NATANGAZA RAMSI LEO NIMEHAMIA YANGA| MAENDELEO HAYANA CHAMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 05. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 35

  • @telesforenyauhele1358
    @telesforenyauhele1358 Před měsícem +8

    Baba levo umenifurahisha Sana aseeeee😂

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 Před měsícem +4

    Karibu JANGWANI Oscar,,achana na huyo Mkigoma 😂😂😂

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy Před měsícem +5

    Sio rahisi kuhama timu bana uongo😂😂😂😂

  • @RosePetro-ck8pt
    @RosePetro-ck8pt Před měsícem +2

    Karibu bro

  • @patsonnzogoro-sh7yb
    @patsonnzogoro-sh7yb Před měsícem +2

    Nice baba levo

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Před měsícem +8

    Baki huko huko ucje tulete mikosi,ulisemaga Simba atashika nafasi ya 1
    Azam. 2
    Yanga. 3
    Sasa tim yako ndo inashika nafasi ya3😂😂😂

  • @richardpeter5817
    @richardpeter5817 Před měsícem +1

    Maendeleo hayana chama utahamia mpaka ukweni kisa ukweni wamekuzidi maisha....utahama mpaka lini ndo ujue ungekuwa mwanamke ungekuwa malaya

  • @user-ii6sp2nn1m
    @user-ii6sp2nn1m Před měsícem +2

    Karbu sana Oscar ascar

  • @richardpeter5817
    @richardpeter5817 Před měsícem

    Uhamie Tena yanga ya Leo ipo vzuri kesho ipo chini inachangisha pesa za usajiri mtaani....utahama hadi lini ndg yangu.....wew nenda lkn utakumbuka kurudi kwa waheshimiwa....unaiona timu mbovu harafu ndo caf inazidi kupanda nafasi....Sasa utopolo subili wakushukie....wanashuka kiwango mpaka caf kule wanastuka....watu wanapita mtaani wanaomba pesa za usajiri....haya nendeni na ukiona mtu anahama kwa timu kuwa mbovu jua huyo alikuwa syo mshabiki wa timu husika yupo studio kwa ajiri ya maisha Bora yaende pia kuvamia uchambuzi wa mpira fani ambayo inakulazumu ufanye hvo kumbe pengne ungechambua hata matembele nyumbani ungefaa sana

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 Před měsícem

    Karibu yanga mkuu

  • @PetermMpondo
    @PetermMpondo Před měsícem

    Karibu ndugu ila uwe radhi Kwa matokeo yote

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Před měsícem +2

    We Oscar ndo ulisema yanga msimu huyu inamaliza nafasi ya 3,Simba nafasi ya 1

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk Před měsícem +1

    😂😂😂😂😂😂😂kweri mandeleo ayana chama

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 Před měsícem +1

    Hatukutaki wananchiii

  • @SikituLusato
    @SikituLusato Před měsícem +2

    Hatukutaki

  • @user-eo6kv4rv7d
    @user-eo6kv4rv7d Před měsícem

  • @rizikinmshauli1390
    @rizikinmshauli1390 Před měsícem

    Lams nini

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy Před měsícem +1

    Huyu Oscar ilipoanza ligi alisema yanga atamaliza wa 23

  • @user-gg3rv9wf1q
    @user-gg3rv9wf1q Před měsícem

    Osca ni Yanga tangu ZAMANI hapo anazuga tu mshamba huyo

  • @user-hd3sf7ty9c
    @user-hd3sf7ty9c Před měsícem

    Kwanza kaka Oscar umechelewa Kwan upo redio yenye ladha unakaaje kusherekea timu ambayo haiendan na ladha unayoipata wasafi tv

  • @FerdinandCharles-ko7de
    @FerdinandCharles-ko7de Před měsícem

    Mzee wa NEUTRAL amesalim amri kakubal yaishe😅😅 chezea guade ww

  • @AkanKitamkanga
    @AkanKitamkanga Před měsícem

    Oscar unaongea balaa

  • @albertmsigwa7982
    @albertmsigwa7982 Před měsícem

    Oscar, nimeihifadhi vizuri, clip yako uliyosema mwanzoni kabisa kuwa, unaiona Yanga ikiongoza kwa malalamiko. Na uliipa Yanga nafasi ya tatu. Sijui leo utatuambia nini..!!?

  • @OnesmoJulius-fi1qg
    @OnesmoJulius-fi1qg Před měsícem +1

    Unafikir unafadida gani palee simba Oscar tenaa sijui unajikuta nan mjinga mmoja tu wewe

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Před měsícem

    We uaminiki muda yoyote unatuacha

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Před měsícem

    Ndiomana homunaizi ali kutandika pia wewe osika huna faida yeyote kwenye timu nenda nyie wote mamuluki

  • @neemamollel6972
    @neemamollel6972 Před měsícem

    Jaman oscar si mshabiki wa Yanga ni mwanachama wa Yanga kabisa acheni matusi mfatilieni kwenye page zake muone

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Před měsícem

    Babalevo unakitu mwilini

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k Před měsícem

    😂😂😂

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 Před měsícem

    😂😂😂😂😂😂

  • @User92.invisible
    @User92.invisible Před měsícem

    😅😅😅