Prof Muhongo alisimamisha Bunge; Spika Tulia amuongeza Dakika 3 aendelee kudondosha MADINI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2023
  • Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Prof Sospeter Muhongo akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24

Komentáře • 80

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd Před rokem +7

    Huyo ndiye The Master Prof Muhongo..
    Natamani pia kumsikia Prof Kabudi

  • @juliuskamasho8503
    @juliuskamasho8503 Před rokem +5

    Hongera sana prof umenena mazoto

    • @augustinomhagama9527
      @augustinomhagama9527 Před rokem

      Tena kaongea Kwa kutulia sana bila hata papala Kaongea Kwa nidhamu sana tena natumai hapo tu kwenye kuongea kaonesha yeye ni Prof wa greed gani safi sana Prof Muhongo

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 Před rokem +2

    Well done Sir!! Hivi ni hazina tunazoziitaji!!

  • @mussamzonge4856
    @mussamzonge4856 Před rokem +2

    Watu kama hawa wanatakiwa kuwa washauri..ila sio kumpa nchi..ukimpa nchi anaboronga..ni upeo wangu tu..samahani kama nimemkwaza mtu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před 5 měsíci

    Hongera sana Prof.

  • @mansonnyamwela1801
    @mansonnyamwela1801 Před rokem

    A very good explanation Pro, and apricable

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 Před rokem +2

    kweli kabisa s/msingi wanafunzi 45 kwa darasa,secondary 35 alevel 25.

  • @user-iw4vm7oc9c
    @user-iw4vm7oc9c Před rokem +3

    well said prof

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 Před rokem +3

    Hata yeye akipewa hayo madin yote anayasahau

  • @augustinomhagama9527
    @augustinomhagama9527 Před rokem +2

    Kweli kabisa na ndo maana ufaulu wa wanafunzi hasa kwenye shule za selikari ni dogo Kwa Sababu ya madarasa kuwa na wanafunzi wengi, chukulia mfano darasa Lina wanafunzi 120 au 200 Sasa hapo tunategemea nini kutoka Kwa madarasa ya namna hii, Prof . Muhongo umechambua vizuri sana hapo ni usikivu tu wa Prof Mkenda basi , na uliposema namna ya kuwa Prof na doctor iwe Kwa greed safi sana na ndo maana wapo watu ujisifu kuwa yeye ni mwana uchm lazima kuwe na madaraja ya uprof na udoctor na uchumi

  • @user-nq3ib3wd7r
    @user-nq3ib3wd7r Před rokem +2

    Ok

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 Před rokem +3

    Halafu watu wanasema watu wenye vipara hawana akili!!!!

  • @BernaldMachinda-pe1jd

    Safi prf uko vzr kwl

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 Před rokem +1

    Lieleze Bunge kwamba shule zetu za Serkali, hazisomeshi watoto ipasavyo kwa kuwa Viwango vya Elimu kimataifa vimekiukwa. Haifuatwi mitaala, Prof. Muongo kanena idadi rafiki ya wanafunzi kuwemo kilachumba Cha darasa.

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 Před rokem +1

    Prof Mhongo ana akili sema ,, ndo wale wale matapeli wa nchi 🤣🤣

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Před rokem

    Safi prof

  • @danielkanso
    @danielkanso Před rokem +1

    Naam hawa ndiyo wanatakiwa kutoa hoja maana hapa kuna jambo

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 Před rokem +1

    Nikweli hata u-tube ukitafta lecture za universities/ vyuo vyetu huwezi kuzipata. Hata google huwezi kupata slides au maandishi juu ya mada mbalimbali yaliyo andaliliwa na maprofesa au madoctors wetu. Unaweza kupata nondo za Makerere, Moi, Abadan n.k.

    • @kapenjekapwapwanya6751
      @kapenjekapwapwanya6751 Před rokem

      Sawa, kuwa research inapigwa au kujibiwa na research hebu tusaidie hiyo yako ili itusaidie

  • @makanjicharles9860
    @makanjicharles9860 Před rokem +2

    5:04 5:06 5:07 5:10 tena km apo kwenye maktaba!! dah umenena Prof. ndo knachopelekea kukalili kulko kuelew sabab ktab kmoja mchoro uouo milele uelew ucelew ndo bac!!!

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 Před rokem +4

    Kinachonisumbua siku zote ni humo Serikali kuna nini?? Huyu Prf. Alikuwa waziri hapo Nyuma bado tulipata shida tu...Na sasa anatoa ushauri mzuri akiwa mbunge wa kawaida. Najiuliza wanapokuwa kwenye serikaki kwa nini hawayatendi haya wanayo yahubiri????

    • @mzungunjako7475
      @mzungunjako7475 Před rokem

      well said. naomba nikupatie homework moja, jaribu kukusanya watu 20 wenye akili timamu then chagua mmjo mnong`omeze
      " KUNYWA MAJI PULIZA JUU PRUUUU" alafu nayeye amuambie maneno hayo hayo mwenzie wa nyuma yake, chain iendelee hivyo mpaka mwisho. alafu yule wa mwisho mwambie atamke alicho kisikia. Ninauhakika majibu yatakushangaza. hiyo ndiyo kazi ya uwaziri, urais na vyeo vingine.

    • @hamisiharuna3099
      @hamisiharuna3099 Před rokem

      Jiulize kwanza unaposema alikuwa waziri je alikuwa wa elimu? Huyo alikuwa waziri wa nishati na madidi, nini usichokijua kuhusu alichofanya kuhusu umeme, ndiye waziri pekee aliyeweza kufanya vizuri sana kwenye wizara yake, kwahiyo hapo anazungumzia wizara ya elimu

  • @deodartngaiza6664
    @deodartngaiza6664 Před rokem

    Prof Muhongo nakupongeza sana.

  • @nsajigwamwakalonge5702
    @nsajigwamwakalonge5702 Před rokem +5

    Miaka yote mmepewa nchi bado mnalaumiana

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 Před rokem

      Toa maoni SI kubeza. Elimu Yako imeisadia nini jamii ukianzia NyumbanI kwenu?

    • @beatricekatunzi903
      @beatricekatunzi903 Před rokem

      Ajabu

    • @novatusbwakea1704
      @novatusbwakea1704 Před rokem

      Mwika mwika....kuna watu yaani wao ni kulaumu tu...utafikiri wanajua saana, kumbe ni vilaza tu

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Před 3 měsíci

    Tatizo la elimu Tanzania Iko vyuo vikuu.
    Mkendabanamchanganya Samia kupoteza muda na raslimaliza Taifa kwa kukoroga elimu ya msingi.

  • @enockkatambi4701
    @enockkatambi4701 Před rokem +2

    Hizi HAKILI mkiwa kwenye nyazifa mnazipelekaga wapi??????

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo Před rokem

      Shida ni mfumo unalimit mtu kufanya hayo mabadiliko

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 Před rokem

    TAMISEMI inajitwisha mambo mengi, kuanzia zahanati Mpaka national Hospital ziwe chini ya wizara ya afya, TAMISEMI ilidili na Halmashauri na mapato yake siyo TAMISEMI ndani Kuna afya na wizara afya Kuna waziri wake na waziri wa Tamisemi nae anazungumzia afya jaman

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Před rokem +1

    Prof. Muhongo umenena madini tupu.

  • @michaelsimchimba9070
    @michaelsimchimba9070 Před rokem

    Kigezo KUJUA kusoma na kuandika....🤐🤐🤐

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Před 3 měsíci

    Professor is just a head of department.
    He either publish and perish or don't publish and perish.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před 5 měsíci

    Hakuna mahabala hata secondary schools.libry ni ndoto kabisa watu wako kula tu.

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 Před rokem +1

    I echo his position.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 Před 2 měsíci

    Shida yetu Tanzania hatutumii watu kama hawa kinaprofesa muhongo kutusaidia katika mambo muhimu kama haya bali tunapenda wasaii ndo maana tunasua sua kimaendeleo nyanja zote

  • @emmanuelkahangamabula6527

    Ukiwa wabunge tu mnakuwa na mawazo mazuri Sana mkiteuliwa kuwa mawaziri mnakuwa mayumbu

    • @user-tz8tg2sk5r
      @user-tz8tg2sk5r Před rokem

      Alipewa ila maono yake yalidharauliwa. Ukileta maono yenye manufaa wizaran wanakupiga vita sabab inahitaji uwekezaji na pesa nying watakosa pa kula

  • @georgekitosi1514
    @georgekitosi1514 Před rokem

    Ukweli mtu

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 Před rokem

    Tanzania elimu ni yamatajiritu siwananchi ndiomaana shuleya serekali bure xa watu elimu juu pesa yako

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Před rokem

    Kanda ya ziwa hakunaga vilaza

  • @jacksonnduna4419
    @jacksonnduna4419 Před rokem

    Hii nchi yaajabu sana sina uhakika kama hiki kichwa kinatumiwa ipasavyo kwenye hii serikali

    • @shabanigenya4708
      @shabanigenya4708 Před rokem +1

      Kila akipewa nafasi anaharibu. Kichwa kimejaa madini. Moyo umejaa tamaaa. Hiyo ndo tatzo lake

    • @nelsonsylvester8114
      @nelsonsylvester8114 Před rokem +1

      Wakipata uwazir sijui wanakuwaje hawa watu ,wakitoa ndo wanakuwa na maon mazur.

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před rokem

    Tale anaelewa kweli?

  • @emmanuelkahangamabula6527

    Ulikuwa wapi Prof wakati mwingine huwa napata shida kuwafikiria wasomi wetu mupo kwa masilani ya wazungu au kwa manufaa ya Mama Tanzania na watanzania Waafrika ni Nani aliyetuloga

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před 5 měsíci

    Walimu wa musing hata hawafundishi wanafunzi hata kidogo kabisa.

  • @kenanimwakanemela483
    @kenanimwakanemela483 Před rokem

    akili nyingiiii

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 Před rokem

    Huyu si alikwapuaga pesa kipindi cha Jk

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 Před rokem

    Vitu vizito hvyo babu tale anaelewa kwel

  • @moyolameck555
    @moyolameck555 Před rokem

    Huyu prof alipewa wizara ya nishati hakufiti mm nilitamani apewe wizara ya Elimu na prof mkenda apewe wizara ya Tamisemi

    • @mathewsedoyeka6627
      @mathewsedoyeka6627 Před rokem

      Asante Prof, lakini hukusema chochote kuhusu aina mbili za elimu zinazotolewa nchini, zilivyo tofauti elimu ya shule za Serkali na za binafsi. Tunatokaje hapo? Pia hukusema chochote kuhusu lugha ya kufundishia, kiswahili ama kiingereza.

    • @helladeogratias7630
      @helladeogratias7630 Před rokem

      Hii hazina ya nchi tatizo ni matumizi tu. Aliyejua hayo alimtumia vzr kwa mafanikio nchini.

    • @helladeogratias7630
      @helladeogratias7630 Před rokem

      Nivigumu kimuelewa huyu ......ni wa daraja la juu sna

    • @helladeogratias7630
      @helladeogratias7630 Před rokem

      Ila ni yeye alisema umeme kukatika basi na haukukatika......alikuaga wapi huyu na Sasa anatumikaje nchini licha ya uwakilishi wa Jimbo?!

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo Před rokem

      Hyu ndo aliazisha mradi wa Rea umeme vijijin

  • @likimaro6
    @likimaro6 Před rokem

    Wenye akili km hawa hawapewi nafasi, wanapewa wasiojielewa.

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 Před rokem

      Apewe mara ngapi? Keshafika hadi uwaziri huyo kwenye nishati......siku zote ndugu yangu jua kua ada ya mja hunena ila muungwana ni vitendo..
      Kuna watu wazuri kwa kusema tu ila sio kwa utekelezaji kwa vitendo..

    • @nelsonsylvester8114
      @nelsonsylvester8114 Před rokem

      Huyu si alikuwa wazr

  • @BoniphacePeter-ih2st
    @BoniphacePeter-ih2st Před rokem

    Saitetion Index,,, Yaan chukua majilada yako husianisha na rejea za watu wa kimataifa kama zinatumika

  • @Benj722
    @Benj722 Před rokem

    Lakini wewe ulituibia pesa kule kwenye escrow account. Pumbavu kabisa

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 Před 8 měsíci

    1. Space Science and Technology
    2. Seed Science
    3. Nano Technology
    4. Citation Index
    5. Impacr Factor
    Ukichangia kisomi sana hakuna "Taarifa Mheshimiwa!"

  • @paritsaruni5019
    @paritsaruni5019 Před rokem

    Vijana wa Mwl. nondo gauge 54 nzito na hoja zao nzito ilosheheni madini ya almasi