WASOMI WAIBUKA KUTETEA WANAOISHI NGORONGORO - "HII NI ARDHI MSETO, TUNAWEZA KUISHI NA WANYAMA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • Wasomi kutoka jamii ya wafugaji waishio wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamemuomna Rais Samia Suluhu Hassan kuweka meza ya pamoja kwa mazungumzo na jamii ya wafugaji na wahifadhi wa hifadhi ya Ngorongoro kufuatia changamoto wanayokumbana nayo inayotokana na mgogoro wa ardhi wilayani humo.
    WASOMI WAIBUKA KUTETEA WANAOISHI NGORONGORO - "HII NI ARDHI MSETO, TUNAWEZA KUISHI NA WANYAMA"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Komentáře • 47

  • @BacardiPete
    @BacardiPete Před 2 lety

    sawa in mac regan's voice

  • @faidamasegenghe1253
    @faidamasegenghe1253 Před 2 lety

    Kwa kweli nchi hii basitu hatujui inakoishia wanyama wanasaminiwa kuliko mwanadam

  • @chimbokiswaga8662
    @chimbokiswaga8662 Před 2 lety

    💯

  • @joelkiyiapi6256
    @joelkiyiapi6256 Před 2 lety

    The whole problem is that there is no right of Community land ownership in Tanzania hence Government makes arbitrary decisions that have far reaching consequences for the concerned communities. Wildlife conservation cannot take priority to preservation of human life.

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 Před 2 lety

    Mimi nashangaa kutetea ujinga. Hivi Ngorongoro inaweza kuhimili ongezeko ta wakazi mfano watu milioni 10. Sasa hivi kuna watu takribani milioni 1.1 na pressure kwa wanyama mbugani imeshaanza kuonekana. Naamini kubadili sheria ni Jambo lisiloepukika kwa mustakabali bora wa hifadhi ya Ngorongoro.

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 Před 2 lety

    Msitoke hapo nikwenye mnchi yetu

  • @sapikiwanga6154
    @sapikiwanga6154 Před 2 lety +1

    Ukiona msomi anatetea huu ujinga wa kutaka watu waendelee kukaa ngorongoro,ujue alifaulu chuo kwa vibomu nyakati za mitiani.

    • @oricktunyoni3143
      @oricktunyoni3143 Před 2 lety

      Huwez kusema ivoo coz wew ndio.hujielew ongea fact ndo uweze kusema nn kifanyine na sio kuropoka kitu ambacho hukijuii...

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 Před 2 lety

    aslm mumu hiyooo mtumuhimu asnsaidiya kufanya nyama ukuwerahisuii sasautawavunjanguvu wafungaji wanataja mashambaa yaliyotegenezwa bila kitaka shida zakutengeneaza hasara za harama utegenezaji mashambaa ndio shida

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Před 2 lety +1

    Mimi nilifikiri mmeelimika kumbe mmeelimika kuvaa suri na vinguo vya kubana.
    Mbona hamrudi kuishi huko polini.
    Pumbavu sana

    • @omaniomani643
      @omaniomani643 Před 2 lety

      Kwahiyo unasamin wanyama kuliko binadamu mwehu wewe

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 Před 2 lety

      @@omaniomani643 kama wanyama watakuja huku mjini tutawafukuza na sisi binadamu tukienda porini kwao tufukuzwe...muondoke haraka m najenga mpaka magorofa hivi zipo kichwani kweli

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Před 2 lety

    Mime kua wengi undokeni ardhi ya Tanzania ni kubwa

  • @dinnocelestin1894
    @dinnocelestin1894 Před 2 lety

    Hawa ni miongoni mwa wanaoishi ngorongoro,huwezi kutegemea watasema kingine zaidi ya kupinga kuondolewa ngorongoro

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Před 2 lety

    Naona Hawa watu wabaki huko

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 Před 2 lety

    Hamna kitu kama hiyo? Utahishi aje na wanyama wewe Masai

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Před 2 lety

    Wameishi na wanyama muda mrefu wameshakuwa kama wanyama,hawawezi kuishi na binadamu nje ya mapori hawa watu wanahitaji kusaidiwa kuondolewa huko waishi kwenye makazi ya binadam

    • @koteimbamai6793
      @koteimbamai6793 Před 2 lety

      Wew ndo msenge sana

    • @nailaty
      @nailaty Před 2 lety

      Hata wakuriya hawapendi kuishi na watu wanapenda kuishi maporini hakuna Uwekezaji bali ni mwarabu wa dubai ameuziwa ngorongoro

  • @sibomanaevarste5951
    @sibomanaevarste5951 Před 2 lety

    Megoleliki nimekuona by me ole sasi

  • @dinnocelestin1894
    @dinnocelestin1894 Před 2 lety

    Na hoja ya msingi sio kama wafugaji wapo ngorongoro kwa mujibu wa sheria ama la! Sheria zinaweza kubadilishwa tu kukidhi mahitaji yaliyopo. La muhimu ni kupima ukweli wa athari zinazotokana na uwepo wao huko hifadhini. Kama itaonekana ni bora watolewe kuliko kubaki,basi mkazo uwe kwenye fidia, utaratibu, na uzingatiaji wa haki za binadamu. Sio sawa kulitazama jambo hili kwa ushabiki

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 Před 2 lety

    Acheni mambo yenu hifadhi sio yenu pekee matajiri wamefanya hilo eneo la kufugia hakuna namna kama ni sheria ifutwe

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 2 lety

    Kumuelewesha masai yataka moyo sana maana wanavichwa vigumu hawa watu balaa

    • @nailaty
      @nailaty Před 2 lety +1

      Hawana vichwa vigum ila hawapendi kunyanyasika

  • @alaanjumali8877
    @alaanjumali8877 Před 2 lety

    ngorongoro sio ya serili ni ya wamasai

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 Před 2 lety

      What? Ngorongoro sio sehemu ya Tanzania? Tangu lini? Nieleweshe, jamaani !

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Před 2 lety

    Wasomi makalatasi mmesomeshwa ili mjekuteketeza mbuga kwa maslai ya wachache hapo mtaondoka tu , mmevishwa makoti huku mifupa imewachomoka kama wakimbizi

    • @omaryteddy62
      @omaryteddy62 Před 2 lety

      Acha kuli chafu kwa sababu sio wewe wala Familia yako ndiyo mana unaandika ujinga kuwa na kauli mzuli au wewe sio mtanzania wewe

    • @ernestlaiza1176
      @ernestlaiza1176 Před 2 lety

      Mjinga we bora wao wanajulikana dunia mzima wewe hata kijijini kwenu hamjulikani

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Před 2 lety

    Wasomi nyie acheni kuongea bila kufikiria, maana nyie wote mmesomeshwa na Ngorongoro kupitia baraza la Wafugaji na wengi wenu hata huko Ngorongoro tangu mtoke hamjarudi mnajenga majumba Karatu, Mto wa Mbu na Arusha. Mnadanganya waliobakia huko Ngorongoro. Carrying capacity ya Ngorongoro imeshafikia kwenye critical point mkiendelea kuishi huko kiholela namna hiyo basi hata hicho mnachokipigania kitawoeka maana ecosystem ita-collapse na kila kitu kitaharibika. Lazima tukubali baadhi ya watu kuhamishiwa Loliondo Contolled Area ama Maswa game reserve.

    • @oricktunyoni3143
      @oricktunyoni3143 Před 2 lety +1

      Nisawa unachokizungumza lkn je maslahi ya watu ambao wao ndio.warithi wa hio.ngoro ngoro ikwaapi? Na warithi ni wamasai ebu tuacheni ushabiki na tuzungumze fact... Kwell muda unafika carrying capacity inakua at critical point okay watu wafanyajee... Na hayo ndio maeneo walio kua wanaishi miaka mamilionii ilio pita alaf pia unasahau kua pato la taifa pia linatokana na watanzania....

    • @oricktunyoni3143
      @oricktunyoni3143 Před 2 lety +1

      I mean watanzania ambao ni wamasai pia ...kwaiyoo naomba wakat wa kuzungumza tuacheni ushabiki na ndio.maana tz tutabakia kua nyuma mno

    • @allybaabbad2982
      @allybaabbad2982 Před 2 lety

      Wamasai.wa Tanzania wamekubali kuondoka Ngorongoro na Loliondo. Wanaokaidi ni Wamasai wa walihamia toka Kenya kuja kuharibu uchumi wetu. Kwa nini Wabunge wa Kenya wanatetea Wamasai.wa Tanzania?

    • @allybaabbad2982
      @allybaabbad2982 Před 2 lety

      Wamasai wanaonekana kama na wao ni wanyama kwa watalii wanaotembelea mbuga zetu

    • @allybaabbad2982
      @allybaabbad2982 Před 2 lety

      Hebu ondokeni kwenye mbuga za wanyama pori ili waishi maisha yao asilia

  • @hbsporttv4176
    @hbsporttv4176 Před 2 lety

    Kwenye jamii yenye akili Tanzania ni hawa wamasai, makabila yote tungekuwa Kama wamasai hysee nchii ingekuwa mbali

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 Před 2 lety

      Naona unaota ndoto ya mchana.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 2 lety

      Wewe huna akili

    • @jonathanmnyone4003
      @jonathanmnyone4003 Před 2 lety

      Kuwa mbali ndio kuishi kama wanyama na kuwa kivutio cha utalii, kuishi kwenye manyata usiwasifie hayo sio maendeleo.

  • @banjifesti7584
    @banjifesti7584 Před 2 lety

    Wamasai wenyewe ni kivurio cha watalii wabaki ngorongoro

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 Před 2 lety

      Hivyo unahitaji Ngorongoro iwe zoo ya binadamu?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 2 lety

      @@kambamazig02024 Chizi huyo kichwa chake kibovu yupo yupo tu anakwenda kwenda kama mnyama wa mwituni , tatizo la waswahili wengi hawajatoka katika nchi yao na wakitoka wanajifungia vyuoni au majumbani na kushangashanga magorofa wala hawajifunzi jinsi wenzetu wanavyo care wanyama na vyanzo vya asili wao wanachukulia poa na kuona ni vitu vya kawaida sana basi vitaendelea kuwepo tu na ndio maana wamejenga mabanda mpaka kwenye mabwawa mpaka wanakosa sehemu zakupumzikia alafu hapo hapo wanataka tena na utali uwepo sasa hizo ni akili au upunguani ovyo sana hawa watu sijui wataelimi lini

    • @allyally1162
      @allyally1162 Před 2 lety

      Ondokeni mmepewa Ardhi nzur ya Tanga Nendeni mkafanye kazi