MREMBO VICKIE ATAKUWA ANA GUNDU | AKOSA MR.RIGHT TENA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 06. 2023
  • Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp.com/D8xC5Myxrkh...
    ►SUBSCRIBE / @stbongotv
    ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
    RATIBA ZA VIPINDI VYETU
    THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
    SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
    TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
    FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
    MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
    KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
    THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
    MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
  • Zábava

Komentáře • 552

  • @Marryiana563
    @Marryiana563 Před 10 měsíci +16

    This is a real man I see the truth trust faithfulness humbleness honesty love in him he has chosen a humble simple girl at of those ladies salute to this man Blessings in your marriage

  • @lilianakeya9868
    @lilianakeya9868 Před rokem +17

    Huyu msichana ameangukia mume sahihi ❤❤❤

  • @Connie_Mwenda
    @Connie_Mwenda Před 9 měsíci +10

    This show looks superb and more decent than our in Kenya 🙄

  • @nellyhussein5759
    @nellyhussein5759 Před rokem +16

    Vicki Pol sana ipo siku utapata wako inshallah mamy nakupenda sana❤❤

  • @remiesharon8588
    @remiesharon8588 Před rokem +28

    Am watching from Uganda. Woww 😍,my favorite show this is so lovely couple of the day

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d Před 10 měsíci +12

    Kuna wanaume hawaangalii shepu ndo nimeamini kl mwanamke anataka shepu lkn Kuna wanaume wanapenda Mchele wa basmati namaanisha wembamba

  • @elilumbakenneth4273
    @elilumbakenneth4273 Před rokem +23

    Dada ametuwqkilisha tusio na mashepu👀🤣🤣

    • @aishamjema49
      @aishamjema49 Před rokem

      Kwel aise sisi ambao tunayo ya kwendaa chooni tu

    • @user-zj7tq4yt7t
      @user-zj7tq4yt7t Před rokem

      Awa waongo wanapanga kabsa ao wanalipwa😂

    • @faithkagonya7062
      @faithkagonya7062 Před 9 měsíci

      ​@@aishamjema49😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @EvelineWandera
      @EvelineWandera Před 8 měsíci

      Sasa,my comment section ya IYibe ilikuwa na shida imerekenishwa Tu juzi..na hii ndio comment nasoma ya Kwanza..naona wakenya no walewale from tok you FB etc

  • @RythaSherrie
    @RythaSherrie Před rokem +38

    The confidence I've gained from watching this!🎉❤

  • @mariamunishi4123
    @mariamunishi4123 Před rokem +21

    Vicky my dear don't worry,.. There's someone out there for everyone

  • @teresashali1390
    @teresashali1390 Před 10 měsíci +4

    Fahima has a good heart 😊❤❤all shows girls don't allow there man to hug a lady..... I love your character and heart you are a good woman indeed

  • @jacksoninjau1870
    @jacksoninjau1870 Před rokem +18

    But kuna kitu kinaitwa kadari mpango mwenyezimungu aliomkadiria mtu,asikate tamaa kama anaamini kunamipango ya mungu huenda kuna kilicho bora zaidi mbele yake😢DON’t give up😢

    • @AngelTungu
      @AngelTungu Před 3 měsíci

      Apo kweli bro umenena 👏👏👏

  • @phrashiahwandia6662
    @phrashiahwandia6662 Před rokem +16

    Beautiful Vickie... Mchumba wako yupo. . nakutabiria ndoa nzuri sana. Harusi yako jamani usisahau kunialika

    • @gradnessshitindi3694
      @gradnessshitindi3694 Před 10 měsíci

      Hiv inakuwaga ya kwel? Kwamba wakipatana hapo wanenda kuanzisha mahusiano??

  • @esperancenathali
    @esperancenathali Před rokem +49

    😢😢 na mwangaliya sana huyu dada ushauri wangu kwake ahachane❤ na hayo mambo nikujiumiza bure na kujihona huna nyota ila tu hacha wakati wa Mungu hufike tu atashanga Mungu ajawahi kuwahacha walio wake na hiyo labda siyo njia sahihi kwake ila pole sana

    • @sharonkhayosa162
      @sharonkhayosa162 Před rokem +1

      Tatizo ni haga aliyo jiongeza na wanaume wa Sahi wanataka mrembo ambaye amerizika na mwili wake jinsi ulivyo

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 Před rokem +2

      ​@@sharonkhayosa162 kajiongeza wapi jamani mdada kabarikiwa tu

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Před rokem +1

      Hajajiongeza jmn

    • @salhaayub1338
      @salhaayub1338 Před rokem +1

      Ukweli kabsa 😢😢😢

    • @sharonkhayosa162
      @sharonkhayosa162 Před rokem +1

      @@rosemahenge9071 Amna ilo si shepu lake kamili

  • @antoniaabel2514
    @antoniaabel2514 Před 9 měsíci +5

    Nimekupenda bure we kaka wao walizani shape ndio kishawishi

  • @rebicahmutish
    @rebicahmutish Před rokem +40

    Vicky, never give up, good things always takes time, just belive in yourself and don't loose hope, God's timing is always the best. Hugs 😊

  • @NancyShoo-ce2wx
    @NancyShoo-ce2wx Před rokem +15

    Kweli ukipania kitu hukipati...Subra ndo njia pekee katika maisha..

    • @janeakoth4295
      @janeakoth4295 Před rokem

      I wanna try this I might be lucky too😢😢😢😢

  • @user-yf4oq5uu5u
    @user-yf4oq5uu5u Před 9 měsíci +1

    Beautiful .. much love from kenya

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 Před rokem +14

    Ushauri kwa Vicky abadilishe mavazi

  • @delimachesa5007
    @delimachesa5007 Před rokem +105

    BOYS WILL BE BOYS..YANI WANAUME TUHAKIKISHE WANAWAKE HAWAELEWI TUMATAKA NN😂

    • @simonnjogu8749
      @simonnjogu8749 Před rokem +3

      Kabisa😂😂😂

    • @roddyfawaz8167
      @roddyfawaz8167 Před rokem +7

      Wanaume siku hizi hatupendagi nyansh 😁

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Před rokem +5

      Sure mwanangu kwasbb wanaweng wameshajijengea kweny akili kua akiwa na shepu ama tako kubwa basi wanaume watamfatilia kumbe saivi atuangalii hayo

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Před rokem +1

      @@IdarousPossy Tuwavuruge

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Před rokem +1

      @@roddyfawaz8167 Wana haufagilii nyama siku izi

  • @ammydaniel8947
    @ammydaniel8947 Před rokem +44

    Hapa ndio naelewa ile msemo usililie uzur, lilia bahati 😊

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 Před 11 měsíci +4

    Vicki's so beautiful ❤️

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 Před rokem +18

    Vicky never give up your time will appear ❤❤❤

  • @jamilamohammed2441
    @jamilamohammed2441 Před rokem +6

    Kwanza tako nalo kumbe silazima 😂😮

  • @salomevenance9555
    @salomevenance9555 Před rokem +9

    Nimeipenda sana hii couple mkaka yupo cool daah

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Před rokem +11

    Jaman maskin vick 😔😔 mpole hata hug kanyimwa huyu kaka kwel mgumu😂😂

    • @mourinemwaka4426
      @mourinemwaka4426 Před rokem

      😂😂😂 hii ni ukweli ama ni kipindi

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Před rokem

      Siyo mgumu ,limbukeni na wale wanaohikumu sana kumbe sivyo ,Yani hapo kamwona vick labda aje kumbe hapana

    • @winfridahkemuma1800
      @winfridahkemuma1800 Před rokem

      😂😂😂😂this life no balance 😢😢

    • @user-zk8ne4mm7q
      @user-zk8ne4mm7q Před 10 měsíci

      ​@@liannsambu7264nimp pol

  • @baronodari2948
    @baronodari2948 Před rokem +6

    Siamini leo mwenye TAKO kakataliwa😂😂😂😂😂

  • @sifaadam6523
    @sifaadam6523 Před rokem +2

    Masha Allah ❤️❤️❤️

  • @mokayatony1605
    @mokayatony1605 Před 9 měsíci +8

    I find this more respectable than the Drama I see in Kenya

    • @kevoplatz8175
      @kevoplatz8175 Před 9 měsíci

      The drama makes it so fun and addictive yo watch😝😝

    • @jonimwafitness9516
      @jonimwafitness9516 Před 9 měsíci

      Kenyan show is hosted by people who have failed in marriages and hoes.

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Před rokem +10

    Kuna wanawake wa kuoa na wanawake wa kupiga nao picha Asante mwamba ungechagua umbo hilo ungepunguza hata miaka ya kuishi

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před rokem +12

    Huyu alimzalilisha jamaa mmoja Wacha wampe haki yake akae na tako lake

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Před rokem +9

    Ila vicky kaniliza jamani, tumpe pole jmn

  • @amarybaajun8811
    @amarybaajun8811 Před rokem +39

    Tuachen tu wanaume wanawake wa style hii ni stress tup unaweza kufa mapema na asilimia kubwa akili zao zipo kwenye maumbo yao ila nimekuonea huruma pole dada

    • @OmarJuma-og4kd
      @OmarJuma-og4kd Před rokem +4

      Umeongea kitu perfect wengi wako wanatwaliwa na maumbo yao kuona kwamba Kila mwanamme atamkamata kiurahisi wanawake wa aina iyo kumaliza siku hujafa sema Asante Mungu

    • @katherinasamwel3937
      @katherinasamwel3937 Před rokem +1

      ​@@OmarJuma-og4kd 😂😂😂😂

    • @BintiGMnini-gv6by
      @BintiGMnini-gv6by Před rokem

      😂😂😂😂Umenijibia uwiii

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Před rokem

      😂😂😂 Kwa sababu wengi HAMJAMINI

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 Před 10 měsíci

      Umeelewa vzur wao ni wa kustarehe nao tu

  • @lulufrance7482
    @lulufrance7482 Před rokem +4

    Jamni sijaelewa hiii Inakuje Mr Right.....Kunapesa mnatoaa au walio single wanataftiwa wenzi au mm sijaelewa

    • @tm-rg3jg
      @tm-rg3jg Před rokem

      Walio single wanataftiwa wenz wao

  • @shamirahlenny8477
    @shamirahlenny8477 Před 6 měsíci +1

    Love doesn't say why it comes from anywhere wow a beautiful family ❤❤❤

  • @priscarmkilima3373
    @priscarmkilima3373 Před rokem +8

    Nywele ya kariakoo na pochi ya mbulaati😭😭😭😭😭😭

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 Před rokem +43

    😂😂😂A man boarded a Taxi going home one evening but before the Taxi took off,he saw his wife entering a Lodge with another man. He quickly asked the Taxi Driver, "Do you want to make 50K In few Mins?".
    The taxi Man Happily Answered, "Of Course Sir, what do I do For You?"
    The man said,here is a photo of my wife. Go inside that Lodge and get me my Stupid wife as you Pull her by her hair.
    Few mins later the man was surprised to see the Taxi Driver dragging out a different woman from the Lodge,slapping,kicking her terribly and the woman was screaming
    The man shouted at the taxi driver, "Noo!!! Leave that woman alone,she's not my wife" The taxi driver answered "Relax Sir,this one is my own wife.Hold her for me while I go get yours"😂

  • @simonmaina8220
    @simonmaina8220 Před rokem +17

    The guy ametuangusha hug ni kitu ya kunyima mtu kweli .kenya hug is normal

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 Před rokem +2

      Msenge Sana Huyo! Sasa Huyo Demu Mwenye Tattoo Ndo Atamtenda Balaa!

    • @hamidahamza3754
      @hamidahamza3754 Před rokem +1

      TANZANIA HUG NI KUIBA BABU AU BIBI YA MTU,SISI SIO WAZUNGU...

  • @MoodHabib-zp6jt
    @MoodHabib-zp6jt Před rokem +12

    Mwambieni vick nampenda xana na aje kwangu katika ulimwengu wa mahaba❤❤❤

  • @sharonkosgei8326
    @sharonkosgei8326 Před 11 měsíci

    I adore that character in mr right ❤❤❤

  • @aika3024
    @aika3024 Před rokem +5

    Mr Right mzuri jmn🥰

    • @fifi-rb2wr
      @fifi-rb2wr Před rokem +1

      Sanaa aiseeeee...kwanza macho yake mashallah!😍❤

  • @isayarevelian9698
    @isayarevelian9698 Před 10 měsíci +1

    Jaman mm naomba nipeni vick ❤❤❤❤ i love her

  • @EdithaAbely-fb9yb
    @EdithaAbely-fb9yb Před rokem

    Khaaaaaaa Vzr sanaaa kipnd cha mr right hongereni inanipa hamasa ya kuja kwenu nipate mwenza Jmn ad rahaaaa

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 Před rokem +12

    Huyu dada natamani ajaribu kuvaa kanguo kenye virinda kakumstiri hiyo hips atapata tuu

  • @elienezamsuya6677
    @elienezamsuya6677 Před rokem +1

    Wadada jifunzen apo, ufahar wa umbo haukup mume.. ondoeni mioyo yenu kwenye uzur mlio nao, jambo la msingi ni kumuamn Mungu mpaji!

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Před rokem

      Naona umegeuka wa kuhukumu Tena nani kasema wanaringia maumbo kwani wanatofauti gani na hao flat ? Ni BAhati ya mtu tu mwingine uwnza mwingine uchelewa jamani wee

  • @user-ly6qc3nh7c
    @user-ly6qc3nh7c Před 10 měsíci +2

    Mwijaku kaingea point

  • @conjestatarimo6106
    @conjestatarimo6106 Před rokem +2

    Hivi ni kweli na Mimi nikatafute huko😂😂😂😂😂

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 Před měsícem

    Good decision bro love the one you love you🇿🇦🇧🇮

  • @Omarfamily2
    @Omarfamily2 Před rokem +3

    🎉🎉🎉 lovely 🌹 couple in town 😮🎉🎉😅

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 Před rokem +16

    Si hua wanaamini kuwa tako ndio mpango!!
    Kumbe watu hawataki mahangaiko mengi 😂😂

  • @dorothyosoko8982
    @dorothyosoko8982 Před rokem

    Vicky very cool 😎 and beautiful

  • @marthamutukwa2117
    @marthamutukwa2117 Před rokem +1

    Wooo this nice though I don't understand the language

  • @amourworldbeats
    @amourworldbeats Před rokem +10

    The smaller Girl Looks So Innocent

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Před rokem +10

    Co wanaume wote wanapenda vbonge vikki utapata wa kwako.

    • @poulmbogo1770
      @poulmbogo1770 Před rokem

      Kwanza hawa vibonge hawajui kunyanduana style moja unapat tabu kishenz nguvu nyingi

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 Před rokem

      @@poulmbogo1770 Ukiona hvyo na ww hujwez kale kamchezo wa2 wanakuwaga wepec shetan mwenyewe anakaa kuangalia game 🙈

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Před rokem

      @@poulmbogo1770 🤣

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Před rokem +1

      @@fatumajumanne5961 we utakua kibonge🤣🤣🤣🖐

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 Před rokem

      @@nancyg8664 Co kbonge waseme 2 hawawez ku2andaa ukiandalwa unaweza kujkunja kama kambale 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️Nancy ctak

  • @naggayisharon4547
    @naggayisharon4547 Před rokem +3

    Just a hug 😢..u this guy z heartless 💔

    • @hamidawamba
      @hamidawamba Před 11 měsíci

      Wew ungekubal bwanako amhug demu anaetaman kuwa nae?

  • @user-sc3wo3ol1k
    @user-sc3wo3ol1k Před 10 měsíci +3

    Mbona viki mzuri sana

  • @sarahjoysavtryphine256
    @sarahjoysavtryphine256 Před rokem +1

    Mwambuzi mwambuzi nze sinalabamu ayina embuzi wano naye 😂😂😂😂thnk you guys for the show

  • @shehugakwaya71
    @shehugakwaya71 Před rokem

    Love u viky❤❤❤❤ take care

  • @janerachel1622
    @janerachel1622 Před rokem +6

    Fayma ndio kasichana kanafaa KUANZA life KUWA mke,,kadogoo unakalea ila Vicky inaonekana amezunguka Sanaa na hafai KUWA mke

  • @ashykipajihaalandtz3573
    @ashykipajihaalandtz3573 Před 10 měsíci +5

    Ukimchukua uyo UTATOMBEWA TU 😛 ndo mana watu WANAMUOGOPA

  • @glorynjau-gf4uo
    @glorynjau-gf4uo Před rokem +6

    Sis wenye shepu zetu na tabia nzur tunazo tunaolewa na kina nai😥😥

  • @FettySultan-nh1ob
    @FettySultan-nh1ob Před 10 měsíci +1

    Hello Naitwa fatma naishi makumbusho dar es salaam nina 19years. Naomba kufahamu inapofanyikia mr right niwe nakuja kuangalia live au kushiriki kabisa namm naitaj mtu sahihi nimechoka kuumizwa

  • @charlesmbijiwe4375
    @charlesmbijiwe4375 Před rokem

    The Nyc show ever

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 Před rokem +2

    Vicky beautiful don't worry

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 Před rokem +4

    Mwijaku nae haaa....😅😅😅

  • @terrynjoroge3877
    @terrynjoroge3877 Před rokem +2

    Hiki kibaba ni kifala sana,,in kenya hug ni Normal.

  • @Stangelin22
    @Stangelin22 Před 10 měsíci +1

    The real Mr right❤

  • @samcharlie4280
    @samcharlie4280 Před rokem +2

    Jaman huyo vick nampenda sana

  • @winniewambani
    @winniewambani Před rokem +2

    Wow the confidence I've gained from watching this video😅

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 Před 4 měsíci +1

    Galabi jamboooo❤❤❤❤

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Před rokem +5

    Vicky shape la mchongo wahuni hawalitaki l hivo,
    Mnaotaka kujiunga group la Mr Right comment no, niwaunge

  • @mamsigidouti4383
    @mamsigidouti4383 Před rokem +3

    Huyu kaka tukiwa chuo, kuna dada mmoja alikuwa mnene alikuwa akimuita dada wa watu comfy jamani 😁😁

  • @allenmdota4820
    @allenmdota4820 Před rokem +1

    Pole sana Vicki

  • @Daladalamedia
    @Daladalamedia Před 10 měsíci +1

    uyo vicky angejibugi DM zangu asingefika hukuu

  • @aminatarabana7959
    @aminatarabana7959 Před 10 měsíci

    Jameni ❤❤❤❤❤wanaenda kabisa

  • @user-yj6ur8qg1q
    @user-yj6ur8qg1q Před rokem +11

    Be strong sister wako anakuna usinjali

  • @AntonyMM-tx3yj
    @AntonyMM-tx3yj Před 2 měsíci

    Nice makalio sio kila kitu @

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 Před rokem +4

    Ndiyo maana mimi nimeamua kuanza kuvaa vijola sasa hivi, na kuna harusi nimekuwa mwanakamati, kuna mtu kaniambia eti nishone gauni fupi ya kushepua lakini mimi nimeshashona gauni ya marinda inayofunika magoti.

  • @sharifu-story4644
    @sharifu-story4644 Před 2 měsíci

    Ila zile nyama Mzee wangu umezpga chini siokaz ndogo yataka moyo

  • @user-sg7vw7fi7p
    @user-sg7vw7fi7p Před 10 měsíci +2

    Unaweza ukafa kibudu uku unajiona

  • @PeterMasomhe
    @PeterMasomhe Před měsícem

    Hajui kuchagua😂😂😂
    Nawewe mwijaku acha ujinga kuongea ujinga

  • @abdielfrancis
    @abdielfrancis Před rokem +4

    Handsome boy❤

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 Před 5 měsíci

    Kweli mujama huu umenifurahisha sana

  • @tabithakitundu8736
    @tabithakitundu8736 Před rokem +3

    Mkiandika Vicky ana gundu ye mwenyewe haoni kweli?? Mbona mwamkatisha tamaa

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc Před rokem +1

    Yani nikama kujiuza hapo yani ujeuchaguliwe kama mafungu ya nyanya niaibu sana unakataliwa kila mtu anaona🤣🤣😝

  • @zuhuraali2441
    @zuhuraali2441 Před rokem +4

    😂😂😂😂Aki staki kunona tena wacha nijikubali so beautiful couple ❤❤❤❤😂😂😊

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Před rokem

      😂😂😂😂😂 mm nilkuwa nawaza kunenepa nimegahir haki

    • @amourworldbeats
      @amourworldbeats Před rokem +2

      Boys Are After Skinny Girl For Marriage.Hawa Wenye Minyama Mingi Just Kwa Kivutio Tu
      That's Why mwanaume anadate Mwanamke Mzuri anaoa Wa Kawaida
      Girls Thinking curvy Shape Is Major Factor Man Needs Solely.

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Před rokem +1

      @@amourworldbeats weeee kumbe

    • @lilianakeya9868
      @lilianakeya9868 Před rokem

      ​@@consolatamedard6593that's true 😊

  • @faridakibindaa9005
    @faridakibindaa9005 Před 10 měsíci +1

    haya mambo ni kwel ama? maana mm mpk sshv siamin naona kma maigizo tu jamn ni seriously watu wanaona kwel?

  • @shamsakizza560
    @shamsakizza560 Před rokem

    Not even a hug, at least she needed dat 😢

  • @HellenRanny
    @HellenRanny Před rokem

    Etiii Nywele za kariakoo..pochi ya mburahati🤣🤣🤣🤣

  • @evederrick6743
    @evederrick6743 Před rokem +2

    God time is the best

  • @user-pd8cm4sz7m
    @user-pd8cm4sz7m Před 10 měsíci

    😂❤mwijaku❤l kwa kuharibu

  • @brigitamathias4043
    @brigitamathias4043 Před 10 měsíci +1

    Vicky wanamtaka sana 😂lkn wanaogopa kuonekana wamepagawa an shape.

  • @YonahTengia-gf7tq
    @YonahTengia-gf7tq Před rokem +2

    Uyo Vicky mzur Sana Ila ao wanaume wanamuogopa wanaona Kam itakua competition kwao

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Před rokem +2

    Izi comedy au series!?? Mimi siamini kama ni Kweli

  • @HamzaOmar-wb9sn
    @HamzaOmar-wb9sn Před 11 měsíci +1

    Mahips yameshuka😅😅😅

  • @apaililiaakyoo9795
    @apaililiaakyoo9795 Před 4 měsíci

    Shape sio kila kitu, macho ya mtazamaji huona yanachokitaka. By the way Vick endelea kusubiri wa kwako anakuja.

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Před 6 měsíci

    Mashaallah ❤❤🎉🎉🎉

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Před rokem +19

    Vicki umbo lake sio fahari kwa mwanaume.utafeli mama Vick jamani

  • @queeniesamantha54
    @queeniesamantha54 Před rokem +1

    Wow nice couple ❤❤❤❤

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 Před 5 měsíci

    Pole vick usikate tamaa utapata wako in nsha Alah

  • @gabrielgeorge2831
    @gabrielgeorge2831 Před rokem +1

    Matrako sio matatzo ya Kila mwanaume