KAKA wa LISSU AJITOSA KESI ya LOLIONDO DC na WENZAKE WAZUIWA KUTUMIA MAWAKILI wa SERIKALI WAPAMBANE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 11. 2023
  • KAKA wa LISSU AJITOSA KESI ya LOLIONDO DC na WENZAKE WAZUIWA KUTUMIA MAWAKILI wa SERIKALI WAPAMBANE...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 16

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 8 měsíci

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @sailepumaneno2069
    @sailepumaneno2069 Před 8 měsíci +4

    Mungu tetea wanachi wa wa ngongoro

  • @VincentOlioruko
    @VincentOlioruko Před 8 měsíci +1

    Rights and Justice must prevail , nobody is above the court jurisdiction and the constitutional law.

  • @DanielOrkijape-qi4xk
    @DanielOrkijape-qi4xk Před 8 měsíci +2

    Nikwelii wamesarau uwamsi wa mahakama kwa hyo warekebishe maneno

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 8 měsíci

    Mungu anawaona,na atatenda jambo kwaajili ya watu wa ngorongoro wanaoonewa. Kuna watumishi wa serikali wanaotumia vyeo vyao vibaya kuumiza wananchi lakini serikali hailioni,ama haijali na kuchukua hatua ya kuwanusuru wanyonge lakini Mungu wa haki na hukumu, Yer9:8,9 aliye juu yetu sote ataonyesha njia mwenyewe!

  • @salama1113
    @salama1113 Před 8 měsíci

    Ndo dawa yao wanawanyanyasa wananchi safi sana

  • @user-dg5dl7xs9r
    @user-dg5dl7xs9r Před 8 měsíci

    mungu aendelee kuapa ukweli na kuapa guvu na awalinde awepushe na majanga

  • @user-ji8ol1og2h
    @user-ji8ol1og2h Před 8 měsíci +1

    Buruza mabwege hao

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Před 8 měsíci

    Nchi hii imekuwa na viongozi ovyo sana wanawaondoa watu kwenye asili yao ni kuwapa usingo wa mawazo na kuwatakia umaskini wa kutupwa mmoja aliuuza Loliondo na huyu anauuza ngorongoro hawa wanatika zamzibar

  • @ibrahmikhala5512
    @ibrahmikhala5512 Před 8 měsíci

    Serikali gani inayodharau😅amri ya mahakama???inasikitisha mno

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 Před 8 měsíci

    Hivi angekuwa mtu baki tu mfugaji fulani huko Ngorongoro kagoma kuitikia wito wa mahakama, huyo jaji/hakimu angemwacha salama kweli? Inakuwaje hawa mara tatu wanagomea wito (summons) ya kufika mahakamani kujibu mashitaka yao? Hivi kiongozi wa serikali na mtumishi wa umma anaposhindwa kutii sheria ukiwemo wito wa mahakama anakuwa anaonesha na kuufundisha nini umma/watu wanaowaongoza? Mimi naishangaa sana mahakama ya Arusha inakubali kudharauliwa kiasi hiki. Hawa watu walipaswa kufuatwa na kuletwa,mahakamani wakiwa na pingu mikononi mwao na kuswekwa ndani kwanza ili wajifunze kuheshimu mahakama na sheria za nchi!. This is very sad aisee!

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 Před 8 měsíci +2

    Hakuna jamii inayopenda Siasa,ubabe na makandokando kama ya Kimasai,mbona wananchi wengine huwa tunapisha shughuli za maendeleo na kuhamia kwingine?kila wakati ni vitimbi tu,na hata wakienda Morogoro tabia ni hizo hizo tu za ubabe na uvamizi wa mashamba ya wakulima!!???

    • @robertzingu9889
      @robertzingu9889 Před 8 měsíci

      Kuna shughuli gani za maendeleo zinaendelea huko za kupishwa na wamasai? Wamasai waondoke kwenye ardhi yao ili serikali impe mwaraabu anayejiita mwekezaji kumbe mwizi tu siyo? Na ni wapi ambapo karibu nusu ya watu wa wilaya fulani walihamishwa ili kupisha hicho unachoita "shughuli za maendeleo?". Unaropoka bila hata kujua nini hasa kinaendelea huko Ngorongoro na Loliondo wewe!!!!

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 Před 8 měsíci

      Tengua kauli yako tafadhali. pili sidhani kama wewe ni mtanzania
      Lingine sisi tupo ngorongoro kisheria na serikali wanatumia nguvu kututoa katika maeneo yetu kama wewe ni msomi tafuta hiyo ya ngorongoro alafu usome naamini utaelewa na utajifunza mengi.but not must.
      Pia inawezekana kutolewa kwenu sheria haiwatambui.

    • @ezekieltate4877
      @ezekieltate4877 Před 8 měsíci

      Acha ukabila wewe dada,jambo usilolijua ni kama usiku wa giza