Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Nakupenda sana geah. Mungu akupe maisha marefu😊
Nampenda sana Geah every time huko full happy ❤❤
Geah nakupenda bure mwenzio nikiwa nchi za wenyewe huku sikosi kuangalia hekaheka na Zai,proud to be African.
DaGeah uko vizuri sana kwenye kazi yako navifwatilia vipindi vyako nakupenda sana
Aisee nampenda sn geah...namkubali mno
Wallah nasema kutoka moyo nampenda sna gea habibu mungu azidi kukupa afya
Geah ww mwanamke wa shoka au mwanamke na nusu nakukubali mpk bas vipindi vyako havinipiti kabisa mungu akubarik na kazi yako
Da geah nakukubali sana Allah akupe Kila laher
Yan napenda sn ucheshi wko...mda wote unafurahi huna baya...mungu akutunze kipenzi...
Hongera sana gheh habib mungu akupe maish marefu amin
Gear Habibu kitambo sana kwenye game la Tasnia ya habar
Nampenda e da Gea maana kazi yake no njema mno
Nakupenda Sana Dada geah full happy
Always happy Geah big up
Nakupenda sana dada wa hekaheka
Da gea upo vzr nakupendajeee
Unafanya vizuri sana.kwa upande wangu unanijenga kutokana na matukio unayotuletea.
Geah msambaaa weuweeeee ndugu yang😍😍😍😍😍
Maa Shaa Allah, Da Geah.
mama la umbea.ant dedee❣
Kiukweri nakukubali sana gea upo vizuri hongera sana
Mashaallah Geah Habibu😘😍😍
Safi sana kwa msambaa wa mkumbaraa tupo pamoja msambaa
Bamba star ilikua 1999 mpk 2003 nakumbuka enzi hizo nilikua nafanya Kaz mbezi garden hotel hicho kipind tulikua tunakipenda saan
Dada Geah mzuri wa sura mpaka moyo.nakupenda
Nakupenda sana da Geah
Mob love from kenya Da Geah
Nakupenda sana geah una mbambamba kwenye mambo yako
Namkubali sana GEAH habibu weshu
Da geah umefanana una mama yangu mdogo anaitwa mama mamu yan hadi kuongea
🤣🤣🤣🤣Geah jmn😂 eti ebu nitafsirie mwenzngu😆
Dada upo vizuli sana kwa kazi yako ni njema Sana Mungu azidi kukulinda
Gea ana hekima can't!
Hekaheka oyee
Love you geah
Gea mi nakupenda jinsi ulivyo uko poa sana
Mwazo mwisho nikucheka nampendaga huyuuu
Love u da gea
Gea
Anti dedee
Hongera sana geah nakupenda sana
😍😍😍😍😍😍❤❤❤❤❤❤
Dada yangu wifi yangu ndio mana pambe
Kubwa LA madui
Dada gear vipi yule mtt aliyekimbia kwao...
MashaallahNa kaz unaiwezea mwenyewe
🔥🔥🔥🔥😘
❤️
🔥🔥🔥
Maa shaa Allah
Nimeanza kumsikiliza zamani
Zajioni
Alienda kumfukia mkulanga
Broo fanya uoe nahisi umri unakwenda
Nawakubali wote
Geah uko mzuri
Kwenye Interview Mziki wa nn jmn Au ndo TBC? Sauti ipo juuu
Kazi na dawa hapa sio interview za ajira
@@ganganainfochannel kumbe comment unaziona!
Muingilia yasomuhusu hupata yaso mridhi
@@ganganainfochannel ...khaaaaalid nitampa jina mtoto wangu kwa ajili yako inshallah
@@muznarashid8181 😀😀 Asante sana, mtoto atakua na maarifa mengi In Shaa Allah
Gea jamani wewe ni mwanamke na nusu nakubali sana kazi zako love u
Gea nakubali sana kazi zako wewe ni mwanamke na nusu maashallah love u

Mashaallah
Na kaz unaiwezea mwenyewe