Kibonge Wa Yesu - Waambie (Official Visualizer) SKIZA DIAL ( *811*715# )

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 05. 2024
  • Yapo Mambo mengi ambayo Adui mwovu anayafanya ili kutufarakanisha na Mungu wetu lakini Mungu anatambua wenye haki na ndio walio wake hivyo anawapigania na kuwalinda dhidi ya yule Mwovu. Mungu anatupenda na anatubariki kwa kila hatua tunazopiga haijalishi ni wangapi wanasimama kinyume na Ndoto na maono yetu lakini bado tunapiga Hatua.
    Kumb 11:24
    "Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu."
    Audio produced by @ClickMaster
    Visual by ​ @ap.creative1
    Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
    Listen to WAAMBIE by Kibonge Wa Yesu
    On Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/m...
    On Audiomack: audiomack.com/kibonge-wa-yesu...
    ©2024KiboMelodies. All rights Reserved.
    #Kibongewayesu #Waambie #gospelmusic
    LYRICS :
    Nenda waambie wajue Mungu ananipenda
    nenda waambie wajue Mungu ananipenda
    verse 1:
    Ile mitego tego walonitegea ameitegua
    na mipaka yote nilowekewa ameiondoa
    wakafanya mpaka matambiko
    ili niweze potea
    kwa huruma za Mungu bado nipo
    yeye amenitetea
    wamezuia maji kwa chujio
    na yameshindwa yao majaribio
    mola ndo mpaji mafanikio yanatoka kwake
    akisema ndio
    bridge :
    Ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    chorus :
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    verse 2
    Kwa vile ananipenda
    kivyovyote nitasema
    hakuna atae zuia hata kwa yoyote hila
    na ameyaweka mambo sawa
    na sasa mimi niko salama
    bridge :
    Ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    ameniongeza hatua mbele nasogea
    siko pale pale nilipokuwa jana
    chorus :
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
    Nenda waambie wajue
    Mungu ananipenda
  • Hudba

Komentáře • 250