Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Magufuli, baba lala salama, watanzaniya watakuliliya kama Raïs wa wanyonge...Amin.
Kama umeona polisi wametoa macho makubwa wameogopa kusema pikipiki sio laki nane hebu cheka kidogo
😁😁🤔😢😭😭
😆😆😆😆😆😆😆
hahaahaaaaaaaaaaaaaaaAaaaaa
😂🤣
😂😂😂🤔
Ulitengeneza heshma sana mzee wa chato
Hatuwezi kukaa na upumbavu wa namna hii🤣🤣🤣, hili jamaa lilikuwa siyo la kisport sport!, tutafika tu🤣🤣🤣
We miss u papa
Sema mshua alikua anajua sana daah ...R.I.P JPM
Jamaaa amelala daa R I P chuma
Mchapa kazi kweli kweli. RIP
Dah pumzika kwa aman mzee wetu magufuli 😭😭😭😭😭😭
Strictly. R I P Father Magufuli.
Baba umetuacha sasa Mama anatunywesha chai ya moto na Pilipili kichaa.
😂
Lala salama baba yetu tunakulilia mpaka leo
R.i.p legend 🙌 👏
Mungu akubariki sana
Yani JPM bora ungemtumbuaga huyu mama ulietuachia, kwa maana anayumbisha msimamo wa familia sasa....
Ee shangazi yangu ,😄😀😁💓
R.I.P JPM🙏
Make Kwanza ncheke Mzee alikuaa mchumi balaa , pikipiki laki 8 hata yangu mbovu sikupi...dahhh RIP legend
😂😂
My present daaah .
R.i.p legend 😭😭😭😭😭
Kwa hakika huyu alikua ni kiungo kikubwa Saan,
Ee mwenyezi mungu ututizame sisi na taifa letu la tanzania 🇹🇿
Mwenyezi Mungu akupumzishe mahala pema peponi amiiiin mkuu wangu
Lala salama baba yani utafikili upo na sisi kumbe uliisha tutangulia mbele za haki
Safi Sana mzee wangu mungu akulaze mahari pema aminaa
Ulijitoa akwaajili ya watu lkn mambo dunia híi
Yaani navyoona siasa ya Magu, imekaa kama siasa ya Chama cha Tramp wao tatizo Linashughuliki hapo hapo, kisha navyoona siasa ya Mama ni kama Chama cha Obama wao ni kukaa kweny Meza ili kutatua tatizo
meza ipi hiyo tatizo lipi lililotatuliwa wizi kila kona.mpeni mwendazake maua yake.mama yenu kafeli tu
Enyewe hii ilikuwa Simba ya Africa
Kwel kabisa
Daa sema kazi ya Mungu haina makosa 😢
Cm inapigwa hiyo😅
Eti umelala,dar kazi ya MUNGU kwakua hata mm sina muda hapa
Dah! Mungu amrehemu hayati Magufuli.
Kiukweli baba huyo tanzanzia na watu wake tumeku miss sana.
On the spot
Hzo pkpk mtazipata wap mbili ili muongeze mbili ziwe nne kwan hakuna pipk ya million moja
Tulieni napigiwa simu na Mh.Rais
Nani ametazama hapa 2024
Miss you
Rest in peace our father
Daaaaah ila Magufuli ulitisha babaendelea kupumzika kwa amani
Magufuli kuna waziri mmoja umemteua hujui historia yake ni muonevu mzee wangu,ni mtu hafai kabisa ni mbunge wa jimbo moja huko mbeya
Huyu ndio Rais. Kaondoka sasa tutakiona
MmmmmhTutafika tu
Hahahhah Mis u Dady's Nation
Mwamba huyo ukilikologa lazima ulinywe
Dah pumzika baba😭😭😭😭😭😭
Naliaga tu! ntalia mpaka mwisho wa maisha yangu!!
Nataka nikujulishe kwakina kuhusu mtu huyo
Rais wetu wa wanyonge
Suguye 30:12:2020
Jembeeeeeeeeeeeee dah kweli ni kama tupo ndotoni
Jamn huyu baba bodyguard wa raisi yukwap
USA
Hatutampata tena Kama huyu
Mr presidentAlikua ni 🔥🇹🇿
Duh pkpk laki 8 hhhh watu wameogopa kusema
Huyu ndio alikua rais wawanyonge sio filam
😁😁😁😭😭 JPM mtu kesha tumbuliwa tayari
😢😢Tutafika tu
Baba tutakukumbka daima !! Hakika ulikuwa rais ! Cjui kama 2tapata kama ww
Walio sikia IGP akijibu kusema ndio afande piga makofi tafadhari
Yes huyo ni kiongozi wake ni afande wake
Hua natokwa na machozi napoona krp za magu Mungu anajua2 jamani ila tumedondosha chuma cha uhakka
R I P Baba
Jamani nyie,Tanzania hatuna bahati
Inchi ambayo Kuna madini aina mbili ambayo aya patikani kwingine duniani nayo ni tanzanite na Doctor magufuri
Viongozi wanashindwa kueleza ukweli...pikipiki gani inauzwa laki8
Ad lak5 zipo wanazo Kamata
Jaman ulew nn izo za selikal aztozwi ushulu pikpki China ni lak6 ushulu tz ni pesa nying
Ziko kibaoSerkali wana bei zao zenye exemption acha kukariri we unadhan akienda kununua anaenda ka raia bal taasis ya umma
hahaha wataongezea na zao
Hizi hekahela tumezimisi❤
Chuma kimelala😢😢😢😢😢😢😢
🙏
Leo ni january 2024. Nilikuwa naangalia bunge na kuona upuuzi unaondelea. Ghafla nikaona hii clip yako tutakukumbuka sana
Mzigua kaka angu chup chupu
Na Imani upo mioyoni mwetu
😀😀😀😀😀😀
Hivi kuna pikipiki ya milioni moja ?
Kweli haiishi
❤❤
Rais magufuri utasaurika kamwe
Atokei tna rais km uyu tz
⚖️🔥
IGP hujambo! Hhhhhhh
Chuma 😢
R i p.
😅😅
Zuchu
😮-
Magufuli wewe baba
Daa alikua jembe
eti milion 1 unapata pikpik
Master JPM
Si bure wewe sio mtanzania, kwa hicho kiswahili unachoongea 😂 nani mtanzania anamlilia magufuli
Laela tunakulilia magufuri
Hahahaha Mzee bwana Pikipiki Laki 9?
Utaratibu wa manunuzi ya kiserikali nadhani Kuna punguzo la kodi
Yaani tuna ishi kizembee sanaaa
Magufuli, baba lala salama, watanzaniya watakuliliya kama Raïs wa wanyonge...Amin.
Kama umeona polisi wametoa macho makubwa wameogopa kusema pikipiki sio laki nane hebu cheka kidogo
😁😁🤔😢😭😭
😆😆😆😆😆😆😆
hahaahaaaaaaaaaaaaaaaAaaaaa
😂🤣
😂😂😂🤔
Ulitengeneza heshma sana mzee wa chato
Hatuwezi kukaa na upumbavu wa namna hii🤣🤣🤣, hili jamaa lilikuwa siyo la kisport sport!, tutafika tu🤣🤣🤣
We miss u papa
Sema mshua alikua anajua sana daah ...
R.I.P JPM
Jamaaa amelala daa R I P chuma
Mchapa kazi kweli kweli. RIP
Dah pumzika kwa aman mzee wetu magufuli 😭😭😭😭😭😭
Strictly. R I P Father Magufuli.
Baba umetuacha sasa Mama anatunywesha chai ya moto na Pilipili kichaa.
😂
Lala salama baba yetu tunakulilia mpaka leo
R.i.p legend 🙌 👏
Mungu akubariki sana
Yani JPM bora ungemtumbuaga huyu mama ulietuachia, kwa maana anayumbisha msimamo wa familia sasa....
😂
Ee shangazi yangu ,😄😀😁💓
R.I.P JPM🙏
Make Kwanza ncheke Mzee alikuaa mchumi balaa , pikipiki laki 8 hata yangu mbovu sikupi...dahhh RIP legend
😂😂
My present daaah .
R.i.p legend 😭😭😭😭😭
Kwa hakika huyu alikua ni kiungo kikubwa Saan,
Ee mwenyezi mungu ututizame sisi na taifa letu la tanzania 🇹🇿
Mwenyezi Mungu akupumzishe mahala pema peponi amiiiin mkuu wangu
Lala salama baba yani utafikili upo na sisi kumbe uliisha tutangulia mbele za haki
Safi Sana mzee wangu mungu akulaze mahari pema aminaa
Ulijitoa akwaajili ya watu lkn mambo dunia híi
Yaani navyoona siasa ya Magu, imekaa kama siasa ya Chama cha Tramp wao tatizo Linashughuliki hapo hapo, kisha navyoona siasa ya Mama ni kama Chama cha Obama wao ni kukaa kweny Meza ili kutatua tatizo
meza ipi hiyo tatizo lipi lililotatuliwa wizi kila kona.mpeni mwendazake maua yake.mama yenu kafeli tu
Enyewe hii ilikuwa Simba ya Africa
Kwel kabisa
Daa sema kazi ya Mungu haina makosa 😢
Cm inapigwa hiyo😅
Eti umelala,dar kazi ya MUNGU kwakua hata mm sina muda hapa
Dah! Mungu amrehemu hayati Magufuli.
Kiukweli baba huyo tanzanzia na watu wake tumeku miss sana.
On the spot
Hzo pkpk mtazipata wap mbili ili muongeze mbili ziwe nne kwan hakuna pipk ya million moja
Tulieni napigiwa simu na Mh.Rais
Nani ametazama hapa 2024
Miss you
Rest in peace our father
Daaaaah ila Magufuli ulitisha baba
endelea kupumzika kwa amani
Magufuli kuna waziri mmoja umemteua hujui historia yake ni muonevu mzee wangu,ni mtu hafai kabisa ni mbunge wa jimbo moja huko mbeya
Huyu ndio Rais. Kaondoka sasa tutakiona
Mmmmmh
Tutafika tu
Hahahhah Mis u Dady's Nation
Mwamba huyo ukilikologa lazima ulinywe
Dah pumzika baba😭😭😭😭😭😭
Naliaga tu! ntalia mpaka mwisho wa maisha yangu!!
Nataka nikujulishe kwakina kuhusu mtu huyo
Rais wetu wa wanyonge
Suguye 30:12:2020
Jembeeeeeeeeeeeee dah kweli ni kama tupo ndotoni
Jamn huyu baba bodyguard wa raisi yukwap
USA
Hatutampata tena Kama huyu
Mr presidentAlikua ni 🔥🇹🇿
Duh pkpk laki 8 hhhh watu wameogopa kusema
Huyu ndio alikua rais wawanyonge sio filam
😁😁😁😭😭 JPM mtu kesha tumbuliwa tayari
😢😢Tutafika tu
Baba tutakukumbka daima !! Hakika ulikuwa rais ! Cjui kama 2tapata kama ww
Walio sikia IGP akijibu kusema ndio afande piga makofi tafadhari
Yes huyo ni kiongozi wake ni afande wake
Hua natokwa na machozi napoona krp za magu Mungu anajua2 jamani ila tumedondosha chuma cha uhakka
R I P Baba
Jamani nyie,Tanzania hatuna bahati
Inchi ambayo Kuna madini aina mbili ambayo aya patikani kwingine duniani nayo ni tanzanite na Doctor magufuri
Viongozi wanashindwa kueleza ukweli...pikipiki gani inauzwa laki8
Ad lak5 zipo wanazo Kamata
Jaman ulew nn izo za selikal aztozwi ushulu pikpki China ni lak6 ushulu tz ni pesa nying
Ziko kibao
Serkali wana bei zao zenye exemption acha kukariri we unadhan akienda kununua anaenda ka raia bal taasis ya umma