Kufufua Mikoko ya Lamu (Restoring Lamu's Mangroves) Swahili version

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 01. 2023
  • Lamu ina takriban asilimia 60 ya misitu ya mikoko nchini Kenya. Misitu hii ina aina mbalimbali za kibayolojia inayohifadhi fukwe zenye tope na nyasi za bahari ambazo zina rasilimali nyingi za uvuvi. Jamii za Lamu hutegemea mikoko kwa chakula, vigingi vya nyumba, kuni, dawa za kienyeji na mengineo. Walakini, kuna changamoto nyingi kwenye misitu hii na hitaji la kuhifadhi kile kilichobaki na kurejesha kile kilichopotea kwa dharura. ‪@WetlandsInt‬ pamoja na Mangrove Action Project na ‪@kenyaforestservice4503‬ wanashirikiana na jamii na washikadau wengine wa Lamu katika urejeshaji wa mikoko kwa kutumia mbinu za urejeshwaji wa uoto wa mikoko kwa kuzingatia misingi ya ikolojia na jamii. Ushirikiano na Wetlands International, Mtayarishaji: Elizabeth Wamba/Wetlands International; Mwongozaji: Leo Thom/Mangrove Action Project, Mtengenezaji sinema: Leo Thom, Mwendeshaji wa kamera: Priscilla Kagwa, Muswada: Leo Thom, Picha za angani: ‪@kendronekenya‬ Mhariri: Leo Thom, Sauti: Leo Thom

Komentáře •