WAKAZI WA LOLIONDO, NGORONGORO BAADA YA MWAKA MMOJA WA KUWEKA MIPAKA, KUHAMISHWA, WAFUNGUKA MATESO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 06. 2023
  • WAKAZI WA LOLIONDO, NGORONGORO BAADA YA MWAKA MMOJA WA KUWEKA MIPAKA, KUHAMISHWA, WAFUNGUKA MATESO
    Baadhi ya wananchi na viongozi wa tarafa ya loliondo wameadhimisha mwaka mmoja tangu kutokea vurugu wakati wa uwekaji wa alama za mipaka maarufu kama vigingi katika maeneo wanayoishi na Serikali kwa kile kilichoelezwa kuwa maeneo hayo ni Pori Tengefu
    Vurugu hizo wameeleza kuwa ilikuwa ni matokeo ya kutumiwa kwa nguvu kubwa mno iliyokuwa haihitajiki ikiwemo matumizi ya risasi zilipelekea baadhi ya wenzao kuumizwa kutokana na nguvu iliyotumiwa na Jeshi la Polisi huku baadhi ya wanakijiji hawafahamiki walipo hadi hivi sasa na baadhi ya wananchi na viongozi kukamatwa na kufunguliwa Mashataka
    Kama hapa wanavyoeleza
    Kumbukizi hiyo pia imewaleta pamoja viongozi na wakaazi wa Ngorongoro ambao pia wameeleza changamoto wanazukutana nazo hivi sasa kwa wale waoishi ndani ya Hifadhi..
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 12

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Před rokem +3

    Nchi yetu ina shida gani Wakulima shida, wafugaji shida, wavuvi tabuuu na wafanya biashara tabuuu Mateso haya yataisha lini na Serikali kama haioniii 😢😢😢😢😢 Serikali inaongoza nini sasa????

  • @daniellaizer5527
    @daniellaizer5527 Před rokem +2

    Duuuuuuh polen sana ndugu zetu Maasai.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Před rokem +2

    Poleni sana 😢

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 Před rokem +1

    This is apartheid

  • @neusasilvadossantos7889

    Muito bom lindo obrigada a todos

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 Před 10 měsíci

    Samia raisi hebu jalibu kujitafakari hili swala la ngorongoro nikweli Hawa watu ni binadamu kamawewe wahurumie kama mzazi hao wanao kudanganya kesho wewe ndiyo utae jibu huko aheraa mama wanakupoteza hao chawa

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 Před 10 měsíci

    ccm ya bitozo roho mbaya kama makaburu wa SA

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 Před rokem +1

    Ha wana vijiji kumbe wanaongea lugha geni😂😂

    • @Olaiserriomunyak1059
      @Olaiserriomunyak1059 Před rokem

      Nini cha ajabu hapo?

    • @KATOPE1
      @KATOPE1 Před rokem

      @@Olaiserriomunyak1059 cha ajab hao walioka hapo je wanaelewa nn kwan ww hujaona cha ajabu hapo🙃

    • @Olaiserriomunyak1059
      @Olaiserriomunyak1059 Před rokem

      @@KATOPE1 next time try to respect other communitys... Being a Maasai doesn't mean they are not educated.