Kibonge Wa Yesu - Usinyamaze (Visualizer) SMS Skiza 8021081 To 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 04. 2024
  • Usimpe adui nafasi ya kupigana nawe hivyo Mruhusu Mpiganaji wa Vita zako Yesu Kristo awezaye kutenda mambo yote kwa Uweza wake Akushindie maana Yeye alali wala hasinzii, si kiziwi ata asisikie Maombi yako. Kwa maana Amesema, “Niite, nami nitakujibu na kukuambia mambo makubwa yaliyofichika ambayo hujapata kuyajua - Yeremia 33:3". Barikiwa Usikilizapo Wimbo huu, Amen!
    Audio produced by @Azekah
    Visual by ​ ‪@Silver_Pro1‬
    Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
    Listen to USINYAMAZE by Kibonge Wa Yesu
    On Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/m...
    On Audiomack: audiomack.com/kibonge-wa-yesu...
    ©2024KiboMelodies. All rights Reserved.
    #kibongewayesu #Usinyamaze #gospelmusic
  • Hudba

Komentáře • 117