UKATILI: MREMBO Asimulia UNYAMA Wanaofanyiwa WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI, KUBAKWA, KULAWITIWA...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 08. 2021
  • UKATILI: MREMBO Asimulia UNYAMA Wanaofanyiwa WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI, KUBAKWA, KULAWITIWA...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 1,1K

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 Před 2 lety +14

    Niko Oman Mwaka wa 10 huu Sijaona Hayo Alhamdulilah ilove yuo Oman 🇹🇿❤️❤️❤️🇴🇲🇴🇲💋the

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Před 2 lety +1

      Upo kweli oman ???

    • @mwanahamis5487
      @mwanahamis5487 Před 2 lety +1

      @@thefactbook...1607 Ndioo Niko Oman salalah mirbat

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Před 2 lety

      Namba yako please

    • @Worldunite
      @Worldunite Před 2 lety

      Basi matajiri zako ni ktk waja wema, umshukuru Allah, wengine wanateseka sana hata wewe unajua

    • @omanatr8729
      @omanatr8729 Před 2 lety +1

      Na mimi pia naletewa mpaka chakula cha kwetu nyumbani namahikuru mungu

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 Před 2 lety +50

    Tujuane tuliokuwa omani miaka minne now mungu ndie kimbilio.letu raha na shida zote😬😬😬😱😱😱🙄

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Před 2 lety +1

      Tupoooooo👌

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 Před 2 lety +2

      @@hanifatanzania7258 tupo mwenzangu na wengine tuna amani tu kiukweli....

    • @asmasalum675
      @asmasalum675 Před 2 lety +3

      Nkweri. My. Tuliokua. Uku. Mungu. Ndio.kimbilio.letu.raha
      Shida.anaejua.mungu.tu.anatfanyia.wepesi.siku.znasonga.

    • @najmaulaya8819
      @najmaulaya8819 Před 2 lety

      @@asmasalum675 Nikkei kabisa

    • @aishatarimo6780
      @aishatarimo6780 Před 2 lety +3

      Kwan yy alitumwa kwenda ughaibun atuache ss na shida na rahaa zetu tuzivumilie

  • @sukumaganga2613
    @sukumaganga2613 Před 2 lety +6

    Ukweli ni kwamba Kila binadam Wapo wazur na wabaya sio mwarabi Wala mzungu Wala mtz kwani watanzania wangap wanauwana tena ndgu kwa ndg acha mwarabu mbali watu wa baba mmoja wananyanyasana acheni lawama za kishamba kuwalaum watu waraabu wangapi wamwsaidia watu maisha Yao

  • @baiaaa2809
    @baiaaa2809 Před 2 lety +3

    Mimi nilifanya kz oman miaka 4na mwezi kwa mabosi wawili tofauti namaanisha miaka2 namwezi mmoja kwa bosi mwingine na wa pili miaka 2 hiyo ni oman kwa sudi kwa kweli sifahamu na hadi leo mabosi wangu wananihitaji na sijawahi kinyanyaawa wala kudhulumia na hapa nilipo nina mjengo wangu alhamdulllah

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 Před 2 lety

      Kila mtu na bahati yake kweli maisha ya arabuni ni magumu

    • @bakarisakawa6979
      @bakarisakawa6979 Před 2 lety +1

      Endelea kumuomba mungu ivo ivo

    • @nooor1120
      @nooor1120 Před 2 lety +1

      Alhamdulillah
      Kwasababu dada unajielewa ndio umefamikiwa

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 Před 2 lety +1

      Mabruk sasawewe ulienda kikazi zaidi wengine wanaenda namambo mengii

    • @nooor1120
      @nooor1120 Před 2 lety

      @@rajabdibwa6415 hakuna sehem maisha rahisi duniani kwani kote wanalalamika mambo magumu si ulaya si arabuni si africa tuombe mmungu tu atusaidie kwani kutafuta rizki ya halali ni kazi kubwa ila km una nguvu zako Bora kustahmili ili upate halali yako na jasho lako ndio utayajuwa maisha na utatunza ulichokivuna.

  • @hamidahamadi1564
    @hamidahamadi1564 Před 2 lety +10

    Siku nyinginewvipindi kama hivi msiweke hio saound inasikika zaid kuliko malezo y mlengwa kusikaka inaboa kiukweli

  • @user-lx4of8fr3l
    @user-lx4of8fr3l Před 2 lety +7

    Dada kaongea kweli ila si wote lakin mambo hayo yapo mm nipo oman lakin mpaka sasa mabosi wangu namshukuru mungu lakin hayo mambo yapo ww unaebisha omba mungu ivoivo juzi mwenzetu kafa katupwa ghorofani unabisha nn

  • @zuwenaothman5134
    @zuwenaothman5134 Před 2 lety +9

    Sio wote mimi pia nipo Oman na Sasa Natimiza mwaka mmoja na miezi mitano Al'hamdulillah mpk Sasa sijaona manyanyaso wala kukatiliwa ila kazi nyingi tu

  • @user-id1me9ve1o
    @user-id1me9ve1o Před 2 lety +2

    Niko Oman miaka 11 sijawahi ona hayo alhamdulilah yaalabi ila saudia imezidi ubaya jamani love you Oman 🇴🇲🇴🇲 AND 🇹🇿🇹🇿

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 Před 2 lety +6

    Pole sana ni saundia siyo nchi ya kwenda

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 Před 2 lety +17

    Pole sana dear mshukru Mungu ulirudi salama wengine wanarudi maiti Maskini😩Mungu tusaidie waja wako tuna shida ndio mana tunaenda kwenye hizo nchi si kwa kupenda ni shida zetu tu

    • @swesschao3095
      @swesschao3095 Před 2 lety +1

      MWENYE ENZI MUNGU WETU ATULINDE!!!!!

    • @amoskenyale2542
      @amoskenyale2542 Před 2 lety +2

      Hakuna Mambo ya pole,Kama maisha yangekua poa angekua jeuri.

    • @emmyedward6541
      @emmyedward6541 Před 2 lety +1

      Polen sana ndio changamoto za maisha dugu yangu

    • @rosenyongesa7420
      @rosenyongesa7420 Před 2 lety

      Poleni Sana kaka heri kwenu kuliko kwenda Arabic uko nikifo tu

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 Před 2 lety +1

      Mziki wa nn Sasa jmn hatusikii vzr

  • @joycebruno312
    @joycebruno312 Před 2 lety

    God is wonderful my sister you are back amen

  • @anthonywashokera3500
    @anthonywashokera3500 Před 2 lety +1

    Pole Sana dada yangu mtanzania mwenzangu Kwa kuchukuliwa utumwani Kwa watu ambao waliwatesa babu zetu na kuwauwa.

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 Před 2 lety

      babu zenu ndio waliowakamata ndugu zao na kuwauza , mjinga usojielewa

    • @rahmooosaidooo1146
      @rahmooosaidooo1146 Před 2 lety

      Ww uliza vizuri historia sio kuropoka yaani kazi kuweka chuki hao madada ni waongo baadhi yao wanafwata wanaume.ndio hao ss wamekosa pesa wasema uongo

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 Před 2 lety +5

    WAARAB WANA ROHO MBAYA SANA NDOMANA UTAKUTA WENGI NI MAGAIDI

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Před 2 lety +8

    Rafudhi ya kihaya inaanza, badae inakuja kigoma mara inavuka border inaitafuta kongo, mara Burundi...... SHE IS FOREIGNER.. Na huo uongo sasa, mmmh huyu dada jmn mpeni kiki tu atrend kama anavyotaka basi arudi kwao mwenyewe mzur mwaaaaah😘😘😘😘😘

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 Před 2 lety +1

    Daaah polesana kweli niatari iziinchi zawenyewenibala mtuakiona amefika nyumbani nimaima nikumshukurumungu

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 Před 2 lety +7

    mambo ayo yapo sana ila inategema na maboss na maajent washenzi sio wote...yan huku kuomba mungu basi

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 Před 2 lety

      Kabisaaaa mamy

    • @gibbs1320
      @gibbs1320 Před 2 lety

      @bint hawa naomba kuongea na wewe. Tubadilishane mambo mawili matatu tafadhali

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Před 2 lety +19

    maajenti ni sawa na wadudu usitengemee ajenti atakusaidia utasuburi sana

    • @tatualmazrui5945
      @tatualmazrui5945 Před 2 lety +1

      Wapo wanaosaidia

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Před 2 lety +3

      maajenti pasua kichwa wakishapokea tu pesa heheeeee mh hawa watu hatariiiiiiiiiiii

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 Před 2 lety +1

      Sio majenti woote, ajeti wangu mimi anamwambiaga madamu wangu kama anipeleke kwake!! Nashinda kule

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 Před 2 lety

      @@imansaid8020 maajabu

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 Před 2 lety

      @@sharonanyango2057 kila mtu na tabia yake!!

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 Před 2 lety +9

    Kila nchi kunawenyeroho nzuri na roho mbaya na nimitihan ktk kz kila kz inachangamoto yake

    • @farhatomar7495
      @farhatomar7495 Před 2 lety +1

      Absolutely true

    • @zakiarashed144
      @zakiarashed144 Před 2 lety +2

      Oliva ni kweli kila nchi ina mapungufu yao mie nina miaka 4 sasa Oman hapana shida kabisa namshukur mungu tatizo la huku hutakiwi kutoka na mie naona poa tu kikubwa utimize malengo

    • @nooor1120
      @nooor1120 Před 2 lety

      @@zakiarashed144 wewe unajielewa Zakia
      Kuna mdanyakazi kajirikodi anamwambia madam nipe mumeo au barobaro wako sasa ndio adabu gani hio? Na madam gani atakubali kuambiwa hivyo duniani? Jamani kusema kweli wapo maboss wakorofi na wapo wafanyakazi wakorofi na wakija kuhojiwa hao madam hapa wallahi hamtosadiki masikio yenu jinsi wafanya kazi nao wanavo aibisha tanzania wanafanya mambo ya firauni huko hebu tuleteeni na upande wa pili tuwasikie sio kila siku tunasikia upande mmoja tu.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 2 lety +1

      Kabisa kuna watu wamejengewa majumba na hao hao warabu so kila mmoja na bahati yake na mitihan Mungu aliye mpangia.. roho mbaya haina kabila wala rangi

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Před 2 lety +4

    Pole sana kila seem Kuna changamoto akuna urahis wa Kaz mimi niko uku UAE 🇦🇪 alhamdulillah hiz maisha kikubwa subra tu miaka 4 now miwli nilifanya Oman safi

  • @sikudhanjuma3987
    @sikudhanjuma3987 Před 2 lety +1

    Nashukuru nilisafir km.nnchi tano skiwahi pata madhila namshukuru Allah

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 Před 2 lety +18

    jamani mm ninamwaka 8 sasa
    nilikii 2 nikarud Tz, nikapumzika miez 2 Goma likaruka tena kuja Omani,
    sasa nina mwaka wa5 sijarud tz
    inshaallah M/ aendelee kunisimamia
    🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏

    • @azizashaweji553
      @azizashaweji553 Před 2 lety +2

      Dada farida naomba namba yakotuchat watsap ninashida nakazi paspiort ninayo

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 Před 2 lety +10

      Nna mwaka wa 6 huu Dubai hao wanaolalamika ni huwa ni ajali kama ajali zingine

    • @alexedward4069
      @alexedward4069 Před 2 lety +2

      Wewe xi umekubuhu isitoshe wewe ni muhaya. Hayo ndo maisha yako

    • @alexedward4069
      @alexedward4069 Před 2 lety +1

      @@azizashaweji553 wewe aziza Ni Bora uje nikuunganishe hapa hapa bongo ufanye kazi. Kuliko kwenda kwa mparange

    • @faridaabdallah2213
      @faridaabdallah2213 Před 2 lety +1

      @@azizashaweji553 tena ww kama unayo usijali wangu nitumie yako niku chek kisha unaifuta my, yuko pamoja wangu tena kunawengine wanaotaka kuja nitakuunga nao mke wote my

  • @kamauwilliamk
    @kamauwilliamk Před 2 lety +8

    Why do you have to put the background music, with to much volume, 😵😵😵😠🤬

  • @getrudewillson308
    @getrudewillson308 Před 2 lety +7

    Wanao sema c kweli sijui kama wana uelewa, maana mm kuna rafiki yangu Alisha pelekwa rakini alirudi ana ham adi alipatwa ugonjwa mbaya sana sana, na mpaka sasa anarahani kitendo. Na wanaosema waende ubalozini, atapajuaje mtu anapelekwa kama kipofu kisha wekwa ndani hutoki? Kutoka ni kwenda kutupa taka ndipo huko unaweza kuona jua.

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 Před 2 lety +1

      Waweza kodi tax ukaend il si wote wabaya ila malez yetu na yao tofautii

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 Před 2 lety

      Swadakta hayajawakuta ndio maana wanacomment kusema huyu dada muongo laa hasha wengi sana wa Africa wanapata mateso wakienda ughaibuni ni wachache sana waarabu wenye imani na hofu na Mungu ndio wanaishi na wafanyakazi vizuri mashallah

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 Před rokem +1

      So kweli we so wote wapo hivyo me nipo salama na miaka sita na nazurura kama nipo tz na sitamani kurudi tz kabisaaa Oman ni pazuri Sanaa ukifuata lilo kuleta

  • @feynation3739
    @feynation3739 Před 2 lety +4

    Jamani wew dada hakuna police anaekupokea wacha kusema uongo ikiwa umesafirishwa na office lazima ufikie officin hicho chumba ulichopelekwa wew kiko wapi na mwaka gani hayo mambo

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 Před 2 lety +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kutafuta kujulikana mitandaoni

    • @rahimaabuu8687
      @rahimaabuu8687 Před rokem

      Ety mshahara wake lak tisaa n n aliendaa miaka hiyooo ya nyerere

  • @fatmajumaa469
    @fatmajumaa469 Před 2 lety +5

    Pole sana manyanyaso yapo ingawa sio wote yanowakuta

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 Před 2 lety +1

    Nimtihani yarab mungu atawasaidia hakuna zito kwa Allah wala hakuna dhiki ya milele

    • @selemani.matendo4091
      @selemani.matendo4091 Před 2 lety

      WAcha. Uongo.. Hakuna. Jambo.. Kama. Hilo. LA. Watu. Kuchinjwa.. Huku. Saudia... Huku. Kuna. Sheria.. Kumpiga.. Mtu. Ngumi. Ni. Kosa. Kubwa... Wengine. Wanakuja.. Huku. Kujiuza. Tu.. Ni. Mimi. Nina. Miaka. 20..nipo..huku.saudia..ndio.kunA..waaarabu..wengine...sio.wazuri...lakini.sio.wote

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 Před 2 lety +1

    Hyo miwan ndo inakuacha useme ndyo syo mama ...na tukfka arabun tuache upambe wetu home tukirud tutajpamba hyo kutaka kua sawa na boss pia yaponza ...jeuri kwa boss na kujbzana vkal pia tujiepushe na subra muhm....mungu awasaidie walo nchi za ughaibun InshaAllah 🙏

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 Před 2 lety

      Kabisa yan akifoka kaa kimya kuepusha shetan yan ila watu wanajifanya kuwa juu na waoo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety

      @@thresherjordan6829 kumbe ni kweli mna nyanyaswa kufokewa,mbona mwamuandama sasa?mko radhi kwa hayo?mnakubali kisiri siri mmmh!🤔lakini hamtaki kusema mnaogopa kibarua chenu kisiote nyasi

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 Před 2 lety

      @@aairraahseif5648 WEWE ZIRO BRAIN HAPA BONGO WATU HAWAFOKEANI???

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 Před 2 lety

      @@aairraahseif5648 hata maofisi makubwa mabosi hufokea wafanyakazi, huoni wakuu wamikoa wakifokea watu ,wakuu wa wilaya tena usikute anaefokewa ni mkurugenzi au Engineer wa mkoa lakini haropokwi kumjibu ovyo bosi wake

  • @Worldunite
    @Worldunite Před 2 lety +8

    Hawa waarabu sio watu kabisa tena hasa wa huko uarabuni. Lkn pia serikali iwafuatilie na kuwakamata hawa ma-agent wao walioko apa nchini

    • @rahmooosaidooo1146
      @rahmooosaidooo1146 Před 2 lety

      Ww muhindi acha unafik wako mjinga mmoja.

    • @Worldunite
      @Worldunite Před 2 lety

      @@rahmooosaidooo1146 wahindi na waarabu wa Yemen wote wafukuzwe, hii sio nchi yenu mnatamba sana mkijaga hapa kwetu

    • @Worldunite
      @Worldunite Před 2 lety

      @@rahmooosaidooo1146 mnafikiri pana tende na ngamia hapa na bokoboko, si muondoke tu mnawatesa sana dada zetu wakijaga huko, maponjoro na wa-yemen wabaguzi sana nyie

    • @rahmooosaidooo1146
      @rahmooosaidooo1146 Před 2 lety

      Bora kwanza ungekaa &hao unawaita dada zako wajitulize hapahapa tz mbona kazi zipo tele lkn huko pia kuna wenzao mbao pia dada zako wengine wastarabu wana hishma zao wanaendelea & kazi sio hao viruka njia kwenda kutafuta waume ...eti wanateswa

    • @rahmooosaidooo1146
      @rahmooosaidooo1146 Před 2 lety

      @@Worldunite acha roha mbaya unawalisha ww hao watu au wao ndio wanakulisha watu km ww ndio munaidhoofisha nchi kwa roho mbaya .maskini usiyejitambua

  • @daynmengjamloo9719
    @daynmengjamloo9719 Před 2 lety +7

    Timu omani tujuane 🥳🥳🥳🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @saumunassoro9983
    @saumunassoro9983 Před 2 lety

    Ooh pole Sana

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Před rokem +1

    Pole dada watu awaogopi mungu

  • @asiamussa3780
    @asiamussa3780 Před 2 lety +7

    Hilo lisound mnaweka la nn?mnaboa

  • @mariamuhamadi4966
    @mariamuhamadi4966 Před 2 lety +4

    Cyo kila anae kuja Oman anateseka ila kila mtu na roho yake wapo wanao teseka ila mm nashukuru apa nilipo pata cjawai kufanyiwa chochote kibaya tangu nije na sasa nina miaka 4 nyumba hihi tangu nimefika ila wapo pia wanao teseka sana mpaka wanajiuwa kwa mateso ila mie naona kwa wafanyakazi wa ndani cyo omani tu dunia nzima ipo iyo so tuclaumu upande mmoja kuna mda ata cc wafanyakazi tunajisahau tunasahau kilicho tuleta tunaunganisha na tamaa ila kikubwa ni kumuomba Mungu tu atuepushe na hayo mabalaa 🙏🙏🙏

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 Před 2 lety +1

    Pole sana warabu wanaroho mbaya sana aisee

    • @matildakejo7785
      @matildakejo7785 Před 2 lety

      ht bongo wenye roho mbaya wamejaa km wote mbona hamsemi? wengine wanajiondokea hp bila mipangilio ya kiuhalali wanaenda wanafamya kz kdg then wanawatoroka waajiri wao kwenda kudanga shame on them

  • @aminahussein5418
    @aminahussein5418 Před 2 lety

    Ww nimambanaji my umepambana kwajasholako ila ndoivo mungu nimwena upo salama

  • @fathiabomani9084
    @fathiabomani9084 Před 2 lety +13

    Don't play those backgrounds music, they over power the person who is being interviewed

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Před 2 lety +3

    subhanallah jaman saudia hakufai kabisa kwenda kufanya kazi wakenya wanarudi makwao wamekufa

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety +1

      Uarabuni kote waarabu ni wanyama

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 Před 2 lety +1

      Mmh kabwela, wewe umeenda nchi zot za kiarabu?

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 WEWE WACHA CHUKI KWA MANENO YA KUSIKIA CHIKUWA HI CLIP NENDA SERIKALINI KARIPOTI WATU WASIRUHUSIWE KWENDA HUKO KAMA KWELI UNA AMINI HAYA YA MTANDAONI WAFUNGIWE SIO LAZIMA KWENDA HUKO.

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 HAPA BONGO MALAYA KAMTIA MOTO HAWARA YAKE MUMU KAMUUWA MKE WAKE NA VISA KIBAO LAKINI HUWEZI KUSEMA WA AFRICA WANYAMA AU NGURUWE MA MABALAA KIBAO TENA YANA USHAHIDI SIO MANENO YA KUELEZEWA KAMA YA HUYO DADA HUNA USHAHIDI.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@salimsaid7200 clip zimetumwa serikalini na kampeni inaendelea na waziri alizungumzia hili utawala wa JPM walikuwa kwenye process ya kuzuia watu kuja Uarabuni . Sasa Huyu mama ameingia madarakani kampeni zinaendelea tena, nchi zingine wamekataza raia wao kwenda Uarabuni

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Před 2 lety +1

    Oman kwa kweli Mungu ana WAONA

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 Před 2 lety +2

    Saudia sikushauli Ila mm nipo oman mwaka WA 6 naelekea sijawahi Ata kuguswa na mwanaume na heshima ipo nashukuru kwakweli yani mungu mwema 🙏🙏🙏👏👏👏ila pole sana pia

  • @fettyslim7511
    @fettyslim7511 Před 2 lety +7

    Iyo back ground music inaboaa

  • @jokahali9040
    @jokahali9040 Před 2 lety +6

    Kwa suudia sijui lakini omani hamna kitu kama hicho labda changamoto za kazi tu

  • @edwinkambona8039
    @edwinkambona8039 Před 2 lety +1

    Hello Lidia, pole Sana kwa yote hayo! Mimi binafsi Kuna kitu nimekifunza. Kwamba kabla hujapitia mapito ya Aina yoyote Yale, bado hujakamilika kimaisha na hauna haha ya kujisifu kwamba wewe ndo uko Safi! Lidia, nakuomba uwe mwalimu kwa mabinti wenzako ili wasiingie ktk shida uliopotia Lidia. Kwa vile Mungu amekurudisja nyumbani salaam, Dada mtumikie Mungu kwa kuhudumu ktk shamba la Mungu! Mungu Ana kusudi na wewe. Mungu Akubariki Sana, kwa kukupatia mume mwema na watoto kadhaa!!

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 Před 2 lety +1

    Pore sana Dada

  • @shekhaissa9154
    @shekhaissa9154 Před 2 lety +5

    Story nzuri na ina mafundisho mengi. Ila watu kama wewe Lydia mnapohojiwa mngeeleza vizuri majina ya hao mabosi wenu waliowatesa na anuani kamili ya sehemu mlipofikia huko Saudia au Oman. Hii ingesaidia sana kuwafatilia hao watesaji na wao wakapata nafasi ya kuelezea upande eao. Vinginevyo inakuwa story ulotoa ni muendelezo wa badithi ambazo haziakamika , tumesikia only one side of the story. Toa evidence kamili ya unachokiongea

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety

      Swadaktaaaa,iwaaa!hiyo point sawa kabisa

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety

      Iwaaa swadakta kabisa

    • @user-li4kt7lz1r
      @user-li4kt7lz1r Před rokem

      Mpenz uku ukisha fika nyumba ya mwalabu hujui anuani wala nn lamda no ya sim ya boss na majina pia majina weng wanafanana na hunapo pitia Mateso unakua hakuna unachokijua unaangalia loho yako tu

    • @khadijabuberwa3362
      @khadijabuberwa3362 Před 6 měsíci

      Mimi Niko omani lakini sijayaona

  • @rahmarogath4067
    @rahmarogath4067 Před 2 lety +4

    Acheni tamaa za kipumbavu 🤣🤣🤣tukomae Tanzania turizike na kidogo tunachokifanya ili tubaki salama

  • @buuwahiid2898
    @buuwahiid2898 Před 2 lety +1

    Nimesoma baadhi ya comment binafsi kulikuwa kuna maajent hapa nyumbani zanzibar walikuwa wanataka niwatafutie wafanya kazi kwenda omani lkn sikuwa na muda na kuna ofisi zao lkn mm sijui mambo ya wafanya kazi za huko nikaogopa kuwatatafutia na muda sina nashukuru nimejufunza hapa

  • @rosekadanga3940
    @rosekadanga3940 Před 2 lety

    Jamani

  • @ndikumasabodiegovevo9091
    @ndikumasabodiegovevo9091 Před 2 lety +6

    Music track haifai

  • @salmameshack4502
    @salmameshack4502 Před 2 lety +5

    Muwage mnapunguza sound jmn makelele

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 Před 2 lety

      Yaani.hiyo sauti ya mziki bura wangesitisha interview wakapiga huo mziki hadi mwisho

    • @olivanooraladin5436
      @olivanooraladin5436 Před 2 lety

      Shida ndozinazo wapeleka

  • @magellasaid3693
    @magellasaid3693 Před 2 lety +2

    Kujieleza hajui huyu! Oman ni waarabu na waarabu ni islam sasa huyu hata haendani na mila na desturi za kiarabu kbs, mbona wazanzibar wako huko miaka mingi sn lzm kuna jambo hapo nakubali waarabu ni wanafiki na wana roho mbaya lkn kuna jambo anaficha huyu dada.

  • @ablaalnaamani7670
    @ablaalnaamani7670 Před 2 lety +1

    Tunaomba mkiwa mnafanya interview musiweke music ina tu disturb wakati tunawasikiliza

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 Před 2 lety +4

    sisi tupo huu mwaka wa 14 tena najua wengi sana wapo na wamekaa vizur acheni kutuna nchi za watu kaeni bongo fanyeni kazi ya umalaya

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 Před 2 lety +1

      Usiropokwe kama hayajakufika sawa wacha kabisa kuna watu wanayapitia hayaaaaa kwahy acha kashfa

    • @anitajulius8533
      @anitajulius8533 Před 2 lety

      Nitafutie namm

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety +1

      Fatma sikia kama wewe ulibahatika kupata boss mwema shukuru mungu,lakini nakuomba achs kukataa matukio wanayo elezea wenzako,maana wao yamewakuta ukisema una miaka 14 hujafanyiwa umebahatika,lakini usipaze sauti kuwadidimiza ns kuwafunika wenzio wanao paza sauti kujikomboa,huo ndo utumwa mama,wee unajuaje yanayo wafika wenzio,jisemee nafsi yako kwa wema wao,na hawa wanzako wanasemea nafsi zao kwa mateso yao kwa boss zao,kumbuka hamuwezi fanana kila mtu ana bahati zake,wao hawakubahatika usikatae walio pitia wenzio huko

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety +1

      @@thresherjordan6829 hayajamkuta huyu,anajisemea yeye,wenzie yamewakuta wanajielezea yeye anakanusha vipi?huu utumwa wa fikra kuwa kanusha watu na matukio yao,wamuache aongee wao walikuwepo?kila mtu ana yake humu Duniani asiongee?

    • @rehemabakar8800
      @rehemabakar8800 Před 2 lety +1

      Ww mwenyew ndio kilicho kupeleka huko hakun malaya

  • @tatumhogo5742
    @tatumhogo5742 Před 2 lety +5

    Utumwa upo sana jamani

  • @user-wl8qm2yj2c
    @user-wl8qm2yj2c Před 8 měsíci

    Ni kweli sio watu wote ni WA baya Mimi Niko omani na fanya kazi na naishi vizur tu alihamdulillah mpaka sasa wapo wanao PATA changa moto

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Před 2 lety +2

    Hata huko tz kila siku twasikiya mnavyouwana acheni roho mbaya na warabu sio wote huko kwenu pia mambo makubwa twayaona lakini mwarabu utaona uongo mnavyozidisha mungu awaona nyie

  • @salmaalisaudalsaid2551
    @salmaalisaudalsaid2551 Před 2 lety +4

    Mimi nimekaa na mfanyakazi miaka 22. Kaondoka kwa yeye mwenyewe kutaka kuondoka. Na hii ni oman. Kwa hiyo usiseme watu wote wa oman wabaya. Kila nchi kuna watu wazuri na wabaya. Hata hapo tanzania pia kuna watu wanatesa wafanyakazi.

    • @othmanyusufu2866
      @othmanyusufu2866 Před 2 lety

      Ni kweli unayo sema sio woote wabaya..Lakin nchi za huko zimeongoza Sana ndomana kutwa kesi huko mbona atuzisikii Sana wanafanya UK..na nchi zengine?Oman is too much and that is true

    • @christinaemma504
      @christinaemma504 Před 2 lety

      Dada hongera kwa moyo huo naomba kazi

    • @LuciaAnania-no5ee
      @LuciaAnania-no5ee Před 29 dny

      Naitaji nifanye kutoka kwako mana ukwel inatishaa😢

  • @jacquelineadrian7642
    @jacquelineadrian7642 Před 2 lety +4

    Nyie mnaosema waongo shukurun mmepata mabos wazur wenzenu wanaarud walemav

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 Před 2 lety

      huyu mbwa maelezo yake ya uongo hayajanyooka, inaonesha hajawahi hata kupanda ndege nikiki za kijinga. Airport hakuna Polisi wakumokea mtu, nishasafiri na kuwasaidia mahousegal wengi wakiomba simu yangu kupigia mabosi wao kuja kuwapokea airport wengi au wote hupokelewa na waajiri wao. Hili jiongo halijui hata airport watu wanapitaje

    • @tecklamwakyambo7444
      @tecklamwakyambo7444 Před 2 lety +1

      Kweri kbx uko sahihi sema ubahatike tu kuna wanaoludi maiti kbx

  • @royalmirage2005
    @royalmirage2005 Před 2 lety

    Pole

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 Před 2 lety

    duuh pole saaan sister inshallah

  • @briankatani8765
    @briankatani8765 Před 2 lety +6

    Tatizo huwa wanatoroka huku bila mkataba,hawaripoti Ubarozini kule.

    • @feynation3739
      @feynation3739 Před 2 lety

      Mkataba ndio uliambiwa utakusaidia ? Acheni kuongea vitu msivyovijua

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 Před 2 lety

      @@feynation3739 sasa bila ya mkataba unishije nchi za watu

  • @zakiarashed144
    @zakiarashed144 Před 2 lety +3

    Alhamdullillah namshukur Allah nipo Oman sijapata tabu Kwa kweli

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Před 2 lety +1

      hivyo unavyooneka wala sio mfanyakz unaonekana mdangaji tu fyuu

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      Fyuu wewe utakuwa agent au mzanzibar unaouza wenzako huko Oman 🇴🇲 kwa hao mashetani nguruwe waarabu 🤮 😩

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 nguruwe ni wewe na shetani ni wewe wala sio waarabu

    • @zakiarashed144
      @zakiarashed144 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 mimi sio ajent wala sio mzanzibar sema ukiwa ukija kutafuta maisha kikubwa kujiheshimu ufuate ulicho kitafuta na kua na subra mambo ya mauzi sio kua hayapo ila uvumilivu heshima sio wengi wao wanataka kuishi kama vile wapo tz

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@zakiarashed144 unavyoongea ni kama mmoja wapo. Kwa hiyo madada wote wa Kitanzania au wote wa kiafrika wanavyofanyiwa ufirauni huo hawajiheshimu , watu wanajiheshimu sana ila waarabu ni nguruwe tu. Waarabu wana washika matako madada zetu huko , kuwafanyisha kazi kama punda wengine wanabakwa kabisa hata kuu wawa , Madada zetu wa kiafrika wanajiheshimu ila hao waarabu ni mbwa

  • @sarahyusuph3269
    @sarahyusuph3269 Před 2 lety

    Ni ya kweli kabisa hata mimi nipo huku huku Mungu ATUSAIDIE tu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Před 2 lety +2

    Mkichinjwa sawa tu.Tamaa

    • @ashorass4431
      @ashorass4431 Před 2 lety +1

      Acha roho mbaya na wewe

    • @mammam4701
      @mammam4701 Před 2 lety

      Nyoooooooooooooo we mwenyew unatamaaa mbona unafnywa😏😏😏😏nyoooooooooooooo

    • @mammam4701
      @mammam4701 Před 2 lety

      Nyoooooooooooooo

    • @safiyajeylan1342
      @safiyajeylan1342 Před 2 lety

      Ni kweli hawariziki tamaa Mbele mauti nyuma

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety +8

    Wewe dada Mungu azidi kukuweka kwa kuwaambia WaTanzania ukweli , WaTanzania tunatekea mara nyingi kwa kuficha mambo kama Haya. Sasa na nyie mkirudi nyumbani kwa nini mnakaa kimya si mngeokoa wenzenu kutokwenda huko Uarabuni? Kwa nini mnakaa kimya kama mnafanyiwa unyama huu ? Wengi bado wanaingia kwenye utumwa huu sababu ya kutojua.

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 Před 2 lety +3

      Sio kweli kuwa kuna watu wanafanyiwa hivyo uliza watz wapo huku zaidi ya miaka 10

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@makulaikuku6909 hivyo vitu viko na wanafanyiwa ila hawasemi tu kuna wengine wameuwawa au kuwa vilema. Kama hujui ni bora kukaa kimya au ni agent wewe

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 ukienda uarabuni fanya kilichokupeleka vinginevyo mabaya wajitaftia ,

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@prettyh7509 kwa hiyo kwa uwezo wa akili yako kufikiri una maana hawa madada wa nchi zote Kiafrika ambao wamebakwa, kupigwa na kuuwawa kwa kusukumizwa maghorofani amefanya kisichowaleta

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@prettyh7509 kwa hiyo wao ndio wametafuta mabaya waarabu ni wema ?

  • @umranim5854
    @umranim5854 Před 2 lety +3

    Ukitaka kujua huyu ndio ana matatizo saudi arabia nyumba ngapi kafanya wote wabaya oman nyumba ngapi kafanya kazi wote wabaya yeye ndio mkweli yeye ndio mbaya

    • @zanifazan1329
      @zanifazan1329 Před 2 lety

      🤣🤣

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      Funga bakuli lako kama kitu ukijui swine wewe , kila kitu kinajulikana siku hizi Waarabu wanafanya watumwa wafanyakazi wa ndani na anataka Watanzania wajue maana global tv wengi wanaangalia

    • @sulimanking1618
      @sulimanking1618 Před 2 lety

      @@kabwelasutiviraka4765 acheni zulma ,waomani sio wote wabaya ,wala wafrika wote c wabaya ,ila huyu kazidisha c viruzi kusema uongo mungu analipa hapapa

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety

      @@sulimanking1618 mkuu sio dhuluma waaarabu hata hao waomani wajirekebishe sio utu na ni dhuluma, hata Mungu hupendi wote sisi ni binadamu na hamna aliye bora mbele ya Mwenyezi Mungu sababu ya mali. Kinachosikitisha hawa wanajiita waislamu na wanatendea waafrika hivi.

    • @rehemabakar8800
      @rehemabakar8800 Před 2 lety

      Hajabatik jaman usimuhukumu vibay

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 Před 2 lety +2

    Usimpinge sababu ww unayefanyiwa vizuri na boss wa sasa . Wanashuhudia ya kweli wanayopitia ! ukipata boss mzuri shikilia!

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 Před 2 lety +1

      Taarifa hii nimeisikiliza Jana kiukweli wapo wazuri tu sababu Kila mtu anaboss wake ila tunavumilia mengi mke wa boss anakijibu maneno kama sio boss alafu wanawake Wana roho Fulani kama ya ukatili ila mda mwengine tunaekti furaha Ili wasitufanyie vibaya,Bora omani saudia nasikia wanaongoza ukatili ,Kuna wengine waTanzania wakimsikia huyu dada watamtoa akili Hana ila anaongea ukweli mitihani ipo mtu anakufanyisha kazi uku unaumwa corona wee inauma ila tunavumilia njaaa,na baadhi ya waTanzania njaa zimewazidi wanakanusha uwoongo hapana wewe kama umempata boss Yuko poa shukuru, mambo njaa tu.

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 Před 2 lety

      huyu mbwa maelezo yake ya uongo hayajanyooka, inaonesha hajawahi hata kupanda ndege nikiki za kijinga. Airport hakuna Polisi wakumokea mtu, nishasafiri na kuwasaidia mahousegal wengi wakiomba simu yangu kupigia mabosi wao kuja kuwapokea airport wengi au wote hupokelewa na waajiri wao. Hili jiongo halijui hata airport watu wanapitaje

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 Před 2 lety

      @@mhogomchungu7168 mbona umekuwa mkali sana? Unataka kusema watu hawanyanyaswi au hawatukanwu? Au hawafanyi kazi huku wanaumwa?

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 Před 2 lety

      @@imansaid8020 HUYO MUONGO KWANI HAKUNA SERIKALI OMANI MBONA HAJA RIPOTI HUKO OMAN KUNA WABONGO WANAWAKE NA WANAUME HAWAPUNGUWI 50 ELFU TENA WANA SECRUTI KALI KULIKO HAPA NA HUWEZI KUMUONEA MGENI HATA KIDOGO TUNA MARAFIKI WENGI HUKO OMAN HUYO DADA MALAYA ANAJI PROMOTI HAPO ASILETE FITINA ZAKE HANA USHAHIDI NA MANENO YAKE OMANI SIO PORI LA WANYAMA NI NCHI NA SHERIA ZIPO ULIZA KWA WABONGO WANAUME WANAOISHI HUKO KAMA UNAWAJUWA SIO HUYO HI NCHI YA KIISLAMU HAWO WANAOROPOKA HAPO NI UPANDE WA PILI WAENDE ULAYA KWA WAKRISTO WENZAO UMALAYA 2 KWAO NDIO SIFA.

    • @rashidamajariwa342
      @rashidamajariwa342 Před 2 lety

      @@salimsaid7200 xx uko Oman ndo wapo wtu Kama ww ataukiambiwa xhida za mtu hutoamin utazn anajixingizia

  • @emmystanford6201
    @emmystanford6201 Před 2 lety

    Dah, inasikitisha sana

  • @user-lx4of8fr3l
    @user-lx4of8fr3l Před 2 lety +3

    Passport wanachukua hata mm nimepokonywa nilipotua tuu sju kwa nn wanakupokonya

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 Před 2 lety

      Hakuna kujiuliza kwanini Wana roho mbaya Mimi mwenyewe imechukuliwa njiani sijafika home ,hawajiamini wadhani roho zao kama zetu

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 Před 2 lety

      Ukitaka kumjua huyu muongo , jiulize ulipokelewa na polisi na passport yako uliikabidhi kwa polisi au muajiri wako ?

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Před 2 lety

      Passport ndio sheria ya nchi ukifika boss wako ndio mdhamini wako awe nayo pia akutolee ID ya ukaazi

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 Před 2 lety +1

      Lazima wachukue maaana wao ndo wamekugharamia na inawezekana ukatoroka wakapata hasara nadhan hivyo mbona hata mi wamechukua na ninapiga kazi bila wasi

    • @alexedward4069
      @alexedward4069 Před 2 lety

      @@prettyh7509 husuna wewe huku huna ndugu vumilia 2. Kufirwa Kira siku

  • @jhjg8705
    @jhjg8705 Před 2 lety +4

    KWANZA HUYU HAJAFANANA NA KUA MFANYA KAZI ZA NDANI HUU NI UZUSHI

    • @dianarobert3989
      @dianarobert3989 Před 2 lety +2

      Kwan wafanya kazi za ndani wapoje eti😂mwenzio kasharudi Tz kapendeza mnaanza kumwita muongo

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 Před 2 lety

      Kwani mfanyakazi anakuwa na langi gani

    • @jackbikoliman3297
      @jackbikoliman3297 Před 2 lety

      Huyu msanii anaigiza tu msikilize hata anavofosi kuongea kama muha wa kigoma vile 😂😂

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 Před 2 lety

      @@jackbikoliman3297 muacheni mmuha wawatu km anaigiza shauliyake

    • @jackbikoliman3297
      @jackbikoliman3297 Před 2 lety

      @@fatmakiruwasha2378 😂😂

  • @user-wl8qm2yj2c
    @user-wl8qm2yj2c Před 8 měsíci

    Tz pia ma boss kibao Wana wafanyia vibaya wafanyia kazi ila ndo ubaya upo kwa warabu tu

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 Před 2 lety +8

    huu umalaya wakusema uongo kujipatia umaarufu wakijinga naona imekua fashion siku hizi Tanzania. Kabla kuongea tuoneshe passport yako na mihuri yako ya kuingia uarabuni. Nyinyi wenye vyombo vya habari uchwara mnatakiwa kuwataka uthibitisho wa hao mnaowahoji kutukana nchi za watu , sijasikia mtu kunyang'anywa passport na polisi Uarabuni , muajiri wako ndio mara nyingi huchukua passport yako na hakuna kufungiwa kwenye chumba eti airport tena? ,ujinga wa mwisho, either utapokelewa na muajiri wako au agent wako Pumbavu.
    Ukitaka kudanganya angalau ulizia kwanza hicho unachotaka kudanganya kwa wanaojua

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 Před 2 lety

      Kabisa mamy yaani uyu anaongezea pumba kibao ni mshenzi sana

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 Před 2 lety +3

      Mbona unatukana sana, na vipi kuhusu saudia!!? Ni kweli lakini sio wote!

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Před 2 lety +2

      ww unajua sana na ww ndio unayesafiri peke yako na msema kweli ni ww maashaallah acha matusi kuwa na hekima

    • @salmadhiab2693
      @salmadhiab2693 Před 2 lety +1

      Tumewachoka kwakweli hawawezi kazi waende wakawaulize ubalozi watanzania wamejaa kama utitiri mtu kaja wiki hajamaliza anataka kurudi aseme kweli hawezi kazi wamekalia kuzua na lugha pia inawacheza mfanya kazi anataka aamke sawasawa na madam sasa umekuja kufanya nini acheni hizo kama hujaona kwamacho usichume dhambi auvp wanatutukana sana wallahi lakini waache mungu anawaona

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Před 2 lety +2

      @@salmadhiab2693 ww ni mwarabu au mfanyakazi shahala kadama msafisha hamam

  • @kiri5807
    @kiri5807 Před 2 lety +3

    wengine kazi zake mwenyewe zinamshinda anajipeleka arabuni kufanya , akipewa kazi za familia anaanza kununia watu unafikiri nani akupe pesa yake bure ? serekali ilikataza musende munatoroka ikisha munakuja kusikitika naona si wafanyaji kazi nyie . ulisikia kuna kazi rahisi ? nyinyi munafika kule mwatska mumpandiye madam utosini atakubali wapi ? umuoneshe dharau ? fanya kazi hamuwezi bakieni mwakwenu musilete fitna hapa . yote nikushindwa na kazi wanaoweza wanakaa miakaa wala huwasikii kusikitika uvivu tu .

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 Před 2 lety

      Kumbe wavivu

    • @kiri5807
      @kiri5807 Před 2 lety

      @@buuwahiid2898 mimi sio lipungeni wakupanda ndege ila nawaona wapuuzi kujipeleka mahali ikisha munarudi kulalamika kutukana watu . kuvamia jambo bila ya kuresrarch madhara yake ndio hayo. 😂😂😂 wivu utoke wapi hapo ? au kwa vile munavyofaidi ? basi kaeni kimya muzidi kunufaika tuzidi kuwaonea wivu

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 Před 2 lety

      Ok sawa ww hujaenda ndugu yangu

    • @kiri5807
      @kiri5807 Před 2 lety

      @@buuwahiid2898 wala sijaweka siku .

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 Před 2 lety

      @@kiri5807 ok kw nn ndugu yangu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Před 2 lety

    Omani omani omani omani yangara dada tena inangara sana🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲mimi muomani omani hoyeeee hoyeeee mtalitia jina baya tunakushukuru sana Sultan Haitham kufungia viza Wafanyakazi wakike tunaotoa tena Shukurani KWA sultan haitham

    • @user-vk4bp5og9v
      @user-vk4bp5og9v Před rokem

      Nikwer waarabu mnaroho mbaya mm nimekaa oman miaka7 niliona wenzengu walivyokua wanateseka nahao wanaume zenu malaya kulawit wafanya kazi tena wanasema wanawake wakiarabu mmepooza

    • @evaamedeus430
      @evaamedeus430 Před měsícem

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @evalunajohannes2382
    @evalunajohannes2382 Před 2 lety +1

    Jamani, huo mziki background inakera kweli.

  • @umranim5854
    @umranim5854 Před 2 lety +3

    Msiwaruhusu kabisa kuwasafirisha tena kwenda uarabuni

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před 2 lety +1

      Na ndio maana wanaongea hivi ili Watanzania wa bara wajue unyama wa mwarabu na watu wasije huko ushenzini , Waarabu ni wadudu nguruwe hawa

  • @shekhaissa9154
    @shekhaissa9154 Před 2 lety +4

    Global TV tunaomba muwahoji na watz walofanikiwa kwa kwenda kufanya kazi huko Arabuni.
    Wapo wengi tu wametajirika kwa kufanya izo kazi.
    Msiwe mnaaangalia walopata matatizo tuu na kutia doa nchi za watu

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Před rokem

      ichi nikipindi chamapito🚶🚶🚶itakuwaje wawaoji wariofanikiwa?????

  • @rahmooosaidooo1146
    @rahmooosaidooo1146 Před 2 lety

    Wee dada mwogope mungu .hujapata wanaume au hujalipwa pesa ya kazi ya umalaya wako ss ndio unawatia ubaya waraabu .... Ss kinacho wapeleka nn

  • @Mk-xk1jk
    @Mk-xk1jk Před 2 lety

    iyo music 🎶 it's anoing 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♀️🙆🏽Hendrick ❌

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 Před 2 lety +3

    Njaa izi zinatuuwa ila atukomi tunaenda

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 Před 2 lety +1

      Ilo nalo neno, njaa, kuliko wanaopinga na kusema ni kuko vizuri, nchi nyingi za Mataifa mengi zimewalalamika hawa wa Middle East. Kwamba ni wanyanyasaji na bado wana zile za kumuona mtu Mweusi ni Mtumwa au ukimtumikia basi anakumiliki, kuna wafanya kazi wengi mpka wa kutoka Asia, kama waphilipino na wanalalamika hivyo hivyo, wananyanyasika pia

  • @khadijatanzania8040
    @khadijatanzania8040 Před 2 lety

    Yaan nikitaka kucoment nafuta mana hata nikijitetea kuwa sijawah pata tabu najuwa kuna watu watapinga kuwa naficha ila ukweli nikwamba sio warabu wote wanaroho mbaya kila mtu na iman yake ila ukweli wangu naujuwa mimi hata mtu aniite muongo sawa

  • @fatmasaid9242
    @fatmasaid9242 Před 2 lety

    Pole sana jamaniii wanawake tubadilike tusikubali kwenda uarabuni Hawa watu hawatupendi sisi ngoz nyeusi wanatuendelezea utumwa tuuuuu

    • @saidrashid5216
      @saidrashid5216 Před 2 lety +1

      Mm sijamuamini yaani hakuna zurini ubaya tu sio kweli

    • @saidrashid5216
      @saidrashid5216 Před 2 lety +1

      Kwa vile ashasema ni jahanamu hakuna sababu ya kuenda kwa nini ukubali kuingia jahanam

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 Před 2 lety

      @@saidrashid5216 kila kaz inachangamoto yake ttzo la sie hatusem mema bas ni mabaya tu ...hakuna aloshikiliwa kuja arabun tumetaka wenyew

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 Před 2 lety

      @@saidrashid5216 binadam hawana wema mie binafs nipo oman namshukur mungu na japo tumefungiwa s hapa kwa miak 4 nimefanya kitu

  • @vero57
    @vero57 Před 2 lety +1

    Huo mziki mkali ,punguza pls

  • @rakhibaally4662
    @rakhibaally4662 Před rokem

    ukienda uwarabuni jifanye mjanja cha mwanzo ujuwe sehemu gani mtaa gani namba za nyumba ukipata mateso ukiamuwa kukimbia bas bora utafute ubalozi wa Tanzania

  • @hildamusimbi2690
    @hildamusimbi2690 Před 2 lety

    Hatusikii vizuri kelele ni nyingi mno

    • @bakarisakawa6979
      @bakarisakawa6979 Před 2 lety

      Nashangaa unamfanyia mtu interview alafu na makelele juu sasa tuzingatie lipi

  • @esthermgema8050
    @esthermgema8050 Před 2 lety +1

    Siyo wote jaman mimi niko Dubai naishi vizuuur sana kama niko nyumbani

  • @reyzuumsafiri4818
    @reyzuumsafiri4818 Před 2 lety +1

    Ww Dada mwengine unayo Sema siyo kweri mbona sisi tupo na abari ya kusema tunapokerewa na porisi siyo kweri ukutunapokerewa na maajeti

    • @ashuramrisho8332
      @ashuramrisho8332 Před 2 lety

      Me nimekuja hukoo sikupokelewa na ajent so huko kunachangamoto nying kila mtu anachangamoto zake

  • @kiri5807
    @kiri5807 Před 2 lety +1

    hawa wengine wanaokutwa na matatixo wengi huwa wanachukuwa waume za watu . wanakwenda nchi za kiarabu kwa malengo yakupata wanaume wakiarabu yakisha kuwakuta huja wakasema uongo , hata wengine wanaenda na mpaka madawa yakuvutia mume wa boss sasa akibaini mwenyewe unafikiri nini ? kichwa chako halali yake. hakuna kazi isiyo na challenge hata hao wanaofanya hapo Kwenu kwani hawateswi ? simufanye kazi hapo hapo kwenu .

  • @badaral6167
    @badaral6167 Před rokem +1

    Ila cio wote kuuso lombaya kila seem wapo sio uwarabuni tu mi nimefanya sana kazi zandani toka baba yangu alivyo fAliki mwaka elfu mbili nina miyaka kumi na mbili mbaka sasa tz ukouko niliteswa sana tena mama MTU mzima kwaiyo tusiwatuumu warabu tu ata

    • @user-li4kt7lz1r
      @user-li4kt7lz1r Před rokem

      Kama hujawahi kupitia magumu sema alhamdulilah wapo watu tunapata shida mpaka sasa

  • @daynmengjamloo9719
    @daynmengjamloo9719 Před 2 lety +1

    Tukiondka omani jamn tukumbuke kuwa kunawengine bado wanahitji3kuja kutimiza ndoto zao najua tunapitya3mengi vingine nisili zandani

  • @joycekimaro6685
    @joycekimaro6685 Před 2 lety +1

    Jamani interview nzuri lakini makelele ya beat yamezidi hata hatumsikiii anayeongea punguzeni sound au mzime kabisaa isiwepo Ili tumsikue anayefanyiwa interview

  • @mwajumaabcongezabidiisanaj1141

    Mhh apo kwenye paspoti siyo kweli paspoti anachukua boss tuu

  • @aishaalafifo7057
    @aishaalafifo7057 Před 2 lety +2

    Mimi mwenyewe nilifika tu! Nikaanza kulia 😭ila sasa hivi nimekomaa 😂🤣 jamani huku ni shida duh! 😂 Ila mimi sijawahi kuteswa na mama Boss zangu 💪💪 ila huyu dada kiswahili chake ka cha Burundi??😂🤣😂🤣😂🤣 tujuane basi 🤷🤷🤷🇧🇮

  • @barakayohanasanga3005
    @barakayohanasanga3005 Před 2 lety +1

    Huo mziki sauti juuu, hauleti radha, stori hainogi.

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 Před 2 lety +2

    Watu weusi hatupendani kweli mabalozi hawana msaada sasa wanakazi gani huko.

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb Před 2 lety

    Kumbe na TZ kuna hii biashara? Nimekuwa nikizisikia Kenya

  • @pendael02
    @pendael02 Před 2 lety +2

    Hao ndio waarabu hao wenye huruma . Si huwa mnajua ni watu sanaaaaaaa

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Před 2 lety

      Wee Mrundi muongo Kwa kua upo unahojiwa Tanganyika unawakandia Zanzibari mbona husemi ya kwenu munauwana kama kuku wahutu na watusi wewe huni ulikwenda nufanya uhuni nujiuza ma club nani akuweke nyumbn kwake ulee watoto wake hivyo ulivyo unatisha

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania Před 2 lety +1

      @@ahmedzahor2975 Kwani Wazanzibari ni malaika? Ama amesema Watanganyika ni malaika!
      Ukatili kweli upo na waathirika ni wengi.

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 Před 2 lety

      Waafrika wanahuruma walishushwa hawakuzaliwa alafu roho zao pamba tena nyeupe hasa tena ww unahuruma saaaana

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety

      @@Kijana-wa-Tanzania sijui kwa nini wanaumia roho ilihali hivi vitu kila pahala vipo wakisemwa kabila fulani wanamaind!huyu nae zenjibar kakereka na uzenji?😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Před 2 lety

      @@mamialsawafi8020 huo sasa unafiq acha kubeza,kila kiumbe ana roho yake,tuwe tunakubali tukirekebishwa na kusemwa mabaya na udhaifu wetu,hakuna mtu aliekamilika au kabila au Nchi fulani au tabaka fulani,sie sote hatuna ukamilifu,ukisema hivyo unatubeza,na why watu wakisemwa kwa mapungufu yao baadhi mna ripuka?hasa wakisemwa warabu heeee!Watu wanaumia sana

  • @franciscafrancoise1426

    Nivema kuzima iyo music

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 Před 2 lety

    Dada anarafadhi ya kigoma

  • @davidmbwambo1024
    @davidmbwambo1024 Před 2 lety

    SOUNDTRACK LA NINI HILO? USHAMBA TU

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617

    Waarabu , waarabu,waarabu, duuu,!!!!!! Na sisi watanzania tuache tamaaa

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 Před rokem

      Warabu hawana shidaa na hawana matatizo gani huyo alienda kudangaa saudia