Mifumo ya PReM na PReMS yarahisisha usajili na uhamisho wa Wanafunzi shuleni

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 04. 2020
  • Mifumo ya PReM na PReMS yarahisisha usajili na uhamisho wa Wanafunzi shuleni

Komentáře • 12

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 Před 2 lety +1

    Congratulations Dr.Charles Msonde with your team

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 Před 3 lety +1

    Habari za Leo Mheshimiwa.Hongereni sana kwa mfumo huu,kwa kweli ni mzuri sana.naomba kujua ni utaratibu gani unao tumika kumhamisha mwanafunzi anayesoma nnje ya nnchi,kwa mfano mwanafunzi amesoma Kenya shule ya msingi na anataka kujiunga kidato cha kwanza hapa Tanzania, ni utaratibu upi anaofaa kutumia.

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 Před 3 lety +1

    Thanks much mheshimiwa.

  • @AlphonceMmbaga-pl3ix
    @AlphonceMmbaga-pl3ix Před 10 měsíci

    Hongereni serikali Kwa hatua hii kubwa hakika swala hili limerahisisha kuhamisha watoto. Je, ninapokosea kuhamisha jina la mtoto inachua mda Gani kuniruhusu kumhamishia shule sahih?

  • @Uhuden21
    @Uhuden21 Před rokem

    Mtoto aliyesahauliwa kusajiliwa darasa la Kwanza katika Shule ya msingi na ameendelea kusoma hadi mzazi alipoamua kumuhamishs kwenda hamashauri nyingine ndipo tatizo lilipojitokeza kuwa alikuwa hakusajiliwa.Utatuzi wa hili jambo utakuwaje,tafadhali naomba ufafanuzi

  • @momamishevevo8460
    @momamishevevo8460 Před 3 lety +1

    Heshima sana

  • @isiakaally523
    @isiakaally523 Před 2 lety

    Me naomba kusaidiwa kuhamisha mwanafunzi wa advance kutoka mkoa kumuhamisha dar natakiwa kufanya process zipi

  • @lucymoshi7412
    @lucymoshi7412 Před 3 lety

    Mheshimiwa tunashukuru kwa maendeleo yanayoonekana he unampango gani wa kuondoa rushwa na Blabla kwa watendaji wa serikali kwenye kada ya elimu na Hususani shule za private maana hili linakwamisha juhudi najitihada zote za kuboresha elimu tanzania

  • @emmanuelchitalika1129
    @emmanuelchitalika1129 Před 3 lety

    Hili la uhamisho bado watu wanasumbuka na fomu za uhamisho za hard copy japo wanafunzi wanahamishwa na kwenye mfumo. Mlitazame kwa upya.

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 Před 3 lety

    Uwepo na mfumo wa kuwawezesha PC