Kumbe wakipenda wao ao wanawake kisha wakakataliwa huwa wanajickia vibaya ee uyo eliza alikuwa ana uhakika kuwa atachaguliwa yeye kwa uzuri wk kumbe hajui kuwa wanaume huwa hawaangalii sn uzuri wanaangalia maini me nimefrahi sn kukataliwa mn vipande vya nyuma yeye ndo mwanamke alie chaguliwa n wanaume zaidi y 5 wote kawakataa 😂 Leo kakataliwa yeye 😂😂😂
Maisha yanaenda kasiii sana huyu glady nae anakosoa wanaume😂 sura kama mkuki wa mmasai😂..huyo zarish si alisema kwa siku anaingiza laki 6😂😂 imekuaje tena kaja kwenye kipindi kudanga😂😂
Huyo Eliza Acha akome wanaumme wengi wame mupenda lakini anawakata .kajiona mzuri sana kazaniya kwamba watamuchaguwa yeye ona sasa mubaya anaondoka unabaki nauzuri wako apo😃😃😃
Hapo kilicho mfanya huyo dada arudi kwa x wake ni kwa sababu alianzisha mahusiano akitaka kwenda kupoza maumivu ya kuachwa ko hakuna nampenda Mr right simple like that
Uyu jamaa ameniboa na hiyo kutafuna tafuna😂
Huwa maraya Hawa wanao tafuta boblishi
@@monirangerera7155 wamekosa kutafuta wanawake inje wanaenda kununua hapo 🙆
Umeona hajieshimuuuuuu
Inamfanya mtu aonekane local Sana anatafuna Manini sasa😂😂😂😂😂
Jamani nisameheni me napendaga2 kutafuta bablish et😅
Eliza na zarish 😂😂mtakaa hapo kama mabalozi wa nyumba kumi😂
😀
Duuuh masikini eliza haamini anachokiona😂😂😂😂amewakataa wengi sanaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 leo Eliza limemkuta jambo 😅😅😅😅😅weupe wake huwa unamdanganya xana
Uyo zarish atafte hela aache upuuzi😂😂😂et nahitaji hela nyoko zke...😂😂😂
Lulu diva you're beautiful..congrats
We miso misondo umepigaje hapo kwa Eliza 😂
We kaka unajuwa kuchangua apo umepata mke mwema ❤
Uwakika kaka umepatachombo
eliza anajiona sana tena kakomeshwa kabisa anajiona yeye ndoo mzur dunia nzima
Uyu zarich amna mtu kabisa Uta kaa Sana apo
Najua mwenye ameona hii atanipea support
Eliza kapigwa n kitu kizito😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eliza 😂😂😂yame mkuta na yeye
Eliz leo zamu yko kukataliwa😂😂😂😂
Eliza haamini kilichotokea😂😂😂
Chewing jamaniiii😢😢😢😢😢😢
Mtafuno mwiiingi jamani 😢😮😂😂😂 sijapenda
😂😂😂 safiii sana Elizabeth kibibi alafu anajikuta kachaguliwa na wanaume wengi sana kawakataaaa safiii kbs, kibibi atabaki apooo😂
Hhhhhhhhhh jmn daaah Elza anatia hurum
Kwanza niwapokeze lulu ❤pamoja na viongozi wake jamnii nawapenda sana🥰🥰🫂🫂
ELIZA LEO KAACHWA ANAJIONA MZURI😂
Mzuri kweli Si uongo
@@khadijaabdhalla9669 mbona haolewi anahangaika kujitangaza
" mim ni mwanamke mzuri naitaji matunzo bila hela siendi"
Wanaume popote mlipo hebu jaribuni kuitafakari hii kauli😂😂😂,,
hamna mke hapo atakutesa sana huyo daah yani wanawake wa ovyo kabisa
Duuuh leo nimekuwa wakwanza nipeni like zang
Anaboa kutafuna uyoooooo aseee
Eliza malipo duniani 😂😂😂😂 kuna kaka uli mnanga
Nitumie number nikutafute dada
Sasa
Mimi nikupe namba au uyo eliza wa mr right
Leo lulu diva umevaa vzr umependeza dear love you
Mr light nime mwelewa sana jama kaongea point hongela zake
Eliza kaongea kama anaugomvi😂😂😂😂😂😂
Namtafuta huyo eliza kama unazo contracts zake nisaidie
Eliza umekoma unazidi kuchaguwa sana
Eliza aliringa sana na nilisema atakuja penda na asipendwe,pole yake😢😊😂
Unyama sana 🎉
Safiiiii sana mkaka my Hy ndie mkee wako
Eliza ULIKUWA unawakataa sana watu Sasa jifunze
Very nice 🎉
Hapa wakaka mnatakiwa mje magaidi tu 😂😂😂
Kumbe wakipenda wao ao wanawake kisha wakakataliwa huwa wanajickia vibaya ee uyo eliza alikuwa ana uhakika kuwa atachaguliwa yeye kwa uzuri wk kumbe hajui kuwa wanaume huwa hawaangalii sn uzuri wanaangalia maini me nimefrahi sn kukataliwa mn vipande vya nyuma yeye ndo mwanamke alie chaguliwa n wanaume zaidi y 5 wote kawakataa 😂 Leo kakataliwa yeye 😂😂😂
Muosha huosha
😁😁
@@florahfrancis1613muosha huoshwa
Leo kaoshwa alafu hata sio mzur ni keupe tu
Careen is so pretty and cool
Zarish ni mwehu kwa kweli
Aaliah khaaaa!!!
Syo mzuri uyo aliyo mchaguwa eliza beautiful ❤❤❤❤
Cheko la Aliya 😂😂😂
😂😂😂 Huyu jamaa namfahamu
Glady na Eliza katafute wanaume mtaani hapo tumeshawachoka kila siku mpo halafu nyodo nyingi wenyewe wabayaaaaa khaaaa!!!
😂😂😂😂😂😂
Mtu a natafuta Kama mbuzi 😂😂😂
We misomisondo umpepigaje apo🤣🤣🤣 Eliza haaminiiii anachokionaaaa🤭🤭🤭
Inaitwa not everyone cup of tea Eliza 😂
Inawezakana napi siowake
Safi careen ni mzuri sana
Kupigwa ndio mapenz
Maisha yanaenda kasiii sana huyu glady nae anakosoa wanaume😂 sura kama mkuki wa mmasai😂..huyo zarish si alisema kwa siku anaingiza laki 6😂😂 imekuaje tena kaja kwenye kipindi kudanga😂😂
apo kwenye sura kama mkukii😅😅
Huyo glad angekua mzuri tungekoma😂😂😂 msomi lakin elimu yake Bado haija msaidia.. kingereza cha hovyo … pia pointless kila akiongea😂
Elizabeth kuchamba kwingi ndio😮😮
Eliza.... mwenyew ashaga mkataa mdau😂
😂😂😂
Glady fanya uondoke umekaa mda mrefu sana
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
Eliza you're cute
Zarish anamaanisha anajiuza arikua anataka hela kwa mme wake
Eliza Leo kaachwa mzuri❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂
Uyu zarish nimjuaji tu, kila mwanamume anakuàga na kasoro kwake yy kila kitu kwake tatizo ajui kuchanganua mambo.
Eliza huo weupe unakuzuzua unafkiri utamchanganya kila mwanaume pole mwaya leo zamu yako kukataliwa😮😮
Malipo n hapa hapa
Huyo eliza mshahili apo atafuti mume anatafuta danga Lizzy mdangaji mzuri huyu dada chamazi ukienda utamkuta sana
@@user-yr5wj5bz4w 🤣🤣🤣siyo vzr
Anachagua sana uyo eliza😂
@@user-yr5wj5bz4w mwachen achague had azeek
Weeeeeh nkaliii hiii
Looo white and black ndo inanoga naona watu kumyari Eliza wa watu 😢
Kingine waking lulu na wenzie wapunguze kuongea sana wana kula muda wa kipindi
Eti mzuri nataka matunzo. Number huyo dada anajiuza. Shenzi
Hhhhhhh elizaa jogoo mnyonge 😂😂😂
Hivi wanapimaga afya kwanza huyu kanywa alafu kamnywesha
Mate hayana maambukizi
Hii mr. right wanawake ni walewale? Mbona wanawake waliyopata waume Mbona still wapo mjengoni?
Ama kweli huu Ndio uongo uliyoenda shule 😂😂😂
Huyo Eliza Acha akome wanaumme wengi wame mupenda lakini anawakata .kajiona mzuri sana kazaniya kwamba watamuchaguwa yeye ona sasa mubaya anaondoka unabaki nauzuri wako apo😃😃😃
😂😂😂😂
Ata huyo alio ondoka sio mbaya ukisema mbaya kwan kajiumba umeongea vzl ila hilo neno umekosea eti mbaya
😂😂😂
Mmmh Eliza wamuajiri tu auze hizo soda mana podium ishamzoeaa😂😂😂
HIVI HAWA WASICHANA WANAOENDA UKU WANA AKILI. KWELII HAWA
Hata wanaume pia wanaowafuata huko wanaakilikweli
Mr. Right anajua kuchagua kweli kaacha Eliza pisi kali..😅😅
Brother nimekubali uchaguzi sahihi kabisa
😂😂Mimi nilijua tu.Eliza kutoboa ni issue,inabidi abadilike kwanza.Eliza kumuweka ndani shughuli
Dada lulu like beautiful ❤
Uyu dada alikuja wakwake akawakataa akomae
Hao wanaume ni waongo wangekua wanaulizwa na max wao wangeaibika
Eliza jamani😂
Limemkut
Ex mtamu ww🎉😂😂
Dj mwendelezo jmn
Kupigwa ndio mapenz😮😮
Hakuna mke hapo bali kuna wake za watu walioachika kisa pesa,aloooo Dunia inaenda kasi sana.
Aibuuu Kwa eliza
Yy si hodar kukataa wt ss leo kwa kwake
ASANTENI KWA KUTUBURUDISHA KWA MZIKI, AMBAO IS TOO LOUD THAN THE ACTUAL MANENO TUNAYOFAA KUYASIKIZA TOKA KWA THE CONTESTANTS...
Nainjoi sana
nakuja apo kumchukua eriza
Mbona anatafuna kama mbuzi aonyeshi awareness kwamba yuko sehemu ya interview
Mr right .dont ever go to the show..chewing ,bad manners
Anataftia confidence
True! Shameful!!!
Mbuzi Mtu yule😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbona wazeee
Eliza mimi nampenda balaa
WANAUme tunaangalia akili na tabia
Hivi kwanini asilimia kubwa ya Mr right wametendwa yani hakuna Mr right ambaye amecheat
😅😂
Ni uongo😢😂😂😂😂
Mi naona aibu mimi uwiii sasa mmepima lini mna nyweshana jmn mmmmh
😂😂 haitokei iyo kutu kua mr right aseme yy nd ka cheat akisema ivo hapat mrs right
Asa mda mwengne c akili
Mbona Eliza mwenyewe mzeee
Eleza Unaonaje Mimi Nipo Kwaajiliyako...???
We za rush tafute kazi upate hela ile kuomba omba pesa ina shusha heshima. Usiwe pale ili kutafuta mtu atakaye kuwa anakupa pesa
We zayrish una uzuri gani kimeo tu au urefu kwa mwanamke Ni uzuri siku izi
Mr right unatafuta sana
Shoga haamini anachokiona
Yan hili li dayan lina dharau na linavaa uchi
Jamani huyo zaylish atolewe maana anaker nakuharibu pia
Umeonaje hiyoo
Zalishi simpendi
Nataka mwanaume mwenye six park awe mrefu handisome awe na funguo tatu za gari awe na nyumba ya ghorofa kumi plz im here waiting😢😢
Umba wako unavotaka halafu umpe maokoto kisha akuoe mwenyewe
Hapo kilicho mfanya huyo dada arudi kwa x wake ni kwa sababu alianzisha mahusiano akitaka kwenda kupoza maumivu ya kuachwa ko hakuna nampenda Mr right simple like that
Nice