann tumekosann 😭😭😭🙏🙏🙏mungu awatie nguvu wanangu

  • @crepinakatundu1831
    @crepinakatundu1831 Před 2 lety +10

    R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Před 2 lety +6

    43yrs masikini katolewa uhai bila sababu jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭yani mtu anaeza juta kuolewa mara pili lkn nivile mtu hajui nn kitamkuta mbele

    • @salmadhiab2693
      @salmadhiab2693 Před 2 lety

      Mhh unasema uolewe usitirike na kulea watoto wako kumbe ndio umauti unakuita jamani binadamu tumekua kama wanyama ukitazama wanyama kwakweli wanasaidiana siosisi ukija kwa wanawake wakizaa wanatupa watoto huku watu wanachomana moto bilauoga wanauwana kwarisasi kama kawaida mauwaji yamekua jambo lakawaida mara watoto wabakwe vikongwe wabakwe ukatili ukatili tu tumuogope mungu jamani kunahukum huko duh

  • @shantprashar7197
    @shantprashar7197 Před 2 lety +3

    subhanallah

  • @jaliaotien.o6995
    @jaliaotien.o6995 Před 2 lety

    Jamani Mungu atunusuru na majanga dunia imefika mwisho poleni kwa msiba

  • @khadijamambi4467
    @khadijamambi4467 Před 2 lety +4

    Innallillah Wainailayhi rajiuun

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Před 2 lety +2

    Mke na mume mkiishi kama marafiki unainjoy sana kama mm na mke wangu kama marafiki

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 Před 2 lety +1

    wana tamani kutajilika kwa damu zawenzie mungu anawaona

  • @yusuphchakupewa7273
    @yusuphchakupewa7273 Před 2 lety

    Mungu isimamie tanzania mbn matukio ya mauwaji yanazidi kila kukicha mungu atusimamie huyu shetani azidikushindwa

  • @mrmindboom2058
    @mrmindboom2058 Před 2 lety +4

    Mtaala wa mahusiano uwekwe kwenye sehemu ya masomo kwanzia msingi hadi chuo kikuu maana hii imezidi cyo kwa mihemko hii

  • @bernadethayoel5855
    @bernadethayoel5855 Před 2 lety +2

    Tz machafuko yamekua mengi sana toka magufuli aondoke nchi imegeuka kwa damu Rip auncle Magu tutakukumbuka daima

  • @yunismahanga2871
    @yunismahanga2871 Před 2 lety +8

    Mimi mpaka naogopa kuishi na mwenzagu silali nawaza haya matukio Hadi napatwa na hofu 😭😭😭😭 maana moyo wa mtu kichaka akiludi hujui anawaza nn

    • @jujuwaida8790
      @jujuwaida8790 Před 2 lety

      Lala na mtungi wa gesi kitandani maan saiv hakueleweki😂😂😂

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 Před 2 lety

      Ety moyo wa m2 kichaka😂😂😂 nacheka kama mazuri

    • @kapilimaibra2540
      @kapilimaibra2540 Před 2 lety +1

      Cna Amani kabisa kwakweli binaadam anatoa uhai wa mwenzake kama anachinga kuku!!m/mungu tunusuru yarrab,

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Před 2 lety

      😳🤣🤣🤣🤣 jamani hii comment nimecheka sana kma mazuri vile ndio muache sasa umalaya wenu

    • @yunismahanga2871
      @yunismahanga2871 Před 2 lety +1

      @@sukariyao6537 mwambie mungu akusame sizani wanaokufa kikatili ni umalaya ko nayule wa msoma alie uwa mtoto wa mwaka alikuwa anafanya umaraya shetani yupo kazin kama hujui nikuomba Sana

  • @momobakari1225
    @momobakari1225 Před 2 lety +6

    SUBHANALLAH, Kuna ibilisi gani huko daressalam Jmni, maana mara watu wachomana ndani ya nyumba, mara watu kudungana visu naona hivi visa yazidi tu jmni

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 Před 2 lety

    Ee Mungu,tutetee hizi ndoa zimekuwa vita mpka inafikia hatua shetani anamuingia mtu mpka kumuua mwezi wake bila huruma,tupiganie Mungu wetu

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 Před 2 lety +1

    Dah😭😭😭😭😭haya matutukio mpaka lini jamani Eee Mungu tusaidie waja wako 😭

  • @yusrasalum
    @yusrasalum Před 2 lety +8

    Watoto wanatia huruma 😰😰

  • @ashudahiza7871
    @ashudahiza7871 Před 2 lety

    Asante mungu umeniepusha maana hata mm ningezid kuvumilia yangenikuta haya polen sana familia

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Před 2 lety +2

    Mungu tusaidie

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 Před 2 lety

    Jmn watanzani..ukimalz hbari hii kwaj nyengin zoth mauwaji...ilaa polen sn wanafamilia..mwenda zake Allah amstri mahala pema penye wema peponi

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 Před 2 lety

    Pole sana Baba yangu Mungu akutie nguvu

  • @maryammasito6243
    @maryammasito6243 Před 2 lety

    Mungu awazidishie subra,wakti wenu huu mgumu

  • @gaudenceharerimana7743

    Mungu unilinde nami natafutwa na bwana wangu eti aniuwe kilasiku anafungwa anafunfuliwa yaani muniombee sikumoja asinikute mahali hakuna watu aniuwe 😭😭😭😭 from Amerika

  • @upendonzovu2027
    @upendonzovu2027 Před 2 lety +1

    Washukuru watoto waliachwa salama, vinginevyo wangechinjwa woye

  • @unicenyale7953
    @unicenyale7953 Před 2 lety

    Daaa polen sana ndungu zangu inauma lkin tumuachien mungu

  • @furahakonde4921
    @furahakonde4921 Před 2 lety

    Mungu anamuona

  • @clarajapheth8804
    @clarajapheth8804 Před 2 lety

    Mungu tujalie mwisho mwema. Dunia ina mambo mengi machungu sana.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Před 2 lety +3

    subhanallah subhanallah Inalillah wainaillah rajiun

    • @asha.mwambamwamba1774
      @asha.mwambamwamba1774 Před 2 lety

      Bora.tukukaabila.mume

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Před 2 lety

      dah mwanaume kukaa bila awezi na mwanamke bila mme hawezi tatizo la watu siku hizi iman imetoweka

    • @ramakassimu7733
      @ramakassimu7733 Před 2 lety

      @@asha.mwambamwamba1774 mi nakutaka sasa...!

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Před 2 lety +1

    Watanzania tulio hai tujifunze kusamehe alaka ukiona yamekushika shingoni basi yapotezee kuliko kufanya yasiyo pendeza katika jamii na kwa MWENYEZI MUNGU ,najua ugumu wa maisha unaweza kuchangia kwa kiasi Fulani lkn ,ndugu kijana umepewa moyo mlaini na kichwa cha kutafakali kwanini uyashike Matendo ya uovu na kikatili ,, jamani Watanzania wote tuludi kumuomba Mungu msamaa wanaume kwa wanawake mimi nafikili hii ndio njia sahihi ya kuludisha AMANI Tusimbebeshe mzigo huuu Mweshimiwa rais Suruhu Hassan kwani yeye anatuombea Watanzania wote tuishi kwa utulivu ,,,,mimi yangu ni hayo tumekaa mbali na MWENYEZI MUNGU ,tumezifuata njia zetu wenyewe..🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @saniajuma5103
    @saniajuma5103 Před 2 lety

    Poleni Sana wafiwa jamani yaani mpka tunaogopa kuolewa jamani mauaji yamezidi jamani innallila wainna illah rajun mungu akulaze mahala pema peponi dada yetu 😭😭Dunia imehalibika jamani mala kuchomana moto mala kuchomana visu mala kupigana risasi mungu tunusuru walai binadam tumekuwa wanyama

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 Před 2 lety +3

    Poleni sana wafiwa matukio kilasiku chanzo wuvu wa mapenz

  • @lissacosmas6978
    @lissacosmas6978 Před 2 lety +9

    Mtoto anaujasir anaongea kama hayajamkuta ila kama mwanaume nimdogo kuliko mwanamke

    • @neemaegnatio7725
      @neemaegnatio7725 Před 2 lety +1

      Apo kwenye moyo wake uyo mkaka anamaumivu makubwa sanaaa

    • @lissacosmas6978
      @lissacosmas6978 Před 2 lety

      @@neemaegnatio7725 piah anaujasir mwingine ingekua nikulia TU DU kama mie ndo siwezi kabisa kuzungumza

    • @rehemaezekia8214
      @rehemaezekia8214 Před 2 lety

      Mpaka apo wamelia san jaman shida tulio pata kubembeleza hawa watoto acha tu

    • @rehemaezekia8214
      @rehemaezekia8214 Před 2 lety

      Maumbile tu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Před 2 lety

    Huyo siyo mume katili mungu anisuru na mume huyo katili mshenzi mungu alani atakapokufa mungu atiye motoni maisha dhalim huyo

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 Před 2 lety

    Inalilarajiun mungu wangu Tanzania kwani tunaelekea wapi jmn maana kilasiku mambo ya kuuwana jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭 naogopa sana jmn kuuwana kila siku jmn mungu tulinde 😭😭😭😭

  • @radiusbakashaya2801
    @radiusbakashaya2801 Před 2 lety

    Pole sana

  • @christinakisojo7269
    @christinakisojo7269 Před 2 lety

    Mungu tunaomba Toba kwa ajili ya nchi ya Tanzania

  • @priscamussa8187
    @priscamussa8187 Před 2 lety +1

    Eeeeh mungu tunaomba utuhurumie sn😭😭😭maana now binadamu tunaogopana kuliko mnyama

  • @rehemarichard8548
    @rehemarichard8548 Před 2 lety

    Mungu wangu.

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Před 2 lety

    Ugumu wa maisha ukizidi watu Iman zinapotea

  • @ummyremmy1797
    @ummyremmy1797 Před 2 lety

    Subhannallah

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 Před 2 lety +13

    Subuhanallah mbon inakuahiv??🤦‍♀️😔

  • @smsalama6540
    @smsalama6540 Před 2 lety +2

    Daaah hiii dunia inapoelekea mungu ndo anajua 😔😔😔😭😭😭

  • @omanseeb3642
    @omanseeb3642 Před 2 lety

    Poleni Allah awape subra

  • @zg9430
    @zg9430 Před 2 lety

    Innalillah wainna illaih rajiun
    Handeni kwetu huko
    Poleni Sana

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 Před 2 lety +3

    Watoto wameniumiza moyoo..😢😢😭😭😭wamama achen vibenten..

  • @joyceraphael6631
    @joyceraphael6631 Před 2 lety +1

    Mimi niriondoka kwamume wangu baada yavipigo kero ugomvi usiokwisha nikarudi kwetu kipindi icho nikiwa namwanangu mdogo akiwa namiezi 9 nawasihii wanawake wezangu dunia imearibika binadamu wamegeuka kuwa maiziraeli watowa roho za watu ndoa ikikushinda Rudi nyumbani iwe kijijini iwe dar iwe porini rudini makwenu msivumirie vipigo msivumirie manyanyaso kwani maisha kokote pare 😭😭😭😭😭 Rip pumzika kwaamani 🙏

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 Před 2 lety +4

    Ckukuu imemshnda ndo anaua ...may her soul rest in peace

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 Před 2 lety +1

    Innalilah wainna ilahi lajihun

  • @judithmelvinealuchio8968

    pepo limeingia ulimwengu kweli tuzidi kuombeana waah poleni sana wafiwa 😭😭😭🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @veronicasulle1849
    @veronicasulle1849 Před 2 lety

    Mungu simama na sisi matukio mabaya kila kukicha

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 Před 2 lety +6

    Mbona matukio yamekua mengi sasaivi kwann ile Sheria ya atakaeua kwa kukusudia naye anyongwe isifanye kazi jamani why tunaelekea wapi

  • @angelshio2617
    @angelshio2617 Před 2 lety

    Ashukiriwe Mungu hajamwaua watoto