Byser unanikumbusha kitambo sana utotoni wakati wengine tulikuwa tunapanda kwenye vpanya tunakaa kwenye bansen buner wewe unatupita na ndinga kituoni unaenda shule ( dar sec school)
rav4 kweli ni gari nzur ni 4 wheel driver alafu ni strong pia ukibadilisha filter ata porche haishiki nimeona kwenye macho live rav4 inamwacha porche jamaa kabadilisha filter system tu alafu ikiharibika ukitegeneza inakaa mda mrefu kuharibika kidogo kutegeneza nitaabu kwa ajili ya space pia market ukitakuuza bei nzur sana utapataa ni nzur sana gari
tanzanias most wanted hiphop star.i love you blue
Huyu muandishi ana niinspire mazee.bonge la pin
Byser unanikumbusha kitambo sana utotoni wakati wengine tulikuwa tunapanda kwenye vpanya tunakaa kwenye bansen buner wewe unatupita na ndinga kituoni unaenda shule ( dar sec school)
Blue colour Amaizng colour an also speacil fr men
rav4 kweli ni gari nzur ni 4 wheel driver alafu ni strong pia ukibadilisha filter ata porche haishiki nimeona kwenye macho live rav4 inamwacha porche jamaa kabadilisha filter system tu alafu ikiharibika ukitegeneza inakaa mda mrefu kuharibika kidogo kutegeneza nitaabu kwa ajili ya space pia market ukitakuuza bei nzur sana utapataa ni nzur sana gari
Hii interview........ah Wacha tuu
Blue Niuzia ilioko ndan
Natamani sana hiki kipindi kirudi aisee...
Blue nichukulie namba kwa huyu dem
wanaohoji wasanii wa kitanzania murudi shule tafadhali mkapate elimu ya kuwahoji mastaa.Hii ni haibu tupu!
kipindi kimoja kikubwa sanaaa...ila huyo mdada mfundisheni vizuri,akae ki VIBE la ki Gari gari...apo anahost kinyonge flanii ivi sio kigari gari yani..
#mrblue
Kabaisa nifundi myaka buku
Tht why? U love big up Mr blue
Nimeickia sanaaa Nini hapa
Saleh acha shobo kwa mwanaume mwenzako Sa ww inakuhusu nini au nawe Unataka uhojiwe? Utasubiri Sana mbwawe au unawashwa unatafuta basha
Unauliza maswali maswali ya kipuuz sana we dada
kabaisa nakukubali
swali moja dakika zote hizo👍
Mr. Blue yupo real sana...