Mipango ya Ndoa kwa Navykenzo | Kutokuwa na Skendo | Familia
Vložit
- čas přidán 16. 09. 2021
- Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Zábava
Nawapenda sana kenzo.na haika.hawana skendo za ajabu kabisaaa
Hongeren sana watoto wazur na ninyi mmeenda Mungu awaongoze
Nawapenda sana hawa watu
Lkn mngefunga ndoa, yaan hata mkiishi pamoja ,mkazaa inafika muda mwanamke anachoka sn, anaona km amezalishwa tu af basi. Ndoa inaleta heshima. ndoa ya halali ni muhimu.
Mashaallah family nzuri uwa n wapenda sana n utulivu wao
Wanaishi vizuri sana kwakweli
nawapenda mpaka naumwa mm mwenzenu
Very powerful couple 💑 👏 ❤ 😍
Mngefunga Ndoa tuu hata yakutushtukiza Ili Mungu azidi Kubariki muunganiko wenu
Nawapenda sana
Hongeleni sana namungu awalinde usiku na mchana
Wonderful family!!!
Love you so much,,,!!!
Mungu awatunze na watotowenu
Ma Sha Allah.
love that couple
My baby ndoa niya maana saaaaana my dear,Uwe mke halali ndo chamaana baby
I love this couple
Ongera sana vipenzi nawapenda sana
We uko wp
Nawapend sana
Nawapenda
Nawapenda hawa watuu
Couple vzr sn hongereni
Mungu azidi kuwasimamia
Shemej anaongea vzr..
Nice couple 😘
Love
Watoto wafanana na babayao
Dah jamaa sidhan km kuna couple kama yenu maan ata maongezi
Uyu jams anakuag shogann
😍🇹🇿🤝🔥👍